Alikiba anazidi kuonesha misuli yake kadri siku zinavyozidi kwenda, wengi hawaamini wanachokiona

  Рет қаралды 25,666

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

13 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 161
@mohamedrajabu8375
@mohamedrajabu8375 10 күн бұрын
Comment nyingi nzuri humu ndani ila namimi naomba niweke jambo, nilicho kiona kwa huyu jamaa hatafuti umaarufu bali umaarufu unamtafuta yeye bila heleni sikioni wala kipini puani kiduku ndio kabisaa ila anapasua bila shida itoshe kusema he is a gentleman.
@benmkare1095
@benmkare1095 10 күн бұрын
Najifunza mengi sana kutoka kwa KINGKIBA 💥💥💥 very smart moves hazina mbwembwe
@muubaytz4754
@muubaytz4754 11 күн бұрын
Nazidi kujifunza wakati wa mungu ni wakati sahihi saaana , nasubiri nione mengi zaidi ,
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 9 күн бұрын
Nguvu nyingi hakilini. Hongera sana King Kiba ❤❤❤❤
@Dottomagarii
@Dottomagarii 11 күн бұрын
STANBIC Balozi Ni wakati wetu oll fan's king kiba . Wachafu mtaisoma. Namba
@IkoUwasi-it6qy
@IkoUwasi-it6qy 11 күн бұрын
namba gani mpk umewataja ujue unateseka
@john_1trader
@john_1trader 11 күн бұрын
Mnashingaza wasafi ni media tayari ishaa pata mizizi tena imepigana vita kubwa wakati ilipingwa saana..angangane tu bila chuki na watu atafanikiwa
@omarifadhili651
@omarifadhili651 10 күн бұрын
Sema jamaa hanaga majivuno
@user-by2gj2bw9f
@user-by2gj2bw9f 8 күн бұрын
😂😂😂😂Umetixha kaka
@fakijecha
@fakijecha 11 күн бұрын
Najifuza maisha ni subra na sikukata tamaa na usifanye vitu Kwa kushindana ila simamia misimamo yako ndo nilichokiona mm
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q 11 күн бұрын
Haswaaa 👌
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 11 күн бұрын
Nikweli kabisa usifanye kwa mihemko kwa sababu mwingine kafanya huwezi juwa unae mwona leo kaanza lini kujipanga
@user-ug3vp8dh7l
@user-ug3vp8dh7l 9 күн бұрын
umepigaje hapo🙏👍💪 nimependa hiyo
@AbdallahRamadhan-nj9ls
@AbdallahRamadhan-nj9ls 11 күн бұрын
watakubali kuwa ww ndio baba wa mziki❤
@Qqambaa
@Qqambaa 11 күн бұрын
Huyu kiba amehamasisha vijana wengi c poa kukata tamaa na hakuwahi kata tamaa najua mengi mabaya yashawahi kusemwa kumhusu huyu kaka but hakutetereka aisee nmejifunza subra ni k2 muhimu sn maishani
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 11 күн бұрын
Simba la masimba dangote ndo msanii pekee anayewapa watu kitu wanataka kwa wakat
@Qqambaa
@Qqambaa 11 күн бұрын
Ukimwona kobe kainama jua anatunga sheria
@azizayassin3623
@azizayassin3623 10 күн бұрын
😅😅😅😅mke tu ndio alishindwa kobe adi leo hawezi kutembea bila mke
@NduiMedia
@NduiMedia 11 күн бұрын
Alikiba abaatishi Hana Kiki yeye nikazi tu sikutegemea kama Salim kikeke atamchukuwa is only one king..
