Alikiba In Nairobi: The King Of Bongo Alivyofanya Show Ya Kifalme Ya Kufungua Mwaka Raha Fest🔥

  Рет қаралды 33,370

Tedd Agwa

Tedd Agwa

Күн бұрын

Пікірлер: 169
@teddagwa
@teddagwa 4 күн бұрын
Happy New Year, Like & Subscribe kzbin.info/www/bejne/aaunnGSHl8mhotUsi=jXXvEW47WFEOjZJn
@PresenterJoel
@PresenterJoel 4 күн бұрын
Huyu aletwe Kenya kila siku
@teddagwa
@teddagwa 2 күн бұрын
🔥🔥😅
@oswaldacleofas2803
@oswaldacleofas2803 4 күн бұрын
Alikiba anachomgalagazaga diamond ni kwenye live band huyu jamaa ni hatarii,,akitoka fally ipupa anafata alikiba African nzimaa.
@Divar01-tx8wl
@Divar01-tx8wl 4 күн бұрын
Alikiba ni next level na alikiba ange kuwa an fany promotion ya nyimb zake kam diamond bas diamond ange subili san yan uyu mwamb ni moto mwingine adi leo hiii mwamb anawasumbua vijan mpak bas dhuu mungu akup maish malefu kk
@officialRamaone
@officialRamaone 4 күн бұрын
mziki mzuri hauhitaji promotion bali wenyewe ni promotion tosha
@RichardMpanda
@RichardMpanda 4 күн бұрын
Na kwann hasifanye promotion Yan kiba huwez hata compare na konde konde na diamond ni next level
@MosesMzungu-v9j
@MosesMzungu-v9j 4 күн бұрын
Kbsaaa alikba angekua mbele yannn kimataifa
@MosesMzungu-v9j
@MosesMzungu-v9j 4 күн бұрын
​@@officialRamaone zzzzz niuwekezeee saiiii
@kitengediedonnee5190
@kitengediedonnee5190 4 күн бұрын
Alikiba Ni muimbaji , lakini kwenye kuji brandi na kufanya biashara ya muziki Mondi ndo anapowapiga chini wasani wengi wa East Africa...
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 4 күн бұрын
Alikiba hata aache kufanya wimbo mpya for 5 yrs bdo ngoma zake za muda ni kali sana🔥🔥
@IbrahimAdan-f8d
@IbrahimAdan-f8d 3 күн бұрын
Huyu alikiba ni mkenya .hiyo nguvu na ujasiri sii ya bongo😊
@teddagwa
@teddagwa 2 күн бұрын
😂😂
@lemontheneutral768
@lemontheneutral768 5 күн бұрын
Sauti tuu kama imechujwa lakini jamaa anaimba live👑👑👑👑👑👑👑👑🔥🔥🔥🔥 Gonga like Kwa ajili ya alikiba
@teddagwa
@teddagwa 2 күн бұрын
🔥🔥
@ProsperJoseph-g3s
@ProsperJoseph-g3s 4 күн бұрын
Kumbuka huyu mwamba ajaweka cd anapga live
@tunelaunge
@tunelaunge 4 күн бұрын
As a Kenyan, namtambua Alikiba kama King wa bongo music. The rest are just showbiz artists.
@ridhiwanabeid9744
@ridhiwanabeid9744 4 күн бұрын
Daah napenda san anawekewa beat tu alfu jamaa anaimba 🎉🎉 live daah imenoga na kauwa san
@frankdzombojun1343
@frankdzombojun1343 3 күн бұрын
Hiyo ni live band
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 4 күн бұрын
Tuachen ushabik huyu jamaa anajua sn apewe🎉🎉🎉🎉🎉🎉yake
@teddagwa
@teddagwa 2 күн бұрын
True
@AdamLameck-x5n
@AdamLameck-x5n 4 күн бұрын
Kumbuka jamaa anapiga live show
@PeterFestus-b4t
@PeterFestus-b4t 4 күн бұрын
Piga Kaz baba we ndo king mamitandao tuwaachie akna dada wa Rasta za rang💪💪
@MaryWuantet
@MaryWuantet 4 күн бұрын
Kiba never disapoint👍
@aishaissa2512
@aishaissa2512 4 күн бұрын
Kadogo kapenda 🎉❤👑
@DAN-O-MWANA
@DAN-O-MWANA 4 күн бұрын
Keroro
@_westkid_._
@_westkid_._ 3 күн бұрын
As Kenyan I can pay millions to watch this king perform wachana na Ile paka ingine
@hashimmakarani5006
@hashimmakarani5006 5 күн бұрын
Kinga hujawai niangusha 🎉❤
@babumtarajiwa5892
@babumtarajiwa5892 4 күн бұрын
Hongela wasanii kunakitu chakujifunza kwahuyu jamaa
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 4 күн бұрын
Ali anajua sana bonge la live show❤
@teddagwa
@teddagwa 2 күн бұрын
🔥🔥
@YoungByzo
@YoungByzo 5 күн бұрын
Only one king 👑. Msanii wangu mwika yote respect the king 👑.
