TAZAMA JINSI ALIKIBA ALIVYOWAINUA ZUCHU NA MENEJA WA DIAMOND BABUTALE KWA SHOW YAMOTO NIBALAA

  Рет қаралды 92,644

Mino TV

Mino TV

Күн бұрын

Пікірлер: 181
@HazinaSaid-cv9oz
@HazinaSaid-cv9oz Ай бұрын
Alikiba for life 🎉🎉🎉🎉🎉 team kiba mnaniunga mkono au??
@aluwetoabutuaitualibo
@aluwetoabutuaitualibo Ай бұрын
Yaaaaa
@nurumwenkale7278
@nurumwenkale7278 2 ай бұрын
Team kiba like zenu hapa
@Sululumedia
@Sululumedia 2 ай бұрын
Tukopamoja Alikiba
@nyemomatemanji
@nyemomatemanji 2 ай бұрын
😂
@SeifBakari-h4e
@SeifBakari-h4e 2 ай бұрын
Waandaaji wa tuzo walijua kumuwek king👑 kuimba hap anaimba sio kupafomu watu mjue kutofautisha hilo watu wamevaa suti unatak kuwa chezsha msondo ndo maan imewekwa live band inatakiwa kujua kinachoimbwa Respect 🔥🔥👑👑🙏 ni mmoja tu👑👑👑
@Sululumedia
@Sululumedia 2 ай бұрын
Kabisa brother wajue hilo
@Nicodem003
@Nicodem003 2 ай бұрын
That's really king 👑 man big up broo
@MwajabuMnenge-d5x
@MwajabuMnenge-d5x 2 ай бұрын
King of my life only one king in tz
@mwazongaally1921
@mwazongaally1921 2 ай бұрын
Namkubaligi sana diamond lakini huyu jamaaa ni mtu na nusu anajua sana
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 2 ай бұрын
Mfaime huyoooo wa music kiba❤
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂mfalme wa maskini 😂😂😂😂😂
@chinemaentertainment1110
@chinemaentertainment1110 2 ай бұрын
Masikini anadinywa n.a. diddy
@typohneprofiel515
@typohneprofiel515 2 ай бұрын
yep
@SangaliPower
@SangaliPower Ай бұрын
Yebaba
@OscarDzombo
@OscarDzombo Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂​@@chinemaentertainment1110
@ChristianNkam
@ChristianNkam 2 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu nakpenda sana kaka angu❤❤
@FredyKiwia
@FredyKiwia 2 ай бұрын
Anajua sana huyu mtu
@fuadaladawi1255
@fuadaladawi1255 2 ай бұрын
Really king kiba
@NamuinjidyaNhamueziBoytuga
@NamuinjidyaNhamueziBoytuga 2 ай бұрын
Ninakubali team Kiba kwa kazi kubwa muyo fanya
@KalundesaidiKalunde
@KalundesaidiKalunde 2 ай бұрын
Huyo mkaka atali ❤🎉 King kiba😊 🤴
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 2 ай бұрын
This is the best song pole umebarik7wa 2024
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 ай бұрын
Wapi ameshindwa hata na Yammy
@JoseMauricioCristiano-ix8wr
@JoseMauricioCristiano-ix8wr 2 ай бұрын
Huyu jamaa kashindikana kbs big up my King 👑
@abdallahmuhammad8703
@abdallahmuhammad8703 2 ай бұрын
Ndo king ❤wetu
@BakaryKarekezi
@BakaryKarekezi 2 ай бұрын
Duuu nakupa jna lipya kiba wew 🔥
@issashabani-c7r
@issashabani-c7r 2 ай бұрын
Na hapa ndipo kunapo mfanya king kiba akuwepo mbaka leo hii
@JosephineRobert-s8m
@JosephineRobert-s8m 2 ай бұрын
Ndo mana mademu awaishi kumsifia bonge la gentleman
@HamisiSajau
@HamisiSajau 2 ай бұрын
King kiba💥
@nonhlanhlamalusi7732
@nonhlanhlamalusi7732 Ай бұрын
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦love from RSA ❤❤❤❤❤
@WinfridaSweetbert
@WinfridaSweetbert Ай бұрын
Allah azid kukulinda ❤❤❤ King kiba
@TatooTatoo-t6o
@TatooTatoo-t6o 2 ай бұрын
Hutumii nguvu kaka kwenye jukwaa safi sanaa❤
@HalimaAmani-j7v
@HalimaAmani-j7v 2 ай бұрын
King wa maisha
@adidjabizimana7864
@adidjabizimana7864 Ай бұрын
Allah azidikukuogoza mema my kaka inshallah heri.