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 11 күн бұрын
We boya kwel xx Kam chukua kikeke au yeye kachukuliwa na kikeke au ndo kapewa kichwa cha habar
@user-qp5vi9yt6m
@user-qp5vi9yt6m 11 күн бұрын
Ebu tuambie wapi kikeke kamtambulisha kiba ​@@user-pk1yl7zt8p
@HudhaifaSeleiman
@HudhaifaSeleiman 11 күн бұрын
Kikeke ndo boss uyo ww
@AkexLamek-vv1cv
@AkexLamek-vv1cv 11 күн бұрын
Kutoka Congo Lubumbashi 🎉 huyo kiba nimoto vraiment ❤
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 10 күн бұрын
Kingkiba salute
@sniperprotector6965
@sniperprotector6965 11 күн бұрын
Yuko vizur zaid ya wanavyo mfikilia god bless 👑🙏
@aboudsaeedali
@aboudsaeedali 11 күн бұрын
Ali Ana dua ya Mama
@ALLY_K61
@ALLY_K61 11 күн бұрын
Kingkiba fire 🔥🔥
@idarousomar1
@idarousomar1 11 күн бұрын
Hakika sijakosea kuwa shabiki yake
@augustinomauki5969
@augustinomauki5969 11 күн бұрын
Hongera kwake bana jamaa anazidi kua bora zaidi ya jana tofauti na wengine wao jana ndio bora sio kama leo
@mwalizijulius1687
@mwalizijulius1687 11 күн бұрын
Yy hyo Jana ya wenzie alikuwaje
@user-qq2vn4pk7z
@user-qq2vn4pk7z 11 күн бұрын
Alikuw na maana kujiita KING
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q 11 күн бұрын
Uyo ndio🎉🎉 Ali kiba namkubali sana
@francis358
@francis358 11 күн бұрын
Nakubali kwamba kila kitu kina wakati wake
@barakadaprince3742
@barakadaprince3742 11 күн бұрын
My model king🤴 slow slow but we make it👑🙌🏿
@allynasri7544
@allynasri7544 11 күн бұрын
#kingkiba
@renatusmasalu
@renatusmasalu 11 күн бұрын
wakat wa mungu n wakati sahihi ali ni kioo cha jamii🎉
@belyseirakoze5371
@belyseirakoze5371 11 күн бұрын
King ni junior sn salute kwak ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@carolsayo6409
@carolsayo6409 11 күн бұрын
Congratulations to him, stanbic bank is international
@Mbaley
@Mbaley 11 күн бұрын
Jama alipiga live band ya kufa mtu
@emilegentil9538
@emilegentil9538 11 күн бұрын
King kiba❤
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 11 күн бұрын
Tunahitaji Recap ya Huyu Kiba Mpya, Hatari Kwa Industry 😂😂
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 11 күн бұрын
Steam kiba hatunanga papara mbwembwe tuliachia watoto wadogo we do slow bt sure game cool mind and that's how King 👑 do smart and clear
@user-kh7bc4js1m
@user-kh7bc4js1m 11 күн бұрын
N uwezo tu wa ALLAH na alivyo kuwa na subra
@stevenckanumba7
@stevenckanumba7 11 күн бұрын
Mungu azidikumubariki 🙏🙏🙏❤️❤️
@sonnyr1899
@sonnyr1899 11 күн бұрын
Kimnya kimnya ni silaha kubwa kufikiya MAFANIKIYO.
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 11 күн бұрын
Usimchezee mtu mkiya hana kiki za kitoto wala anaishi maisha yake kabisaa
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 11 күн бұрын
He is my role model, pesa inaongea mwamba hana makuzi sio vipesa kdg kelele km umekuwa Billgates
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 11 күн бұрын
Dili zaky zote n Dili moja la lukuga thmn y pesa anayolipwa
@epicart3351
@epicart3351 11 күн бұрын
Nimesikia ni balozi wa benk kubwa inayofanya kazi vizuri..!! Mpaka mwisho na sikilizia haujaitaja hiyo benk
@allenonesmomwebembezi6248
@allenonesmomwebembezi6248 11 күн бұрын
Stanbic bank
@muzdinho
@muzdinho 11 күн бұрын
@stanbic bank
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 11 күн бұрын
Itakiwa Maskio Umeacha Nyumban😂
@ZakariaMachibula
@ZakariaMachibula 11 күн бұрын
Boss King anaupinga mwingi sana
@allenonesmomwebembezi6248
@allenonesmomwebembezi6248 11 күн бұрын
This guy is soo inspiring😍😍😍
@frankmushi509
@frankmushi509 11 күн бұрын
KING is king
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 11 күн бұрын
Uyu jamaaa ni mfano wakiugwa hapendi kiki kama jirani yetu 🤣🤣🤣🤣
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 11 күн бұрын
Hana meno mbele ya Simba huyo local artist wenu hata mkiungana maana kazidiwa mbali Sana kwny Kila kitu
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 11 күн бұрын
​@@user-pk1yl7zt8pNaww je umemzidi nn ?
