ABDUKIBA ,ALIKIBA HAjapenda mbosso KUMUITA MZEE ,alikiba hawezi omba kolabo kwa mbosso

  Рет қаралды 31,445

BONGO 24

BONGO 24

Күн бұрын

Пікірлер: 102
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs Ай бұрын
Nandomaana mboso alitangulia kusema waandish wa chonganishi mzee si neno baya kwetu warufiji unamwita yoyote alie kuzidi umri au heshima tu🎉🎉🎉
@NamuinjidyaNhamueziBoytuga
@NamuinjidyaNhamueziBoytuga Ай бұрын
Naipenda kings music from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 Ай бұрын
Verry Amaizing something😂😂
@GwakisaMwaisanga-th7uz
@GwakisaMwaisanga-th7uz Ай бұрын
Kiuhalisia kwa umri wa mbosso kwenye game ana haki ya kumuita mzee alkiba
@charlestobby6031
@charlestobby6031 Ай бұрын
Kwani mboso ana miaka mingapi unavyojua wewe
@AlbinoTomás-m3j
@AlbinoTomás-m3j Ай бұрын
Visuli sana naisubili collaboration ya king music na WCB, Mimi ni albix kutoka Mozambique
@issahpaul4510
@issahpaul4510 Ай бұрын
Aliyeanzisha neno kama "umefanya wonder sana" akamatwa haraka sana..😅
@mdl6463
@mdl6463 Ай бұрын
Biffu news Mbosso azaa na mke wa abudalah 😊😊
@nasibuomary7981
@nasibuomary7981 Ай бұрын
People we waiting for me..........hahahaaaah! Noma Sana.
@LovenessWaibe
@LovenessWaibe Ай бұрын
Jamni mbn watu munapenda kukuza jambo kiasi hiko,mbn kamwita kiutani tu siyo kana kwamba kw ubaya wala kutuso dah wanadamu hapana,mungepewa mamlaka ya kugawa riziki au pumzi mwwee watu wengine tumgeonewa sana,mm ni team kiba lakini mboso sijaona km kakosea kumwita Mzee,mzee ni jambo la kumhuheshimu mtu na kama utani pia so kamtania kaka yake ofcz mboso na kiba hawalingani,hebu acheni uchonganishi bwana
@LeopoldNgakoka
@LeopoldNgakoka Ай бұрын
Sijaona tatizo kuitwa mzee...acheni ushamba
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 9 күн бұрын
Safiii
@petermando917
@petermando917 Ай бұрын
Wandishi ni wasenge sana ww jamaa ndo ulimhoji mboso tena saiv unachochea ionekane neno mzee ni dharau ukuze bifuu
@ZenVeeZeneration
@ZenVeeZeneration Ай бұрын
Kwa kila anaesoma hili naomba sapoti Yako nafanya mziki mzuri ❤️🙏 tazama Ngoma zangu 🙏♥️♥️
@Kidavoxe
@Kidavoxe Ай бұрын
Hata Mimi Kweliiiii Watu Watusapoti Tutakuja Kuwa Wakubwa 🎉🎉
@NemesMasawe
@NemesMasawe Ай бұрын
Kilaa mtuu atakayeishiii atazeekaaa piaaa
@ChochoteTv
@ChochoteTv Ай бұрын
People we waiting for me gademit😂😂😂
@greydonalds4286
@greydonalds4286 Ай бұрын
😂😂 katisha sana
@kirajlovely8115
@kirajlovely8115 Ай бұрын
Very amazing something 😂😂😂
@Sportskickers
@Sportskickers Ай бұрын
😂😂😂😂😂ung'eng'e so mchezo,huyu anaasili ya kihaya nini,me and anyone,brother and anyone,si aongee kuswahili tu,misifa mengine ya kifala mpaka mtu unaoneka mshamba😂😂😂
@Sportskickers
@Sportskickers Ай бұрын
Anasema indrasti baada ya industry😂😂😂kama anamapengo vile😂
@AminaAhmad-m8t
@AminaAhmad-m8t Ай бұрын
Hamn abdul nakupenda
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 Ай бұрын
Wasanii wangu nao wanafanya kazi ni muda tu kazi zitatoka. Kwann asisem wasanii wenzangu😄😄😄
@chingychingy2066
@chingychingy2066 Ай бұрын
Abdu punguza kula miru....niii
@ankalmzito254
@ankalmzito254 Ай бұрын
mbosso alipewa nafasi nzuri ya kuongea juu ya Kiba ila hakutumia hekima..kwenye maisha waeza sema kitu kama utani ila ikaleta mgogoro bila kujua
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Ай бұрын
Usicomplicate vitu ndio mnakufaga puuu.kwahiyo kumuita mzee ni topic su ana 50 ?
