Alikiba - Mvumo Wa Radi (Official Music Video)

  Рет қаралды 6,227,263

Alikiba

Alikiba

Күн бұрын

Пікірлер: 12 000
@nurdinbilaly1218
@nurdinbilaly1218 3 жыл бұрын
Man Water atabakia kuwa producer wako Bora wa Muda wote 🙌🙌🙌 mkayamalize mlopokwazana maisha yaendelee 🤴
@bisengobubasha
@bisengobubasha 6 жыл бұрын
Umeimba ki Congo Asante sana🔥🔥🔥🔥 Ngonga like from US🇺🇸🇺🇸
@MwakiGraphics1
@MwakiGraphics1 6 жыл бұрын
Hii nyimbo ukikurupuka kuisikiliza huwez kuielewa Kazi nzuri sana hii Yajayo yanafurahishaaaaaa 😁😁😁😁😁 King is the best Majirani mmesikiaa??
@Shooonline
@Shooonline 6 жыл бұрын
Yeah nikwelii ukikurupukaa huwez muelewaa unatakiwaa uipetime
@MozambiqueGospel
@MozambiqueGospel 4 ай бұрын
Anayesikiliza wimbo huu mwaka 2024 weka like
@kaulimbiu181
@kaulimbiu181 6 жыл бұрын
Wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapenzi wa shemegi yetu munao soma comments sio ombi ni sharti mupite na like kwenye comment hii. King kaonesha upendo kwa Kenya. Twende sasa 👍👍👍👍
@isttebeladam
@isttebeladam 6 жыл бұрын
I don't understand the language! But Alikiba never disappoints. My favorite artiste from East Africa. GHANA!
@princewairamba440
@princewairamba440 6 жыл бұрын
Zakaria Isurabil big up brother
@mercyyusuph3910
@mercyyusuph3910 3 жыл бұрын
Big brother IMO vizuri
@christineooko2490
@christineooko2490 6 жыл бұрын
Alilili. Shemeji yetu huyu. Wapi likes za Kiba jameni
@sawadahmad6128
@sawadahmad6128 5 жыл бұрын
From Somalia Nepende Sana Music Specially Alikiba na Ster love all Fan's Awaale adan
@Mrsam4real
@Mrsam4real 6 жыл бұрын
Niliposikia sikukuu nikahis wamefanya makosa kusema leo sikukuuu big up king kiba
@HenriHSP
@HenriHSP 6 жыл бұрын
USA tuna pata mambo ni hivi mambo ni 🔥 500,000 views in 11hrs mo🔥sukuma kidole gumba juu kama unapendanaga bwana 👍
@rackygold7582
@rackygold7582 6 жыл бұрын
Like from Sénégal 🇸🇳😘😍😘
@lazzo8366
@lazzo8366 6 жыл бұрын
Nimecheza hii ngoma sasa nyoka wamejaa kwangu....sauti yawatoa pangoni kweli +254
@fatmajumapili8918
@fatmajumapili8918 6 жыл бұрын
Lazzo 😂😂😂😂😂😂😂
@ramadhanzmlay1331
@ramadhanzmlay1331 6 жыл бұрын
Leo sijafanya chochote job kisa hii ngoma, Kama umeikubal Kama mm hii ngoma gonga Like #alikiba 🍻🔥🔥🔥🔥🔥
@stephenmwanzake
@stephenmwanzake 6 жыл бұрын
Team Kiba...Kali sana..nakutambua sana Kba..Mi ndio yule toka siku ya kwanza tokea Kenya..#MofayaEnergyDrink ipe market huku Kenya..Sitozungumziya mziki wako maanake Sina uwezo wa kuelezeya uwezo wako kwa Vokali na sauti kakangu..Unaweza sana ndugu..#MvumoWaRadi2018KingKiba #TeamKiba
@makondenimissionteam
@makondenimissionteam 6 жыл бұрын
Asante rockstar Africa kwa marekebisho
@dkdislove
@dkdislove 4 жыл бұрын
Njamani alikiba najisikia huru kuimba naweye Ila mimi nimukongo
@suzzinjenga4240
@suzzinjenga4240 3 жыл бұрын
You are great!
