ALIFUKUZWA SHULE SABABU YAKE , NA KAMUOA.. WHAT A LOVE STORY !!

  Рет қаралды 366,067

Mc Gara B

Mc Gara B

Күн бұрын

Пікірлер: 190
@aishaabdallah199
@aishaabdallah199 Жыл бұрын
Mm mume wangu nilimwambia sitaweza kuwa mama (kuzaa ) sababu dokta alinihakikishia kutokana na ugonjwa wa moyo lkn mume wangu alinioa hivyo hivyo na alhamdullillah mungu ametupa watoto3 hai na 6 marehemu zipo njia nyingi za show love
@ts_hawah
@ts_hawah 11 ай бұрын
MashaAllah😍
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 11 ай бұрын
Amen
@UpendoMgalla
@UpendoMgalla 11 ай бұрын
Waoo hii inasisimua zaidi sifa kwa mungu na pongezi nyingi kwa shemu wetu
@MamuJingo
@MamuJingo 10 ай бұрын
Ila ma Dr wengine wanakatisha tamaa 😢mii nliambia aziwez ingia ata spem za chuma ila naiman lililo andikwa litakuwa!inshallah.
@TheNdaki
@TheNdaki 10 ай бұрын
@@MamuJingoDuh! Alisema ayo manebo Dokta!?
@rizikia6765
@rizikia6765 Жыл бұрын
Mashallh mungu awepe maisha marafu kwenye safari yenyu ya ndoa
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
This is true love, wanaume kama huyo kaka wako wachache sanaa!! Mungu awasomamie muendelee kuwa pamoja siku zotee
@eliasjames148
@eliasjames148 11 ай бұрын
Mimi nakuja kumuoa mke wang toka nmefahamiana nae 2015 nmekuja kuoa 2023... Kawaida sana
@leahsamwel1931
@leahsamwel1931 Жыл бұрын
Hii sasa ndo love story...achana na zile zetu za how are you feeling today
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi Жыл бұрын
😅😅😅
@neemanyove9130
@neemanyove9130 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@FAUSTAMBAGA
@FAUSTAMBAGA Жыл бұрын
babeki🤣
@diyembarak5506
@diyembarak5506 Жыл бұрын
How are you feeling today 😂😂😂
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@pascalinaerasto9501
@pascalinaerasto9501 Жыл бұрын
Katika kumi kwa mmoja na mmoja mwenyewe ndio huyu
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
True love never dies ❤
@MANBJUMANNE
@MANBJUMANNE 7 ай бұрын
Nimeikubali sana maana huo ndo upendo wakes
@tepelelula7056
@tepelelula7056 Жыл бұрын
❤❤wow mungu awajalie furaha katika ndoa yetu inshallah
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Жыл бұрын
Hayo yakumfanyia mwanamke sio shida, kinachotokea kuaminiana mpaka kuoana ni wachache unaweza ukajitoboa mifuko alafu mwanamke ambaye unamfanyia hvyo mwisho anakuacha kwenye Mataa anaolewa na mtu ambaye hata hakuwahi kumfanyia chochote tena anadai kuwa ndo amempenda ndo maana sikuizi wanaume walishashtuka hawatumii nguvu nyingi bila malengo useme Hawa wameona nyota zao zimekuta zinaendana sio jambo la kawaida muda wote huo mmoja wapo asimgeuke mwenzake akachukua njia nyingne
@saadakombo4090
@saadakombo4090 Жыл бұрын
Mpaka naona wivu,huu ni upendo wa dhati kwa kweli
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Hongera dada coz wako wengine wanakula mizawadi ya watu na mwisho wa siku wana funga ndoa na wengine
@sharifashabani493
@sharifashabani493 Жыл бұрын
Mm mwenyewe nimekaa jela namwamke aliyesabisha kwwnda jela ndo mke kwa sasa na tunawatoto 4 .kisa wazazi wke walikuwa askali polisi
@YouAndme-pj2ch
@YouAndme-pj2ch Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awajalie
@lydiaezekiel3044
@lydiaezekiel3044 Жыл бұрын
Mapenzi ya kweli
@theopistermichael9215