@Lunanilo
@Lunanilo Ай бұрын
@@tanzcanmediatv447338 siyo 50.
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 Ай бұрын
Kwani Selemani kafanya Nini baya kum disrespect kiba
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 Ай бұрын
​@@tanzcanmediatv4473ssa anamuita mzee kw yuampelekea maji bafuni.
@chibudangote0126
@chibudangote0126 Ай бұрын
TOKA CINDERELLA MPAKA SAI BADO TUMUITE KIJANA😂😂😂
@BakariKitemi
@BakariKitemi Ай бұрын
Waandishi wahii nchi no wchongamishi sn, yni mboso kaongea kawaida lkn jambo wnalibdilisha cjui wna usenge gni awa
@MuuAlly-l3h
@MuuAlly-l3h Ай бұрын
Kwanza neno mzee nikumuheshimu mtu kama kakuzidi umli ulitak mboss amuite alikiba wew kijana si zalau alikib nae asipende kusikiliza mashabiki wapumbavu mboso kamweshimu aliy kwanz Ali angeanz utuund maapema anamzaa mbosso maan akuna akuna alikiba miaka 40 naa kafika
@MartinhoAnselmo
@MartinhoAnselmo Ай бұрын
Umeongea poenty Kaká,pokea🎉yako
@samirarashid8186
@samirarashid8186 Ай бұрын
Kabisa
@isayamsisika6255
@isayamsisika6255 Ай бұрын
Kazaliwa 1986, ana 38
@ShamsiMbago-n2q
@ShamsiMbago-n2q Ай бұрын
Upo saiii
@LuckyKChondo
@LuckyKChondo 29 күн бұрын
Umeongea kweli broo Mbosso hajamaanisha kumkejeli Alikiba,niheshima amempa,
@NemesMasawe
@NemesMasawe Ай бұрын
Nice answer
@Sportskickers
@Sportskickers Ай бұрын
Yah!? Kwel nadhani people we waiting for me am going to do very ameidhing thamthing kwa mashabiki wangu😅😅😅ongea kiswahili wewe kingereza waachie wahaya😅wewe abduli nenda english course kwanza😂
@Sportskickers
@Sportskickers Ай бұрын
Alafu anambwembwe huyo 😅akiongea anazungushazungusha macho na kubana midomo kama mzungu😂😂😂😂
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 Ай бұрын
Mbona wema mnamwita bibi, kajala bibi, dully saks mzee, jide bibi, juma nature babu, kwani kiba kuitwa mzee kuna tatizo gan?
@hafishsutihafish1891
@hafishsutihafish1891 Ай бұрын
Ila sio uongo kiba anazeeka kweli 30 na kitu kama sio 40 tena bado mtoto tu
@AlloneyChundwa
@AlloneyChundwa Ай бұрын
Tatizo machawa ndo wanahalibu music ya bongo freva mwenzake kaongea kwautani mamamama wameshazalisha yakwao Kiba mwenyewe hajalipoke hivowavodhan wao tuelimike jaman
@NemesMasawe
@NemesMasawe Ай бұрын
Kilaa mtuuu atazeekaaa
@elibarikimwanyama7246
@elibarikimwanyama7246 Ай бұрын
Hahahah jaman neno mzee ni dharau?
