Namshauri mkopo asichukue. Na asikubali kushirikiana nao kikaz atapotea. Hapo bwana utaka ujuzi wahuyo kijana then watamtelekeza. Trust me. Kijana unajina sasa huhitaji sido wakusapot. Jiamini uta weza taratibu achana nasido trust me
@binjmwinyirain11335 жыл бұрын
Eti mainjinia wa sido wanakuja kumsapoti..... Duh.
@famitoissanawanda62955 жыл бұрын
Hongera kwa ujumbe ila watamteka tu
@saimonmanyerezi71694 жыл бұрын
Hata mm nahofu juu ya hilo.
@nyamtigaibrahim5304 жыл бұрын
Yaaani wabongo sura zao tu zinaonesha ki zuruma zuruma tu.
@D.P.O5 жыл бұрын
Huyu mbona yuko tofauti na yule wa mwanzo Millardayo
@saidymtenda97775 жыл бұрын
Nikweli kbs
@saidymtenda97775 жыл бұрын
Yule alikuwa akitumia tofali za kuchoma na mkaa chenga kdg
@fedechfede65155 жыл бұрын
Mi mwenyewe nashangaa
@mjuba4 жыл бұрын
Yule wa kwanza alidanganya na serikali ilikuja kufuatilia ikagundua kua yule jamaa wa kwanza alikua ananunua majiko kwa huyo mwamba hapo
@muniraahmed6245 жыл бұрын
SERIKALI YETU TUNAOMBA MSHIKILIENI MKONO HUYU KIJANA KIUKWEL ANAUWEZO MKUBWA MNO + MIND
@dullahtechtz34222 жыл бұрын
We dada kiboko
@valenakomba76865 жыл бұрын
Mbona hiyo stiyle ilikuwa inatumkia sana PERAMIHO MISSION SONGEA RUVUMA. kwa njia kama hiyo wao wale wazungu walikuwa wanatumia kuni kama vipande viwili au vitatu, na walikuwa wana pika huku wakizlisha umeme.kwa ajili ya majengo. Sema tu watu wa songea wako nyuma sana katika kuiga vitu na kujiendeleza navyo, lakini wangekuwa kama mikoa mingine Ruvuma ingekuwa mbali sana kupitia wale wazungu wa Mission.
@ambokilesilwani40745 жыл бұрын
Shida ndio hiyo anauza bei poa kabisa akija sido ni balaa amesema amebuni kumkomboa maskini itakuwa kinyume chake mwacheni huyo hivyo hivyo atusaidie
Safi sana Mungu azidi kukuinua kiwango kingine kwa maono wako
@kelvinaudax82875 жыл бұрын
Mbona huyu yuko tofauti na yule wa Mara ya kwanza mgunduzi ni Nani sasa au ndo yule yule maisha yameshamkubari
@mwanaali75665 жыл бұрын
Kelvin Audax nikweli kabisa
@babuuclassic5 жыл бұрын
Hawa wanazingua
@kelvinaudax82875 жыл бұрын
Inatakiwa ajulikane mgunduzi aliegundua
@kelvinaudax82875 жыл бұрын
@@mwanaali7566 wanatuzingua kweli
@kelvinaudax82875 жыл бұрын
@@babuuclassic kabisa
@conjetaally70515 жыл бұрын
hongeraaa kwakeee
@muzidalfaaladina28854 жыл бұрын
Kigoma ya wabunifu🙏🙏🙏
@abubakarjuma4435 жыл бұрын
Wanataka wajue tu kisha wakusaliti
@awadhirajabu77545 жыл бұрын
Hao Wezi Wamekuja Kuiba Ufundi Wako Wakutupe Wapige Pesa Wao Matapeli Hao
@saulkigwengela27615 жыл бұрын
Analindwa vipi kuhusiana na ubunifu wake mana mtaanza kukop
@edwardmkwelele5 жыл бұрын
Aandikishe ubunifu wake mtu asIcopy Akicopy Aweze kushitaki Aandikishe INTELLECTUAL PROPERTY
@mbutomustapha20485 жыл бұрын
Hata Yy Kakopi Haya Majiko Yapo Kitambo Atakae Bisha Akoment Namba Nimpe Ushahidi
@luganojacob5 жыл бұрын
Nipe namba mi nataka namba yangu Whatsapp Ni 0786063040
@luganojacob5 жыл бұрын
Nataka jiko
@ceysal9445 жыл бұрын
Duuuh... hyo kampuni inataka kumzingua huyo kijana wanaenda copy hao... then watamtupilia mbali... kijana afumguke hyu... asitake pesa za mteremko... akazane mwenyw kwanza mpaka sasa anajina kubwa tu...
@danieljoseph63095 жыл бұрын
Badala wamtafutie patent haraka wanaongea tu
@joellymanyaji52494 жыл бұрын
Nahitaji hilo ntalipatajee mie nipo mwanza
@sarahwanzaa62725 жыл бұрын
Mbona ni Tofauti na yule wa kwanza🙄🙄
@renatusmisigaro63325 жыл бұрын
Sasa mbona yule wa kwanza sio uyo!?
@mjuba4 жыл бұрын
Yule wa kwanza alidanganya na Serikali ilifuatilia ikagundua kua alikua ananunua majiko kwa huyo mwamba apo
@switbertdeus77415 жыл бұрын
MBONA HYU SIO YULE WA MWANZO HUYU ANAITWA SAMWEL YULE MWINGINE ANAITW TEGEMEO DICKSON ????