@theopistermichael9215 Жыл бұрын
😅😅😅 Ngoja niendelee kuvumilia m nko na miaka 5 sasa Mungu nitunzie yule kijana💓
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 11 ай бұрын
We ni mimi kabisa, Amina
@dab8859
@dab8859 11 ай бұрын
Mm niko n 11😁😁😁😁
@KingB-bx9ly
@KingB-bx9ly 8 ай бұрын
Mimi mwkaa wa tatu huu mungu atanitendea😂
@sporastica7174
@sporastica7174 Жыл бұрын
Wasukuma na maanisha wanawake wapewe maua yao jaman kiukwel wanaongoza kwa kupata wanaume wa maisha kiukwel wamebarikiwa pmoja na ushamba mnaosema Ila they're blessed
@veronicamathias241
@veronicamathias241 Жыл бұрын
Exactly
@scholasticalaurent1542
@scholasticalaurent1542 Жыл бұрын
Makofi kwetu wasukuma jamani❤❤😂
@neemasita8113
@neemasita8113 Жыл бұрын
Kabisa kabisa
@lucykibela-et8tp
@lucykibela-et8tp Жыл бұрын
Ni wachapa kazi,hawana makuu
@shanishani-qv3bc
@shanishani-qv3bc Жыл бұрын
Ushamba wao hawauoni 🤣🤣🤣
@Carolinechilonje
@Carolinechilonje 10 ай бұрын
Daah imenibariki sana na mungu awabariki
@ahuriladaniel9849
@ahuriladaniel9849 Жыл бұрын
Its consistency for me❤️❤️
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
True love UPENDO WAKWELI
@annastaziakilangi4552
@annastaziakilangi4552 Жыл бұрын
Hongera mamdogo, ukoo wa maneno Mungu awabariki🙏
@DottoGodifrey-np6jb
@DottoGodifrey-np6jb Жыл бұрын
itoshe kusem mwenyez mungu awabalik san
@vanitosha844
@vanitosha844 Жыл бұрын
Aya alie single njoo tuanze story yetu chap😂😂😂😂...Mungu awatunze
@abdullytorres5116
@abdullytorres5116 Жыл бұрын
😮
@egidiusjack5591
@egidiusjack5591 Жыл бұрын
😂😂😂 Nimecheka sana
@abialusekelo-nr8kf
@abialusekelo-nr8kf 10 ай бұрын
🤣🤣
@darlenedada651
@darlenedada651 Жыл бұрын
Ila Gara B
@PaulinPeter
@PaulinPeter 9 ай бұрын
Dada mwenyez mungu awaongoze
@sophiandanzi-ot7nu
@sophiandanzi-ot7nu Жыл бұрын
Aiiiiii nyie mi miaka 2 tu ntaka niolewe kumb Kuna watu wana miaka 10 na hawasemi aiii lazim ntatoa ushuhuda
@thumseylove9230
@thumseylove9230 Жыл бұрын
😂
@abialusekelo-nr8kf
@abialusekelo-nr8kf 10 ай бұрын
😂😂😂
@LuluRodgers
@LuluRodgers Жыл бұрын
Very true. Nilisoma nao
@ayubufaustinemagashi3400
@ayubufaustinemagashi3400 Жыл бұрын
Shule gani huko miaka hiyo...?
@prosperjuma4993
@prosperjuma4993 Жыл бұрын
​@@ayubufaustinemagashi3400ni muonyo huyo usimwamini
@rizikia6765
@rizikia6765 Жыл бұрын
Nkweli nwachache Wavulana wenye subra kama huyo bro mabroko
@leticiamussa2780
@leticiamussa2780 11 ай бұрын
Hapo katikati hawakuweza kusalitiana kweli maana miaka kumi ni mingi sana😂
@racheldavid6431
@racheldavid6431 Жыл бұрын
Jaman jaman huu muujiza unipitie na mim aki 🤲...Mungu awasimamie awaepushe na kila baya
@henrygwalema1860
@henrygwalema1860 Жыл бұрын
Huo siyo muujiza, sisi wanaume huwa tunapenda sana, tatizo ni virungu imekuwa lengo kuu la mahusiano kwa mwanamke ndo vinatuchosha
@racheldavid6431
@racheldavid6431 Жыл бұрын
@@henrygwalema1860 sa si umeona mwenzio alikuw anampa zawad 😊
@peacennko2003
@peacennko2003 3 ай бұрын
Amen
@sm5tv
@sm5tv Жыл бұрын
Mwalimu wangu wa Advance aliwahi kutuambia ukiwa advance Nenda kawekeza kidato Cha Tatu,pili au Cha kwanza .usipambane na advance wenzako
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Nikiwa std 7 madam mmoja alisema wake zenu wako la3 au kwa Wengine hawajaxaliwa nilicheka xn ila now nimekubali.