@RamadhaniKalokaza
@RamadhaniKalokaza 4 күн бұрын
King kiba long life ma broooh
@OnesmusKipeen
@OnesmusKipeen 4 күн бұрын
My bongo king atambui kuvaa manyororo
@Renex27
@Renex27 5 күн бұрын
King Kiba anajua live music ni nini.💪👍
@Renex27
@Renex27 5 күн бұрын
Wakenya mlitema big G kwa karanga za kuonjeshwa
@AdamGome-f6x
@AdamGome-f6x 4 күн бұрын
Hila sound Africa mashariki, Bado , ila King kiba 🔥 anajua sana king always King 🎉🎉🎉❤❤❤
@emmanuelwangilah6872
@emmanuelwangilah6872 4 күн бұрын
Wapi huyo simba nguruwe 😂😂aone live show hupigwa...king kiba on top always
@thebarnmovie
@thebarnmovie 3 күн бұрын
Alikiba is always my type of musician I do respect..... Never fake the show never disappoint.... Big up 🇰🇪
@teddagwa
@teddagwa 2 күн бұрын
🔥🔥
@amanibagabo1087
@amanibagabo1087 4 күн бұрын
❤❤❤❤king Kiba I love you very much am from Johnsburg
@salimsumba7498
@salimsumba7498 4 күн бұрын
Ali Kiba is the best artist in East Africa ❤❤❤
@AdamGome-f6x
@AdamGome-f6x 4 күн бұрын
Niliandika koment pasina kusikilza yote oya uyu jamaa noumar sana vibes hii upati kkote.
@cmaxfrans4654
@cmaxfrans4654 2 күн бұрын
His band is heavy, love the coordination, arrangement, the instruments are full mziki umetulia and DJ is top notch great team coordination. Sasa na Alikiba his natural so relaxed in this thing. A real big Artist vibe. Big up!!!! Mealie sana.
@OlemboAlli
@OlemboAlli 4 күн бұрын
King kama King ohh ma brother kiba 👑💪💪💯🇺🇲🇺🇲🇺🇲
@JamesRohomoja
@JamesRohomoja 4 күн бұрын
Yaa nilitegemea hii shoo kuwakali hv, king is here
@erickomwocha596
@erickomwocha596 2 күн бұрын
One king 👑🔥
@born_drip
@born_drip 4 күн бұрын
One & only king 🤴
@emmanuelwangilah6872
@emmanuelwangilah6872 4 күн бұрын
Alikiba delivered
@teddagwa
@teddagwa 2 күн бұрын
Yes 💯💯
@HusseinLwambi-k6p
@HusseinLwambi-k6p 4 күн бұрын
My brother king kiba you killed it and the sho was very very very hot
@esthermwaivu888
@esthermwaivu888 4 күн бұрын
A king himself of live band
@keyacindy171
@keyacindy171 5 күн бұрын
The only king kenya respects❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@teddagwa
@teddagwa 2 күн бұрын
🔥🔥
@SALIMININTUMBA
@SALIMININTUMBA 4 күн бұрын
Fundiiiii king kiba... Anajua Sana
@SabryKendrick
@SabryKendrick 4 күн бұрын
Mfalme wa bongo fleva king👑
@nerbatgor3884
@nerbatgor3884 3 күн бұрын
Anaitwa Ally salehe kiba mwanamuziki wa Africa na sio msanii wa Africa, Wasanii wa Africa wanaweka CD zao then wanaimba back vocal lakini mwanamuziki Ally salehe kiba anaimba live live ni motooooooobaraaaaa
@AkramMahamud-bw5dn
@AkramMahamud-bw5dn 4 күн бұрын
Wimbo zke z kitambo bdo zna heat
@FelinusFelix
@FelinusFelix 5 күн бұрын
King 👑 kibaa❤❤❤
@JudithMusinzi-w7t
@JudithMusinzi-w7t 4 күн бұрын
King kiba❤
@MuddyMatelephone-h2u
@MuddyMatelephone-h2u 4 күн бұрын
King kama king on fare
@RajabuHameni
@RajabuHameni 2 күн бұрын
King🎉🎉🎉🎉🎉🎉shoooo❤❤❤❤❤❤
@SamwelBernard-k9r
@SamwelBernard-k9r 4 күн бұрын
King 🤴 🎉
@mkuudedon1530
@mkuudedon1530 4 күн бұрын
Fundii🎉🎉king kiba
@Hamad-iy4xt
@Hamad-iy4xt 4 күн бұрын
Huyu mwamba mbona kama anabunduki kiunoni au nimeona peka yangu 😂
@eliasbernardodaima1445
@eliasbernardodaima1445 4 күн бұрын
Fundi sana na anajua vizur.