@candy9969
@candy9969 11 күн бұрын
Acha chuki 😂​@@user-pk1yl7zt8p
@tonnybrighton7528
@tonnybrighton7528 11 күн бұрын
Unafilwa nn​@@user-pk1yl7zt8p
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 11 күн бұрын
Hakun asiependa kiki bongo acha zako
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 11 күн бұрын
King kiba
@eliud21savage48
@eliud21savage48 11 күн бұрын
King wa moto
@DambweRama
@DambweRama 11 күн бұрын
Mtoto wa mama kiba🎉🎉🎉
@user-lb4xf5zf4k
@user-lb4xf5zf4k 11 күн бұрын
mwenyezi mungu amfanyie wepec lnashall
@HidayaKarim-wy9yc
@HidayaKarim-wy9yc 11 күн бұрын
Sijuti kua team kiba 👑💯
@ZakariaMachibula
@ZakariaMachibula 11 күн бұрын
huyu kaka❤
@ShabaniLikele
@ShabaniLikele 11 күн бұрын
nampenda xana uyu jamaa
@ulicydickson6816
@ulicydickson6816 11 күн бұрын
King 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@emilioadremaneadremane2706
@emilioadremaneadremane2706 11 күн бұрын
Big sana king
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 11 күн бұрын
silent killer 😂😂😂
@rajimuashirafa8265
@rajimuashirafa8265 11 күн бұрын
Namkubali snaaa mwamba anajua anachofanya halafu anapiga mkwanja mkubwa snaa bila kelele yeyote ile mwamba ananigusa na kuniaminisha maisha ni nidhamu tu na ustarabu na mafanikio yapo
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 11 күн бұрын
Kujifarj kweny zero n upumbafu ulopitiza
@rajimuashirafa8265
@rajimuashirafa8265 11 күн бұрын
@@user-pk1yl7zt8p tokea mnaongea upumbavu wenu nakumbuka ni mwaka 2014 ila mpaka leo hii tupo 2024 kiba anapaa tu halafu hafeli sasa kwann nisijifunze kupitia kwake tatizo ukiwa na chuki na wanaofanikiwa huo ni uchawi
@rajimuashirafa8265
@rajimuashirafa8265 11 күн бұрын
@@user-pk1yl7zt8p unadhani kupata ubalozi katika benki kubwa duniani ni kazi rais hiyo na wanapewa wakubwa tu ktk zao
@TaarabChannel
@TaarabChannel 9 күн бұрын
Muje na kwangu wapenzi...sapoti yenu
@user-tw3jc4zz3m
@user-tw3jc4zz3m 11 күн бұрын
Hiiyo nikawaida ya watangazaji kama kwenye media na kwenda media nyengine❤😂😂
@neemapaul3257
@neemapaul3257 11 күн бұрын
ninavompenda ally kiba natamani sns kila siku mpost habari za alikiba2❤ nawapenda sana sns from Denmark
@user-uh9xg1pn6i
@user-uh9xg1pn6i 11 күн бұрын
@touches4lifeonlinetv46
@touches4lifeonlinetv46 9 күн бұрын
King anajua🎉
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 11 күн бұрын
Mungu ampe zaidi na zaidi
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 10 күн бұрын
Mbona umesifia sana mkuu, script yako iweke poa kaka, kazi njema
@ahammedmahruki8708
@ahammedmahruki8708 11 күн бұрын
Alishasema dili zina kuja sana ila kiwango cha pesa kinapikwa kidogo ndio maana wanapewa wengine .sasa hii mpunga ni mrefu Sana ndio maana kakibali❤❤
@mwalizijulius1687
@mwalizijulius1687 11 күн бұрын
Mrefu kulingana na stage ya hadhi yke inamtosha, pengne alikuwa akipata million 20 saiv kapata 100mil wakat wenzie Wana 3bil
@Mkombozi255
@Mkombozi255 11 күн бұрын
Story za chini ya kapeti zinasema hii ni redo ya mzee wa msoga 😮😮
@AliAbdalla-lb8su
@AliAbdalla-lb8su 11 күн бұрын
Crown media
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 11 күн бұрын
