ALIECHUKULIWA MSUKULE MIAKA 11 ARUDI/MAMA ALINIZIKA AKIJUA NIMEKUFA/TAJIRI WA MABASI ALININUNUA

  Рет қаралды 11,183

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 70
@petermwaibofu3260
@petermwaibofu3260 2 жыл бұрын
Nguvu ya KRISTO YESU kwa mara nyingine tena! Haya wale wa kuchukia, poleni
@othmanmulendelwa9622
@othmanmulendelwa9622 2 жыл бұрын
Yesu sio kristo yesu ni muislam acheni kumpakazia yesu ali ingia kanisani lini
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
@@othmanmulendelwa9622 We mtete Allha na Muhammad achana na Yesu wetu, Waislam mnampinga Yesu alafu hapa mmnasema Yesu ni Muislam tbubutuuu nyie Mnamjua Issa bun Mariam sio Yesu
@petermwaibofu3260
@petermwaibofu3260 2 жыл бұрын
@@othmanmulendelwa9622 Tuachie KRISTO YESU wetu, huyo wa kwenu nenda ukanywe naye chai
@othmanmulendelwa9622
@othmanmulendelwa9622 2 жыл бұрын
Yesu xio wakwenu yesu niwa wa islamu yesu ajawai kufundisha dini kanisani
@kelvin_Songea2023
@kelvin_Songea2023 2 жыл бұрын
Kama YESU KRISTO ni muislamu sasa mbona hammuamini, mbona hammtumikii, mbona hamfuati mafundisho yake
@charlesmbena9121
@charlesmbena9121 2 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda za namna hii zinasaidia jamii ya waaminio sana kutoka mahali kwenda mahali lakn ndugu zangu wakristo yeyote mwenye Mungu wa kweli hana hofu ya wakuu wa dunia hii tumjue sana Yesu ili tuwe na amani kubwa sana
@neemalambo9790
@neemalambo9790 2 жыл бұрын
Davistar hawa wanaokutukana eti unaulizau iliza maswali achana nao kwani lazima wasikilize!! Si wapotezee tu. Ulishafafanua kuwa unauliza maswali kwa niaba yetu. Binafsi nafurahi unavyouliza maana unauliza kwa niaba yetu, Kuna wakati najiuliza hapa imekuwaje nakuta unauliza, nakuwa naelewa vizuri. Nakukubali Davistar, piga kazi mtu wa Mungu, mwenye haraka ya kusikiliza afowad mbele😄
@petermwaibofu3260
@petermwaibofu3260 2 жыл бұрын
mmmmmmh, affoward mbele, wewe nawe!!!
@neemalambo9790
@neemalambo9790 2 жыл бұрын
@@petermwaibofu3260 😃😃
@iandavid4878
@iandavid4878 2 жыл бұрын
Maswali yako leo ni ya muhimu sana Davista na yana maana sana nimeyapenda sana
@othmanmulendelwa9622
@othmanmulendelwa9622 2 жыл бұрын
Wewe unataka kwenda tanga tu
@janeongala6684
@janeongala6684 2 жыл бұрын
Kaka unajua kuadithia vizur pole sana
@othmanmulendelwa9622
@othmanmulendelwa9622 2 жыл бұрын
Na mimi najuwa nipe ongera yangu
@tadeosaidiandrew6486
@tadeosaidiandrew6486 8 ай бұрын
🎉
@semwandambaza2184
@semwandambaza2184 2 жыл бұрын
Asipouliza mnalalamika,,,akiuliza mnalalamika👐....Mwacheni kaka Davista banaaa! Davistar nakuficha kwenye Damu ya YESU KRISTO aliehai 🙏😘
@Jaanburhan448
@Jaanburhan448 Жыл бұрын
Davister pamoja sana kwa kutoa hizi simulizi ili watu wajifunze vitu fulani, Niko na wewe katika hizi story zangu since day 1, Unafanya vyema sana.. Jamaa anatoa maelezo ambayo ilishawahi kumtokea maheremu kaka yangu,Soon nitakuja kusimulia katika kipindi chako
@petermwaibofu3260
@petermwaibofu3260 2 жыл бұрын
Davistar matta, hilo kaburi na mchungaji waje hapa tafadhali ili kujenga ushuhuda juu ya hilo!
@Waziri77
@Waziri77 Жыл бұрын
swali nzuri sana Davi
@PascalChiume
@PascalChiume 4 ай бұрын
Mtangazaji anaingiliaingilia sana story.