@JhonAmbasseAmbasse
@JhonAmbasseAmbasse 4 күн бұрын
king kiba weee salute
@YogobeatDjumarashidi
@YogobeatDjumarashidi 4 күн бұрын
Naona mulisha maliza kila kitu kwenye comment zenu mimi nasema yebabaaaa!!!!🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@FurahaVidide-vk4wy
@FurahaVidide-vk4wy 4 күн бұрын
The king himself 👑♥️♥️👊
@Muna-en4yq
@Muna-en4yq 4 күн бұрын
Huku n nchi gani
@ayubramadhan8955
@ayubramadhan8955 3 күн бұрын
Sema nini mwamba ni mkali 🎉🎉
@Lando_Anthony
@Lando_Anthony 4 күн бұрын
King himself 🎉
@emm279
@emm279 4 күн бұрын
Mwamba kabisaaaaa
@teddagwa
@teddagwa 5 күн бұрын
Part 2 coming up shortly, Subscribe🔥
@lupamwakyusa1582
@lupamwakyusa1582 4 күн бұрын
Oyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa weeeeddddddd MAUA KWA BABY video is out now on KZbin Boi bill tz
@KarisBaya
@KarisBaya 4 күн бұрын
Ww mbona jana hukua live ,na kina function fulani ulikuwa live mbona
@AdamGome-f6x
@AdamGome-f6x 4 күн бұрын
@@teddagwa oya Babu pandisha party 2.
@teddagwa
@teddagwa 4 күн бұрын
@@AdamGome-f6xIko nishaweka cheki
@stephennzaro8385
@stephennzaro8385 2 күн бұрын
King of vocal🔥🔥🔥🔥
@Zuhurashamuni
@Zuhurashamuni Күн бұрын
❤❤❤ maua kingi kibaaaaa umeua
@MbomabolonyaPatrick
@MbomabolonyaPatrick 5 күн бұрын
King respect
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 4 күн бұрын
Dah King od bongo fleva, King of east Africa bonge moja la show🎉❤
@FoodRecipes-r8i
@FoodRecipes-r8i 5 күн бұрын
Best show 🎉🎉🎉🎉
@MuddyMatelephone-h2u
@MuddyMatelephone-h2u 4 күн бұрын
Nani anaebisha mwamba ana voco kali kuliko msanii yoyote tx kama kunaanaibisha tuweke bato majibu watatoa raia
@ErastoKibus
@ErastoKibus 3 күн бұрын
King kiba noma xana🔥🔥🔥🔥🔥
@NuluNtabaligwa
@NuluNtabaligwa 4 күн бұрын
❤❤❤king
@Sakinaamani-o1t
@Sakinaamani-o1t 4 күн бұрын
Yani mume ji enjoy c mchezo
@khadija5761
@khadija5761 4 күн бұрын
Mashaallah 🎉🎉🎉🎉
@angelojuma7818
@angelojuma7818 5 күн бұрын
King
@VincentGamboMuye
@VincentGamboMuye 5 күн бұрын
The Unstoppable
@MarBBoy-d3b
@MarBBoy-d3b 5 күн бұрын
King kibaaa
@allandavid752
@allandavid752 3 күн бұрын
Kiba siku hizi katiwa ndimu kachangamka sana
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 Күн бұрын
King kiboko uyo ❤❤❤❤
@alirimanicholaijnr8985
@alirimanicholaijnr8985 3 күн бұрын
Waoooh, what a Beautiful concert !
@teddagwa
@teddagwa 3 күн бұрын
Yes it was!
