#marioo #paula Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
Пікірлер: 49
@user-hm3qm2nf1v28 күн бұрын
Couple yangu pendwa ❤❤❤❤ nimefurahi kutuletea mtoto
@ReezaAfrica28 күн бұрын
❤❤
@Zuu67328 күн бұрын
Hongera kwao mungu awaongoze,basi mijitu ya kupangia maisha itakuja kucoment na kupangia watu majina wanayotaka wao,kiufupi jina ni kitu mtu anavyopenda kuita,wewe unaetaka kusema jina halikufaa zaa wako umuite utakavyo wewe 😂😂hongera kwenu
@salhamrishoi494328 күн бұрын
Mashaa allah ❤❤❤❤jina zuri
@JamiJoy28 күн бұрын
Congratulations god bless you 🎉🎉🎉🎉🇺🇬🇺🇬❤️
@aminaabdallah364428 күн бұрын
Congrats 💐❤
@Naju64528 күн бұрын
Mashaallah ❤
@wessdj875328 күн бұрын
😂😂😂😂😂SNS leo mko na majina ya mtoto wa marioo
@edwinotieno776224 күн бұрын
Am happy for the Bad nation couple,paula wa paul na Amara wa Mario
@richkaja331728 күн бұрын
Hongeraa sanaa kwa kupatiwa mtoto fanya mziki usilewe sifaa
@khadijabuberwa336228 күн бұрын
Waaya nijina lao la kiuko linatumika sana kwa waaya uliza vizuri iro nijina la wahaya Tena wanaitwa watoto wa mwisho aukama unakitu kimekukwaza ukapata mtoto kwa wakati uouo unapaswa mtoto wako umuite amara omukama unamanisha mwenyezi mungu anatosha akiwa ni mtoto wamwisho nivuzuri umuite amara
@prettynayally217728 күн бұрын
Hili jina la kiarab mwanamke anaitwa amarah mwanaume anaitwa amar 😂😂😂nikama mpenzi wakike na mpenzi wa kiume wasituchangaye na ujinaga wa wasanii
@Siasia20917 күн бұрын
Sio kisasa esco hilo jina mwisho lina herufi ya kiarabu ه ndio maana sis tuliandika mwisho tunaweka H na kuna mwanamke mchamungu alikupo enzi ya mtume aliitwa ummAmmarah
@user-es9ye1tj7u28 күн бұрын
Hongeraaa ,,munguu,awapee maishaa marefuu naa yenyee furahaa ,,awee mremboo kamaa mama yakee ,hekimaa,,na,busaraa ,kama baba,,yakee,,na,naa,ang'aree kama bibi, yakee,kajaraa,,nawapendaa,Sanaa,,
@angelaminde124727 күн бұрын
❤❤❤❤
@jumabikyeombe339228 күн бұрын
❤❤🔥🔥🔥💐
@SalamaNauthar28 күн бұрын
SNS hatujawazoea hivi
@user-sn6dc9gh8k27 күн бұрын
Sasa cha ajabu utakuja kkta mtoto wa rayvanny anampenda wa mario na wanadate😂😂😂nimewaza2 jmn😅😅🙈
@aaa64sa1328 күн бұрын
Sns siku hizi mnazingua sana. Dogo una mitihani.
@florencemeza654028 күн бұрын
Safi saaana jina zuri
@asyakhatib794228 күн бұрын
Amarah ni princess
@user-lq4cm4rq6z28 күн бұрын
Jina Lina maana nzuri
@chilaempire395325 күн бұрын
Amarah maana yake ni jengo kubwa kwa kiarabu yaani ni kama jumba lina apartments. Jina latakiwa iwe AMIRA. HILI NDIO JINA KWA KIARABU.
@muanashaswaleh511028 күн бұрын
Kama nawaona wale waliosema hawatofika mbali leo kiko wapi
@fatmaalnabhani360927 күн бұрын
Amarah Omar (Marioo)
@khadijabuberwa336228 күн бұрын
Wewe nimuongo ata kwa waaya mana yake ni amara omukama mana yake Mimi nimemaliza kwa mwenyezi mungu
@angelnjunwa196428 күн бұрын
Pia kwa kihaya ni anatosha
@amirihamza537528 күн бұрын
Huyo mtoto harmonize ndo babu yake 😊😊😊
@aminadjuma755527 күн бұрын
Hayo mambo ya babu anatoka wapi yule alipata tuu wakala mnofu baadae akasepa
@hidayahidaya-vd3ze27 күн бұрын
Hanuna chakutangaza kwenda kutangaza ujinga baadae yakufuatiliya mwengine kmaanimuislamu omari ni mtt WA zinaa siyo wahalli
@kadeejakadeeja192928 күн бұрын
Jina la kiyarabu ilo
@luckybarbershop234228 күн бұрын
Oya bad Mtoto wa Jux huyo
@salimbaya230228 күн бұрын
Naona chui aki type na kudelete
@vt-kn6qf28 күн бұрын
The name Amarah is a girl's name that means "grace, immortal, tribe" in Arabic. It is a common spelling of the name Amara, particularly in Arabic. In Arabic, Amara means "sweetheart" or "dear
@prettynayally217728 күн бұрын
😂😂😂amara female amar male 😂😂😂ur right
@AngelNyanza27 күн бұрын
Wamefuata pesa tu hao hawana lolote maadili hovyo kabisa yan hapo tunamheshimu tu marioo
@rosemkama662926 күн бұрын
Kama unamaadili ni wewe . Ndo wameshaunga ukoo tayari
@memyssandagano608828 күн бұрын
Amaha…. Kiluga changu ni MAZIWA…
@hawaramadhani695428 күн бұрын
Jina sio amaha ni Amarah
@shurayabiira45828 күн бұрын
Alakini Kajala anaweza kulala nabwana ya mtoto wake
@getrudeodanga260928 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@user-fp8ml9rb5v28 күн бұрын
Jaman ajafikia ukooo durr
@user-hi8le2vb7z28 күн бұрын
marioo aongeze bidii kwenye muziko.akamuulize aslay....mambo huwa yanabadilika
@user-uj5wg9mm2t28 күн бұрын
Kwann umefananisha Kwa mfano na jina la Jedeni mtoto wa rauvany😂😂😂😂😂😂waandishi shikamoo
@SalamaNauthar28 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umbea unawasumbua
@user-uj5wg9mm2t28 күн бұрын
Wamenishinda🤣🤣🤣
@annamassao870127 күн бұрын
Nimecheka sana mimi ndio mwandishi sikuwaza kabisa😂😂😂Jayden ni jina la mtoto wangu pi😢😂😂