Motoooooooo sanaaaaa...kenyans wapi likes za hatari..much love🎉❤❤
@EmeraldZanzibar-h3u2 ай бұрын
😊😊😊😊😊
@kingkalvo29493 ай бұрын
King Kiba & jay melody you really rock it na sauti zenu tamu zakutoa nyoka......we love listening to ua songs nikiwa na baby mama wangu👌
@verbmacharia46423 ай бұрын
Hatari kweli mambo Moto toka Kenya Kiba🇰🇪
@pmfalila2 ай бұрын
Kuna wanamuziki halafu kuna King Kiba. Respect bro
@Hfarahani522 ай бұрын
Kiba unatoa Classic Music yaani nasikia raha hata stress za huku ulaya zinakimbiyaa Well done King Kiba
@mwakisogocpiliano17933 ай бұрын
KING wasamehe wote wanaokuchukulia poa wewe ni TUNU YA TAIFA🔥🔥
@giztony20093 ай бұрын
Ww huna hoja kuna mtu anasemwa na kuchukuliwa poa kama mondi? Ulishawahi kuona ameshuka kimziki
@AngelmackieCharity2 ай бұрын
@@giztony2009mond anagawa ujugu 😅😅
@jumasuleiman71712 ай бұрын
Huyo mondi anaimba anabweka siku hiziiiii@@AngelmackieCharity
@AngelmackieCharity2 ай бұрын
@@giztony2009 sasa naww atashuka vip kimziki na ana mambo ya sirini kibao... #kaliwa
@AngelmackieCharity2 ай бұрын
@@jumasuleiman7171 hahaaa
@KusemererwaKahwaJeremiah333 ай бұрын
Nalingi nzembo oyo makasi penza, na sepeli na yango eza Tokoos vraiment 🇨🇩🇨🇩 La voix de Alikiba👏👏
@Pfamillerusizi3 ай бұрын
mwana mboka 🇨🇩
@KusemererwaKahwaJeremiah333 ай бұрын
@@Pfamillerusizi Tokoos👊
@idrisashelimo3073 ай бұрын
My favourite song kutoka kwa King kiba katisha jay pia katisha snaaaaaaaa nyimbo kali snaaa ina
@mulangirakimerareaganstarbwoe2 ай бұрын
How many international fans are here to support Alikiba ♥️✅
@zackgitonga3 ай бұрын
alikiba wivu huna ata kidogo hubagui wadogo ulivyo mshirikisha jay umenifurahisha kwa saana
@CollinsKiprotich-jx3qe3 ай бұрын
mkuu jay si mdogo saa hii
@breymbasa34512 ай бұрын
😂😂 eti jay mdogo huyu vipi @@CollinsKiprotich-jx3qe
@NurdinFatherlessАй бұрын
@@CollinsKiprotich-jx3qe mdogo 🛑
@Orinnazaqar69393 ай бұрын
Jay has been endorsed now as the new king..the future of bongo music..from a collabo with Simba and with King Kiba..HATARI
@kreshhemed98693 ай бұрын
C’est la meilleure chanson de l’année Alikiba tu es le meilleur dans toute l’Afrique 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@zclassicfashionz15733 ай бұрын
𝐀𝐥𝐢 𝐧𝐚 𝐉𝐚𝐲 𝐌𝐞𝐥𝐨𝐝𝐲... mnafanana utulivu na busara!
