Dully Sykes & Alikiba - Zali (Visualiser)

  Рет қаралды 819,028

Dully Sykes

Dully Sykes

Күн бұрын

Пікірлер: 2 400
@NKESHIMANABarton
@NKESHIMANABarton 3 күн бұрын
Wanaofurahia hii Ngoma kuwa one drending gonga like twende sawa
@annethmwakajula9542
@annethmwakajula9542 2 күн бұрын
nimeipenda❤
@salamafair1169
@salamafair1169 Күн бұрын
Tupo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Tiger4rever123
@Tiger4rever123 3 күн бұрын
Dahhh Alikiba atatuuwa na burudani kila akitoa n chuma Nipen like zangu KIBA fan's
@OfficialNandy
@OfficialNandy 2 күн бұрын
kubwa hii kaka zangu
@mjungudeartist_
@mjungudeartist_ 2 күн бұрын
No body realized, it's a comment from the African princess
@Stanley_basigwa
@Stanley_basigwa 2 күн бұрын
Nandyyyyyy❤️🌹💕aky #Mlete😂😂unipe ady like😅😫
@Regina-f5m5m
@Regina-f5m5m Күн бұрын
Hongera kiba mshukuru mungu kwa ulichonacho
@Manumwarome001
@Manumwarome001 Күн бұрын
De African princess
@AdamGome-f6x
@AdamGome-f6x 18 сағат бұрын
🔥
@officialsbjovea5822
@officialsbjovea5822 3 күн бұрын
waliokuja baada ya kuingia na 1 trending
@edwinntabwa5451
@edwinntabwa5451 6 күн бұрын
Hii ndio nyimbo ya Funga Mwaka 2024🎉🎉 happy Christmas to all and New Year 🎉
@JumaIddi-o6f
@JumaIddi-o6f 5 күн бұрын
Kbsaa izo hatuzjui
@AadiCjmuziq
@AadiCjmuziq Күн бұрын
Kwa mpigo tena zaidi
@MichaelJonas-s9l
@MichaelJonas-s9l 4 сағат бұрын
Yes
@robertjoseph8968
@robertjoseph8968 10 күн бұрын
Weeee weeee nani kama dully skyes na alikiba gongeni likes
@RusianMlimuka-y6y
@RusianMlimuka-y6y 10 күн бұрын
❤❤
@Yes-bg8fn
@Yes-bg8fn 10 күн бұрын
Atariii weweee❤❤
@BarakaTz-w8z
@BarakaTz-w8z 9 күн бұрын
Uchawa tu unawasumbua
@Yes-bg8fn
@Yes-bg8fn 8 күн бұрын
@@robertjoseph8968 🔥🔥🔥🔥
@alexmkalizenga1068
@alexmkalizenga1068 8 күн бұрын
Ngoma ya viwango wakongwe
@MohamediJaziry
@MohamediJaziry 11 күн бұрын
Bora ata tumepata kiburudisho cha kweli mana tulimic vtu kama ivi tumechoshwa na magoma magoma ya mapiano asanteni sana wazee kazi nzuri.
@nikkitokke8162
@nikkitokke8162 11 күн бұрын
Walibore kweli na mapiano yao, afadhali tumerudi nyumbani🎉
@LeonardBadili
@LeonardBadili 11 күн бұрын
Lakini hizi hazihit sasa watu wanaenda na upepo we endelea kukariri sasa
@karaniomoit5259
@karaniomoit5259 10 күн бұрын
​@@LeonardBadilinani kakudanganya eti piano zinahit wapi na kwa muda gani tuache ushamba eti kuenda na wakati
@MosesMalale-kn2lz
@MosesMalale-kn2lz 10 күн бұрын
Utasikia gurungungunguu
@AmisaMsewa-fd7ji
@AmisaMsewa-fd7ji 10 күн бұрын
@@LeonardBadili Ila zinaishi sana ile👉zinahiti kwa mda mfupi lakini hazihishi kama hizi.
@gadaphmousolin6072
@gadaphmousolin6072 11 күн бұрын
Ukiimba Na Alikiba Na Ukafuata Melody Zake Mzee Lazima Utoboe ...