@sm5tv
@sm5tv Жыл бұрын
@@adkajisi4536 Ndio hivyo kabisa sisi darasani watu walicheka Ile Mbaya ila ndio ukweli
@LoveAron
@LoveAron Жыл бұрын
Waoooh so Amazing couple ❤ ❤ ❤ 🔥🔥🔥
@kazikazini1042
@kazikazini1042 Жыл бұрын
Aghalabu ..hili neno Mwijaku amefanya mpaka MC kulitumia kimakosa badala ya nadra
@daudidotto268
@daudidotto268 Жыл бұрын
Hayo ndo mapenzi ya dhati❤🎉🎉🎉
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Mashallah, Mashallah jamani hadi raha ❤😘😍
@sirbussongo4490
@sirbussongo4490 10 ай бұрын
Vijana wengi huwa wanania sana na mabinti ila mabinti hujakubadilika mbeleni , hongera kijana mwenzangu wa kwako hakubadilika aliendelea kubaki ma wewe na kuthamini nia yako na upendo wako.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 26 күн бұрын
mmmh
@tunudimandogreek9683
@tunudimandogreek9683 Жыл бұрын
That's so sweet and lovely
@johannesrwiza
@johannesrwiza Жыл бұрын
So lovely
@AminaYassin-kf9gg
@AminaYassin-kf9gg Жыл бұрын
Hongera dada umejua kupendwa kwadhati
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 Жыл бұрын
@lucynyenyembe3168
@lucynyenyembe3168 Жыл бұрын
Mmmh! Jmn 😊😊
@emmylawrence107
@emmylawrence107 Жыл бұрын
Nyie msijichanganye mkute ni movie vile wapo kweli hawa wanaume wa hivi😂😂😂
@jumamaulid9462
@jumamaulid9462 Жыл бұрын
Je, kutoroka shule nako ni mapenzi ya kweli kwa wazazi?
@henrygwalema1860
@henrygwalema1860 Жыл бұрын
We jamaa umewaza mbali sana😂😂
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
😂 ndo hapo sasa
@anniekawa3105
@anniekawa3105 Жыл бұрын
Loooh sijui wanafundisha Nini vijana wadogo waliopo mashuleni
@bettyjimmy7887
@bettyjimmy7887 Жыл бұрын
Keanini mnaact as if that man did him a favor 😂
@feezdidthis2220
@feezdidthis2220 Жыл бұрын
Masaki hongera bro.. Olympio '07
@tabithadaniel7364
@tabithadaniel7364 Жыл бұрын
Kwa nini aniseme HUYU HAPA na sio MKE WANGU
@fabiansemba4918
@fabiansemba4918 Жыл бұрын
Umeolewa mama kama Bado nasi tukamilishe?
@ChristinaMeela
@ChristinaMeela Жыл бұрын
Kwakwel yan
@esupatthomas5881
@esupatthomas5881 Жыл бұрын
Ni mke wake tayari Ayo mengine sio ishu
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Mbn mbosso alisema
@barbaragreyson8901
@barbaragreyson8901 Жыл бұрын
❤️
@melisetimoth5774
@melisetimoth5774 26 күн бұрын
Hongera huo moyo uendelee kwa kizaz chako
@sophiabonaventura8229
@sophiabonaventura8229 8 күн бұрын
Kuna watu wana bahati ya kupendwa jaman.