@turuthiahussein20233 ай бұрын
Fevorite song aisee ni motoo 😍😍😍
@YegelaLunyilija2 ай бұрын
King Ali Nimegundua kumbe inawezekana kabsa ukawa unavaa kwa heshima kabsa na mziki wako unaendelea kufanya vizuri. With such kind of song everyone can watch even a pastor. King forever
@Freddymedia-p7d3 ай бұрын
Nigerians 🇳🇬, tanzanian🇹🇿, Burundians🇧🇮,congolese🇨🇩, Ugandans🇺🇬, Americans🇺🇸, Zambians🇿🇲, south Africans🇿🇦, Zimbabweans🇿🇼, Rwandans🇷🇼, Namibians🇸🇸, Kenyans🇰🇪,my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem
@ManecaMomadeMomade3 ай бұрын
❤Alikiba namba moja número 1 em Tanzânia 🎉
@YteemwyteemwYteemwyteemw3 ай бұрын
Don't forget Malawi 🇲🇼❤
@solomonOsam-d1t3 ай бұрын
Biko biko my guyz
@Mussasospeter-b3d3 ай бұрын
Yaaan kama mnaanza upyaaaa king na na jay once again nawakubali sanaaa🔥🔥🔥🔥
@JoanKinyua-ni6lo3 ай бұрын
Nko apa kwa ajili ya alikiba.. blend in top
@lynettewasike26393 ай бұрын
Wow such a beautiful song! It'll definitely calm you down. Good job guys
@lemaiyankeretoo41223 ай бұрын
Alikiba master of vocals
@halimamuhammad73043 ай бұрын
Katikati ya kibao alikiba dunia mzimma Ni. Number one na jayy so much upendo kutoka Uganda
@MohamedLimbuni3 ай бұрын
utopolo mtupu
@salomewandya7257Ай бұрын
@@MohamedLimbuniWivuuuuuu
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k3 ай бұрын
Alikiba muonekano wako ndo unasababisha watu waendelee kukupenda zaidi, na ndo maan unapotoa nyimbo lazima tuwe nyuma yako onger sana endelea kuishi hivo hivo maan kuna siku ya kupata na kukosa,.... Nyimbo nzuri sana hatari hatari hatari hatari hatari hatarii hatarii hatarii ❤
@SifranLove3 ай бұрын
Huyu ndio king bongo flavor anajua kutukosha daaa😊
@Madaga-h8y22 күн бұрын
💯💯🔥👌
@aimefils7143 ай бұрын
Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 tumeapprove wimbo hii 🔥🔥🔥🔥
@peterwaweru93573 ай бұрын
Wow ngoma iko tamu sio mchezo I like this two guys ,.no one like them kwa ngoma za love👏
@JosephMabula-u4d3 ай бұрын
King himself, Unajua saana, UNSTOPPABLE. Huu wimbo nimeusikiliza sana, Production, Melody, mpangilio wa sauti, daah King unajua, Jay melody nae kakaza mnoo kwenye hili goma, Mmetifuana sana, Hatariiiii. King, ❤❤❤❤❤.
@OfficialKilinda3 ай бұрын
Nilikua naingojea ngoma kt y King na joy hataliiii
@yacinemdullah17873 ай бұрын
Honestly inanikumbusha zile ngoma za Alikiba yule sasa💥. This is the best for me kwenye Ep
@SifranLove3 ай бұрын
Umeona watoto wadogo hawawezi kukuelewa ili goma ni pure bongo flavor, zile zakipindi icho mfano sabrina na shamba, watoto hawawezi kuelewa hapo
@Waitarakariuki-hf8bg3 ай бұрын
Ni kama mlichokoza King, and you know what he can do Alikiba proving that he is the best hii ni hatarii hata hapa 254 Kenyaaaaaaaaaaaaaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 King ni mmoja, King Kiba 👑 the only one King 💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@auntiemylee31573 ай бұрын
Kenyiaaaaaaaaaa 🇰🇪
@waltonmbugua83603 ай бұрын
Wacha ubwakin
@Feisal-hamad3 ай бұрын
Huyu jamaa ameshindikana
@Ally-y2s3 ай бұрын
Bianafsi me nakubali
@topcream_investment2 ай бұрын
After kang kaka
@Boog_p3 ай бұрын
Such a beautiful song 😍😘 worth listening whenever someone likes this😊
@Rashidi-j1l3 ай бұрын
Sikukokosea kumshabikia ally kiba nainjoh kwa kusikiliza nyimbo zuli kutoka kwa mfalme wa bongo fleva king kibaaaa ❤❤❤
@KevinWamalwa-ne1kq3 ай бұрын
The two handsome man real love your work King.
@AndrewFundi3 ай бұрын
WA congo 🇨🇩 na Kenya 🇬🇲 Burundi tukutane apa
@laurencemihigo6794Ай бұрын
Rwandans 😢
@RatifaMohammed-d1sАй бұрын
Am her ❤❤❤@@laurencemihigo6794
@adembeza3 ай бұрын
This album is fire. Jay melody will go down as one of those few artist who has done collabos with all Tanzania's legends. Big tune this one.