@Xheni-ze3iv
@Xheni-ze3iv 9 күн бұрын
Kweli kabisa
@ZuberStivin
@ZuberStivin 5 күн бұрын
Yaan ataliii 🔥
@deniskalangari9226
@deniskalangari9226 4 күн бұрын
This is pure bongo flavor 100%🙌 achana na wale wanochafua game
@IbrahimKatana-b9v
@IbrahimKatana-b9v 4 күн бұрын
Kama unahisi kiba kafunika eka like ukisonga
@stivertz7014
@stivertz7014 11 күн бұрын
Asee meleody tulizimiss sana hizi. Amapiano zilishachafua ubongo ila nmegundua bongoflava ni genre kali sana 🔥🔥🔥🔥
@MiriamRoberts_5050
@MiriamRoberts_5050 2 күн бұрын
Nmefika toka Kenya 🇰🇪 kumsapoti King Kiba 👑.
@DanielLugwe
@DanielLugwe 9 күн бұрын
Weweeee kingkiba👑👑 ni moto🔥🔥 natokea 🇰🇪 254 Mombasa uku.Ndio hio ngoma kalii ya kufungia mwaka..Dully sykes and Kingkiba kwa hii wameua.
@MhashaHassan
@MhashaHassan 4 сағат бұрын
Sijawahi kuona KING KIBA akifeli siku zote amekuwa fire, kwangu huyu ndio msanii wangu bora wa muda wote hapa East Africa
@RamadhaniSalim-z5d
@RamadhaniSalim-z5d 3 күн бұрын
Sasa wasanii wetu wa bongo sisi mashabiki hatutaki mabifu yanatuludisha nyuma kimuziki🎉🎉
@Sadi_Tv
@Sadi_Tv 11 күн бұрын
Hii ndo Original Bongo Flavour walio Miss Ladha ya Bongo flavour Like hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ShadrackGoodluck-l9f
@ShadrackGoodluck-l9f 9 күн бұрын
Tunajuwa kabisa kaka
@Nabaro
@Nabaro 9 күн бұрын
Naomba sapoti yako
@Laizerdrummer
@Laizerdrummer 7 күн бұрын
usisahau top notch na hatari yani daah jamaa anajua sana
@sifaortence
@sifaortence 2 күн бұрын
Hii sauti ya Kiba itatumalizia ujumba jameni...This guy siku ataacha mziki basi sitosikia mziki wowote tena❤
@alikibaOfficial
@alikibaOfficial 10 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥
@FreemasterMw
@FreemasterMw 9 күн бұрын
Noma sana
@DavidKasangaki-y5m
@DavidKasangaki-y5m 4 күн бұрын
Ngoma kali sana King kiba naipenda sana kutoka kongo 🇨🇩
@DavidKasangaki-y5m
@DavidKasangaki-y5m 4 күн бұрын
Hii Ngoma kali sana na ipenda kutoka kongo 🇨🇩
@philemonwapili1163
@philemonwapili1163 4 күн бұрын
kali sana brother
@richardmloha1762
@richardmloha1762 4 күн бұрын
Unajua Sana king
@iptisamismaill-f6h
@iptisamismaill-f6h 4 күн бұрын
Dully uku sasa ndo kuimba kaka --- big up sana--
@fabiandanford3572
@fabiandanford3572 7 күн бұрын
Kweli ng'ombe azeeki main big up duly syks
@bekademwaba
@bekademwaba 10 күн бұрын
Hili kiba lichawi la mziki bhana...linaimba kinoma aisee...afu dully ukajiheshimisha bro...bongo fleva imerudi upya sasa
@LIFEOFMRX
@LIFEOFMRX 10 күн бұрын
Dully kama kaandikiwa na kiba
@ombenimilinga3638
@ombenimilinga3638 8 күн бұрын
kiba ni noma sana anajua had anajua tena
@DannielNdambalilo
@DannielNdambalilo 11 күн бұрын
Familia ya kings nawaomba like zangu
@frankmhoja2460
@frankmhoja2460 10 күн бұрын
Nice
@LeahBujaga
@LeahBujaga 3 күн бұрын
Mm Sio shabiki wa hawa watu ila ngoma hili Kali kinoma❤
@docilemutokambali6137
@docilemutokambali6137 3 күн бұрын
No comment, just peace of mind.
