Alikiba ni mtu sana💖 Yan hata uvaaji wake anajua namna ya kuendana na matukio🤗 Big up sana my favorite artist 🌹
@Maria-l4h3q2 ай бұрын
Watu Wana baraka kwakua kila wanapo aanza wanamtanguliza mungu hongera sana King kiba
@RusiaSalehe2 ай бұрын
madada tunao mkubali king tumwage hapa like♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙇🏾♂️
@OnesphoreMpawenimana-gl5cs2 ай бұрын
Hongera sna Alikiba mahaba inastaili kbsa kushinda tuzo sababu nyimbo hiy ao mistari hiy diamond kaiga kwa nyimbo yao n'a jux injoe hata msani wa Burundi d one kaiga tana
@Shokolokobango93852 ай бұрын
Ni kweli lakin kuiga kitu kizuri sio mbayaa
@adrophinamwanguse15102 ай бұрын
Hongera kingi la Tz hakuna wengine nakupenda shabiki yako🎉🎉
@Paps-2542 ай бұрын
Ongera Bwana King Kibaaaaaaaa mfalme alikiba 🔥🔥🔥🔥🔥
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM2 ай бұрын
Ongera sana kig Kiba no
@faizamohamed69932 ай бұрын
Hadi raha King kiba na mahaba yake hoyeee ❤❤❤
@safarimallya45362 ай бұрын
Mwijaku sijui ana shida gani kwa kweli
@fatmaallyabdul17322 ай бұрын
Hongera sana King Kiba, you deserve it.......msanii usiye na makuu
@agogomgagagigigogo2 ай бұрын
Eti eeh,ww utakuwa mkewe😂
@CharlesNyagabona-tn6yx2 ай бұрын
Congratulations 👑 Kiba you deserve it.
@SizaMuhoro2 ай бұрын
King kama King anatisha ❤❤❤❤❤
@DavidMuhingwa2 ай бұрын
Félicitations my brothe
@Real_OBA2 ай бұрын
Salute king 👑 kiba
@SamwelEdward-f3y2 ай бұрын
Hongera sana king kibaaa
@beatricemsophe98392 ай бұрын
Kavaa vzuri king kibaa
@SongaSongaMunulutake2 ай бұрын
Mupe sifa yake mwenye anajuwa tu as asifanye unafike waki fanatiques mupetu Ongera mushindani tena mujuwai wa musique ongera sana King kiba
@YusuphJamali2 ай бұрын
King❤❤kiba
@EverinaBobasha2 ай бұрын
Hongera sana alikiba❤❤❤
@singo640Ай бұрын
MUNGU AKUONGEZE AlI
@AsungaSteven2 ай бұрын
Mwijaku duh ,wewe ni nomaaa yaaani wewe ndo boardgurd wa Ally
@AbdulkareemMtinge2 ай бұрын
The only one King
@SubiraKacholola2 ай бұрын
Congratulations kings kiba
@MwayaonaBonero2 ай бұрын
Mi mwijaku tu ndoo namuangalia😂😂😂
@BenjaminMyula2 ай бұрын
Kiba Maisha yangu 🎉
@IssahMohammed-o2l2 ай бұрын
Acha maneno yako ya udaku, Kiba mziki wa zamani, anaeimba mdumange abaki humo humo! Bro sio kweli Sanaa ni ubunifu,
@NassorrajabJuma2 ай бұрын
Ali ndugu yangu unapoteza mda wako wa maisha yakaburin
@ChristopherKhamis-f4s2 ай бұрын
Mwijaku katupa jiwe gizan
@orlymizero74902 ай бұрын
Big up
@AllyNalinga2 ай бұрын
Ongera king
@AishaNgoyi-vi2ku2 ай бұрын
Mashalaah 👑
@MilikaJuma-fy1dg2 ай бұрын
Ila mwijaku kiboko
@AllyNalinga2 ай бұрын
Mond komasava ajaimba kitu asalimia 2wabongo wanaenda mbio
@MariamNgereza-p9g2 ай бұрын
Kiba 🎉🎉🎉❤❤
@ayobow562 ай бұрын
❤mwijaku
@mohamedhaji22002 ай бұрын
Ila mwijaku
@KudraEliasa2 ай бұрын
Nic San kiba
@SummaiyaSauda2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@GraceousPaulo2 ай бұрын
Mwijaku anavituko uyu baba
@GraceousPaulo2 ай бұрын
Ila mwijaku😂
@AllyNalinga2 ай бұрын
Komasava vip
@Millerremmy2 ай бұрын
😂😂 ubaya ubwela
@WelileNtshangase-d9c2 ай бұрын
Amestahiri
@Brunn-mh2bq2 ай бұрын
Mwijaku T shirt jukwaani mikoo mfukoni acha😢
@EhudiKamwela2 ай бұрын
Mbona gigy hajashinda😂😂
@AayshaAyash2 ай бұрын
Kwa kuvaa uchi labda
@balalaally61502 ай бұрын
Ye baba
@MahaSaeed-hf3gs2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@NoelChambo2 ай бұрын
Kibakuli hamna kitu
@martinemayunga23572 ай бұрын
Amestahili
@kapeamohamed63742 ай бұрын
Mfalme wetu
@SongaSongaMunulutake2 ай бұрын
Uyonjo King kiba anajuwa kazi wale wengibe wanafaaga tu muzaa kimuziki
@WemaSaidi-b7y2 ай бұрын
Unastahili king kiba ata zote upewe wewe
@Am-vo5cu2 ай бұрын
Alikiba mumutoe hapo hana kitu bali kiburi tuu
@Oman-k4j2 ай бұрын
Funga makuli lako choko we
@agnesdeogratius70182 ай бұрын
We tuache alikiba anahekima heshima na nidhamu nimsanii wetu pendwaaaaaa