neno la Mungu ni uzima na ufufuo! hakika nimeuona ukombozi Mchungaji barikiwa sana kwa Mafundisho ya thamani kubwa! kushinda fedha na dhahabu!
@marymwaya18798 жыл бұрын
Kwa kweli Mungu mwema maana kwa jinsi anavyotumia watumisihi wake kwa nyakati hizi ambazo kwa kweli mapambano na shetani yamekuwa ni makubwa na bila kulijua neno la Mungu kikamilifu linasema nini juu ya maisha yetu, kwa kweli ni kukata tamaa na kuangamia kabisa. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu na Bwana aendelee kukutumia katika nyakati hizi ngumu.
@اسنتاسنيتو8 жыл бұрын
My name is Asneth wondurful massage bishop am watching u from saudi Arabia mungu akubariki sana b bleessd in Jesus name amen
@muumbisdota55097 жыл бұрын
اسنت اسنيتو Amen uko Riyadh
@eppiemodest4 жыл бұрын
Bishop hongera kwa mafundisho ya uhakika.Mungu akupe nguvù zaidi.
@tompatel8498 жыл бұрын
Thanx sana Bishop Gwajima kwa mafundisho mazuri na Yenye kunigusa namuomba Mungu cku moja aweze kunikutanisha nawe na naamini atatenda tu.
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Ndoto za kulishwa, nyama sio nzur nalijuwa hilo
@bernadethahassanmkandya868 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mchungaji! Mafundisho haya ni uzima!🤗
@robartelias66784 жыл бұрын
Amen ni robert Elias mafundio yana ponya jmn amen amen aleluyaaa 🙏🙏🙏🙏🙏
@kimutaiirene54013 жыл бұрын
Powerful message b blessed mchungaji...I believe heshima inakuja in jesus mighty name Amen
@catherinealcy91768 жыл бұрын
Mafundisho mazuri sana. BE BLESSED !
@tinamushi55506 жыл бұрын
God bless you pastor, I understand you well
@ruthwairimu56448 жыл бұрын
Umenifuza mengi,thanks and God bless you
@We2k72 жыл бұрын
Iyo ni kweli Jeshi la Bwana Pokeya nyumbani pekeyako kuwa goli kipa zipange
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Amen hakika somo limekuja mahali pake kabisa
@mariamohamed48708 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako mtumishi nikijihi niko empty rohoni huwa nafatilia mafundisho yako.Mimi maria niko Dubai
@godlovewarwa5532 жыл бұрын
UBARIKIWE SANA NA MUNGU ,ASKOFU
@franklinbejah47617 жыл бұрын
God bless you Bishop,mafunzo yako hunijenga Sana na nimejifunza mengi kiulimwengu wakiroho.
@Masoka_Noella8 жыл бұрын
thanks for the message I'm blessed...please put second part
@Masoka_Noella8 жыл бұрын
Thanks pastor God bless you...how can we reach u I'm in America?
@priscarmbunda23174 жыл бұрын
Asante kwa neno zuri barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@primoermani79618 жыл бұрын
nakupenda sana na mafundisho yako yamenibadirisha sana katik maisha yang
@jeremiekayembe28393 жыл бұрын
Mafundisho ya neno la Mungu ni ya muhimu zaidi
@desmamasitsamusambayi75528 жыл бұрын
Thanks for the Word.