Shukurani zote ziende kwa Allah na akusimamie king kiba ❤❤❤😊
@user-wm3xc2sl7o
@user-wm3xc2sl7o 11 күн бұрын
Unashindwa kuombea maisha yako unaombea jirani yako hizo akili matope😂😂😂😂😂😂
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 11 күн бұрын
@@user-wm3xc2sl7o unapo muombea mwenzio kher Allah anaanza na ww unapo muombea mabaya basi yatakurudi mwenyewe halafu hizo zako ni akili za wcb mna roho mbaya sana wachawi wa nafsi nyie
@seifmohamed3303
@seifmohamed3303 9 күн бұрын
natamani crown iwe kubwa iandae taarifa za international news isiwe wa udaku tuu wa ndani news za uhakika
@user-io5ex4tf3o
@user-io5ex4tf3o 9 күн бұрын
king him self❤
@surusuru1994
@surusuru1994 11 күн бұрын
Masha Allah ❤
@Officialmodel_001
@Officialmodel_001 10 күн бұрын
Yebabaaaaaaaa✌️
@Abdul87150
@Abdul87150 10 күн бұрын
Alikiba Yuko vizur na wewe uko vizuri 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@Zuu673
@Zuu673 11 күн бұрын
Mambo ya salim kikeke CEO
@Afyayamifupa
@Afyayamifupa 11 күн бұрын
C.E.O wa crowntv ni Idan chalii, manager wa Alikiba.. yaani msimamizi, maana ya neno c.e.o, Alikiba ni own pamoja na kusaga, yaani wamiliki waliowekeza, salimkikeke ni kaajiriwa kwa mkataba tuuh km wengine japo kwa hela nyingi... acheni kuwapa watu sifa ambazo sio zao... hizi mambo ziliwekwa wazi toka mwaka jana July... Sema wengi ndio mnashtuka saivi... Alikiba na kusaga boss wa clouds ndio ana share hapo lkn asilimia nyingi kabeba Alikiba
@ZakariaMachibula
@ZakariaMachibula 11 күн бұрын
Ujinga hauna hata aibu
@Zuu673
@Zuu673 11 күн бұрын
@@ZakariaMachibula utajua haujui
@mdbosco1640
@mdbosco1640 11 күн бұрын
❤❤
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 11 күн бұрын
God is Great🙏
@AgreyAckim-pt3wv
@AgreyAckim-pt3wv 11 күн бұрын
Hamta kuajiri vijana wasionaa ajira mnaajiri walewale ko vijana wataendelea kusota mitaani
@dicksonmichael5793
@dicksonmichael5793 11 күн бұрын
Lazima aanze na wenye uzoefu ili akuze biashara yake kwanza uezi kuajili vijana wapya wasio na uzoefu kwenye biashara mpya ambayo huna taaluma yake lazima uwape nafasi wakongwe alafu wao ndio watawapika hao new generation hili wawe kama wao au hata zaidi ya wao kwa kuongeza ubunifu nadhani uliona heka heka walizopitia wasafi 😂😂😂😂😂 ni kwasababu waliajili watu ambao walikuwa nje ya taaluma hawajui miiko ya kazi wakasababisha media kufungiwa kwa vipindi tofauti tofauti
@noahmbaru9117
@noahmbaru9117 11 күн бұрын
Nice analysis
@issamussa3331
@issamussa3331 11 күн бұрын
Sns chawa wa kiba
@shaibukhamis863
@shaibukhamis863 11 күн бұрын
Wew chaw wa wasafi😂
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 11 күн бұрын
Na roho mbaya itakuuwa ww😮SnS haijawahi pendelea
@HidayaKarim-wy9yc
@HidayaKarim-wy9yc 11 күн бұрын
Unateseka ukiwa wapi 😅
@issamussa3331
@issamussa3331 11 күн бұрын
Matakon kwako
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 11 күн бұрын
ALIKIBA NIMWANAUME NANUSU ANAJITAMBUWA SIYOWALE WANABAKILIYA KKKKK ZAKU BRECK UP 😂😂😂😂. UNASHUSHA BRAND BILAKUJUWA MONDI WA ZARI NA SLAMKAY SIYO WA SASA 😂😂😂😂
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 11 күн бұрын