@margrethemanuel7501
@margrethemanuel7501 11 ай бұрын
Dah! Kujua unachotaka kweny maisha yako ni vizur san
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Niliyefukuzwa Chuo kwa ajil yake alifariki nmeumia sana
@gundajr2883
@gundajr2883 Жыл бұрын
😢dah pole sana
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Asante San nmepokea
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
Alitabiri ama ni Ile Tu wanawake wakiwa na mahusiano wanaanza kuitana mke na mume?
@aminamjili7303
@aminamjili7303 Жыл бұрын
Consistancy❤
@AletiaKosiyae
@AletiaKosiyae Жыл бұрын
I need this true love
@evejap6887
@evejap6887 Жыл бұрын
Haya ndio mapenzi sasa..❤❤❤❤
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 Жыл бұрын
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 Жыл бұрын
@linahmlay8512
@linahmlay8512 Жыл бұрын
Wanaume wamebaki wachache kama hawa
@ainesmapesi7387
@ainesmapesi7387 Жыл бұрын
Na wakwangu akiwemo
@rosejeremy9484
@rosejeremy9484 Жыл бұрын
hawa wanaume wamebaki wachache
@fabiansemba4918
@fabiansemba4918 Жыл бұрын
Tuko Bado ......tuko
@fabiansemba4918
@fabiansemba4918 Жыл бұрын
Bado tupo
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 Жыл бұрын
Tuko ila kitu ni msimamo na kutulia na mmoja kujua Nini mtu unataka na unapo taka kufika wànaume siku hizi tumeamua kutulia hakuna haja ya kuangaika na kuruka ruka kule na huku mmoja ndio mpango,na naamini siku zote ukimwomba Mungu atakupa mwenye msimamo na mwenye future ya maisha sio kuchezeana,Mungu asimame nasi kweli cause hii maisha bila ya Mungu uwezi pata mwenye real love i believe in God sababu anatenda kea mwenye nia ya kweli vijana tujitambuwe tuu starehee tuache tujuwe kuna maisha ya ndoa yenye furaha kama ukitulia
@IreneJohn-bp7qm
@IreneJohn-bp7qm 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@jacklinemayunga652
@jacklinemayunga652 Жыл бұрын
Ila Gara B huboi
@Lydiahortence
@Lydiahortence Жыл бұрын
Kula tchuma itcho 😂😂😂😂😂
@hellenwilliam955
@hellenwilliam955 10 ай бұрын
Wasukumaah pigah kell
@queenlaty6788
@queenlaty6788 Жыл бұрын
Kumbe na mm nitafika miaka 10
@gladsonnaphtal155
@gladsonnaphtal155 10 ай бұрын
Nmesoma nao wote. Leticia class she was so fine
@roxiesarexy1976
@roxiesarexy1976 Жыл бұрын
Sir Pijini pijin yuko wap jmni😂😂😂
@exodusezekielkaitira6238
@exodusezekielkaitira6238 Жыл бұрын
Haha pijini yule discipline master.. aliemshika jamaa akiruka ukita atakua uncle albino yule🤣🤣
@HumphreyNgonyani-no7yc
@HumphreyNgonyani-no7yc Жыл бұрын
Kwamuonekano tu waonekana no watu wenye busara zao
@magdalenajoel4539
@magdalenajoel4539 Жыл бұрын
Anybody tuanze story yetu
@Dreidamaa
@Dreidamaa Жыл бұрын
I'm here
@Mercy-j2e
@Mercy-j2e 11 ай бұрын
I have like it wapi congrats 👏
@Funky547
@Funky547 11 ай бұрын
Jamani msaada wa huo wimbo kaimba nani?
