kuimba live katika ubora huo ni zaidi ya kipaji!!! huyu jamaa yuko juu!!
@allainnzbnt27645 жыл бұрын
Kweli una weza acha umbwa huyo diamond
@saidjuma97825 жыл бұрын
King Kiba....noma sana.... Waulize wanao fanya cover za nyimbo ni jinsi gani wanavyopata Tabu... Hongera...,❤️❤️🌹🌹
@mariamsaidi30846 жыл бұрын
Woooow nani ana soma comet kabla haja angalia jmn kenyans muko wapi ❤️❤️❤️🇰🇪
@nyazouzieri57216 жыл бұрын
Mimi bele yaku agaliya na soma commit kwanza
@masoudhamad12805 жыл бұрын
Hei
@rajudende14505 жыл бұрын
Mariam Saidi yooooooop
@mloleclassic-2545 жыл бұрын
Tupo
@thedylembris47017 жыл бұрын
Tulikumiss sana huku uwe unakuja king yeoooooooooooo
@neziali69927 жыл бұрын
Nakukubal my big up broo kiba mwanzo mwisho
@omega_one_alphaxardjames6 жыл бұрын
Yes kiba mia mia nakupatia 100% naona unatumia sauti yako asilimia mia
@gabriellydaud54117 жыл бұрын
Hongera sana king kiba kweli ww ni next level háhahaha wauweeeee
@mashoplacky55822 жыл бұрын
Fire moto Alikiba Anajua
@cagedbird35695 жыл бұрын
From Kigali Rwanda I love Alikiba and this perfomance was super good✌
@fabricepaluku62425 жыл бұрын
ALIKIBA oyéééééé oyéééééé I'm RDcongolese by nationality🇨🇩 mimi si tchoki atakidogo nikifata clips za KIBA.
@pacifiquerusimbi32967 жыл бұрын
lazima tuweke likes kwa king Kiba
@boscomseso27246 жыл бұрын
King kiba mfalume wa bongo freva
@justingentil31653 жыл бұрын
@@boscomseso2724 yebabaaaaaa
@fatmaismail76836 жыл бұрын
Nakupenda Sana brooo Mungu akupe miaka mingi
@hairiaabdallah95732 жыл бұрын
Amine INSHA ALLAH
@mamiimichael51017 жыл бұрын
allykiba baba endelea kuwaumiza tyu an mm ata uimbe a e i o u an ntanyoosha mkono tyu juuu an unanimalizaga so kitoto wala kizembe an wew unafinyia kwa ndan an hatwareee
Mfalme mwenyezi mungu akufanyie wepesi usahau kipindi hiki kigumu na uweze kuludi kazini kwa hali nguvu na kasi mpya
@mcnjovu35254 жыл бұрын
Nakuaminia sana king kibaaaa uko poa sana jembe langu hujawahi kosea
@tusamwangasa31566 жыл бұрын
Penda sana alikiba kaz kaz 😘😘😘
@taratibupaul5 жыл бұрын
King Kiba.. Hapa 254 nakukubalia..
@hubertpaschal19546 жыл бұрын
Hakuna msanii bora apa Tz kama king Kiba
@unclejj97537 жыл бұрын
One thing I like kiba anauwenzo wakuimba live this is more than talent I like it
@patientGrevislay7 жыл бұрын
U kill it brohh... Gonga like ya nguvu kama wamkubali kiba
@mwambirekwamboka95257 жыл бұрын
Good work from the king himself ...much love frm +254
@azizamlumba725 жыл бұрын
jaman ali kiba is more than musician namfananisha na legend like john legend
@badboy25777 жыл бұрын
Kiba amefanikiwa kupiga live show.Hii ni zaidi ya kipaji.yaani mziki uko kama uleule ulioko kwa CD
@aderaodhiambo48335 жыл бұрын
Kiba noma xna
@maikochales31545 жыл бұрын
nomaaa sn kiba
@officialsulesule43344 жыл бұрын
Karibu tena arusha king
@ustathsaid91526 жыл бұрын
Umetisha Sanaaaa Kiba Bigiap Sanaaa Team Kibaaaa🎸🎸🎸🎶🎶🎶
@yasminally10152 жыл бұрын
Asallam maalequ maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala Alikiba Allah hjelp you Ishaalla Ishaalla Asallam maalequ
@namulikatumbasarah65297 жыл бұрын
Much love from me from Uganda team Ali Kiba
@abduldeco26165 жыл бұрын
Kings music forever......bro you must come to Mozambique and make history.......aje make it happen bonge la beat
@emanuelwilliam16076 жыл бұрын
Mziki mzuri sanaa king kiba ....
@takhafifukhamisi47056 жыл бұрын
Yuko juu sana uyu mtu
@jacobmachua1605 жыл бұрын
My lovely king kiba
@ausikaluma49676 жыл бұрын
King kibaaaa nakubaliiiiii
@speroachpaulsen4 жыл бұрын
King Kiba Vibes On That Show Was So Lit I can't Wait This Year On His Almost Show...!
@ankalmzito59927 жыл бұрын
nyinyi tem mashuzi kama mwasema nyie wakali...hebu pigeni show ya live band...hapa team kiba tuuuuu...