Simba toka mbuga ya tandale naona swala wanafosiiiii tuwe saresare ukinivhukia sikosi hela kunicomper na sindelela aaa haiwez kuwa fresh
@abdulkadirgafla3889
@abdulkadirgafla3889 11 күн бұрын
Bado akuchukue na wewe je utakubali
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 11 күн бұрын
😂 Ally Kiba Kaingia kwenye Biashara ya Media Bado nimchanga sana Kwenye Biashara hizo kwaiyo hatupaswi kumpamba sana Bado sana subiria tuangalie kama Mwaka Mmoja atakua wapi alafu tutampa Maua yake maana asije akatuletea mambo ya Mo fire alafu akapotea Maana Katika Binaadamu ambao hawaaminiki ni Wanasiasa na Wasanii
@princessplatnum4416
@princessplatnum4416 11 күн бұрын
Kwakua kapiga atua atausipo mpa maua yake sisi tutampa Kama mashabiki kajalibu kiwango chake
@jamalahmad4173
@jamalahmad4173 11 күн бұрын
Kwani Unajuwa Kikeke Ni Nani Pale Au we Mgeni Hapa Bongo. Mtu Ameamua Kurudi kaacha Madola huko uk. Karudi kufunguwa Chombo CHAKE lna hivi Ndo Biashara Ndo inavyo Taka. Vitu vingi Hapa Bongo Watu Wana Shea Kama mtu Hujuwi Ndo utatokwa na Povu kwahyo kuhusu Uzowefu Kuna mzowefu wa hizo kazi😂😂😂
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 11 күн бұрын
Fact yy ap n msindkzadj2 kikke ndo mmliki
@dottombilinyi5979
@dottombilinyi5979 7 күн бұрын
salut kwa king aisee
@user-mv7km8lt5j
@user-mv7km8lt5j 11 күн бұрын
❤❤❤
@ModextaModexta-on7mi
@ModextaModexta-on7mi 11 күн бұрын
🙏🤲🤲❤️❤️❤️❤️❤️👌👌
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 10 күн бұрын
❤❤❤❤
@Mickmul-p3m
@Mickmul-p3m 11 күн бұрын
🎉🎉🎉
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz 11 күн бұрын
Ukimtaja Ali kiba mbele yake kuna kioo cha kujitizama kioo hicho ni diamond platnumz ndio kioo chake yote Kwa yote tunajifunza kupitia Kwa waliotangulia Safi sana Kwa king kiba
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 9 күн бұрын
Ni wakati king kiba na konde waturie
@TwahaAlly-wb8mk
@TwahaAlly-wb8mk 8 күн бұрын
Hana mpizani
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 5 күн бұрын
Hana sifa huyu kaka
@Mkombozi255
@Mkombozi255 11 күн бұрын
Acheni kumpamba hii ndiyo endorsement ya kwanza kubwa ya Ali kiba tangu awe msanii,
@user-oh8ig2cy9q
@user-oh8ig2cy9q 11 күн бұрын
Sio wote wajinga wengine tunajielewa kama kilimo cha nyanya kinalipa ivyo sawa
@dicksonmichael5793
@dicksonmichael5793 11 күн бұрын
Usikariri watu wanaficha vipato vyao kulinda husda na usumbufu wa vyombo vya kiserikali we jianike unazo uone watakavyokunyoosha ,we ushangai jamaa anafanya mziki kwa kujiskia lakini anaishi fresh jiongeze watu wanabiashara zao pembeni wana share kwenye makampuni na biashara za watu wengine we umekariri mziki tu na endorsement wenzio walishawaza mbali maisha bila mziki
@PozzTonny-in8vy
@PozzTonny-in8vy 11 күн бұрын
Mfalme
@user-by2gj2bw9f
@user-by2gj2bw9f 8 күн бұрын
Pull up
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 11 күн бұрын
Crown ni ya Ali I hope Kikeke atakua na shea tu,ni kawaida hata Wasafi Media ni ya Kusaga
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 11 күн бұрын
Kubari tu ndugu sasa utafanyaje ndo imeshatokea hivi akiajiliwa chaz hilali nae mutasemaje?