@kevinryt4963
@kevinryt4963 Ай бұрын
Inategemea inatumika vipi na wapi
@AminaAhmad-m8t
@AminaAhmad-m8t Ай бұрын
Penda sana abduli
@fredmokamba8386
@fredmokamba8386 Ай бұрын
kwani mzee ni matusi mm sioni shida . kubali ww si kijana.
@MRUTAMASUD
@MRUTAMASUD Ай бұрын
Mziki auna mze Wala kijana bikidude aliimba mpaka akatoka meno sembuse alikiba yey kiba aimbe uyo mbosso amuach nakiki zak
@yusuphally6939
@yusuphally6939 Ай бұрын
Mm team kiba lkn mbosso alisema kama utani tyu shida waandishi WA habari mnatengeza bifu za ajabu ili mpate watazamaji # mnaalibu wakati mwingine
@SebaMwasi
@SebaMwasi Ай бұрын
Kwann asimuite kaka alikiba kama amezidia umri
@mwanamisi1808
@mwanamisi1808 Ай бұрын
Sasa Hugo mbosso na lisura take hilo mbona kama yeye ndo mzee akilinganishwa na Kiba
@tlthiraofficiel
@tlthiraofficiel 25 күн бұрын
Mboso nimutoto mdogo kiba kamusamehe tu
@MuhammadMkele
@MuhammadMkele Ай бұрын
Waandishi wanauliza maswali darasa la saba kenge hawa
@Kingstyvesayjj
@Kingstyvesayjj Ай бұрын
Mbosso ni mjinga sana hajafikiri kabla ya kuongea, unaweza ukawa mkubwa ila ukakosa Akili, of course alimba na Abdu kiba ila isiwe sababu ya kuchukulia king's music kawaida, WCB sio ya baba yake Kuna siku ataitaji kuondoka na kuianza lebo yake au kujiunga na lebo nyingine, fikiria kabla ya kuongea
@aminamzuzuri5621
@aminamzuzuri5621 Ай бұрын
Mzee ni neno la kawaida jmn mzikuze mambo sasa ally anakataa kuitwa mzee kwani yeye kijana mtu kavuka miak 40 Bado anajiona mtoto aende zake kule
@BraytonAyan
@BraytonAyan Ай бұрын
@@aminamzuzuri5621 kweli nilakawaida ila kalitamka kiukosefu wa adabu eti we mzee njoo wcb ufanye collabo unazeeka utani gani huo kwaiyo akienda kule anakuwa kijana ao
@hamisibakari342
@hamisibakari342 Ай бұрын
Sasa kuna bayagani hapo mbona Abdu kajibu poa sana imeeleweka
@suleimanmohmed-hf5cp
@suleimanmohmed-hf5cp Ай бұрын
Kiba amelichukulia kawaida maana umri ukifika ataitwa tu mzee sio kiba tu ni yoyote yule
@mathayoMathias-k2d
@mathayoMathias-k2d Ай бұрын
Alisema kama utani jaman
@bizzyjunior_tz
@bizzyjunior_tz Ай бұрын
People we waiting for me ...not for .. is are waiting for me.
@hassanihamadi3141
@hassanihamadi3141 Ай бұрын
kasema were waiting for me.. ni past tense ya are, yaan watu walikua wanamsubiri.. yupo sawa bado😅
@bizzyjunior_tz
@bizzyjunior_tz Ай бұрын
@@hassanihamadi3141 kasema we ...
@wizdady4727
@wizdady4727 Ай бұрын
Kaongea utumbo dogo
@BakariKitemi
@BakariKitemi Ай бұрын
Mtu kasomea bissnes admistration anakosa kazi anaazisha ka media kake ndo wanauliza maswal ya kipmbv ht elimu hyana
@dvdkim224
@dvdkim224 Ай бұрын
Bona hawa wanahabari Wana upuuzi wa kukuza issue ndogo, kuwa ugomvi? Mbosso alitania tu, Alf Kwani si kiba ana miaka ya kuitwa Mzee? Vipi Mzee sio jina ya heshima tena?