@kejavodamalimi6498
@kejavodamalimi6498 3 жыл бұрын
love 💗. alikiba
@joramnunu1449
@joramnunu1449 6 жыл бұрын
Niko kwenye Sienta yangu nasikiliza mvumo wa radi natoka Tanga enaenda mwanza ....music huu unafanya gari yangu inakua nyepesi vizur kiba🔥🔥🔥🔥🔥
@berniethomas9883
@berniethomas9883 5 жыл бұрын
Hahahaa
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 4 жыл бұрын
🤜🤛
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@abdulkihange7468
@abdulkihange7468 6 жыл бұрын
Sikiliza mwanzo mwisho husikii tusi wala maneno ya hovyo. Wimbo una ujumbe mzuri unaskkilizwa na kila mtu. Hongera kiba
@ommydec2887
@ommydec2887 6 жыл бұрын
Duh! Wiki nzima sasa MVUMO WA RADI ipo kwenye trending 1 kweli officialalikiba ni king wa bongo flava🎸📯🎶🎧📣📢🎻🎺🎸🎷🕭🎼🕪🕩📻📀📼📺📽📱
@alvinechacha7191
@alvinechacha7191 6 жыл бұрын
Ali kiba hizi ndio ngoma za kutoa broh video kali hata baba mkwe anatazama wenye akili fupi wataponda hawajui A wala Z gonga like kama umekubali hii hii ngoma
@abduliadam2108
@abduliadam2108 6 жыл бұрын
gud king unajua
@cuteprincess7728
@cuteprincess7728 2 жыл бұрын
eyaaaaah yeeeeba awoteeeeeeeee
@professerayyub6781
@professerayyub6781 6 жыл бұрын
Viva Somalia weeelaz we love you bro twataka show ukiwa Somalia bro don't worry kutakuwa na tyt security don't mind bro king kiba for life 💕💞💕💞💕
@davidkalumba2380
@davidkalumba2380 6 жыл бұрын
Duuuuuuuh king kiba yooooooo mzee baba nakukubali mzigo uko good sana umetisha
@OffcialKp
@OffcialKp 6 жыл бұрын
David Kalumba 🔥🔥
@oscarmiheso9564
@oscarmiheso9564 6 жыл бұрын
May the guy who played the bass guitar on this jam live and live forever ....
@eliazaripro5532
@eliazaripro5532 5 жыл бұрын
oscar miheso Thanks softmusic and mute gutar!!!
@sephjuma4294
@sephjuma4294 5 жыл бұрын
Sure sure
@Maitaivy
@Maitaivy 5 жыл бұрын
I know right!Amen brother!Ame n!
@dancev_agabond
@dancev_agabond 6 жыл бұрын
You don't have to be a genius to know what a classic music sounds like. THIS IS ONE OF THEM. Accept it & move on. Ghana in the house!
@waziriwaziri12
@waziriwaziri12 6 жыл бұрын
Natoka 254 Ali kiba mtu wetu Sana anapenda Sana kenya.
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 жыл бұрын
Pamoja sana
@Neo-bj7tp
@Neo-bj7tp 6 жыл бұрын
Coming for South Africa i don't understand the words but i played the song at a party & everybody went crazy stupid. The beat goes in hard eish!👊👊👊
@christianoakazie4903
@christianoakazie4903 5 жыл бұрын
At least u got the professional work.. Thanks for support much love bro
@roseanyango5384
@roseanyango5384 5 жыл бұрын
The song is all about love for all
@mputumisigcawu9071
@mputumisigcawu9071 5 жыл бұрын
THATS WHASSUP BRO! BIG UP!
@tallybance
@tallybance 3 жыл бұрын
Its Swahili
@TheOne-fi6cs
@TheOne-fi6cs 6 жыл бұрын
King Kiba me nakupenda bureeeee, una style yako tu bro! Huigi wala kucopy na ku-paste! Hili goma lazima nikomae nalo KZbin Kila day! Hongera #AliKiba
@justinerose7914
@justinerose7914 4 жыл бұрын
So many handsome chocolates in this song.❤️ Anybody in 2020 🇨🇩
@jesusmysavior9518
@jesusmysavior9518 6 жыл бұрын
Ali is here. Im addicted to his songs. One love from Ethiopia
@kgchippy
@kgchippy 6 жыл бұрын
#30 on trending in Qatar, waaaaaa congratulations 🎊 to Alikiba army!!!
@karimmaksud9526
@karimmaksud9526 6 жыл бұрын
#11 in Oman Team Kiba🔥🔥🙌
@jonesdegrandson9261
@jonesdegrandson9261 6 жыл бұрын
Kama umewatch hii zaidi Mara kumi kama Mimi gonga like twende naloooo.....King Kiba yoooo...