@ReunionHope-d7s
@ReunionHope-d7s 11 ай бұрын
Big hi
@joelking3692
@joelking3692 Жыл бұрын
Wonderful❤
@daimavlog
@daimavlog Жыл бұрын
Nani anakata vitunguu jamani ☺️☺️☺️
@ShabaniShabani-m7l
@ShabaniShabani-m7l Жыл бұрын
😂
@MagrethKenneth
@MagrethKenneth Жыл бұрын
Mungu awabariki
@MahajiOmari-zz1go
@MahajiOmari-zz1go 11 ай бұрын
jina la nyimbo plz
@HappyOmbay-k4e
@HappyOmbay-k4e 9 ай бұрын
❤❤
@Dorcaskiwale-ir6ec
@Dorcaskiwale-ir6ec Жыл бұрын
Uyu kaka ni kabila gani
@genevivermambo4000
@genevivermambo4000 Жыл бұрын
❤️❤️
@marthamwandumbya1268
@marthamwandumbya1268 Жыл бұрын
Naelewa🥰
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 Жыл бұрын
Alaaa
@victoriajuvenilleshirima3313
@victoriajuvenilleshirima3313 Жыл бұрын
@gracesamwel3632
@gracesamwel3632 11 ай бұрын
0ll
@imeldamkinga2501
@imeldamkinga2501 11 ай бұрын
Waooooo so beautiful
@JescaTz-hx6yc
@JescaTz-hx6yc Жыл бұрын
Nice
@barbaragreyson8901
@barbaragreyson8901 Жыл бұрын
💜
@KidawaSilayo
@KidawaSilayo 11 ай бұрын
Nimeipenda iyooo
@RuthShoo-p1d
@RuthShoo-p1d 11 ай бұрын
Kuna watu wanahistoria nzur jmn❤
@franciskavyega280
@franciskavyega280 Жыл бұрын
Huyu apa
@HarunaMohamed-ui7nq
@HarunaMohamed-ui7nq Жыл бұрын
Walikuwa wanazini wewe unahadithia namna walivyokuw wanamuasi mungu,hizi dini zingine hizi,badala wamuombe mungu msamaha kwa mungu,wewe unafurahia uovu ulio pita
@hbabyShunda
@hbabyShunda Жыл бұрын
Kwani hapo ninyumba yaibada au
@drsubira9844
@drsubira9844 11 ай бұрын
Kwani wamefunga ndoa bila kutubu? na tunatubu kwa Mungu pekee aliye mtakatifu sasa ww ulitaka waanze kutubu ukumbini
@trophywilson7211
@trophywilson7211 26 күн бұрын
Lakin Kuleta Zawadi ndo Kuzini??
@TimothyKayuni
@TimothyKayuni 11 ай бұрын
Live it mabibi harusi❤❤❤
@shuuabdallah6921
@shuuabdallah6921 11 ай бұрын
Mashallah ❤
@hillyminajtv1257
@hillyminajtv1257 Жыл бұрын
Wimbo wa nan
@Madi_Classic
@Madi_Classic Жыл бұрын
Makini
@maryathanasio8348
@maryathanasio8348 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@MwahijaAbdillah
@MwahijaAbdillah Жыл бұрын
🎉🎉🎉
@clementosmondosmond4065
@clementosmondosmond4065 Жыл бұрын
@agneswabalinga7497
@agneswabalinga7497 Жыл бұрын
💞🔥🔥🥰
@almanalitoyngmula8079
@almanalitoyngmula8079 Жыл бұрын
Statistically she will do him bad at somepoint . . .
@leticiaibrahim5459
@leticiaibrahim5459 9 ай бұрын
Sawa mtabiri usiyeweza hata kujua kesho unaamka huna hata mia🤣
@charlesgeorge2855
@charlesgeorge2855 Жыл бұрын
Mwamba kama mgumu hiv lkn kakomaa
@kanyoki
@kanyoki 11 ай бұрын
😂😂😂 heri yeye Mi nlifukuzwa shule kisa huyo dada na mwaka huu ameolewa na jamaa mwingine😢😅 Wanawake bana
@RehemaMagoire
@RehemaMagoire 10 күн бұрын
Dah pole
@edwardkongo410
@edwardkongo410 Жыл бұрын
Niupumbavu kwelikweli kutoroka shule na kufukuzwa kisa mapenzi niujinga sugu
@levinmauma7241
@levinmauma7241 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
😂😂😂😂 ujinga sugu
@salomematale2326
@salomematale2326 Жыл бұрын
Mpumbavu wewe hapo
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 11 МЛН
Matajiri Wachoyo!!
5:31
Awinja Nyamwalo - Jacky Vike
Рет қаралды 857 М.
August 24, 2024
2:22
mtumboga
Рет қаралды 7 М.