@evinirichard15315 жыл бұрын
Mbona aliyekuwa anahojiwa mwanzoni ni tofauti na yule!!!! au ndo life tayali
@saidiibrahim315 жыл бұрын
Wanasema huyu ndo wa mwanzo yule aliiga ujuzi kwa huyu
@zachmaselle66355 жыл бұрын
Mainjia wamushauli nini sasa! Wao hawajabuni, sura ni ku-polish hii technology halafu atafute masoko.
@msemwawalter8375 жыл бұрын
Pongezi sana. Tunaomba namba zako za simu tafadhali.
@hemedibakari68805 жыл бұрын
Binafsi sijaelewa, huyu ni mwengine wa na yule wa awali au ni vipi!? Halafu yule wa awali nilinunua jiko lkn mpk nakuja kulipata ilichukua week mbili na masiku, na bado jiko aliloniletea lilikuwa silo na pia halikuweza kutumika na matofali kama alivyosema, na tulikuwa wawili na wote tumekula hasara. Tulimwambia na akasema ataona cha kufanya lkn mpk ss hakuna kipya
@francisruambothetechnician5 жыл бұрын
Hiyo ndo kawaida unapoagiza kitu online don't expect that much utapotea
@hemedibakari68805 жыл бұрын
@@francisruambothetechnician kwa taarifa niliyoipata , yule wa kwanza aliiba technolojia ya watu ila huyu ndio mmiliki halali na tyr kamfungulia kesi
@awadhirajabu77545 жыл бұрын
Kila Muda Eti Gonga Tena Ujalibu Tena Sasa Unapogonga Sim C Ina Alibika
@meshackjackson32625 жыл бұрын
Safii
@bwerumaster66915 жыл бұрын
Serikali imuwekee Dogo weka 'patent' (haki ya kipekee iliyopewa uvumbuzi) ili wachina wasikopy bure wakikopi walipe!
@sadiaabed66875 жыл бұрын
Yuko wapi huyu maana nimeuliza sikujibiwa na namba zake
@Millidady5 жыл бұрын
kila siku amtuonyeshi jiko linavyowaka mnazingua
@stevenmahanu92615 жыл бұрын
Naomba mawasiliano ya huyu ndugu
@klaragreen79995 жыл бұрын
Angalia mpaka mwisho wameandika no yake
@stevenmahanu92615 жыл бұрын
@@klaragreen7999 asante best...nimeiona
@mbutomustapha20485 жыл бұрын
Jaman Huyu Sio Mgunduz Yy Kakop Haya Majiko Yapo Kitambo Sana Ila Tu Alicho Kiongeza Yy Nikuweka Matofali Atakae Bisha Akoment Namba Yake Nimpe Ushahidi
@MwlGano4 жыл бұрын
0783552264
@mussaagrey56795 жыл бұрын
mkishajua mnampiga chini
@aidanbugufi62005 жыл бұрын
Mbona sio yeye jaman
@keagleeagle8215 жыл бұрын
Millard hebu jibuni maswali ya msingi. Mgunduzi wa hii technology ni yupi?Maana mnatuchanganya.
Mimi Nashangaa Sana Mtu Unaweka MB Ucheki Video Na Video Azipley Watu Wanasema Hoo Tumia Halotel Tumia Voda Sasa Nabaki Na Kigugumizi Kumbe Halotel Na Voda Ndo Wako Sawa Kwa Watanzania Kutoa Uduma Ya Intaneti Kwanini Sasa Serikali Imewaluusu Watu Wa Mitandao Mingine Nayo Kutoa Uduma Ya Intaneti Wakati Watanzania Wamewambia Halotel Voda Wako Sawa Mitandao Mingine Kwanza Waziri Aiweke Kapuni Kwasababu Gani MB Tunaingia Nazo Mkataba Na Uduma Mbovu Sasa Unajikuta GB1 Mnatumia Watu Watatu Ambao Mtanunua MB Za Sh.3000 MB Zinaisha Kama Maji Yashukao Mlimani Utazani Unaangalia Video Ndani Ya Tubemate Vire Serikali Tujue Intaneti Ndo Kioo Cha Kuijua Dunia Sasa Kuishikilia Mitandao Mibovu Kwa Kisingizio Cha Kulipa Kodi Sizani Kana Iyo Kodi Inatokana Kwa Jasho Mana Ukiweka MB Utajua Ukweli Wa Mambo MB Zinapepeluka Kama Ewa GB1 Nisawa Na MB 1000 Na Zaidi Lakini Zinaisha Kama Upepo Napia Mitandao Yenye Kufanya Ivo Inaweka Matangazo Ya Kuturubuni Kila Uchapo Kwakua Wasomi Wetu Sijui Uwezo Wao Atuoni Wakisimama Kusema Mtandao Fulani Stop Mpaka Uwe Na Kasi Ya Intaneti Ndipo Uruusiwe Mana Watu Wengine Wanapenda Intaneti Kuliko Dakika Ajue Dunia Ilivo Anaweka GB1 Matumizi Yake Nisawa Kama Katumia MB100 Sasa Huu Mtandao Eti Unalipa Kodi Hiii Aibu Uku Nchi Ikiwa Na Wasomi Mtu Atasema Mimi Nina HD Mana Ivi Hii Ajabu Kazi Ya Msomi Ndani Ya Nchi Kua Kioo Kuzuia Wizi Ambao Wengine Awaujui Sasa HD Tumia Sim Ya Kawaida Kuchunguza Intaneti Sio Sumati Phoni Utajuaje Huu Wizi Unakagua Balabala Kwa Plado