@NgasaMaduhu
@NgasaMaduhu 10 күн бұрын
Watoto wa elfu mbili dully sykes ndo msanii wa kwanza duniani kuimba bongo fleva.🎉🎉
@Dapeopletz
@Dapeopletz 9 күн бұрын
Dunia ipi. Maana 1816 forever young original iliimbwa huko ulaya😂😂😂😂
@audaxmlowa9953
@audaxmlowa9953 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂​@@Dapeopletz
@jinjadarfox2906
@jinjadarfox2906 8 күн бұрын
Waeleweshe😅
@flova7022
@flova7022 8 күн бұрын
​@@Dapeopletzkwani young forever ni bongoflava daahhh nyie walimu waongezewe mishahara😂😂😂
@fridandungudashla7770
@fridandungudashla7770 7 күн бұрын
Kasongo yee mumbali nangai😂😂,
@amadesefo3609
@amadesefo3609 3 күн бұрын
Brother dully. Kazi nzuri 👍 From mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@piusmureri4811
@piusmureri4811 11 күн бұрын
Dulllyyu na Kinggg🎉🎉🎉🎉.. Twaupokea Mzigo huu Vyema kabisa hapa Kenya +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jumaabeleu3720
@jumaabeleu3720 7 күн бұрын
Hakika jirani
@mtambojr1815
@mtambojr1815 3 күн бұрын
Dully kakutana na fundi basi nae akaacha mapepe
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 3 күн бұрын
Mtu na mwalimu wake wote mafundi hao awachuji
@rasheedmbutilo6119
@rasheedmbutilo6119 11 күн бұрын
Alikiba ni mmoja tu Duniani Maisha marefu kaka #kiba
@LETICIAJeremia
@LETICIAJeremia 9 күн бұрын
wangapi wanasema hii ngoma kalii🤸
@JoshuaLeonard-lo3cs
@JoshuaLeonard-lo3cs 3 күн бұрын
Hiii nyimbo siku zinavoenda ndio inazid kua kaliii
@DUNCANMAGEROOKUMU
@DUNCANMAGEROOKUMU 3 күн бұрын
so hawa jamaa wa thrombones waliamua wameza mouthpiece
@Sumbukakanuda-f6w
@Sumbukakanuda-f6w 3 күн бұрын
Aya sasa tuko no1
@dr_gainstz
@dr_gainstz 3 күн бұрын
😂😂😂hua naangalia trends kila siku hii mara ya 50 nairudiaa
@Sumbukakanuda-f6w
@Sumbukakanuda-f6w 3 күн бұрын
Atari sana kama mm 2
@milalaemmanuel445
@milalaemmanuel445 3 күн бұрын
Tuko WOTE pamoja
@Iamolaba
@Iamolaba 10 күн бұрын
Brother dully hii sound ulikua wap kaka shikilia hapa hapa umekua mpya kaka 🔥🙌
@davidjoseph1143
@davidjoseph1143 8 күн бұрын
Nyimbo yote kaandik ali.sikiliz crown
@Ngugy_Samwel
@Ngugy_Samwel 3 күн бұрын
Mafundi hawa 🔥🔥🚒🚒🚒🚒
@atupokilemwakajila7179
@atupokilemwakajila7179 5 күн бұрын
Waooo kitambo Sana dully kuimba nyimbo zinazoeleweka na sasa kakutana na fundi hadi kimeeleweka big up Sana
@benjaminabel1680
@benjaminabel1680 3 күн бұрын
Hatamimi bonge langoma🔥🔥🔥🔥
@abdulmutwi
@abdulmutwi 8 күн бұрын
Tuache fitina Alikiba hata nikabaki pekee nitazidi kuwa shabiki yake kweli nyie muondoke nitabaki nae mne❤🎉🎉💞🙈😫
