Jamani King kipenzi cha watu❤🔥🎶👑 Apo kwa LIVE BAND ndio unawakera sana😂😂adi wanalazwa hospital kwa kuzidiwa na makasiriko 😂😂 #OnlyOneKing#LiveBand🔥❤#AliKiba
@fzlcomrajabu9514 Жыл бұрын
Wakwanza leo team kiba 💥💥💥💥
@mpeliakhim3770 Жыл бұрын
Nyimbo kama hiz so kuwa unaruka tu Alf watu hawasikii unachokiimbi bro king your the best
@mandyuwimana7735 Жыл бұрын
KingKiba 4ever nani atakuweza ??? Bado haja zaliwa🙌🙌🙌👋❤️
@michaelluberege4496 Жыл бұрын
King kama king nakukubali Sana ungekuwa uku ningekupa dada angu mmoja Kam shukulan ya burudani ya mzk unayotupa.👏👏👏👏🔥🔥🔥
@gazaomar677 Жыл бұрын
King kiba mfalme wa wafalme big up King
@elishamgaya6305 Жыл бұрын
Kupendwa pasipo thamani....moyo wang tahabani...dah king ww🤗😇♥️🤴🎼
@issuthegoldissukijanamwema8761 Жыл бұрын
Big up king kiba your the only one king of the music of bongo flavor, asikwambie mtu naona juzi kila mmoja ajionea na kutibidisha kuwa mondi hajui kuimba live band yani hajui kitu,
@jimiewamanchester8731 Жыл бұрын
Nimemuona masaai anavibe mbaya snaa na mbio😂😂😂😂
@kingmtetezi6670 Жыл бұрын
The big Artist in Tanzania 🔥🔥🔥🙌 fundi wa muziki mzuri
@elishamgaya6305 Жыл бұрын
Live band zina wenyewe bhana😇🎼🤴💜
@alpheomwashiuya198 Жыл бұрын
Umetisha kiba unapendwa sana
@user-jf6ux6zj7u17 күн бұрын
Yaaani Mziki mtamu ....keeling Aliiii Kipenzi cha Watu!!!!!!
@shiru_choppa7654 Жыл бұрын
Kiba the Leader...you never disappoint 👍🙏🔥💯🇰🇪♥️♥️
@sadamalfany1933 Жыл бұрын
O melhor de todos em Tanzania é você Rei da música tanzaniana. Eu adoro você 😍🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@sakinaamani1486 Жыл бұрын
Aliii kipenzi cha watuu 👌
@rjb31 Жыл бұрын
The King 👑 Never disappoint 🔥🔥
@omaribangu8331 Жыл бұрын
YOoooooooooop yeebaba 👑🇨🇩🇹🇿🇰🇪🇺🇬💪💪
@gaspardwilson5126 Жыл бұрын
Yee babaa Ally nikama baba kwangu kimziki 🤴
@abordecapester9086 Жыл бұрын
One kiba King 👑👑👑👑💥💥💥💥💥👹👹👹👹👹👹👹
@akbarmaulid9624 Жыл бұрын
hii live band ndo yenyewee hio band ni nomaa
@zabronsamwel2688 Жыл бұрын
Oyaa uyuuu Jinii popote akitingah jua ni Mafuriko too mazeee