Darsa mashaa allaah mungu amuengezee umri ustadh Ila tunaomba tarsa ziandikwe namba tuijue ya1 ya2
@suuahmed716 ай бұрын
Maa shaa ALLAH. Ustadh Said. MUNGU akuzidishie elimu akuhifadhi na Hassad ya mahasidi walokuandama. Amin. Shukran kwa kutuelemisha
@ustadhayub87336 ай бұрын
Mashallah Al asmaiy zamaninaa
@muftishaban.a.musamombasak65776 ай бұрын
Mashallaah Shukran mwenye ustadh said Omar we bingwa jazakallaahu khayran. Malim ndago
@yussufhajj41296 ай бұрын
Mashallah tabarakallah
@bashyrjunior61766 ай бұрын
Maa Sha Allah funzo zuri sana ila aliyeedit video katutoa utamu kwa kukata kata Allah atujaalie elimu yenye manufaa barak Allah ustadh kwa kutufungua akili.
@SaidiMohamed-bj2wg3 ай бұрын
Mii naomba iekwe namba
@rushu12326 ай бұрын
Mashaallah Tabaraka
@ilyasbakar6 ай бұрын
Shida ustadh hufuatiki Mara wapotea sijui yawa vp
@HamadaZubeirTahir6 ай бұрын
Wallahi Billahi Tallahi Laiti kama Mohd Bachu angekaa akapiga magoti kwa huyu kijana basi angepata faida kubwa mnoo na elimu yenye faida kubwa...akini...ah!!!
@mohagurey22146 ай бұрын
Hii ni darsa ama story
@KombHaji-dr5pd6 ай бұрын
Allahw kakup kipaji mashallahw tuko pamoja huku zanzibr wew said mbajuni
@hamisirajab43076 ай бұрын
Makosa darsa zako azieleweki wachanganya mada
@hythamhashiem44586 ай бұрын
Ina katika katika
@yussufhajj41296 ай бұрын
Naomba please next hadithi irudie mtadao leo ilikuwa tabu yakata kata
@MAPETEE6 ай бұрын
Kwani baba yak na mama yak sio ma dj
@MuhammadShali696 ай бұрын
Hishma na adabu ni kitu kizuri sana habib..amekukwaza na lipi hapo mbna wamtusi mwenzako? Jiangalie ww
@Mariam99-ld4gw6 ай бұрын
Daa nimepitwa liv😢😢
@abuumansoor6 ай бұрын
DJ MUIMBAJI ndio mwalimu ..Duh sunnah ni neema wallah
@sultanbakary42926 ай бұрын
Ww unamuweza Kwa elimu au ndio chuki na wivu
@hythamhashiem44586 ай бұрын
حسدا من عند أنفسكم
@suuahmed716 ай бұрын
Hassad kitu kibaya. Wee ambae si DJ mwenye kulala mbinguni ukaamka mskiti. Hebu twambie kama ushajifadhi Arubain Annawawy japo hadithi 10. Wacheni chuki
@MAPETEE6 ай бұрын
Kwani baba yak na mama yak sio ma dj
@MAPETEE6 ай бұрын
@@sultanbakary4292 Mama yak na baba yak sio ma dj
@rashidgobele6 ай бұрын
Video inaruka ruka sana. Tunaomba darsa lirudiwe.
@Muislamu6 ай бұрын
تحرير : ni kuzichegua
@Muislamu6 ай бұрын
Swali langu kwenu masufi ..ust.said umetaja maneno ya ibn hajar kuhusu tabiin kua wamefata njia ya maswahaba .. Jee aqida ya ashairah ndio imani ya maswahaba? Tena jambo la aqida kubwa zaidi kuliko mengine mumepata wapi? Na imani ya maimamu wanne pia ilkua ipi?
@abdiazizmohamed4446 ай бұрын
Boring 😴 Inakatikakatika sana
@Muislamu6 ай бұрын
Ilmu yako saidi haina baraka kwa sababu wataka kuchanga nuru ya giza la maasiya .. Kupiga ala za muziki ambazo ni haramu kw ittifak ya maimamu wanne : gitta - uddy etc
@bashyrjunior61766 ай бұрын
Hio sio shida yako khui anayehukumu ni Allah pekee usiingilie kazi ya aliyekuumba ukitaka kufwata fwata hutaki nyamaza wajitia dhambi bila kujua.
@SaidiMohamed-bj2wg3 ай бұрын
Nyinyi mawahabi ebukama mnataka kuisoma hii darsa. Ingienitu musome musizuge