@daudimalusu3142
@daudimalusu3142 11 күн бұрын
Nyimbo kali san, burudan ya kumalizia mwaka..mliorudia kutazam tujuane
@HashimuJuma-yz8ke
@HashimuJuma-yz8ke 3 күн бұрын
Watoto wa kariakoo oyooooooo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MeshackJerry12
@MeshackJerry12 3 күн бұрын
Wooow, hii imenibariki sana
@TerryFlorence-d8h
@TerryFlorence-d8h 3 күн бұрын
Nyimbo nimeangalia toka asubuhi jamani king wewe ni fire
@issackkapimpiti4619
@issackkapimpiti4619 20 сағат бұрын
Huyu king anabalaaa
@saidabdallah
@saidabdallah 4 күн бұрын
Oyaaa wanangu push mzigo uende 1 on trending l😂
@ewadikanuti2147
@ewadikanuti2147 4 күн бұрын
Kufika Moja ni kazi mana Kuna mkwaju na rayvan uko
@milalaemmanuel445
@milalaemmanuel445 3 күн бұрын
Tayar uko moja
@saidabdallah
@saidabdallah 3 күн бұрын
Nimeiona kamanda. Nguvu moja
@qualitycomputerstech
@qualitycomputerstech 3 күн бұрын
🔥🔥
@mdachiog5211
@mdachiog5211 Күн бұрын
Usha fika🎉
@DannielNdambalilo
@DannielNdambalilo 11 күн бұрын
Jaman naomba niseme kuwa mùziki wa dully sykes ndio huu karudi kwenye kiti chake sasa hapa kafanya muziki
@nikkitokke8162
@nikkitokke8162 11 күн бұрын
Rahaa sana bongo flavour imerudii tenana utamu zaidi, sio Yale maamapiano na manyimbo ya Naija, our very own sound, good music
@josephmsafiri8042
@josephmsafiri8042 10 күн бұрын
King ni shida🎶🎤. Hii ya kufungia mwaka walahi bonge la benga twenzetu 2025 taratiiibu❤
@nasmasaid9361
@nasmasaid9361 9 күн бұрын
Weeeee,dully waniuaaaa huku mtoto wa watu humu umetuliaaa sanaaa❤,,,,nyieeee mwaka tunafunga na hii
@godfreymartin4065
@godfreymartin4065 Күн бұрын
Tunataka hii ngoma ikae 1 mpk mwakan🎉🎉❤❤
@gloshyjm2375
@gloshyjm2375 11 күн бұрын
Kiba unajua sana🔥🔥🔥Dully Sykes bado upo vizuri🙌🏼🙌🏼
@shafeeabdi4219
@shafeeabdi4219 11 күн бұрын
Unakili kama zangu 🤘
@atrashabdallah6551
@atrashabdallah6551 11 күн бұрын
Ila kiba anauwa sana au mnasemaj
@RajabuDaffah
@RajabuDaffah 11 күн бұрын
Tyna kaua sana tyu yaan
@robertonaftal9026
@robertonaftal9026 11 күн бұрын
Shega sana
@JeremiahWilfredy
@JeremiahWilfredy 11 күн бұрын
King ni university of good music
@Safetrip24
@Safetrip24 11 күн бұрын
kwa mdomo
@rahuumkiwendu9582
@rahuumkiwendu9582 11 күн бұрын
Kwa mara ya kwanza dully amebadilika❤
@kulwapeter5807
@kulwapeter5807 11 күн бұрын
Noma sana endelea kulinga linga wenzako wana nitakaa
@titusbrower8568
@titusbrower8568 3 күн бұрын
Dogo wangu Kiba mwenyewe ...The King wacha nifunge mwaka nahii.