@alexanderlama91412 ай бұрын
❤j
@parmenaprosper37802 ай бұрын
Vinanda vinavyopita kweny hii nyimbo ni hatari sana. King mnyama umetisha
@dmKastron3 ай бұрын
Ngoma kali sana Ila kiba Kauwa sana umu ndani Hatarii🔥🔥🇹🇿🌍✊🏿
@vannytiger-lf1oj3 ай бұрын
Tujuaanee apa wanao sema king kasimama saw na Jay kwa mala ya kwanzaaaa Jay kidgoo apoteeeeee
@SifranLove3 ай бұрын
Aliposema maumivu sijuagi pale kidogo nikasema jay vipi mala ghafra akasema king usinitanie narudi kwenye melody zangu😅😅
@ludatoke24513 ай бұрын
Kabsa kapotea sana @@SifranLove
@alvinoveen25723 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza nimeskia mtu ameimba zaidi ya jay melody kwa nyimbo,king kiba for life
@PangalasErick3 ай бұрын
Acha ushabik jay melody kauwa
@AthumanAidan3 ай бұрын
Hapana alikiba kauwa wewe acha masiala kabisaaaa......melody za voice ndio zimeua kabisaa@@PangalasErick
@Mchiziwaalikiba3 ай бұрын
Alikiba namsikia kama Massari enzi zake
@AbdallahVerite3 ай бұрын
Vraiment façon rythme iko cool depuis drcongo munipe like zangu
@dieumechikard83453 ай бұрын
Alikiba dominates Tanzanian New generation and old generation he is the king of Tanzanian music ❤❤🇹🇿🇨🇩
@Khey-Vee3 ай бұрын
Watching from California ,this song spired me,that’s why we call alikiba king of bongo
@its_jaffar223 ай бұрын
king akijengewa sanam posta takua wamemkosea..inafaa ajengewe makao makuu ♥️🇰🇪🙌🙌
@MohamedLimbuni3 ай бұрын
kwa wimbo gani
@trendz_25483 ай бұрын
❤❤❤❤❤maaaad tune. My favourite track so far
@dianabanga26253 ай бұрын
wananiita jay 😍 jay once again
@esbonmuriithi-v8b3 ай бұрын
i've been waiting for this collabo like forever aiseh king kiba
@laytopiniel7465Ай бұрын
Hili ngoma nimelisikiliza karibu wiki 3 na haliboi bado,kama kuna mwingine kama mimi naomba likes
@OnlyRuky3 ай бұрын
🎶🎶🎶🎶🎶🎹🎹🎹🎹🎹 This is King 🤴 na mdogo wake
@allenmarco93203 ай бұрын
Jay jay jay hatariiiiiiii
@KamanaMangolwa-xe8de3 ай бұрын
Jamani iyi nyimbo nimeshadikiliza mara elfu moja daaaaaaaaaaaaa sijuwi nihisifiye kiasi gani🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@SifranLove3 ай бұрын
King hapa bongo ndio msanii pekee anayeweza kuzifunika nyimbo zake yani mpya uwa kali kuliko iliyopita, haya TikTok muda wenu
@Dizzoke-i9h3 ай бұрын
King mfundishe dogo jay mziki❤️👋🙏🙏💯
@nasramtoro24423 ай бұрын
This is the song jaman. i was kila nyimbo ni nzuri kwenye ep but then nikafika hii nyimbo, uwiiii😍😄😄😄
@mbokandotv3 ай бұрын
I love King Kiba,,, wapi Likes from Kenya
@b_aime75843 ай бұрын
🇷🇼🇷🇼 From Rwanda We love you Kiba tunakubari sana please Come to Rwanda You kill this Banga Enough with your Good Voice It's Banger..🔥🔥🔥
@necramsonpate3 ай бұрын
Aisee hii ngoma imesimama sio mchezo sijui kuna mwingine ameitazama zaidi ya mara moja gonga like kama unamkubali 👑 Kiba
@thethengomba3553 ай бұрын
It's on my repeat mode until further notice 🎉❤🎉❤🎉
@jabussein44883 ай бұрын
Mi toka asubuhi naisikiza mpaka usiku huu😊😅❤
@fabianbrian82563 ай бұрын
Same here
@euniceongawa55853 ай бұрын
Anywhere there's jay melody it's always a banger❤
@susanayuma24343 ай бұрын
nashinda nikirudi huku kuitazama😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@mathiaslaurent7563 ай бұрын
Ambao tumegudundua hii ndio nyimbo kali kuliko zote ndani ya EP hebu tuungane hapa
@Enozflex3 ай бұрын
Aissee noma
@jonasjme3 ай бұрын
Kali zote
@zenasambe36263 ай бұрын
Tuache fitna,zote nzuri tena sana
@VyizigiroInnocent-uq7cu3 ай бұрын
Bad mn Marioo ft Kiki ba
@griphinzacharia11793 ай бұрын
My no 1 song kiba mwenyew anakwmbia hii nyimbo imeimbwa🔥
@sallysalim1473 ай бұрын
I love everything about king kiba... he's a role model to the young upcoming people in the music industry.. right from dressing ❤❤❤❤long life king of music 💕💕💕👑👑
@Madaga-h8y23 күн бұрын
😍 Amen 🙌🙏
@patrickmichael98593 ай бұрын
Kompa sounds extremely delicious in Swahili language and melodies, Love from 🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹
@parmenaprosper37802 ай бұрын
As a Tanzanian. This comment made me go search for kompa history just to realise it originates from Haiti
@EugeniaAnselmo-m3n3 ай бұрын
Salute King 🇲🇿🇲🇿🙏❤️
@InsilimoAlfaneNacirNacir3 ай бұрын
Brother como faço para colocar bandeira de Moçambique nos meus comentários como tu fazes?
@mamoniniyoyishura32893 ай бұрын
Jamani sasa king niwakufananisha nanani kama wewe amna muziki umekaa poa sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@solomonOsam-d1t3 ай бұрын
Nyimbo bora TANZANIAN KWA SASA NI HIIII
@DorcusKissia3 ай бұрын
Nimeskiliza huu wimbo niona King kamalza kilakitu hapo bdo sijamskilza jay ngoja nimalzie ntalejea kutoa comment yajumla❤❤❤❤❤😂😂😂😂
@rajabuhussein-b1h3 ай бұрын
king kama king. hiingoma kilaukiisikia na kuitazama haiishi hamu ngoma inamaneno laiini yanayo vuta hisia
@JosephPetro-xm3fd3 ай бұрын
Katisha kiba
@NTAFILMPRODUCTIONS3 ай бұрын
One 💕 from Kenya
@sallysalim1473 ай бұрын
Africa's number one king🎉👑👑🎉🎉🎉👑
@hushamkalinde42423 ай бұрын
Alikiba Mwanangu una sauti 😭😭😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪,nakuombea siku nyingi humu duniani 😭😭
@riko_g_blessed473 ай бұрын
jinsi Jay anasubiria kuwakilisha kwenye verse la kwake.. hatarii...they call him Jay once again🔥🔥mob Love bromine
@hamzayusuph60523 ай бұрын
Kiwango cha Jay Melody katika huu wimbo hapana bado ila umaarufu umesimama tu
@alexkitundu24133 ай бұрын
Ni kweli mimi ni fan mkubwa wa Jay but beat imempelekesha, na inaonekana hakutulia kuandika vizuri
@FrankChacha-b2x2 ай бұрын
Upo sahihi hap je amekaa
@Saimonohms13 күн бұрын
Mbona yupo safi tu
@disrkmedia26943 ай бұрын
Producer ametisha sana humu ...na verse la kiba Kali sana🎉🎉🎉🔥🔥🔥
@orchuperfection54813 ай бұрын
Wameimba kwa kutunong’oneza hawatumii hata nguvu meshindikana 🙌🏻🙌🏻king
@robertroggers45522 ай бұрын
Huu wimbo unaladha tamu sana, hauchoki kuusikiliza....this banger song on my playlist repeatedly... kudos to you King Kiba 👑 King of Bongo Flava... Hail to the king 👑
@Tanganyika-w5p2 ай бұрын
Aiseee Verse ya Alikiba ni kaliii kinoma..... Daaaah huyu jamaa noma sana
@fadhilimpini3 ай бұрын
King kiba salute from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@saidijuma74843 ай бұрын
Jay Melody is the new king of bongo flava
@timothysalehe4023 ай бұрын
Ngoma kali sana
@niwilly3 ай бұрын
More than a song😢❤ love from 🇧🇮
@solomonOsam-d1t3 ай бұрын
KIBA WEWE NI KING MUSIC SALAAM KUTOKA CONGO MANUEMA OG
@JemimaFrank3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤nimependa alipo imba jay melody
@davidkokomushagalusa65663 ай бұрын
More love from congo 🇨🇩 living legend Kiba.... Respect 😎
@mrmelodychabda89063 ай бұрын
Once again the hit heeee baba the only one king 👑
@maxychris80053 ай бұрын
King Kiba 👑 my favorite atanzanian artist, From Ecuatorial Guinea🇬🇶
@JamesNyandwi3 ай бұрын
Buruhukiro burundi oyoooo nice song
@KingSadi-s3l3 ай бұрын
Video kali sn kk, we ndo mwenye kiti mwenye hit mwenye udongo
@thabityasin34553 ай бұрын
Hii kweli hatarii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ChristianNkam3 ай бұрын
King❤❤❤❤ umeuwaa hatari sanaa🔥🔥🔥
@Africa_Yao3 ай бұрын
Kweli n kawimbo Ka mahaba Sana tena n hatar Mitimbo flan ya kibabe Sana wajuwa nimepata mchumba kupitia huu wimbo May Allah bless you bro so Kwa mahaba haya ninayo yapata 🔥🔥🔥🔥🔥🔥