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Ай бұрын
Watanzania siwaelewi sasa kuna asozeeka jamani mboso hakutumia hekima
@hakiba1207
@hakiba1207 Ай бұрын
Hapo kafer kweli mboso ampe tu heshima yake king 👑 wa bongo fleva Alikiba
@hafishsutihafish1891
@hafishsutihafish1891 Ай бұрын
Mtu akubali kua kazeeka mtu harudi nyuma kiumri ila watu hawapendi ukweli
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c Ай бұрын
Nyi mnachekesha, nyie,sasa mbosso na kiba,,picha zao zikioanishwa bila editing,,,nan anakuwa mzee wa kwanza?😊,,ulishindwa kumuita kaka,,,na sugu utamwitaje babu au,,,,lengo lake zuri ila uwasilishaji😊
@MuuAlly-l3h
@MuuAlly-l3h Ай бұрын
Ally simunamuita lijendi au kweli kazeeka bhana miaka 40
@AishaNgoyi-vi2ku
@AishaNgoyi-vi2ku Ай бұрын
Hiyo 40 una kadi yake ya kilniki kameze daw mbwa ww
@AyubuRashid-j7g
@AyubuRashid-j7g Ай бұрын
Alikiba anaakili dogo sana nihivo watu hawawez kujua kwasababu anakipato nakipaji
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Ай бұрын
Kwenda kule
@DeogratiusMadeje-os5ur
@DeogratiusMadeje-os5ur Ай бұрын
Kwan kuitwa mzee ni tusi? Kati kiba na mbosso nan katangulia kwenye game? Akimuita mzee anakosea? Basi kiba akimaindi ni mshamba tu, anasema mbosso katumwa? Jina la king cjui aliwepewaga na nani
@madetetv6576
@madetetv6576 Ай бұрын
Hivi kumuita mtu mzee ni tusi?
@samirarashid8186
@samirarashid8186 Ай бұрын
Yani wandishi wanayakuza
@kevinryt4963
@kevinryt4963 Ай бұрын
Inategemea inatumika vipi na wapi
@MikidadMakusanya
@MikidadMakusanya Ай бұрын
wewe so msanii bhn unafer mimi nishabik yako ila wewe ni mvivu
@lomztz6028
@lomztz6028 Ай бұрын
we mbosso endelea kuveshwa madela tuu na boss wako cz sio kila mtu anategemea u free mason wenu
@greydonalds4286
@greydonalds4286 Ай бұрын
"I'm going to do very amazing something." Seriously? Kwanini tusiwe tunaongea lugha yetu adhimu ya Kiswahili kuliko kufosi lugha ambayo hatuna fluency nayo? After all, hapo unahojiwa na mswahili mwenzio na audience yako ni Waswahili. Vingereza uchwara vya nini?
@Sportskickers
@Sportskickers Ай бұрын
😂😂😂amazing thomething
@eddechriss2664
@eddechriss2664 Ай бұрын
Sasa kwani ally kiba sio mzee? Ama kuwa mzee ni dhambi
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Ай бұрын
Kila mtu anazeeka hata huyo mboso atazeeka hakujua jinsi ya kuongea tu
@kevinryt4963
@kevinryt4963 Ай бұрын
Inategemea inatumika vipi na wapi ilo jina mzee
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 Ай бұрын
Mbisso kazingua kima yule akamuite mond mzeee kwanza ndo aje
@hamadiayossy
@hamadiayossy Ай бұрын
Nilijua tu ,yaani machok bila kumtaja chibu hamna raha,pumbaaaavu
@mwanamisi1808
@mwanamisi1808 Ай бұрын
​@@hamadiayossyNdo nn Hugo?
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 Ай бұрын
@hamadiayossy nilikuwa bafuta shoga kama wewe wewe ni kuma tuuuu shoga mzeee
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54
LEMA AMKAANGA MBOWE "USITAMBE KUWA UMETUJENGA BANA"
15:57
JAMBO TV
Рет қаралды 16 М.
ALIKIBA AMJIBU MBOSSO KWENDA WCB, WANATUMWA KUNITUKANA, SIJAZEEKA
5:43