@AsminHakimo
@AsminHakimo 5 ай бұрын
5 Ag 2024
@sephjuma4294
@sephjuma4294 5 жыл бұрын
Guys who played solo and bass guitar on this song will enter heaven
@micheltito1646
@micheltito1646 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mushprinceofficial
@mushprinceofficial 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@edwinndegwa9734
@edwinndegwa9734 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@MasterShekkor
@MasterShekkor 3 жыл бұрын
It's too much 🥵🔥🤞🏾
@kijokombao5345
@kijokombao5345 3 жыл бұрын
You know what music is broh
@allytwahir8307
@allytwahir8307 6 жыл бұрын
Woyoooo Team King leo cjaenda job coz of zis kichupaaa
@laurentchimbirani5990
@laurentchimbirani5990 6 жыл бұрын
Ally Twahir 😂😂😂😂😂😂 king kiba hatareeeeee jamon
@allytwahir8307
@allytwahir8307 6 жыл бұрын
laurent chimbirani atauaaa huyu mtu hili ni shuti la Ronaldo dhidi ya liver pale kyiv UEFA 😂😂😂haters hatuna habar nao MO fayaaa
@hunterm.n.m699
@hunterm.n.m699 6 жыл бұрын
Alikiba mungu akubali kabisa karibu Congo , kama unamkali mtu wetu kingKiba gonga like tuone wangapi wana msapoti
@vitaliscompanltd7574
@vitaliscompanltd7574 6 жыл бұрын
yah alikibaaa
@sufianijongi7764
@sufianijongi7764 6 жыл бұрын
niceeeeee!!!!!
@khamiskheiry1145
@khamiskheiry1145 5 жыл бұрын
Atakuja congo.
@agathersbstamilly5088
@agathersbstamilly5088 5 жыл бұрын
Clement Bamu he’s Congolese... this guy looks nothing like Tanzanian.. us Congolese knows our we are like... he is a lost kid
@hibosweetymahopes8545
@hibosweetymahopes8545 5 жыл бұрын
Iko sawa endelea hivyo
@mwanaidabdallah5192
@mwanaidabdallah5192 6 жыл бұрын
Yani nimeiyelewa kama nimeimbiwa mm yani kaka unajuwa mashaallh mungu akuongoze kila mwenye husda zake zimludie mwenyewe ww ndio king bwan love you
@johnnytemba833
@johnnytemba833 6 жыл бұрын
kali xana
@jamesmsomba4171
@jamesmsomba4171 8 ай бұрын
naendelea kuisikiliza leo tar 14 .05.2024
@omarylugusha
@omarylugusha 6 жыл бұрын
Www Leo nimekua wa Kwanzaa kuview na kuccoment big up kibaaaa #ali kiba #mvumowaradi gonga like kama unamkubali kibaaa
@januaryandrew6329
@januaryandrew6329 6 жыл бұрын
Omary Lugusha
@nisilejasson9756
@nisilejasson9756 6 жыл бұрын
Omary Lugusha ngoma za huyu jamaa zinaanzaga kama utani ila baadae huvuruga hali ya hewa kichizi
@omarylugusha
@omarylugusha 6 жыл бұрын
january andrew andrew january
@omarylugusha
@omarylugusha 6 жыл бұрын
Nisile jasson hatareee ni balaaa hii kitu
@OffcialKp
@OffcialKp 6 жыл бұрын
Team kiba Raha sanaaaa!!!!!!!! Gonga likEe km wamkubl kibaa 🔥🔥🔥🔥🔥
@borntownmedia7336
@borntownmedia7336 6 жыл бұрын
Daimond Kamtumia mamaake kubana Pumbu zake mpaka zimepasuka ili view wasipande sasa ni muda wa kumuonesha kuwa #ALIKIBA sio level za Diamond Hata Kidogo Twendeni wazee kama Tunakinukisha Mpka Video Igonge Million 5 ndani ya siku 2 zijazo Nina mashine kama 10 hapa za ku view hii Video Kote Kote TEAM KIBA GONGA LIKE HAPA...!!
@stevenromanos5290
@stevenromanos5290 6 жыл бұрын
BORN TOWN MEDIA yaaaap mbabaaaa wamemchnia king walikmbka ya mwaka jana seduce iliweka record round hiii wamemkazia lakin king ni king tuuuuu.........
@fggoldnewz19
@fggoldnewz19 6 жыл бұрын
mfalme ni mfalme tuuuuu
@yuzhoshaban5367
@yuzhoshaban5367 6 жыл бұрын
😂😂😂😂
@salumyasin9029
@salumyasin9029 6 жыл бұрын
no one like yeye ujue anaweza ukweri
@visiteastafrica9088
@visiteastafrica9088 3 жыл бұрын
Mvumo wa radi.Now salute na ndombolo...Kiba again
@AfroCoverstz
@AfroCoverstz 6 жыл бұрын
King Himself... Kama unasoma Comments kama mimi gonga like hapa.