@RamadhanWanga-t1q
@RamadhanWanga-t1q 2 ай бұрын
Hapa kwa live band wasanii wengi ndio wanafail....that's why huyu ndio king 👑
@JamesSaini
@JamesSaini Ай бұрын
Watu noma anaimba Adi mwenyewe anaenjoi king
@JaneMdimi
@JaneMdimi 2 ай бұрын
King 👑 👏🙌
@johanjoha5262
@johanjoha5262 2 ай бұрын
Msanii hana tatoo,hana dreads,hanaga micheni cheni shingoni na hakosi uwezo mara wimenomeno,sijui mara visuko, shingoni,mazi yake yautulivu na kieshima kama njisi nyimbo zake zilivyo tuliya huto sikiya matusi mntimbo zake ,jina lako la Kong kiba nilikuba 💯ubatikiwe kaka...
@josephkulija293
@josephkulija293 Ай бұрын
Hakika hongera kwake ni msanii pekee anayethamini kuwa kama Mungu alivyomuumba kutoharibu mwili wake kwa manjonjo yasiyofaa ikiwa ni pamoja na mavazi ya heshima.
@josephkulija293
@josephkulija293 Ай бұрын
Hakika hongera kwake ni msanii pekee anayethamini kuwa kama Mungu alivyomuumba kutoharibu mwili wake kwa manjonjo yasiyofaa ikiwa ni pamoja na mavazi ya heshima.
@lailahassan879
@lailahassan879 Ай бұрын
Kabisaaaaa❤
@Zuleaally-e5d
@Zuleaally-e5d 2 ай бұрын
Napenda sana saut yko unaweza wakukufikia akuna sema ndo ivo9oo 2
@SulleimanLikwale
@SulleimanLikwale Ай бұрын
😂😂😂
@adidjabizimana7864
@adidjabizimana7864 Ай бұрын
❤Nakukubali saana
@EricFiend
@EricFiend 2 ай бұрын
Congratulation kiba
@peacemuzaliwa2563
@peacemuzaliwa2563 2 ай бұрын
great performance
@LuidynIddy
@LuidynIddy 2 ай бұрын
Raha sana king kama king
@SalmaLigeni
@SalmaLigeni 2 ай бұрын
King
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 2 ай бұрын
King ni mkali na nusu
@TrueZionTv255
@TrueZionTv255 2 ай бұрын
Kushika Mic ni Elimu nyingine ya sound Engineering wasanii wetu wasiogope kujifunza,sauti inatoka lakini haielekezwi Kwa usahihi kwenye Mic.