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 9 күн бұрын
Anakuja n kasi ya 5G
@Qqambaa
@Qqambaa 11 күн бұрын
Nina swali kiba ashawahi kuchorwa tattoo?? ni swali 2
@raydanfrenk
@raydanfrenk 11 күн бұрын
Ajawai labd kutoboa maskio
@mauwaishara7351
@mauwaishara7351 11 күн бұрын
@@raydanfrenkata maskio ajawai
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb 11 күн бұрын
Chibu apewe maua yake mapema maana kawafufua wafu
@keddyrichard512
@keddyrichard512 11 күн бұрын
Ulichongea uko sahihi ila wewe nitimu kiba so kwakumpambamba uko mbna madili yakawaida sana usafini tena ilo dili utakuta iyo bank ilimfafwata mkurugenzi wa WCB ya Simba lamasimba ila walishindwa mlipa coz zombe ukipenda muite haujui nimtyu waziwango zyajuu mno xjawahi jutia kua usafini
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 11 күн бұрын
Ukinivhukia sikosi hela hivo kwang cyo kes kunicompea aaa haiwze kua fresh simba toka mbuga ya tandale naona swalaaaa wanafosiiiii tuwe salesale#goat is Simba forever
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 11 күн бұрын
Ila jaman penye ukweli tuseme ukweli ,,,,, DIAMOND PLATENUMZ Atabaki kuwa the best,,,,,,anglia mapokeo ya Media ya kiba ,,na compare na mapokeo ya wasafi Media
@AngelmackieCharity
@AngelmackieCharity 11 күн бұрын
Maumivu yakizidi muone daktari😅😅😅
@its_khalidy_46
@its_khalidy_46 11 күн бұрын
Umekosea room, mzee huku ni chumba cha wanaume 😂
@omarzinga7046
@omarzinga7046 11 күн бұрын
This shit mond did it a long way ago kiba just follow the way that mond created
@user-md9iy9qn1k
@user-md9iy9qn1k 11 күн бұрын
Sio radio yake nią kikeke tatizo hamuelewi ivi mtu anawezeje kuasha kazi uk 🇬🇧 na akasema atatumikia mtu yoyote atafanya yake sasa iyo ni yake Ila ipo kwa kimvuli cha kiba Ila sio yake kabisaa
@shabansued
@shabansued 11 күн бұрын
Joh!! Kikeke Akuacha kazi ..though Amefanya kazi zaid ya miaka 20 😮
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 11 күн бұрын
Unateseka na maisha ya watu ukiwa wapi ivi kuna mtu anaye taka kujishusha kijinga 😂
@user-rw4qn6zh6n
@user-rw4qn6zh6n 11 күн бұрын
Naya wasafi ya nani??
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 11 күн бұрын
​@@salumabdallah2990nimeipenda hii😂😂😂
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 11 күн бұрын
Sawa kwan inakuuma sana😂😂😂😂
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb 11 күн бұрын
Anajifunza kwa chibu
@abdallahhamisi45
@abdallahhamisi45 11 күн бұрын
Atafika mbali sana
@kennedymatiko6830
@kennedymatiko6830 11 күн бұрын
#kingkiba
@user-mu1xq9md5w
@user-mu1xq9md5w 11 күн бұрын
🎉🎉🎉
Ali Kiba, Patoranking and Masterkraft : Katika - Coke Studio Africa 2017
3:41
Coke Studio Africa
Рет қаралды 2,9 МЛН
Alikiba - DODO (Official Music Video)
4:00
Kings Music Records
Рет қаралды 21 МЛН
Marioo - Hakuna Matata (Visualiser)
2:59
MariooOfficial
Рет қаралды 1,9 МЛН
Young Lunya - Freestyle Session 6
6:30
Young Lunya
Рет қаралды 219 М.
Alikiba: My Woman My Everything (Cover) - Coke Studio Africa
2:38
Coke Studio Africa
Рет қаралды 1,1 МЛН
MABAYA 3 ya DIAMOND usiyoyajua, Creez ayachambua!
8:01
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 22 М.
Nay Wa Mitego  -  Bachela ( Official Music Video )
3:42
Mr Nay
Рет қаралды 390 М.
Harmonize Feat. Marioo - Disconnect (Dance Video)
3:23
Harmonize
Рет қаралды 852 М.
ПРОВЕЛИ ЭКСПЕРИМЕНТ (@amanbek_uteshkaliev)
0:20
В ТРЕНДЕ
Рет қаралды 7 МЛН
18 мая 2024 г.
0:28
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 1,4 МЛН
ToRung comedy: baby solve math exercises
0:42
ToRung
Рет қаралды 110 МЛН
小路飞越变越大#海贼王  #路飞
0:16
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 11 МЛН
Кого не нашел директор ?
0:24
ЛогикЛаб
Рет қаралды 2,2 МЛН