@dianasamson9311
@dianasamson9311 6 жыл бұрын
Afro Covers😍
@directormktz
@directormktz 6 жыл бұрын
Ngoma mbaya
@loycegeorge2048
@loycegeorge2048 6 жыл бұрын
Alikiba utabaki kuwa king aisee
@donvanabdallah7317
@donvanabdallah7317 6 жыл бұрын
kiba bado sanaa kwa mond kajifunze kk
@razinicemrdifferento
@razinicemrdifferento 6 жыл бұрын
Afro covers naomba ikafanyiwe cover na kiboko Bosco Tones na imani jama atatoboa kabis
@stephenharrison8969
@stephenharrison8969 6 жыл бұрын
I'm Nigerian and feel Nigerian music generally leads the race when it comes to Afro beats and high-life music, but this guys track is flipping fire. 7 bullets for this track. Banging!!!
@hamadially5585
@hamadially5585 Жыл бұрын
🤝
@mwendwamjukuu9468
@mwendwamjukuu9468 6 жыл бұрын
kiba wewe ata ukohoe na ueke beat lazima iyo iwe hitsong gonga like tuonyeshe upendo
@anga360updates4
@anga360updates4 5 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mwanamziki Aisee naangalia huu wimbo ni wimbo hai kabisa🔥🔥🔥👊👊👊
@mathewbicco7841
@mathewbicco7841 5 жыл бұрын
Hujakosea kabisa ndugu yangu
@DjFanny257
@DjFanny257 6 жыл бұрын
This is what we call Classic Materal Big up sana King Alikiba
@mkwechemedy9929
@mkwechemedy9929 6 жыл бұрын
Dj Fanny 257 😂
@maryamhamza8329
@maryamhamza8329 6 жыл бұрын
KWAKWERI NYIMBO HII UNAWEZA SIKILIZA HATA KAMA UPO NA WAKWE NICE KIBA
@OffcialKp
@OffcialKp 6 жыл бұрын
maryam hamza ndo raha ya team kibaa🔥🔥
@maryamhamza8329
@maryamhamza8329 6 жыл бұрын
UMEONA EE
@khamicholo116
@khamicholo116 6 жыл бұрын
LEO NASEMA NGOMA KALI SANAA KAMAUMEIELEWA GONGA LIKE HAPA
@onasiszm66
@onasiszm66 4 жыл бұрын
Lots of love from Zambia 🇿🇲🇿🇲❤️❤️ TZ🇹🇿vibes 🔥👊🏽
@bashirmahamud9468
@bashirmahamud9468 6 жыл бұрын
I'm from Africa Somalia 🇸🇴🔥🔥👍👍❤️
@muktartz7314
@muktartz7314 6 жыл бұрын
hey from moshi Kilimanjaro I don't know Swahili but hii Ngoma ni 🔥sema yoooooooooooooohhhh
@jephsaimon1865
@jephsaimon1865 6 жыл бұрын
Dee7 Daudi 🔥
@OffcialKp
@OffcialKp 6 жыл бұрын
Dee7 Daudi 😂😂😂et hujui kisw
@datiusdidace2173
@datiusdidace2173 6 жыл бұрын
Ujumbe mzuri video yenye maadili salute kwako brother Mm shabiki Wa #Jux lkn wimbo nimeuelewa vzr
@henrymulengera
@henrymulengera 4 жыл бұрын
Nani anatazama hii ngoma 2020 tujuane hapa ❤️💯✔️
@cookanddinewithadel9720
@cookanddinewithadel9720 4 жыл бұрын
Mimi
@rehemanmmari
@rehemanmmari 4 жыл бұрын
Uhhfhggtug ghutgyguhg
@odhiamborichard2518
@odhiamborichard2518 4 жыл бұрын
King Kiba
@iamharamiah8804
@iamharamiah8804 3 жыл бұрын
2021
@ДеннісМонгате
@ДеннісМонгате 2 жыл бұрын
25 Nov 2022
@esthermaisha5788
@esthermaisha5788 6 жыл бұрын
Ata watoe ngoma milioni na alikiba atoe moja nitasimama nae
@swittychenguli5523
@swittychenguli5523 6 жыл бұрын
Good
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 5 жыл бұрын
Yes
@AhmedMohamed-dz3jx
@AhmedMohamed-dz3jx 5 жыл бұрын
Pamojaa
@sailubata
@sailubata 6 жыл бұрын
#Mvumo wa Radi..... Gonga like tusepe... Achana na maboya, wazee wa michomoko mpo, kitu kimeshatoka
@fanon8566
@fanon8566 6 жыл бұрын
Alikiba tops...love from +254
@jumakhamis918
@jumakhamis918 6 жыл бұрын
Yooooooo
@otenyoabuko4439
@otenyoabuko4439 5 жыл бұрын
Kama bado unaskiza hii wimbo 2019-2020 piga like
@peterpastorypastory1884
@peterpastorypastory1884 4 жыл бұрын
Nakubaleeeeeee