@kondofupa8466 жыл бұрын
Daaah kiba anajuaaa sanaaa
@nelsonnmwaipaja69805 жыл бұрын
Yeah babaaaaa
@rayzonevic40413 жыл бұрын
Kubwa sana
@davidmasinde85343 жыл бұрын
Talented musician boy
@stafordstanley22577 жыл бұрын
you deserve recognition Alikiba.. make sure you keep up . your fans love you more than you can imagine. please keep working hard
@abdulwarithchulubye56966 жыл бұрын
KING KIBA wewe tayar sayari nyengine Na hauwezi kufikiwa,ila mchukuwe Na BEKA FLEVER umalize kaziiiii,jamaa hodari nae..Na kundi litakuwa balaaaaa
@jumabikonya93685 жыл бұрын
anazinuwa huyu jamaa mtindo wakuwaweka mpka watoto wake kimya kama hawez yy kutoa ngoma mara kwa mara awaachie watoto wake wakina kings music siyo kuzingua huku
@godlovegeorge23345 жыл бұрын
@@jumabikonya9368 Kabisa mzee me wale madogo naamini wana uwezo mkubwa Sana lakn hawasikiki
@kissboyclaassic23793 жыл бұрын
yeeea iii ni live yakweli amna ushubwada kaweli sio tim kiba lakini mpenda kitu cha live kiba ongera sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻😓❤️🥰🥰
@maryangela1076 жыл бұрын
wengine wanakuangalia mpaka jisi ulivyo bomba broo
@mamuuomar25967 жыл бұрын
wow atanimejikuta na katika 💃💃
@abdullmajengo2607 жыл бұрын
Hahaaaaa
@omarymbalala62247 жыл бұрын
huhuhuhuhu king ni balaa
@patricklugarata23816 жыл бұрын
Haaa!!!! We Nouma
@shabanikugwile89345 жыл бұрын
Hhhhhhhhhh aya bhn
@achakanjanet56084 жыл бұрын
This is MOST pure talented musician I know His voice is so unique and lovable,
@kulilyhassankulily5216 жыл бұрын
Nan kasikia yoooooo? Gonga like Kama umesikia
@ismailinusso82195 жыл бұрын
kazi mzur sana king. .iam from Mozambique
@jsjonlinetv6 жыл бұрын
nnawapenda sana ndugu
@asnaryarry4566 жыл бұрын
Menamwele sana ali nizaidi
@nobertmulesi33877 жыл бұрын
a master of his own game....self made ....all the way up
@boazsamwel61116 жыл бұрын
Nakukubar sana kiba
@marthamartine50777 жыл бұрын
hatareeee sana jaman nakupenda mie
@Shirleen_Wairimu6 жыл бұрын
King kiba umewashaaaa motooo lyk zake
@osmankemokai41403 жыл бұрын
U Good Bro
@davidbombeki57975 жыл бұрын
Wow!!!! Dude you are amazing
@ankalmzito59927 жыл бұрын
yooooh!#kiba king of bongo...ubishaaa?...
@flova70223 жыл бұрын
This is my best artist
@jembezjembez58065 жыл бұрын
Imekuwa kubwa Sana haibebeki hii hatar sna
@esposwit52137 жыл бұрын
turn up ma big bro .....mimi apa......niko tariyari.... hatakama .......seduce me ....Ali na sis tuna ku omba concert moja America......
@abibemedy21954 жыл бұрын
Kama wewe unakubali king kiba like here ni 2020 nataka like 💯💯👏👏
@anisasaid45527 жыл бұрын
Ww noma kaka awataweza
@gulledhassan59447 жыл бұрын
king Kiba For Life♥
@sharonachieng3597 жыл бұрын
Mob love from Kenya!!
@fatimhalfatimh11477 жыл бұрын
mmewangu kwa ubora wake nakupenda hadi basi tuu
@faraishawa87084 жыл бұрын
Good alikiba munapendwa sanaa. Washabikii tupoo.
@fabianamendes14007 жыл бұрын
One of my favorite loves too much 👑 🔥🔥🔥🎶💃💃
@vonkale85657 жыл бұрын
Huwezi jutia kiingilio kwa hii show
@bayagiletv16577 жыл бұрын
hii Kali ya mwaka
@pacifiquerusimbi32967 жыл бұрын
King of The king. Noma sana Mufalme
@rogerskidaly36026 жыл бұрын
yoooooooooooooooooo, yee babaaa
@ramadhaniselemani35696 жыл бұрын
asantee...... yooooooooooh
@priscarange29747 жыл бұрын
live performance this is so wow....king ur real somebody else😍😍😍😘😘
@fadhilimadirisha3 жыл бұрын
😘😘😘😘💌
@fetygao22325 жыл бұрын
Yani sioni tofauti kama nasililiza cd vile ali upo juu mawinguni still watching 2019
@hairiaabdallah95732 жыл бұрын
YE BABA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sajidaulaya98696 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka
@ramadhanimakinda23015 жыл бұрын
Upo vizuri kiba boy
@artemisneoy95964 жыл бұрын
Cheki shangwe...chugga naipenda sana hawapendagi masoro...wanapenda vitu OG
@hamzakwilaula43937 жыл бұрын
nakuomba toaga na live band version ya nyimbo zako duuuha king you role it harder