@AdrianTsere
@AdrianTsere 4 күн бұрын
🔥🔥💯king kama king
@DausonSeled
@DausonSeled 4 күн бұрын
Noma xana king👑👑👑👑
@princebkentertainment
@princebkentertainment 4 күн бұрын
King kiba 👑 ❤
@naibei_Tv
@naibei_Tv 4 күн бұрын
🇰🇪🇰🇪📌 msilete Ile chiwawa ingine Kenya inaitwa platnam
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 4 күн бұрын
Na were squirrel acha utumbiri
@HighTemper-x9e
@HighTemper-x9e 4 күн бұрын
Alikiba ni mtanzania tayari ana tuwakilisha
@Salum-y6w
@Salum-y6w 4 күн бұрын
👑👑👑👑 king
@asl6295
@asl6295 5 күн бұрын
Safii King Kiba
@vedaxinhosylivester
@vedaxinhosylivester 3 күн бұрын
Alikiba on fire
@issamiladi455
@issamiladi455 3 күн бұрын
Kings music for life,
@mpeliakhim3770
@mpeliakhim3770 4 күн бұрын
Good
@teddagwa
@teddagwa 4 күн бұрын
Thanks
@vedaxinhosylivester
@vedaxinhosylivester 3 күн бұрын
noma
@NemesMasawe
@NemesMasawe 4 күн бұрын
King kibaa
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 4 күн бұрын
Hakuna kitu hapa
@yasinichambuso6436
@yasinichambuso6436 4 күн бұрын
Mwite kinyago unaemwamini abato na king jukwaan kwa live kama akakimbia umu mtu anaimba usikii mikona juu😅😅😂😂
@mzukaunlocked670
@mzukaunlocked670 Күн бұрын
We ni mchawi fala wewe
@sheroniessau4980
@sheroniessau4980 3 күн бұрын
One 🔥🔥
@kashindijeanmarie6207
@kashindijeanmarie6207 4 күн бұрын
King himself 🔥🔥🔥🔥
@CharlesJuma-w2o
@CharlesJuma-w2o 2 күн бұрын
Diamond anyamaze kama miaka mitatu tunamsahau😅
@Guillaumekambale-w3m
@Guillaumekambale-w3m 4 күн бұрын
Nampenda sana huyu jamaa,sababu ya muonekano wangu,yani iko simple...hanaga tattoo.🎉🎉
@teddagwa
@teddagwa 2 күн бұрын
🔥🔥
@enotiafrica
@enotiafrica 4 күн бұрын
🔥🔥🔥
@NyayoniNyooni
@NyayoniNyooni 5 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@Nasibu-n7c
@Nasibu-n7c 4 күн бұрын
Sjawah kuonaa
@Aziz-c4k1j
@Aziz-c4k1j 4 күн бұрын
Awafundishe wenzake naona anawaka yy
@MbomabolonyaPatrick
@MbomabolonyaPatrick 5 күн бұрын
❤❤
@esthernjeri6483
@esthernjeri6483 3 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@teddagwa
@teddagwa 2 күн бұрын
🔥🔥🔥
@prospertemba4230
@prospertemba4230 2 күн бұрын
Jamani naomba mnisaidie,kwani show kuimba unalipwa kwa dakika masaa au siku?,Kuna mtu alisema show yake ilikuwa dakika kumi lakini pesa kibao,hapa kiba kashatumia dakika zaidi ya 40 si atakuwa kalipwa mapesa kibao
@aminakimangano776
@aminakimangano776 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@Manumwarome001
@Manumwarome001 5 күн бұрын
👑👑👑👑🔥🔥🔥🔥🔥👑👑👑👑👑
@OnesphoreMpawenimana-gl5cs
@OnesphoreMpawenimana-gl5cs 4 күн бұрын
Show ya mfalme nibala wengine nimajambazi tu Alikiba unatukosha moyo hatukulala uku Burundi tuk tunafatilia show yako kweny youtub
ALIKIBA USHERED US IN 2025 AT RAHA FEST WITH BONGO FLAVA TUNES
12:27
Purplesam Kinuthia EntataineR.
Рет қаралды 4 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
MBOSSO - YAMAHA COME TOGETHER CONCERT SERIES | 11TH EDITION
54:30
Alikiba - Raha Festival In Nairobi (Highlights)
3:11
Alikiba
Рет қаралды 28 М.
Alikiba alivyozikonga nyoyo za mashabiki kwenye Raha Fest Nairobi
5:08
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 8 М.