@stephenkingoo6639
@stephenkingoo6639 6 жыл бұрын
I said it that Diamond is in the music industry and will quickly fade away, Ali Kiba is in the Music business and years even after his death, his songs will still remain fresh into our ears, this guy is doing some mature songs, to me, he flies the East African flag
@kakajose5670
@kakajose5670 6 жыл бұрын
hahahahaha, he is the spirit from somewhere in the heaven
@stephenkingoo6639
@stephenkingoo6639 6 жыл бұрын
True, his songs sounds so complete
@malimamagosho9372
@malimamagosho9372 6 жыл бұрын
Exactly His songs are very complete
@habibaguyo7521
@habibaguyo7521 6 жыл бұрын
stephen king'oo ok if I wasn’t already married I’ll find you and marry the heck out of you just for that comment... finally someone else feels the same way about my Ali kiba
@kituizuku6003
@kituizuku6003 2 жыл бұрын
you were saying?🤣
@kingsingle2317
@kingsingle2317 6 жыл бұрын
Mwalimu wa mziki anakujasasa nice song my brother king 👑 kiba much love ❤️ you mofaya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏👑👑👑👑👑🏅🏅🏅👌💍💍
@nicksonchiko9913
@nicksonchiko9913 6 жыл бұрын
broo usiwe munafiki hapa huyu mwalimu yuapotosha wanafunzi kama ndio mwalimu huyu😂😂afadali aludi shule akasome ngumbalu😂😂😂elimu haina mwisho😂😂😂nyimbo nimbovu haifai hata somali hii😁😁
@godlovegeorge2334
@godlovegeorge2334 6 жыл бұрын
Nickson Chiko sasa we kima unasema wimbo mbovu umekimbilia nn huku
@mohamedadam4509
@mohamedadam4509 6 жыл бұрын
From Somalia king kiba one 1
@rumbieruexy4910
@rumbieruexy4910 6 жыл бұрын
I don’t know this language but I know I love the song, yea a lot! Definitely on the playlist for my wedding 💃🏽💃🏽
@abdikanimohamed9740
@abdikanimohamed9740 6 жыл бұрын
Somalia🇸🇴🇸🇴🇸🇴lets know who is Kiba real fans.If So where is Your like
@nimoibrahim4235
@nimoibrahim4235 6 жыл бұрын
Tokio Tube TT family 👏👏👏
@abdikanimohamed9740
@abdikanimohamed9740 6 жыл бұрын
Nimo Ibrahim subscribe for me abayoo
@nimoibrahim4235
@nimoibrahim4235 6 жыл бұрын
Tokio Tube TT family I will do far we are doing good walal
@abdikanimohamed9740
@abdikanimohamed9740 6 жыл бұрын
Nimo Ibrahim i mean my channel😉😉
@nimoibrahim4235
@nimoibrahim4235 6 жыл бұрын
Tokio Tube TT family kkkkk ok
@sagalvlog1509
@sagalvlog1509 6 жыл бұрын
Somalian🇸🇴 💯 thanks bro alikiba I’m somalian 😘
@FredNdaga
@FredNdaga 4 жыл бұрын
I love Somalis
@ibrahimaweys9537
@ibrahimaweys9537 4 жыл бұрын
Jareerka Bantu
@mahammedsuleiman8775
@mahammedsuleiman8775 4 жыл бұрын
Wow you're somalia i really like you can taxt whatsaap plz 0626892147
@xjdidjdjdjd3384
@xjdidjdjdjd3384 4 жыл бұрын
Nyimbo za kiba yani hazichoshi
@mahammedsuleiman8775
@mahammedsuleiman8775 4 жыл бұрын
Hi
@tasianercharless6833
@tasianercharless6833 6 жыл бұрын
Nimeuelewa sana sana kama umeuelewa gongs like twende sawa
@paulyobe1364
@paulyobe1364 3 жыл бұрын
Guys alikiba is favorite musician in Tanzania am Paul from Zambia
@fanemanzi4325
@fanemanzi4325 6 жыл бұрын
toa na nyingine king kiba
@mjtv3887
@mjtv3887 6 жыл бұрын
#1 on trending in Kenya
@johnsondiason8019
@johnsondiason8019 6 жыл бұрын
Been number one trending in Kenya for 4 days and now it's number 5; this is magical and this guy has a special talent
@mikemnyamwezi7856
@mikemnyamwezi7856 Жыл бұрын
Naaaanza na hiii....!
