Dada hizi nguo nazo za kuacha mwanamke mapaja nje😢😢. Tujiheshimu Jamani 😮 Sio lazima mwili wako uchi wako uonwe na watu tunza ni wako na umpendaye Jamani..FUNIKA MWILI Rinda nzuri lapasuliwa mpaka kwa mapaja dah🤭🤫🙄😒
@kapingalucy27079 ай бұрын
Unafikili Nini Mimi Naonaga Niushamba Tuna IGA
@rerisamba8 ай бұрын
Yani inachukiza sana mwanzo mahali kama hapo kuna wazazi
@kapingalucy27078 ай бұрын
Napia Mwenye kumuogopa MUNGU Awez vaa ivyoo .Napia TUJIFUNZE Watu tunao waalika pia Wenye Akili Timamu na heshima niher muwekumi Lakini Kwa furaha na heshima Ata Malaika Wa MUNGU wamesimama Unakuwa Baraka
@rerisamba8 ай бұрын
🤣🤣🤣kule kenya pastor wa SDA aliwafukuza kanisani wote walio kua wamealikwa kwa sababu ya mavazi machafu
@jenahando27477 ай бұрын
Wewe tulia
@ramadhankanoun30079 ай бұрын
Ilipagwa hiyo bi harusi kaonekana akimuita bwana Emmanuel
@miry66558 ай бұрын
Ndyo ilipangwa iwe suprise kwa bi harus mtarajiwa.
@Bravin1167 ай бұрын
Hao wengine walikula njama lakini bi harusi mtarajiwa inaonyesha kabisa hakujua
@VickKulekana-si1ib9 ай бұрын
Wanayo kwel kumbe raha sana nimemkumbuka Kuna rafiki yangu alisema kwenye harusi ya pacha yake alimpenda Mc alimuombea na yeye aolewe na kwel siku hile hile ya pacha wake ndo na yeye alimpataga mumewe alipendwa akatumwa shemej yake
@maggieandrew9959 ай бұрын
Pete inavishwa siku ya kutoa mahari waoongo Hawa
@mongeramatondo13209 ай бұрын
Si ndo hapoo, hahahah😇
@esterpaul63148 ай бұрын
Pete popote bana
@sumaboy81059 ай бұрын
Wabongo bwana sasa kupiga goti wacheni kuiga jaman culture za wazungu ushamba mtupu
@veniciacharles88519 ай бұрын
Ilipangwa haiko poa
@theresiamremi57649 ай бұрын
Mimi naon mwanamke hakujua
@FirdausyAbubakary-bl2wo9 ай бұрын
Anahost vizuury cjui kwann anapost vipande daah
@user-oc5fe9vx1p8 ай бұрын
Usikute apo taarifa zilifika home mtarajiwa alikuwa hajui
@VickKulekana-si1ib9 ай бұрын
Bwana harusi mzungu kanikumbusha mzungu wangu
@UzalendoNaUtu9 ай бұрын
😂😂😂
@blandinamyinga94899 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣kwani mmeachana??
@RosemarryMgaiwa9 ай бұрын
😂😂😂😂 make apo kwanza nicheke
@kolethafabian26187 ай бұрын
Hahaaaha Ila bongo Kuna Raha Sana hatunaga stress labda ujitakie mwenyewe
@lucymkongwa42389 ай бұрын
❣️
@user-rj8us3cx9k9 ай бұрын
Mnatuona zumbakuku??hao ni wapenzi na washajiandaa kuvalishana Pete CK hyo over
@lilianmasoud14449 ай бұрын
Hainogi ilipangwa
@lilianeerica33189 ай бұрын
Ndio ila mwanamke hakunuwa maana ameshtuka
@basilisamsaka84699 ай бұрын
Ila vijana acheni kupiga magoti Kwa wachumba ama Kwa mabiharusi wenu mnajiaibisha na kuishusha thamni ya mwanaume
@innocentcleophace85839 ай бұрын
Haifai kabisaaa mwanaume unapigaje magoti Kwa msichana...... sio sawa
@dorinally46989 ай бұрын
We hujui
@EsterVuriva9 ай бұрын
Ni sawa kabisa mwanaume kupiga magoti kwasababu yye kumbuka ndo anaye toa mahali na ndo anahitaji mke wakutoa mama Bora lazma apigee goti
@kapingalucy27079 ай бұрын
@@EsterVurivaKwamba Anaomba Kuwa Mkewe
@gracesiwa9 ай бұрын
Its right mkaka kupiga goti cause he is the one proposing he is bringing the offer and a girl is the one to accept or reject it, its like anaomba akubaliwe dada ndo anaweza kukubali au kukataa uwa ndio maana ya kupiga goti mdada awezi kupiga goti maana yeye aombi kuolewa ila mkaka ndio anaomba amuoe msichana. Mkaka ndio anatafuta mke.