@boneventure635
@boneventure635 Ай бұрын
Neno kubwa Sana Hili... hawapendi kujifunza
@FaidaMwahalende
@FaidaMwahalende Ай бұрын
Ally ni mnyamaaaaa
@EvaMunui
@EvaMunui 2 ай бұрын
Hongera kwako kaka kiba🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AbdulkareemMtinge
@AbdulkareemMtinge 2 ай бұрын
Kwan mfalme si mmoja2
@JoyceMlekwa
@JoyceMlekwa 2 ай бұрын
Kwa kweli kiba hana kipaji tu ni anakipaji na nusu apewe 🥀🥀🥀 yake
@FaridaChongole
@FaridaChongole 2 ай бұрын
❤❤ Kazi nzur kaka
@HildaNesto
@HildaNesto 2 ай бұрын
Unyamaa mwing huyu ndy King 👑 wet
@maemusic1590
@maemusic1590 2 ай бұрын
Alikiba hakuwa sawa Leo... Sijui tatizo ila alikia out mood kbs
@NasriMohammed-yw7lp
@NasriMohammed-yw7lp 2 ай бұрын
Nikweli kabsa hilo nimeliona
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 2 ай бұрын
Me naona we umecomment ukiwa nje ya mood
@blackangel.58
@blackangel.58 2 ай бұрын
​@@faustinedeogratias4337😅😅😅😅
@blackangel.58
@blackangel.58 2 ай бұрын
Au ww nfo upo njee ya mood bby😂😂
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww Ай бұрын
Kiba for life❤❤
@OlivierMwanasiasa
@OlivierMwanasiasa Ай бұрын
yes alikiba nmoma
@shedrackjoshua834
@shedrackjoshua834 2 ай бұрын
Na tale anaimba hana baya
@EvaMunui
@EvaMunui 2 ай бұрын
Hongera sana kig kiba❤❤❤❤
@PamelaAloyce
@PamelaAloyce 2 ай бұрын
Adi raha
@mwanza_university
@mwanza_university 2 ай бұрын
hii bendi wameitoa wapi wanaover play kila kitu wanaharibu sasa
@adidjabizimana7864
@adidjabizimana7864 Ай бұрын
Nakukubali saana
@mirajially9178
@mirajially9178 2 ай бұрын
Kuna tofauti kubwa sana ya king kiba na diamond yaan angekuwa hapo diamond ungeona bodygud kibao wachukua movie kibao
@MariamSalim-l6i
@MariamSalim-l6i 2 ай бұрын
👑💖💖
@EverinaBobasha
@EverinaBobasha 2 ай бұрын
Ongera❤❤❤
@pharleserasto3114
@pharleserasto3114 2 ай бұрын
King 👑 himself
@JacsonJacson-o8w
@JacsonJacson-o8w 2 ай бұрын
Nakubari kaka una weza
@FaudhiaShabani-y7y
@FaudhiaShabani-y7y 2 ай бұрын
King 👑❤❤❤
@NasraBakari-ic5jv
@NasraBakari-ic5jv 2 ай бұрын
Kuitwa king 👑 ni haki yake
@AllyHassanJoho-c7o
@AllyHassanJoho-c7o 2 ай бұрын
King of the music
@TopTop-vo6pe
@TopTop-vo6pe 2 ай бұрын
❤❤❤❤mashalla ❤❤❤
@adidjabizimana7864
@adidjabizimana7864 Ай бұрын
Mashallah
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Ай бұрын
Team wcb team kings
@Juressepulga
@Juressepulga 2 ай бұрын
King kiba🇨🇩🙌🥰
@agnesdeogratius7018
@agnesdeogratius7018 2 ай бұрын
Maisha marefu kwako mtu waheshima king kiba
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 nonsense
@chinemaentertainment1110
@chinemaentertainment1110 2 ай бұрын
Nonsense kwako
@MaiRajabu
@MaiRajabu 2 ай бұрын
❤kiba
@NicholausBatista
@NicholausBatista 2 ай бұрын
Mfalme wa live band
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 ай бұрын
King of live
@husnajuma8745
@husnajuma8745 2 ай бұрын
King kiba❤
@hajrambeto5413
@hajrambeto5413 2 ай бұрын
❤king kiba for realioo
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 2 ай бұрын
Bravooo
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb 2 ай бұрын
Yeee Baba 🎉🎉🎉🎉
@fatumastv
@fatumastv 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤Alikiba ❤❤
@Pixxmoleli
@Pixxmoleli 2 ай бұрын
Hakika nakukubali kinoma.
