Graduate hajui Songea sio mkoa ni wilaya!!! Hatari kabisa!!
@jacobmwera9636Күн бұрын
Songea inatajwa kama mkoa , hata hospital inaitwa HOSPITAL YA MKOA SONGEA
@yukundapeter8200Күн бұрын
Mshamba,anajidai hajui mkoa na wilaya,aliibia mtihani
@ewim-g7uКүн бұрын
@@yukundapeter8200 duniani si kila kitu lazima ukijue,anavyovijua vinamtosha
@wadhhasuleiman2621Күн бұрын
@@jacobmwera9636inatarajiwa Sio mkoa
@Aljentina23 сағат бұрын
😂😂😂😂
@mathayomwashambwa123813 сағат бұрын
Mkoani mbinga sio mkoa songea...
@zuenampandeni334719 сағат бұрын
Huyu dada inaelekea kafa kaoza.
@AzizMangaraКүн бұрын
Sumbawanga na Rukwa
@yukundapeter8200Күн бұрын
Sasa km songea ni mkoa? Bac uliibia mtihani.
@hellendaniel38092 күн бұрын
Hahahaaaa mkoani Songea.Huyu amesoma je ambae hajasoma ndio wale mkoa wa Moshi
@ewim-g7uКүн бұрын
Acha ujuaji
@edwardntamaboko3414Күн бұрын
Kama Moshi wamesoma basi waliibia mtihani,maana Songea siyo mkoa!
@DM.2200Күн бұрын
@edwardntamaboko3414 kwan uyo dada kasema wap ye wa mosh?
@victoriamusa221522 сағат бұрын
😅xxxx😊😊x😊😊😊yx😊xd😊
@OlyUpowerfuljesus18 сағат бұрын
No Kuna mikoa inajulikana kwa wilaya zake watu hawajui kama hizo ni wilaya sio mikoa mfano Mkoa wa Ruvuma wilaya Songea, Kilimanjaro wilaya Moshi,Kagera wilaya Bukoba nk
@huldamichael44452 күн бұрын
Hivi kuna mkoa wa songea kumbe na hamsemi?
@TarcisiaKilumile2 күн бұрын
😂😂😂😂
@hellendaniel38092 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@Brunn-mh2bq2 күн бұрын
Yaani hii nchi ya ajabu kweli kweli. Ati hawa ndio wasomi wetu😢
@FghgRyyКүн бұрын
Tulikutana wapi Sema mwenyewe 😂😂😂 Tulikutana mkoani Songea 😂😂😂 dada wa watu anatetemeka bwana kipara alivyopotea ukumbini😂
@paulalove122318 сағат бұрын
Wa tz cjui mnashida Gani sasa kusoma ndolazima ujue mikoa yote bado Kuna kaujinga akilini mkatoe@@Brunn-mh2bq
@SebastianNgimbaКүн бұрын
huna adabu,unaongea mikono fukon mbere ya wakwe
@NtamamiloGibsonКүн бұрын
Hii ni kawaida tu sio kila kitu utajua leo hii ukiulizwa Simiu au Geita ni kitu gani wapo watakao kosa