@Kiulaini
@Kiulaini 3 күн бұрын
This song is like a wine kila siku zikienda inazidi kunoga…🔥
@OshamFelesiano
@OshamFelesiano 11 күн бұрын
Oya team kiba tuvamie hili dude daaah ngoma kali kishenziii
@badshahmarzouq9814
@badshahmarzouq9814 11 күн бұрын
Badshah_photographer King kiba huo unjano mwilini umekaa powa sanaaaaaa
@DavidMarash-su6eu
@DavidMarash-su6eu 11 күн бұрын
We duli niskunyingi ulikua hutambi kwenye muziki 🇧🇮
@albatros-001
@albatros-001 Күн бұрын
İ dont get enough of this song!!!❤❤❤
@OmmyMsoloni
@OmmyMsoloni 3 күн бұрын
Dah hii ngoma ni kali kama unaikubali gonga like
@bienvenukichambaomar5067
@bienvenukichambaomar5067 9 күн бұрын
Kumbe Kiba alikua anasema kweli kwenye ile interview, kwamba tunaimba baada ya apa 🎉🎉🎉 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 10 күн бұрын
Ukijua njia za muziki huwezi kupotea ndo sababu awa jamaa awanaga pressure na Bongo flavor ❤❤
@starlexmerlex
@starlexmerlex 11 күн бұрын
King kiba kaua humu #mziki mzuri❤❤❤❤ @alikiba
@dogoshazzy761
@dogoshazzy761 3 күн бұрын
Namba 1 king kibaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤
@RahmaSaidi-l7y
@RahmaSaidi-l7y 7 күн бұрын
Metisha wanyama wawili kwenye track safi
@rashidymussa1320
@rashidymussa1320 11 күн бұрын
Kiukweli ngoma qari sana na video qari sana hongeren sana watu wa Mungu kwa burudani nzuri mliotipatia.🙏🙏
@benbizzytz6441
@benbizzytz6441 10 күн бұрын
Kimara Temboni mbaliiiii/ Ilala ninanyumba kalii/ Na moyo wangu unajali/ Kuwa Namimi ni kama zali/ 🔥
@JeremiahWilfredy
@JeremiahWilfredy 11 күн бұрын
Kama umeirudia ngomq zaidi ya mala 3 gonga like yoooooooh
@MichaelBruno-zy8ff
@MichaelBruno-zy8ff 4 күн бұрын
Bongo Kama Bongo narudia tena hakuna wa kutushinda🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿EAST
@hassankibanga2836
@hassankibanga2836 3 күн бұрын
Dully is back
@YuzoPro
@YuzoPro 11 күн бұрын
Kweli nipo Zambia namukubali sana dully pamoja na king
@Kiulaini
@Kiulaini 11 күн бұрын
Wenye Bongo Flava Yao katika ubora Wao ….🔥🔥🔥
@AYRASTARR-k8w
@AYRASTARR-k8w 11 күн бұрын
KING KIBA NI MMOJA TU AFRICA NZM ✍️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@simondogtrainer7498
@simondogtrainer7498 11 күн бұрын
Ngoma yote kaandika kiba
@denissembuche9538
@denissembuche9538 3 күн бұрын
Duuuuh no mokoooo Bado mpawaseme
@FrancoisFrances
@FrancoisFrances 3 күн бұрын
Namba one Treding in Tanzania no dought
@salamafair1169
@salamafair1169 Күн бұрын
❤❤❤❤❤no comment
@redinbrown2296
@redinbrown2296 8 күн бұрын
❤hiii mzigo ni Kali hot 🔥 Kenya twaikubali kiba vocals ❤ Dully legend...