@anastaziaclement1034
@anastaziaclement1034 2 жыл бұрын
Wasikilizaji ndio tunapenda ushuda na kupitia huu tunabarikiwa Ila kaka yangu jaribu maswali yako yawe yaendane na anakusimulia story 🙏🙏🙏🙏🙏🇿🇦
@wemamanikana9791
@wemamanikana9791 2 жыл бұрын
Duh!! Pole sana Kaka. Mungu atusaidie sanaa watu wake
@petermwaibofu3260
@petermwaibofu3260 2 жыл бұрын
ile kuambiwa "hao samaki hautawala" maandalizi ya kukuchukua wewe yalishafanyika siku nyingi huko nyuma, ile siku ya kuambiwa hivyo ilikuwa ni kuhitimisha tu kukuchukua!
@neemalambo9790
@neemalambo9790 2 жыл бұрын
Piga kazi mtu wa Mungu, lete part two💃
@othmanmulendelwa9622
@othmanmulendelwa9622 2 жыл бұрын
Kwani wewe ni mtu wa shetani
@othmanmulendelwa9622
@othmanmulendelwa9622 2 жыл бұрын
@Sylvia Ngunya sio umependa kazi davistar inata kiwa tumuunge mkono kwa kujiunga kwenye group ulipendalo
@adamaldo5375
@adamaldo5375 Жыл бұрын
Jaman haya yapo tuombe Mungu jaman
@reisezone4574
@reisezone4574 2 жыл бұрын
Davista naomba umuulize swali hili ili swali huwa haliulizwi ni hivi muulize kule wanakaa misukule je wanakuwa wanaenda haja yaani chooni kama kawaida yaani kama kunya na kukojoa, na kama wanaenda je ivyo vyoo vinakuwa vipo wapi
@germainndayishimiye8684
@germainndayishimiye8684 8 ай бұрын
Pole sana
@abbyadams8691
@abbyadams8691 2 жыл бұрын
Maswali ni mazuri sema kuna watu wanata story tuuuu bila kujua mambo kwa kina. Asante Davistar kwa kuniulizia maswali mengi niliyohitaji kujua.
@kahindiwanje90
@kahindiwanje90 2 жыл бұрын
Noma Sana broo
@kahindiwanje90
@kahindiwanje90 2 жыл бұрын
Safi Sana broo
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 2 жыл бұрын
Waislam Wachawi sana mambo gani haya yakurogana sasa, nasema Waislam kwasababu kitabu chao cha Quran ndio wanatumia kusomea Albadiri kurogea watu sijui wanapata faida gani kuumiza watu, Yesu wanyooshe hawa watu mkome hiyo tabia
@germainndayishimiye8684
@germainndayishimiye8684 8 ай бұрын
Wa chawi walaaniwe kabisa kwa jina la yesu christo
@LeahRobert-h3l
@LeahRobert-h3l Жыл бұрын
Poleh jmn
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Watu wengine wapumbavu sana wanapenda kupuzia mambo ndio maana wanapata shida sana... hapana wapo wenye kuona kuwa si mtu lakini unyamaza kwasabu shughuli yakumrudisha mtu si kazi lahisi kwani ni vita kubwa
@elizabethmuia9839
@elizabethmuia9839 2 жыл бұрын
BONA MTU AKICHUKULIWA MSUKULE UWEKWA NYUMBA YA MLANGO, KUNA SIRI GANI HAPO NYUMBA YA MLANGO, MTUMISHI EBU TUELIMISHE, KWA MAANA HIO HAO WATU WANAFANYANGA ACROBATICS NI NGUVU ZA GIZA WANATUMIAGA🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
@plastidiacasmiry2234
@plastidiacasmiry2234 6 ай бұрын
Lakini mbona anasura ya msukule? Mungu azivunje nguvu za giza zilizo baki juu yake
@annkim2690
@annkim2690 2 жыл бұрын
Macho ya kiroho sio kila mtu anayo jamani ipo siku bishop wangu aliona ubwa Kwa jeneza akasema tuombe badae walipata mtu nyuma ya mlango
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 2 жыл бұрын
Hao wazazi wako ni wazembe sana, Wanawezaje kumzika mtoto wao kirahisi hivyo! Kwanza siwezi kuamini kifo cha hivo wakati mtoto wangu kanambia alivyoambiwa na mchawi! Ndo maana mie huwa spuuzi maneno ya mtoto wangu, Yani we ukimwambia neno la hatari hivyo afu akanambia! Una kazi wewe!