@dualeabdi7060
@dualeabdi7060 6 жыл бұрын
Just heard somalia.....big up king kiba
@wanenetv9672
@wanenetv9672 6 жыл бұрын
DALILI NA TIBA ZA MAGONJWA SUGU: kzbin.info/aero/PLRMIRcpWDhty8QteCGsVIEDkg7Y9bVBZ8
@swahiliuniverse9328
@swahiliuniverse9328 6 жыл бұрын
subscribe kwenye channel yangu upate filamu za bongo
@stephanomsuya9414
@stephanomsuya9414 6 жыл бұрын
Bolingo ya mbongo, safi sana Ali Kiba
@valentinetobah5386
@valentinetobah5386 6 жыл бұрын
This jam is doing something spiritual to my soul
@qalbitaajirofficiall6284
@qalbitaajirofficiall6284 6 жыл бұрын
Alikiba ❤❤ frome Somalia 🇸🇴🇸🇴🇩🇯🇹🇿❤🇰🇪🇲🇷🇹🇳🇸🇩
@supremelyricschannel1563
@supremelyricschannel1563 6 жыл бұрын
😍😍😍 damn who else in kenya is feeling this jam🔥🔥🔥😍😍😍rhumba blended with bongo flavour💜😍🔥.. issa hit i say🔥😍💯
@fatmaibrahim652
@fatmaibrahim652 6 жыл бұрын
team king kiba wacha wengine waimbe kwangwaru ya ufala
@durakuteni2433
@durakuteni2433 5 жыл бұрын
Nikwel fatma
@jamalabdinasiralifoud6269
@jamalabdinasiralifoud6269 5 жыл бұрын
Tunaheshimu maamuzi yakokiba mtoto Sanaa kwa mondi
@nambilili4269
@nambilili4269 5 жыл бұрын
Fatma Ibrahim 👍👎
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 5 жыл бұрын
@@jamalabdinasiralifoud6269 haaaa wewe utamu Wa Kiba sio Wa nch hiii
@mmpianaupendasanaprincess9435
@mmpianaupendasanaprincess9435 5 жыл бұрын
U me on a eeh
@TheOne-fi6cs
@TheOne-fi6cs 6 жыл бұрын
Nimerudi tena hapa, dah! gonga like twende sawa kama unamuelewa King Kiba!
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 6 жыл бұрын
Kitu cha watu wenye akili zaoo
@raoulbyamungu3251
@raoulbyamungu3251 6 жыл бұрын
number one the king kiba. Congolese style. well done my kiba me and you forever.
@makalanimau4649
@makalanimau4649 6 жыл бұрын
duuu! kweli lkn kibongo bongo kajitaidi
@TheOne-fi6cs
@TheOne-fi6cs 6 жыл бұрын
+makalani kweli ....🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@OffcialKp
@OffcialKp 6 жыл бұрын
The One kumuelew kiba rahaa xanaa
@barbramwendwa3247
@barbramwendwa3247 5 жыл бұрын
This song is a classic.. It will never age.I like the way he appreciates the chocolate 🍫 queens in his videos. Kudos 👏👏
@ryjalimohaa5386
@ryjalimohaa5386 6 жыл бұрын
Love from Qatar .......💯💯💯
@aminamo7000
@aminamo7000 6 жыл бұрын
This song should be played at the African union meetings
@godstimeatule607
@godstimeatule607 5 жыл бұрын
please whats the meaning of this song
@ttp3344
@ttp3344 5 жыл бұрын
It should be an anthem.
@catherinemasai7973
@catherinemasai7973 4 жыл бұрын
godstime atule it means Africans should love each other
@subranadja4052
@subranadja4052 4 жыл бұрын
I agree with you
@sheikmotors2909
@sheikmotors2909 4 жыл бұрын
Of all the Kiba songs I've heard and KZbin comments that I've read this is the one that makes more sence ..pewa kwa bill yangu
@brandybianca8274
@brandybianca8274 6 жыл бұрын
Woow team kiba from kenya 254 mpoo twende na like sasa😍😍😍😘😘😘 napendaga hii sauti hadi nahisi kufa😊😊😊😩😩☻
@dailummala3792
@dailummala3792 6 жыл бұрын
huyu jamaa jajaaliwa kiukweli upo kwenya sehemu gani ww
@naomydaud
@naomydaud 6 жыл бұрын
Nice song king kiba
@brandybianca8274
@brandybianca8274 6 жыл бұрын
Dailu Mmala nipo nai kwa saizi
@brandybianca8274
@brandybianca8274 6 жыл бұрын
Naomi Daud so nice
@badboy2577
@badboy2577 6 жыл бұрын
brandy bianca +254 tupo sanaaaaa tunapiga mofaya huku tuna watch
@davidobitoz2629
@davidobitoz2629 4 жыл бұрын
All the way from 001 county +254 top 2 top king kiba 4 life this is the guy unstoppable #MFALMEE
@aliharbi9498
@aliharbi9498 6 жыл бұрын
Somalia one love africa
@m.baashiirbashir2698
@m.baashiirbashir2698 6 жыл бұрын
ali harbi ...somaliyey mil walba San utagnada hhhhh
@royalmbwana
@royalmbwana 6 жыл бұрын
ali harbi one love somalia... 🇰🇪🇸🇴
@m.baashiirbashir2698
@m.baashiirbashir2698 6 жыл бұрын
Fred Mzungu ..love u 2 From Garissa kenyaaa ..
@alhadjuthmanbashir6325
@alhadjuthmanbashir6325 6 жыл бұрын
Somalia ha nolato ,taliye
@saidaliahmed9979
@saidaliahmed9979 6 жыл бұрын
Alhadj Uthman Bashir 🇸🇴 hanoo lato
@Elsiebearrx
@Elsiebearrx 6 жыл бұрын
Ali kiba Nigeria loves you! #igbo girl #upafrica
@malimamagosho9372
@malimamagosho9372 6 жыл бұрын
noma sana, Karibu sana Tanzania. Love you Nigerians
@mandeladuwe7747
@mandeladuwe7747 6 жыл бұрын
avril
@coleygilbert8591
@coleygilbert8591 6 жыл бұрын
Ursula Oge in tanzania alikiba is no more boy #daimond platinum is more fire
@masterusdt
@masterusdt 6 жыл бұрын
Kama unaikubali ngoma hii kama mm gonga like
@zainabissa7514
@zainabissa7514 3 жыл бұрын
Tuanongalia hii 2021 tujuane 🤩🤩🤩
@savimbialex8452
@savimbialex8452 6 жыл бұрын
King kiba always the best +254#likes zake hapa
@esto_motors
@esto_motors 6 жыл бұрын
TISHA SANAA MDOGO WANGU
@makwayaemmanuel2327
@makwayaemmanuel2327 6 жыл бұрын
+FestoDamian wapi huko
@amour0072
@amour0072 6 жыл бұрын
ngasa can u say this again without CRYING?
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 жыл бұрын
Yeeeeebaba
@athmanswaleh2423
@athmanswaleh2423 6 жыл бұрын
Mbna viewers wahaendiiii tangia jana meneja angalieni hili swalaa #kingkiba papireeeee yooooooh #mofayaaaaaaa
@nollyafricanmovies9569
@nollyafricanmovies9569 6 жыл бұрын
INGIA KWENYE CHANNEL YANGU KUTAZAMA FILAMU YA MAMA (AUNTY EZEKIEL)
@godwinmasoud7180
@godwinmasoud7180 5 жыл бұрын
Wimbo wa mvumo wa radi upo kama jina lake ni mvumo wa radi kweli. Nimependa mashairi yake jinsi alivyoyajenga katika kuleta ladha nzuri kwa wasikilizaji. Wimbo huu unaweza kusikilizwa na watu wa rika zote katika jamii na una mafunzo makubwa kwa jamii. 1. Anahimiza upendo kwa watu walioko kwenye mahusiano 2. Anahimiza upendo kwa jamii yote pia.
@swalehemhando6921
@swalehemhando6921 2 жыл бұрын
Ali anajua sana ....
@ArimaHeena
@ArimaHeena 6 жыл бұрын
Thumbs up Fans From #Somalia
@feysalguure6156
@feysalguure6156 6 жыл бұрын
ArimaHeena sas ayan kaa rabaa big boy arimeheena
@jamesfwalo865
@jamesfwalo865 6 жыл бұрын
ArimaHeena kiba ninoma
@suleamour280
@suleamour280 6 жыл бұрын
ArimaHeena
@hassanmweta7244
@hassanmweta7244 6 жыл бұрын
More 🔥
@charlesnabiswa6843
@charlesnabiswa6843 6 жыл бұрын
Feysal Guure 😘😘
@TzSPYTv
@TzSPYTv 6 жыл бұрын
Bonge la ngomaaa nomaa
@haniyanamaemba1540
@haniyanamaemba1540 6 жыл бұрын
Kenyan like here if you love Alikiba💓💓💓💓
@babarazack7908
@babarazack7908 6 жыл бұрын
HANIYA NAMAEMBA love for diamond platinum forever
@gabrielernest7302
@gabrielernest7302 6 жыл бұрын
kum
@haniyanamaemba1540
@haniyanamaemba1540 6 жыл бұрын
Mo Africa Swahil Mo Africa Swahili it's ok I love his songs too
@stevenromanos5290
@stevenromanos5290 6 жыл бұрын
Waaaa eridoleti.......kingkiba lov u
@haniyanamaemba1540
@haniyanamaemba1540 6 жыл бұрын
Steven Romanos 👌👌👌
@mbithigeorge1562
@mbithigeorge1562 3 жыл бұрын
All of the opinion that this jam should be played @ every African Union summit simply hit that like
@kingsalutekwakosimbaakibar1630
@kingsalutekwakosimbaakibar1630 6 жыл бұрын
Ali Kiba ana sauti jamaniii Masha'Allah!!
@danielmlanda9787
@danielmlanda9787 6 жыл бұрын
Ila we brother kumbe ni muuwaji kabisa sio kwa ligoma hilo 😂😂😂 hebu kunywa limoooofaya utalipa mwenyewe 🏇🏇🏇🏇🏇
@naomibujiku6241
@naomibujiku6241 6 жыл бұрын
kama hii ngoma ya king kiba umesikiliza zaidi ya Mara 3 weka like hapa.
@TheOne-fi6cs
@TheOne-fi6cs 6 жыл бұрын
👍
@TheOne-fi6cs
@TheOne-fi6cs 6 жыл бұрын
Pamoja mkali
@njaunestory761
@njaunestory761 6 жыл бұрын
naomi bujiku nasikilizaa hii mara ya nnee
@tausiyusuph7282
@tausiyusuph7282 6 жыл бұрын
naomi bujiku mie Hii mala ya 29 Bdo sijalla mpaka saiz
@iddyrashidi397
@iddyrashidi397 6 жыл бұрын
Kibanoma
@mohaakram8536
@mohaakram8536 3 жыл бұрын
Uncountable love from Somalia ❤🙌🙌🙌
@markomasamu7483
@markomasamu7483 6 жыл бұрын
NGOma za kiba s za kuelewa SKU moja na kuchuja znahtaj ukae chn ndo utaelewa Namaansha nymbo znazoish
@evegitau926
@evegitau926 6 жыл бұрын
Sauti nyororo Ali😘....looove the song 👌
@manugwainvestments4617
@manugwainvestments4617 5 жыл бұрын
kiba is the one of the beautiful international star in tanzania and while africa
@anga360updates4
@anga360updates4 4 жыл бұрын
Kiba 🔥🔥🔥hii aina ya music domo ndio anafanya sahv we ulifanya wakaponda now naona wanasifia aina hiii hii#watu wanafiki kwel
@abdulazizsaid6902
@abdulazizsaid6902 4 жыл бұрын
Bro hata mm nashangaa wabongo nuksi sana
Alikiba - Mwana (Official Music Video)
3:55
Alikiba
Рет қаралды 38 МЛН
Alikiba - Dushelele (Official Music Video)
4:48
Alikiba
Рет қаралды 1,3 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Christian  Bella - Nashindwa (Official Music Video)
4:05
Christian Bella
Рет қаралды 3,2 МЛН
Barakah The Prince, Alikiba - Nisamehe
4:28
BarakahxAlikibaVEVO
Рет қаралды 2,8 МЛН
Dully Sykes & Alikiba - Zali (Visualiser)
2:52
Dully Sykes
Рет қаралды 2,8 МЛН
Sauti Sol - Unconditionally Bae ft Alikiba (Official Music Video)
7:24
VUNJA BEI AFUNGUKA WHOZU KUONDOKA T MOUCH MONEY, KUACHANA NA WEMA
19:45
Mapenzi Run Dunia
4:35
Alikiba
Рет қаралды 918 М.
Alikiba - Seduce Me (Official Music Video)
3:22
Alikiba
Рет қаралды 16 МЛН
Kassim Mganga Feat. Christian Bella | Subira | Official Video
4:18
Kassim Mganga
Рет қаралды 4,1 МЛН
Alikiba feat Marioo - Sumu (Official Music Video)
7:33
Alikiba
Рет қаралды 10 МЛН
Alikiba - Kadogo (Official Music Video)
4:03
Alikiba
Рет қаралды 10 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН