Aliyeona Nyoka ndotoni (1):Skh Jafari Mtavassy

  Рет қаралды 17,394

MTAVASSY TV TANZANIA

MTAVASSY TV TANZANIA

Күн бұрын

Watu wengi huota Nyoka usingizini ndoto hii njozi hii hujulisha taarifa ya kwamba Luna jambo jipya nalo ndio hili ambalo anatujuza Imaam Skh Jafari Mtavassy .usisahau kushea ili wengi waelimike maana leo watu wanadanganywa na wanadhulumiwa tu kila kukicha wanahamu na kujua nini chakufanya ila wanakutana na watu waongo wanawapotosha na kuwadanganya usisahau ku subscrib na kama una jambo tunaomba comment yako

Пікірлер: 78
@greatiq8234
@greatiq8234 5 жыл бұрын
Ndoto ya kung'atwa mikono na mtu mwenye umbo la kamba wabaharini, pembeni kukiwa na mama (binaadamu) mwenye macho ya papa(shark) huku viatu vyangu (nikiwa mgeni wao) wakivifanya ndiyo bakuli za kulishia kuku wao machicha ya nazi. Nimepambana sana nikuone nilipo kuwa Tanzania lakini bahatihaikuwa yangu. Hata kwa simu!
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 жыл бұрын
Wewe unaandamwa sana japo ni habari ndefu kukuelezea maana inaonyesha unayo taarifa ya kinachokusibu na kama haujui tafuta muda
@greatiq8234
@greatiq8234 5 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv Mimi sipo Tanzania. Nilikuwa huko miezi mitatu nyuma. Nilikutafuta lakini uliniambia uko bize. Ulikuwa Tanganadhani. Ni mpaka nije tena likizo. Nina mitihani mingi mno inasumbua maisha yangu. Naomba dua zako. Naomba dua zenu.
@khadijaabdallah3074
@khadijaabdallah3074 2 жыл бұрын
Asalam Aleykum warahmatullah wabarakatuh.shekhe Mimi nimemuota nyoka mwekundu kasimama watoto wakaniambia mama nyoka nikawaambia nimemuona.ila kulikuwa na shemeji yangu na mjomba wake wapo nyuma yangu wamekaa wanambia tokeni nikawajibu tunatoka Ila mtoke pole pole asijue ili Sisi tumuue.tukatoka nikakuta wanafunzi wengi wananawa ili kujiandaa kwenda shuleni na Mimi wangu pia walikuwa wananawa vile kwenda shule .walipo maliza kunawa wakaenda shule ndipo nikarudi ndani kuwauliza shemeji yangu na mjomba wake.mumemuuwa wakajibu ndio Ila tumehangaika kumuua mpaka tumemchoma na mkuki huo mkuki ni wangu nilinunua .sasa sijui ina maana gani shekhe nisaidie
@jenelomboma9882
@jenelomboma9882 5 жыл бұрын
As.alaykum skh shukran saana naomba nikubashirie na weweskh wetu maaashaa Allah weweni kinana na unaakili nyingi na uwezo was kufikiri Mana ndoto watu wanasoma misingi tu Sasa kwa umri huo unaoonekana nao Basi Allaah akikuongezea kidogo tu umri ukaapta kwenda kwenye 40 nakubashiria kwamba hakuna skh was Zama hizo ila atatamani akuone apte Dua yako skh natamani Sana Sana Kama ningekuwa mmoja wa watoto wako was mshipa ili niirithi kwako elimu namisingi yake Kama ulivyoichukua naomba Allaah ayathibitishe niliyoyanena na uendelee kuwa juu ya ubora aamiin
@WachajiWaForo
@WachajiWaForo 2 жыл бұрын
Allah atakujaalia elimu unayoitamani na uitumie katika misingi ya Kiislam. Jitahidi kusoma na Allah hana hiyana.
@asiasalehe1832
@asiasalehe1832 27 күн бұрын
Shekhe nimeota joka kubwa sana limezingira nyumba lkn halikuingia ndani kwetu
@IssabelaMuiruri
@IssabelaMuiruri 3 ай бұрын
Baadae walikua wawili moja ni wa rangi ya kijani mwengine ni mweusi wa kubwa
@WachajiWaForo
@WachajiWaForo 2 жыл бұрын
Assalam alaykum wapenzi wote na sheikh Mtavassy. Sheikh mimi nimeota mwanangu wa kike anawalisha nyoka kwa mkono nao wanakula bila ya kuwepo ishara mbaya. Kama rafiki. Naomba unifasirie ndoto yangu asante sana na Allah akuzidishie ujuzi amiin
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Wa,salaaamu warahmatullahi wabarakaatuh hii naifasiri kwa clip kesho inshaallah au kive streaming usikose tutamtaja mtu wa aina hiyo na maana yake
@samamussakibwana5703
@samamussakibwana5703 2 жыл бұрын
Uzazi utapata mtoto
@AbubakaryOmary-m6l
@AbubakaryOmary-m6l 21 күн бұрын
Assalam aleykum Nimeota nyoka mweusi yupo karibu yangu , akawa anajivingirisha mbele yangu kiasha akaanza kuondoka mwenyewe bila mimi kumpiga na yeye hakuning'ata
@mariammariam642
@mariammariam642 4 жыл бұрын
Mashallah
@florencemkaighombo5608
@florencemkaighombo5608 4 ай бұрын
Mtoto wangu aliota nyoka ya green imemuuma
@aishajuma7192
@aishajuma7192 2 жыл бұрын
Mimi nimemuota nyoka mdog mdog na kakimbilia kwenye Nyumba ya Jirani Yangu ambaye anamjua kabisa
@mwantumuyusuph1209
@mwantumuyusuph1209 5 жыл бұрын
mwalimu asante sana unatuelimisha kuna watu wezii majiziiii wanadanganya watu na wanawatapeli kwa kujifanya waganga na wakiwaeleza njozi tata tu basi wanawatisha wanawatapeli nilipoona video zako naapa machozi yalinitoka Mungu akushike mkono aamin
@rukiakassim7925
@rukiakassim7925 4 жыл бұрын
Asalam alaykum shkhe mm nimeota nyoka mkubwa mfano wa chatu lkn baada ya wiki mbili nimeota joka hilo limela chali limenyooka sawa sawa inamaana gani hii ndoto naomba jibu
@mariammariam642
@mariammariam642 4 жыл бұрын
👏👏
@IssabelaMuiruri
@IssabelaMuiruri 3 ай бұрын
Mimi niliota nilipeleka nyoka nyumbani akiwa mdogo baadae akawa mkubwa babangu akamuua
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 11 ай бұрын
Mume Wangu kasema amemuota nyoka mkubwa wa kijani lakin hakiwadhuru
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 11 ай бұрын
Muambie aisimulie
@bayaanhumud4328
@bayaanhumud4328 5 жыл бұрын
Shekh mm niliota nimemuona nyoka chumbani ninapo lala mkubwa yumo ndani ya mfuko kijizonga zonga ila kichwa katoa nje ya ule mfuko yaani sehemu yake fupi pamoja na kichwa chake kajitoa nje ya mfuko lakini nikampiga nikamuua
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 жыл бұрын
Utamshinda adui yako tena inaweza kuwa adui mwanamke au jinni shaitwaan amma mtu unaekwenda kushindananae
@hadijahussein6302
@hadijahussein6302 2 жыл бұрын
As salamu alaikumu wa rahmatulah wabarakatu barkalah fika,
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Wa,salaamu warahmatullahi wabarakaatuh
@salmahamis7415
@salmahamis7415 4 жыл бұрын
Shehe nimeota nyoka wengi wadogo duuu naogopasana
@aksamayuni911
@aksamayuni911 3 жыл бұрын
Asalam Alaikum haliyako Ostaz mie nimeota nimekwenda safar namwenzang gafla nikaona mayai yanyoka tuka yapasuwa gafla akatokey nyoka mweupe aka mfukuza aka mtafun yule mwenzang aka geuka akawa ana nifukuza nmie nikawa nakimbiya gafla akaniuma namie ila sikuzurika hii ina man gani Ostaz naomab msad wako
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Unae adui ambae bado hajakudhuru kwa anayoyafanya dhidi yako ila ni hatari huyo
@WinifredMwashilindi
@WinifredMwashilindi 5 ай бұрын
Niliota nyoka wakati nimelala wapo mwishoni mwa kitanda miguun watatu. wawili ni wadogo mmoja mkubwa hawa wawili. mdogo wangu akawauwa abaki mkubwa yule mkubwa akawa anapandisha ukuta anaondoka maana yake ni Nini?
@misslady43
@misslady43 2 жыл бұрын
Shekhe mm nimeota nimekunjiwa nyoka shingon nimepelekwa mahakaman bila kosa, nilipo fikishwa ndiyo wakaniambia mzungushie nyoka shingon asije kukimbia nilkuwa napandishwa g'horofa tu ndefu nimeamka nimechoka nipo hoi hapa sjui hii ndoto ina maana gan jmn
@AinaMsakwa-pc7em
@AinaMsakwa-pc7em Жыл бұрын
Nimeota nimeona nyoka ndani ya nyumba kwenye Kona amezaa vitoto....nikatoka kumwita mtu amuue. Akaanza kumpiga kwa fimbo
@hazamhazam8294
@hazamhazam8294 Жыл бұрын
Nyoka anauliwa na watu ni nipo pembeni natiza tu
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Hapo unaombewa udua kuondoa shetani au matatizo. Tafuta dua haraka huwezi ona hii ndoto ila kuna jambo laja au upo matatizoni
@johainachari8374
@johainachari8374 5 жыл бұрын
MI niriota nyoka watatu wakubwa wawiri mtoto mmoja nikauwa mkubwa namdogo mmoja kakibia mwazoni warikua wananitisha nikawa nakibia
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 жыл бұрын
Toa maelezo vizuri ili nisielewe tofauti ndugu yangu
@yasobush8987
@yasobush8987 3 жыл бұрын
Shekh,Nimeota chatu kwenye mti anamlewesha nyoka mdogo wa kijivu juu ya kichwa,nikakimbia nikaondoka.
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Sijaelewa ndugu
@yusuphmjili7763
@yusuphmjili7763 4 жыл бұрын
asalam alaykum maalim naomba kujua niliota napaa juu nasikushuka chini alaf naelea angani
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
Utapata neema ama utajiri au kiwashinda wengine katika jambo munaloshindana
@baylamkandwa3895
@baylamkandwa3895 4 жыл бұрын
Kama joka likiwa kubwaa Alafu laingia ndani kinyume nyume
@kassimnandule918
@kassimnandule918 5 жыл бұрын
Nimeota nimemkamata nyoka mkubwa kichwani tena kwenye chumba cha mteja wangu na nipo na mfanyakazi mwenzangu tena huyo nyoka alinilushia yeye nikamkamata kwa mikono yangu miwili sehem ya kichwa mpaka nikamkata kichwa damu zilitapakaa chumba kizima ikabakia kufuta damu kwani kila kona kulikuwa na damu nilivyomaliza zile damu kufuta nikatoka nje nikakutana na mwenye nyumba na familia yake wakanipa kazi ya hela nyingi sana mara nikashu2ka kutoka usingizini hii inamaana gani Dr
@bayaanhumud4328
@bayaanhumud4328 5 жыл бұрын
Please shekh kama ukiona comments yangu naomba unijuze
@khadijaahmed7455
@khadijaahmed7455 3 жыл бұрын
Asalam alaykum sheikh, mimi niliona nyoka 3 mmoja rangi ya brown mmoja simkumbuki rangi mwengine amechorwa kama vile masanam yale ya misri huyu yeye alikua na rangi nyingi ila ya mamjano ndo imekoza zaid,kati ya hao yule wa rangi ya brown ndo alinifuza na nilipigana nae mpaka alipasuka zile damu zikaniingia mwlilini na uson ila hakufa alinikimbia tu na wale wawili walikua wakitazama tu..
@khadijaally7271
@khadijaally7271 3 жыл бұрын
Sheikh mimi niliota nyoka wawili mmoja mkubwa tena mnene na ni mweusi na mwengine mdogodogo wa kijani wanatoka katika kitanda nilicholala lakini sikulala pekeangu nikawa napiga kelele
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Yaweza juza kuwa kuna fitna itakuja kwenye mahusiano yako au unashaitwaan anaefanya mambo yako ya kimahusiano kuharibika
@alexkalonga3632
@alexkalonga3632 4 жыл бұрын
Mi nimeota nyoka ananikimbiza shekhe
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
Pole sana nenda ufanyiwe msaada na wewe ujiombee pia kuna adui anakuwinda kichawi
@aishanimeipendasanajuma101
@aishanimeipendasanajuma101 5 жыл бұрын
Japo siku moja nijb comment zangu hujawahi nijb swali langu hata moja na nimfatiaji sana wa vpnd vyako lkn cjui nina bahati gan kwako
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 жыл бұрын
Pole dada uliza nikujibu inshaa Allaah
@inabikorwaneema8815
@inabikorwaneema8815 6 жыл бұрын
Jazzak'Allah kheir
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 6 жыл бұрын
aamiin wa anta kadhaalika
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 4 жыл бұрын
Mm niliota joka jeusiii tiii ananiangalia na ulimi wake anautoa nje na kuurudizha ndani
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
Achana na mambo ya mizimu fanya ibada iliyonyooka hata hao majini wanaabudu kwa Muumba wa mbingu na ardhi na viumbe vyote vya stahiki kuabudu kwa haki sasa inaonyesha kuna jambo mizimuni linakusumbua nakuhusia usishikamane na hilo
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 4 жыл бұрын
Asante lkn sijawahi na sijui mzimu ni nn labda mabibi waliopita je nitaepukaje hii ali
@winifridakilumbu148
@winifridakilumbu148 4 жыл бұрын
Njoka wa njano yupo juu ya meza hakutaka kunigonga ila Nina taka kumuuwa akaingia kwenye shimo akapotea sikumuona inamaana gani??
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Asalam alykum nini maana ukiota unauza nyoka hatari sana
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
wa,salaamu warahmatullaah utasababisha bfitna wewe kwani nyoka hana faida hupatikana sumu kwake hivyo ni fitna inatajwa badilika kitabia na uchunge ushsuri wako na pia kauli zako kuwa makini sana maana inaweza ikajuza kama kuna jambo umefanya kwamba wewe ndio chanzo cha hayo yanayotokea
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Subhana llah nadhani nilikosea kuandika Bali nilimkanyaga nyoka na kumuuwa
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
@@lifeinmiddleeast8179 hapo utamshinda adui au adui atakata tamaa kwako
@jacklinechalse1966
@jacklinechalse1966 4 жыл бұрын
Habari SHEHE nimeota uck Wa Leo vitu vya dhahabu katika hivyo vitu kuna mama mmoja alikuwa anaviiba badae akaondoka na mimi nilivitaman sana nivichukue nilipoenda katika chumba ili nichukue vikapotea sikujua vieenda wap naomba unisaidie nini maana ya hii ndoto
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
kama hautakosa mirathi wewe basi basi ni kupata khasara na mkosi yaani nuksi katika maisha yako tafuta njia ya kujinasua jiombee na tafuta tiba madhubuti hata kinafsi pia
@petersanga2314
@petersanga2314 5 жыл бұрын
Nimemuota nyoka mkubwa chatu mweusi ananikimbiza akameza mwanangu na wadogozangu, akawa kalala chini mamba wakamvuta kwenyeshimo. Nikashituka nikalala tena nikaota nyoka yupo ndani kwangu kwenye jaba LA maji nini maana yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 жыл бұрын
ni uadui kutoka kwa mtu wa karibu
@halimathadey7240
@halimathadey7240 2 жыл бұрын
Nimeota nyoka anamng'ata mwanangu alafu Nika muua nin tafsir yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
ataumwa na kupona kama tu haisemi atapatwa na uchawi au ugomvi na hali hizo zitakwisha inshaallah
@rukiakassim7925
@rukiakassim7925 4 жыл бұрын
Shekh mm nimeota nyoka mkubwa mfano wa chatu kujizonga kwenye ringi la gar linachezacheza inamaana gani? Lkn cha kushangaza nimekaa km mwezi mmoja nikaliota ilo joka limelala chali, limenyooka naomba shekh inamaana gani hii ndoto
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
kuna shaitwaani wa kijini anachezea neema zako anafanya kazi ya kukusumbua na kupumzika baada ya kuona mafanikio na ukiwa wanyookewa aja tena jihadhari kwa maana hela itakuwa haikai kwako na matztizo mengi
@aishanimeipendasanajuma101
@aishanimeipendasanajuma101 5 жыл бұрын
Mm nimeota nyoka lkn c kumuona ila wenzangu wakawa waniambia njoo muone nyoka huyo aja huko nikawa na kimbia sikutaka kumuona nasikumuona ina maanisha nn
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 жыл бұрын
Hiyo ni ishara ya kuwa wewe unaambiwa kuhusu adui unadharau au kuna adui unaepushwanae kwa bila wewe kujua
@rahabudecandy4442
@rahabudecandy4442 4 жыл бұрын
Nimeota nyoka was njano anamadoa meusi na mistar meusi nikaita watu walipo kuja wakamuua lakin nilipo amka asubuh nikamuona nyoka yule yule ila akiwa katika hali ya udogo na rangi yake ileile na akakimbia kwenye mti mdogo wenye rangi ya njano na kijan nikamuita mtu mmoja akamuua km kwenye ndoto maana yake nn?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
haitaki tafsiri tena hutkeaga mtu kuona jambo likawa asubuhi hivyohivyo au baada ya masiku
@nzeyimanaanassi3585
@nzeyimanaanassi3585 3 жыл бұрын
Nimeota mtu ameshik nyoka mweusi shingoni anapambana nayo nikakimbia isinizuru
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
Ndoto inakujuza umeepushwa na matatizo makubwa yasikufikie
@babyshee2671
@babyshee2671 4 жыл бұрын
A
@zaynabsheby8139
@zaynabsheby8139 4 жыл бұрын
Mm niliota nyoka ananikimbiza Sana lakini yy mkubwa alikuwa na vicha vi nne mwekundu lakini wakati nakimbia nilifika kwenye nyumba moja nakufunga mlango wakwaza nikakimbitena nakufunga wapili nikawa na soma kuruani sana tu nikashituka kuangalia saa ilikuwa 8:12 nn maana yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
Dumu na qur an au tafuta hata wataalamu zaidi wakusaidie ndio itakuwa kinga yako kuna uadui utakuandama wewe yainyesha au umo ndani yake na usikate tamaa kwani waweza ombewa na ukahic bado kuna fujo fujo sasa wewe dymu na haki hiyo kwani uliona ukifunga mlango zaidi ya mara moja yaani ukifunga milango miwili kwa maana yakupasa nililokwambia
@zaynabsheby8139
@zaynabsheby8139 4 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv ndiyo nilifunga wakaza na wapili ndiyo nikawa nimeuegemea mlango huku nasoma quruni
@jenelomboma9882
@jenelomboma9882 5 жыл бұрын
As.alaykum skh shukran saana naomba nikubashirie na weweskh wetu maaashaa Allah weweni kinana na unaakili nyingi na uwezo was kufikiri Mana ndoto watu wanasoma misingi tu Sasa kwa umri huo unaoonekana nao Basi Allaah akikuongezea kidogo tu umri ukaapta kwenda kwenye 40 nakubashiria kwamba hakuna skh was Zama hizo ila atatamani akuone apte Dua yako skh natamani Sana Sana Kama ningekuwa mmoja wa watoto wako was mshipa ili niirithi kwako elimu namisingi yake Kama ulivyoichukua naomba Allaah ayathibitishe niliyoyanena na uendelee kuwa juu ya ubora aamiin
Ndoto Ya Funza Na Masuali Live +255 656 606014
10:39
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 9 М.
ndoto ya kuzima moto
10:33
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 16 М.
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 1,1 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 20 МЛН
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 48 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 107 МЛН
Aliyeona nguo /mavazi Ndotoni Skh :Jafari Mtavassy
30:17
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 42 М.
NDOTO YA NYOKA INA MANISHA NINI
17:51
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 11 М.
Aliyemuona Rais katika ndoto Sheikh :Jafari Mtavassy                        mfasiri bingwa wa ndoto
14:20
MAANA 6 ZA KUMTAMBUA NYOKA KATIKA NDOTO Part 1. || D. L. NJENI MINISTRIES
32:11
Prophet DL Njeni Mwasambamba
Рет қаралды 2,7 М.
Ukiota Na Nyoka Wa Rangi Hizi 4 Zina Manisha Nini?
1:39:09
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 6 М.
Kwanini Unaota unakula au unalishwa chakula?
1:31:29
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 98 М.
TAFSIRI ZA NDOTO ZA NYOKA WA KIJANI / IMAMU MPONDA
2:49
Mponda Media
Рет қаралды 13 М.
Ndoto za Uwendawazimu Na Skh :Mtavassy
30:38
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 11 М.
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 1,1 МЛН