@petermwaibofu3260
@petermwaibofu3260 2 жыл бұрын
ndiyo maana ukaitwa chifu ze doni
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 2 жыл бұрын
Hali ya kawaida huwezi jua mpaka nawe uwe mchawi
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Wanaweza kukuroga na kukuponya wenyewe inawezekana na ndio maana kuna waganga wakichawi na kazi yao ni hiyo
@farajomar2902
@farajomar2902 2 жыл бұрын
Mambo vp nauliza msukule kwa kiengereza anaitwaje
@festusshalom5065
@festusshalom5065 2 жыл бұрын
Wanaitwa zombie
@fredichaki3497
@fredichaki3497 2 жыл бұрын
Zombe
@anastaziaclement1034
@anastaziaclement1034 2 жыл бұрын
Divet maswali yako siyaelewangi muda mwingine unauliza swali huyo sio mgaga au nichawi alichukuliwa msukule na sio anajua madawa sikiliza kwanza story alafu muulize maswali na kuendana na vitu anavyojiereza
@godelivamuswahili2988
@godelivamuswahili2988 2 жыл бұрын
✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 2 жыл бұрын
Nakumbuka yohana katika ushuhuda wake alisema ukiona mtu amekupania akakwambia utaona nitakachokufanya usiipuuze ,,Sasa Hapa pia nimeona hii kauli ya huyu mzee alipomwambia tuone Kama samaki hao utawala'' kumbe ukiona mtu kakupania usiipuuze Kuna kitu anajua Ni mshilika huyo,
@eddyjunior2881
@eddyjunior2881 2 жыл бұрын
Mi Niko SUMBAWANGA huyo tajiri atakuwa SUMRI
@shimii3662
@shimii3662 2 жыл бұрын
Story nzuri ila maswali mengii duuh
@xcaliber8300
@xcaliber8300 2 жыл бұрын
Nishamjua huyo tajiri na bado kafulia vilevile
@avitusmichael5
@avitusmichael5 2 жыл бұрын
1
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
Davista wacha mtu atiririke
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 2 жыл бұрын
Too much unnecessary questions 🚮🚮
@petermwaibofu3260
@petermwaibofu3260 2 жыл бұрын
Mkuu, bila hayo maswali hii story haitanoga
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 2 жыл бұрын
Natamani maswali yajikite kwenye testimony ya mgeni kuliko maswali ya nje ya testimony ya mgeni, kuuliza kwa nini wachawi hawana hiki na hiki ni ufhaifu wa Huyu mwandishi
@graceshayo5763
@graceshayo5763 3 ай бұрын
Haya mwenye nguvu tuletee vya kwako au unadhan ni rahisi au kwa kuwa siyo wewe unayesikiliza
@noeldaudi590
@noeldaudi590 2 жыл бұрын
Davista hacha ujinga kwanini unatumia muda wa stori Kwa maswali Kwani huwezi hadisiwa pembeni Ili mtu akianza kaanza
@petermwaibofu3260
@petermwaibofu3260 2 жыл бұрын
Kaka Noel, maswali ni mazuri na muhimu
@noeldaudi590
@noeldaudi590 2 жыл бұрын
Kwa hiyo Kila analosema wewe unauliza huoni unaharibu muelekeo wa stori Wew kusema kweli unamambo ya Kisenge Usikilizi comment Huoni ukiwa nashida hakuna ataye kusaidia maana stori zako zishakua za kishamba hazieleweki inaanzia wapi inaishia wapi
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Kwajinsi yaulizaji wake mimi naona sio tatizo
@josephinekisuna4290
@josephinekisuna4290 2 жыл бұрын
Ajabu
@pascalbalex5142
@pascalbalex5142 9 ай бұрын
Acha ufara maswali gani hayani kichwa wala miguu
@noeldaudi590
@noeldaudi590 2 жыл бұрын
We davista kumbe wewe ni makusudi lakini sisi makusudi haitusaidi, sisi tunatumia mb Maswali mengi yanamaliza mda Kama hupi basi hadisiwa peke yako
@Yusufu940
@Yusufu940 2 жыл бұрын
Amejibu sivyo jb kwa nizamu tadhali
@sbctvswahilibaptistchurcht3548
@sbctvswahilibaptistchurcht3548 2 жыл бұрын
hata MARECANI kuna uchawi bana cheki👉kzbin.info/www/bejne/e4jXdJyDdsmAoc0
@hamisihassan2620
@hamisihassan2620 2 жыл бұрын
🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮😇😇😇😇😇😇😇😇
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
MAAJABU: MATUNGURI YAKUTWA KANISA "WAUMINI WANACHAPWA VIBOKO"
7:24