@jonnycash7682
@jonnycash7682 2 ай бұрын
Zuchu na simu hata sio vizuri
@MariamHamis-d3n
@MariamHamis-d3n 2 ай бұрын
Wa nini hy
@JosuéFerdinand-k3z
@JosuéFerdinand-k3z 2 ай бұрын
Alikiba kweli una juwa kabisa
@tinamasso
@tinamasso 2 ай бұрын
Effortless only one king
@anniemwasilewa2031
@anniemwasilewa2031 2 ай бұрын
King all d way I love yo songs Kiba u r d best.🇹🇿🇿🇲
@WemaSaidi-b7y
@WemaSaidi-b7y 2 ай бұрын
Umeweza mpaka umeweza tena
@SumiTanzania-y5o
@SumiTanzania-y5o 2 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 2 ай бұрын
Nimependa mwisho
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 2 ай бұрын
Kuimba Live Nd Uku Sasa
@ShukuruLyimo-rl4eu
@ShukuruLyimo-rl4eu 2 ай бұрын
Mfalume 🔥🙌
@twahiromar8450
@twahiromar8450 2 ай бұрын
Mfalme atabaki kua mfalme Tu👊
@typohneprofiel515
@typohneprofiel515 2 ай бұрын
King himself
@joantharajab4583
@joantharajab4583 2 ай бұрын
king kama king
@blackangel.58
@blackangel.58 2 ай бұрын
Maisha marefu kwangu ili niendelee kura raha kama hizi😂😂😂
@RamadhaniBeja
@RamadhaniBeja 2 ай бұрын
👑 kiba ndio msani ninae mkubali kwa uzalendo ningelikuepo na uwezo kaka ninge kunganisha na kajal wa India 🇮🇳 ama alkayagni ama wasani wa uwàrabuni kama Nancy na elissa namini kolabo zingekua moto kwamana sauti zao kaka zinaendana na zakwako
@EvaMkongo
@EvaMkongo 2 ай бұрын
Ila nandy ume weza Sana yaani nasemaje unajuwa halafu unajuwa tena namaanisha unaweza halafu unaweza tena
@JghghfgjjgfHvfghhhff
@JghghfgjjgfHvfghhhff 2 ай бұрын
1:19 ❤ 4:36 ❤
@nikkitokke8162
@nikkitokke8162 2 ай бұрын
Hicho kizuchu ni knabe nabe na simu yake
@AmelitaKadudu
@AmelitaKadudu 2 ай бұрын
Mwijaku sasa😂😂😂
@Jamali-l4f
@Jamali-l4f 2 ай бұрын
watu wakubwa ndio wanafanya vitu vikubwa nimojatu the king😂😂
@georgepeter2654
@georgepeter2654 Ай бұрын
Kiba hatariiii sana
@SharmallaMossi-j3q
@SharmallaMossi-j3q 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@LeylaaYusuph-pk5qp
@LeylaaYusuph-pk5qp 2 ай бұрын
King kiba
@bizmaterial
@bizmaterial 2 ай бұрын
Waandaji wa tuzo hapa mlitisha sana
@sylviemugeni1887
@sylviemugeni1887 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@NuhratyLuambano
@NuhratyLuambano Ай бұрын
Tupo pamoja
@uwimananuriat712
@uwimananuriat712 2 ай бұрын
Mfalme ni mmoja tu siku zote
@martinemayunga2357
@martinemayunga2357 2 ай бұрын
Salute
@salimashur4518
@salimashur4518 2 ай бұрын
Zuchu Alisimama kweli???ama nilipitwa mahali......
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
BROTHER K AMWAGA RADHI UKUMBINI WANAKAMATI WAVUNJIKA MBAVU
8:25
FARBESS COM
Рет қаралды 164 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН