i had to look for it as big fun ,,the vocal with this guy and creativity is beyond imagination ,, i will for this guy apart from attending his concerts as regular
@OmaryRamadan-m8v27 күн бұрын
Jasho lazima likutoke sio pw alafu mtu unakuta eti hajaimba vizuri aingie yeye😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤
@Leonjeanpierre-yo3xi11 ай бұрын
Alikiba anajuwa Sana na ndomana sikukosea kumshabikia kama na ww ni shbiki sugu like hapa
@rachelpeter703210 ай бұрын
😂😂😂shabiki sugu
@uchebetz728410 ай бұрын
Shabiki Lia lia
@bekatiptop891011 ай бұрын
Hana mfano East Africa huyu mwamba,,Salute to the King's empire
@festonoma10 ай бұрын
Dah nilijua kuimba nikama kumsukuma mlevi kwenye mtaro ila km nihiv acha t niendelee kua shabiki king huna baya
@allyallymakius113311 ай бұрын
Alikiba uzeeki utaendelea kuwa namba moja kila wakati
@singo6402 ай бұрын
Sure
@savanny_music11 ай бұрын
Alikiba namuona kaandamana na @mocco genius..yakaa Anamuaminia sana Kwa uelekezi na flow
@olicendayihimbaze407411 ай бұрын
Noamba serkali huwu ujumbe uwafikie naomba wakujegee sanamu nitashukulu kabixa 🌹🌹🌹🌹🌺🇹🇿 Really king Official Alikiba of Tanzanite 🎉🎉
@abelmbilinyi126210 ай бұрын
Baada ya kujenga hospital , shule 😅
@benjaminbry698811 ай бұрын
Kwel hakuna kitu rahis jamn khaaa hongera sana king kwel kuwa fans wako sijawah jutia❤💣💣💣💣
@Jibambeshow254k11 ай бұрын
Huyu ndio masanii pekee namheshimu kama mwimbaji original TZ kiba Mungu akuwekee sana maisha marefu hua wanipa burudani yakutosha😂
@singo6402 ай бұрын
Amina
@mwasoprince345911 ай бұрын
Huu wimbo king ulikutoa jasho kazi ya studio sio ya kitoto vibe lote linakata , hongera you done wonder.
@mswaki_newstz10 ай бұрын
Co poa yaniiiiii
@milalaemmanuel44511 ай бұрын
Wa20 naomben like 20 tu
@robertroggers455211 ай бұрын
King Kiba 👑 is truly King 👑 of best melody
@savanny_music11 ай бұрын
Ukweli hit song huwa na misukosuko kabla itoke
@David-s6y8k11 ай бұрын
Studio number one in Easter Africa
@stevenepaul638411 ай бұрын
I love what king always do # greatest of all time
@nundamalickofficial953810 ай бұрын
Moko na kiba pure talents..
@yustinrockboy409111 ай бұрын
Studio 🎙️ ya king's music record ni 🔥🔥🔥Bongo Zima awamfikii mfalme
@abasilihundu20011 ай бұрын
Kumbe kuimba ni kazi eeh, paraaraa, pararaaaaa! 😂😂😂😂
@PendoUrassa-xm7ru11 ай бұрын
Ndugu sikia tu nyimbo inaimbwa ni shuhuriiii
@bizzyrayamon709110 ай бұрын
Kazi kubwa sana kakangu
@nwntz10 ай бұрын
ndio mpunguze zile comment za ngoma mbaya haina mvuto na mengine kama hayo
@DaudoMata11 ай бұрын
Tuta subiria kigongo kipya ❤❤❤ much love you King kiba.
@Shaban_mtoiwabobo11 ай бұрын
Ali kiba is a treasure Watching from 254
@eightkiba467411 ай бұрын
Ufundi mwing sana upoi wala huboi kama unaamini hivo like basi
@savanny_music11 ай бұрын
Mwalimu huyo...utabaki kuwa nguzo kwangu kwenye uimbaji
@official_kingnabiryOg11 ай бұрын
Dah kumbe hiii Ngoma ilikuwa ngumu sana kuona king kateseka kwenye maneno Dah salute ❤❤❤
@swaggatz11 ай бұрын
Nakubali mwabwa
@kitunganolw11 ай бұрын
Bro Mbona king Unatufanya tujifunze mélodies za huo wimbo kama tuko studio vilevile🧏♂️
@raymondvibes8611 ай бұрын
Kazi kama kazi king Kiba 🔥
@ThinaIrakoze10 ай бұрын
this song is so good
@jacksonmathayo651010 ай бұрын
Paralaaaaaaaaa😂😂😂🎉🎉🎉
@Aminan-k7c11 ай бұрын
king km king ❤
@Deiboi_official11 ай бұрын
Somebody can see this as just content but for me its a class that teaches young artist to prepare ,hit songs never come easy
@Naughtymiles110 ай бұрын
Kweli nakubali Ana nawe
@mwanuekalenga-ec5cu10 ай бұрын
Truth
@bizzyrayamon709110 ай бұрын
Very true brother, am an upcoming artist from Kenya
@سعدههوام11 ай бұрын
🎉🎉❤❤my king 👑
@karaniomoit525911 ай бұрын
King king
@Richone-tz10 ай бұрын
Mi nakubali xanaaaah 🎉🎉tim kiba🎉🎉 unauwa brooo
@tekitonicofficial67179 ай бұрын
Sk kizzy is the baddest sound engineer.🤝
@VeronicaOmbasa27 күн бұрын
Wewe ndio unajua sasa😊
@Muna-en4yq11 ай бұрын
Twataka ya mwisho king wetu before huu mwezi kuisha next month Ni mwezi mtukufu tupumzike tufanye ibada Kwa wingi.
@adamhashimu446211 ай бұрын
Kiba Fundi sana wa mziki 🔥
@singidaprincetz188310 ай бұрын
Tunatesekagaaa saanaaaa studio jmn msitukulie powa wasanii mauwa mengi saanaaaa kwa king 🎉🎉🎉 kibaaa🎸🎸🏆
@salumhassan685311 ай бұрын
Fireeeeeee❤❤❤❤
@AnnoyedBeetle-mj7nh10 ай бұрын
Fund sana kiba❤❤🎉🎉
@mswaki_newstz10 ай бұрын
Hii ngoma imekusumbua sana mzee😂😂😂😂😂 big up sana king 👑 kiba
@ShadrackKanekeBKS11 ай бұрын
Vizuri bro
@flashtvke11 ай бұрын
The greatest vocalist we have. Proud of you King Kiba from Kenya🎈🎈
@ARAFYN-n4q11 ай бұрын
Masha Allah kiba salut kwako ❤ unajuwa san
@philipotieno999611 ай бұрын
Kiiiing❤ wa kweeeeliii
@idybwoytz848511 ай бұрын
Very nice songs bro
@buffalo_arts_familly_movies10 ай бұрын
mnyamaaaaa king kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@yuyumuziki775611 ай бұрын
Pacha wangu wwe..Yuyu Muziki
@DamianoFisoo7 ай бұрын
Bro hana majigambo wala mbambamba🎉🎉🎉🎉
@wachirakenneth10 ай бұрын
King kiba moto kama pasi
@JojyLuhasa11 ай бұрын
Bien vraiment
@zainabuuwimana11 ай бұрын
King upo juu nani atapinga❤🇧🇮
@omarymaalim66510 ай бұрын
Kiukweli hapa anaonekana msanii mwenye kutoa burudani na kukamata wengi,,, bravo King 🤴 kiba
@idrisashelimo30711 ай бұрын
King 🇹🇿 🤴 👑
@ireneimbuhira775911 ай бұрын
Love love love this ❤❤❤🔥🔥🔥
@DaudoMata11 ай бұрын
Tuna kuwa mini King wa mziki Áfrika.