@silasurio4645
@silasurio4645 10 күн бұрын
Nimeurudia mara chungu nzima bonge la wimbo,likes tafadhalini ndugu zangu
@evancemwanasenga8200
@evancemwanasenga8200 3 күн бұрын
Hii ngoma ni shidaaaaa
@gabrielsixtus1718
@gabrielsixtus1718 Күн бұрын
a legend music key notes, hatarii
@kennedygitau6263
@kennedygitau6263 Күн бұрын
Wooow..from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪long time ma nigga dully sykes..nlikuwa napenda huyu msanii sana welcomeback to the game.. #kibamusictotheworld
@isayakatuwa9482
@isayakatuwa9482 11 күн бұрын
Yani kiba akiimba tu pa pa lila papa angeishia tu hapo lakin mimi naona burudani tu,mwamba unajua🎉
@somarydehustlermnandi1225
@somarydehustlermnandi1225 6 күн бұрын
hii ngoma kali sana dah pappapapapappaoapapapp papambilia papaya tunawakubali hawa legends tunakutana hapa
@MohamedHaji-i4k
@MohamedHaji-i4k 11 күн бұрын
Hii ndio bongo fleva halisi
@MohamediArry
@MohamediArry 8 күн бұрын
Namkubali sana Alikiba ndio msanii wangu bora kila mwaka respect brother
@Paps-254
@Paps-254 7 күн бұрын
Kubwa hii sana Kibaaaaaaaa
@AbedTago-i9i
@AbedTago-i9i 11 күн бұрын
Good Sound👉Good Melody it's on FIRE 🔥🔥Tuondokenayo hii mpaka 2025
@mudybaaroo4540
@mudybaaroo4540 11 күн бұрын
Ubongo wa Fulever😂😂😂 safi sana wafundisheni watoto wadogo
@bandt3864
@bandt3864 11 күн бұрын
Zangu ziwapi kutoka 🇰🇪
@ConfusedPeacefulLake-nh8qm
@ConfusedPeacefulLake-nh8qm 4 күн бұрын
Dulysysk anasaut kali sana kwnza ivoanza sikumjua kama ni yeye
@YohanaaroniYohana
@YohanaaroniYohana 4 күн бұрын
Et we endelea kulingalinga wenzio wananitaka ❤❤
@DanFlavourTz
@DanFlavourTz 11 күн бұрын
Hii ngomaaa sio kitoto wazee 🙌
@IsaiahJuma-wp4jf
@IsaiahJuma-wp4jf 11 күн бұрын
Alikiba verse yake noma 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nzikubossco9517
@nzikubossco9517 11 күн бұрын
KING.....👑 Umeua🔥🔥
@Judy-b5e
@Judy-b5e 13 сағат бұрын
Watu wa kenya 🇰🇪 mombasa vilifi malindi Nairobi tujuane❤
@johnjoseph2975
@johnjoseph2975 3 күн бұрын
On trending 🎉😅😅😅 tisha sana 👑 king
@officialdesigner5556
@officialdesigner5556 11 күн бұрын
Wamekutana mafundi watupu 🔥🔥
@bon_boy_bombany__artist_of_Tz
@bon_boy_bombany__artist_of_Tz 11 күн бұрын
Papa pa pa pa pa KAMA WIMBO niloweka stayasi majuzi 😮 🎉
@alitomorrow166
@alitomorrow166 11 күн бұрын
Dully hapana bro ww ni mtata humuuu umeumizaaaaaaaa
@abdulkajuna
@abdulkajuna 4 күн бұрын
Zali ya moto sana
@evanskombe5579
@evanskombe5579 Күн бұрын
Masterpiece
@mutumbisalash923
@mutumbisalash923 10 күн бұрын
Sim imejaa full Alikiba hits bado tena hii jamenii😢🎉🎉🕺🏾💃🏽🤩Mista Misifa legend big up 🤴🏾👏🏿🇧🇮🇧🇪
@RajabuDaffah
@RajabuDaffah 11 күн бұрын
King 👑👑👑👑 Dully Naombeni like zenu leo nmekuwa wakwanza
Maua Sama feat Alikiba - Itakuwaje (Official Music Video)
3:21
Maua Sama
Рет қаралды 137 М.
Chege feat Alikiba - Kipofu (Official Music Video)
3:59
Chege Chigunda
Рет қаралды 3,5 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 37 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 71 МЛН
Marioo feat Harmonize - Wangu (Visualiser)
2:50
MariooOfficial
Рет қаралды 1,7 МЛН
Rayvanny feat Alikiba - Naoa (Track No.3)
3:21
Rayvanny
Рет қаралды 295 М.
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
3:07
Joel Lwaga
Рет қаралды 6 МЛН
Dj Mushizo x Ibraah Ft Jay Combat Ft Baddest 47 - WIVU Remix ( Official Video )
3:49
Alikiba feat Jay Melody - Hatari (Visualiser)
3:30
Alikiba
Рет қаралды 1,5 МЛН
Aslam Tz - Tukutane Mwakani (Visualiser)
3:21
Aslam
Рет қаралды 655 М.
Marioo feat Alikiba - Sober (Track No.3)
3:19
MariooOfficial
Рет қаралды 463 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 37 МЛН