@nasramtoro244210 ай бұрын
king u know
@unclegmihale45511 ай бұрын
Kings🔥🔥💪
@bellloshelo163210 ай бұрын
King nini mbaya sio raisi kuimba 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@yusuphabubakary203010 ай бұрын
jamaa anafurahia sana kufanya mziki,..🔥🔥🔥
@mtopelamussa778311 ай бұрын
E kumbe kuimba kazi hivi😂😂😂❤❤
@Jipendelee25511 ай бұрын
nandy alivoserius kama alikua anasubiri ukosee aondoke na wimbo wake
@shainaadi991111 ай бұрын
😂😂😂
@Aminan-k7c11 ай бұрын
hii palala palalaa kumbe ndo ilikuwa inakibarua kikubwa iv 😂😂😂😂 afu uku sisi tunapayuka kirais kapisa 😂😂
@AdamPonera-fe5kc11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@JOCLED10 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@wrightkiti394310 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@abmixellx148210 ай бұрын
Umeona Kaka 😂😂😂😂💔
@ernestombody652511 ай бұрын
❤❤❤ muito amor envolvido
@PendoUrassa-xm7ru11 ай бұрын
Yaaaan mziki ushirikiano baina ya msaniii na prodyuza,
@denniskimathi672711 ай бұрын
best tanzanian export
@ramonlinechannel128210 ай бұрын
🔥 🔥 🔥
@omaryluambano349511 ай бұрын
HOT 🔥
@denisimaliyaweni918311 ай бұрын
Fire
@HamisiMwazikeni11 ай бұрын
Amazing
@huseinshedrack618011 ай бұрын
Mtu na nusu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@BekaYo10 ай бұрын
Noma king kiba
@SunezaDiciman11 ай бұрын
Kiba huyo
@elizabethrisper277910 ай бұрын
Shabiki🎉
@JimieWaManchester11 ай бұрын
La King💪
@youngprincelawizo169811 ай бұрын
Kingggg
@DilanFamous10 ай бұрын
King 👑 upo comfortable sana had raha🎉🎉🎉🎉🎉
@abdulrahmanhassan323811 ай бұрын
King of music Tz
@haniamohammed689011 ай бұрын
My king🎉
@MwakaJunior11 ай бұрын
King on fire
@kambandefusaidi696611 ай бұрын
King 👑
@starriseofficial75186 ай бұрын
🔥🔥🙌
@hameesnassoro715811 ай бұрын
That sound vocal is so amazing called NAH'WAND is one of the best sound, there are a lot of sounds from ARAB, and for those who used to go to MADRASA know about it. If you use that sound no way out the song must be hit no matter what.....!!!! What you add in that sound melody and play with the key perfectly. 💣🔥
@MrlionKenya3 ай бұрын
King kiba from 254❤
@emmaakunga584511 ай бұрын
Kenya here ❤❤❤❤❤❤
@lanafelix864911 ай бұрын
KING KIBA 👑 🌟🌟🌟❤️
@janvierramazani218911 ай бұрын
Nime muona mzee passo nakubali sana iyo ngoma like ukorofi
@ChristianNkam4 ай бұрын
Safi sana kiba kazi nzurii❤❤
@UstadhiAlly9 ай бұрын
❤❤❤ napenda kazi zako zote huna baya Alikiba
@rachelexaut38710 ай бұрын
King kiba❤
@kiralimaginations45211 ай бұрын
Am enjoying this session 😅😅😅I love it
@toyasuleman930011 ай бұрын
King balaa
@elibarikieden11 ай бұрын
Nipeni likes zangu team kiba wangu
@jontemnyama534010 ай бұрын
Mocco genious i see you brother🔥
@Sameer.Zlatan11 ай бұрын
King ali Kiba 👑 mwanamuziki ✅🎉👏👏🎉
@zebakimuzic11 ай бұрын
music kaziwapeni mauayao kwa kubalansi statasizao❤❤❤❤king ofmusic au music monsta
@Frolianbyaser9 ай бұрын
Saluteee xan kk kiba nakuombea kw mung uzid fanikiw utuxaidie wadg zko