@elishaasangalwisye86963 жыл бұрын
Neno la Mungu hakika ni hai hili Neno limehubiriwa miaka minne iliyo pita leo kwangu lina nguvu ya ajabuu ni kama linahubiriwa leo hahahaha
@winniegaby88556 жыл бұрын
Shaloom mtumishi wa Mungu kuna ndoto naota zina nichanganya..naota nimejifungua mtoto,nyingine tupo na mdogo angu tumepanda mahindi lakini Yale mahindi wakati wa mavuno ni mazuri sana na wakati hatuna hata shamba
@khondelugo70974 жыл бұрын
Mungu atakubariki sana watoto utapata na shamba pia kwa uwezo wa mungu
@eliaichihenry90104 жыл бұрын
Ndoto za kujifungua ni mbaya, umezalishwa na mapepo
@shohamuwokovuhalisi.26488 жыл бұрын
Asante Daddy kwa mafundisho haya. GOD IS GOOD all the time
@annienanjala85937 жыл бұрын
Asante pastor kwa mafundisho mazuri, aki Mimi niliomba nkakataa ile ndoto ya kula nyama, lakini vile nililala nikaota tena nakula,swali langu ni unaota ndio ukaamka kuomba ama .
@shiquosamuels77118 жыл бұрын
Neno litaishi milele ...Mungu akubaliki Sana ,sikuwai jua ndoto ya kula chakula ni spiritual nimejua Leo .kuna jambo umetaja ambalo la nihusu .nilikuwa naota Nikila na huo wakati nilipitia mambo magumu Sana hata kiafya ...lkn yote yameisha Leo hii nitaishi kumtumikia Mungu wa binguni.
@agneskadzo61056 жыл бұрын
True.. pia mimi nilikuwa nikiota kula chakula nyama.. bt nilifunzwa kukataa na kuomba la kutapika zote nilivyolishwa usiku in Jesus name.. Na tangu nijue kuomba kuzitapika sioti tena na siteseki tena.. in Jesus name
@agneskadzo61056 жыл бұрын
Leo nimeota.. Baba yangu wa kambo amekuja na kisu bt nikamshinda nguvu nikampokonya hicho kisu nikamdunga nacho mwenyewe Kwa tumbo..... oh hallelujah asante Mungu Kwa kuniwezesha kupambana na mapepo katika ulimwengu wa gizaa
@gracelugoe79462 жыл бұрын
@@agneskadzo6105 nifundishe hiyo Sara ya kutapika vyakula nilivyokula kwenye ndoto
@elizabethsimbenga47737 жыл бұрын
Amena Amena Amena Amena baba Mungu wa mbinguni akubariki.
@mariayves59212 жыл бұрын
Amen ubarikiwe
@yonamabwai45868 жыл бұрын
Mungu akubariki Bishop kwa mafundisho mazuri
@annatraseas6824 жыл бұрын
Mwali wa moto Be blessed dad
@bettyandeso65596 жыл бұрын
Amen... barikiwa kwa mafundisho.
@khondelugo70974 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana pasta mungu azidi kukuinua
@asta.tanotdoor78 жыл бұрын
asante sana Kwa mafunzo umeniamsha ubarikiwe sana
@mussagidion12787 жыл бұрын
shukrwan pastor kwa somo lako zuri binafx nmeflaia by Mesha
@chrisrobert5103 Жыл бұрын
1:11:00
@miraclebullah97 жыл бұрын
Nakupenda Bishop Gwajima unanipa moyo
@mablemadahana47583 жыл бұрын
Mafundisho ni uzima nashukuru mtumishi
@mildredmirriam82307 жыл бұрын
Nmebarikiwa sana ila nabaki na maswali, je sasa nikishatambua ufafanuzi wa ndoto, nn haswa yafaa nifanye kama suluhisho
@annamwambosya85777 жыл бұрын
Mildred Mirriam ikatae kwa maombi
@christinewomanoffaith54796 жыл бұрын
Km mbaya kataa hilo jambo ,mfano unaota mtu anakufa,au umekufa lzm ukatae hiyo roho ya mauti Km nzuri iombee ifikie
@bennhiza44626 жыл бұрын
kweli na penda mafundisho Haya Ameni ya nguvu
@evodiavedasto10593 жыл бұрын
Asante Sana mchungaji mungu akubariki
@emekaigweeigwee12597 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mm ndoto ninaziota nyingi sana naota nafanya mtihani lkn mm ndo huwa naongoza kwa huwo mtihani naota napingwa risasi lkn huwa za zina gonga zikianguka hazinijeruhi Mara naota kuna mtu amekunywa sumu amekufa na vile nikienda kumuona najikuta Niko na Bible Nina muombea mpaka yuainuka yani anakuwa hai Mara ninaota Niko kwa vita lkn hujikuta kuna mwanga hunibeba juu wale wanao taka kuniua hawanipati na nikishuka nashuka na nguvu za ajabu sana huwapinga mpaka nawauwa hafu huota kuna nguvu hunishukia na hujikuta ninaombea watu wanapona hata walio kufa wanainuka viwete wanatembea mm huota ndoto za aina hiyo na nikiota kitu bac huwa hilo jambo litajitokea liwe zuri ama mbaya huwa lina tokea ukweli Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
@khondelugo70974 жыл бұрын
Ww una guvu za mungu ombea watu nao watapona na mungu azidi kukuinua
@eliaichihenry90104 жыл бұрын
Utumishi ndani yako
@lazaruskevo35992 жыл бұрын
Ameen Ameen Halleluhya
@robertmwaisaka94108 жыл бұрын
UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU KWA HAYA MAFUNDISHO MAZURI....
@زيادحمد-خ2ك8 жыл бұрын
+Josephat Gwajima RudishaTv amen mchungaji barikiwa sana
@frenkmwilu82708 жыл бұрын
katnz
@alexbayona99548 жыл бұрын
Nakuelewa sana Gwajima
@josephedes14535 жыл бұрын
Nakukubali sana baba wew unifungua ufahamu
@AGATHALEKEY-q7e3 ай бұрын
kitabu cha maombi ya kushindana nakipataje?!
@pamelanabokolweojuma19645 жыл бұрын
mungu akubariki sana nikiwa saudia
@adelmwajupatient16416 жыл бұрын
Amen.love you daddy
@صربوخهالصرابيخ4 жыл бұрын
Amina baba
@beatriceaura53768 жыл бұрын
God bless you man of God, nimebarikiwa.nko Jordan amman
@beatriceaura53768 жыл бұрын
Amen man of God
@irakozejclaude78693 жыл бұрын
Ukivijuwa havisumbuwi.hujama hafosi kuwa pasta nipasta mwenyewe
@aminagau33443 жыл бұрын
Katika jina la yesu
@صربوخهالصرابيخ3 жыл бұрын
Amen 🌷
@pamelanabokolweojuma19645 жыл бұрын
nimebarikuwa sana
@ingabirewinnie70388 жыл бұрын
mucungaji napenda.mafundishoyako
@allysewa16208 жыл бұрын
yes
@mariamsinday84236 жыл бұрын
mchungaji mm toka mwaka 2015 hivyo vyote unavyoongea vinanusumbua mpaka Leo nlishaenda kwa waganga lkn hawajanisaidia kitu. .HV Leo nashukuru mungu nimesikiliza na nimeelewa sema sasa bado cjajua nitatokaje huku nilipo au dawa ya haya yote ni nini?
@pamelanabokolweojuma19645 жыл бұрын
hiyo ndiyo sauti mungu alitaka nisikie kutoka kwako
@josephmutemi74943 жыл бұрын
Ameeeeeen
@bebinaglady65148 жыл бұрын
sijui muna elewa kiswahili cangu,nitaweza kupata aje number ama mail yahuyo mutumishi wa mingu ? mubalikiw sana
@rozya39534 жыл бұрын
Ooooh yes Amen
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Ni kwel mimi si hivyo hivyo nilianza kuota nalishwa Mara nikachukuliwa nyota live
@hatamimnimempendabulejaman15963 жыл бұрын
Unakuwa, unalishwa, uchawi
@josephmunna85778 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏 Ameeen
@hajitomas76097 жыл бұрын
Joseph Munna
@hajitomas76097 жыл бұрын
barikiwa
@mariamsinday84236 жыл бұрын
mchungaji hayo yote unayoya zungumza mm ninayo nateseka sana toka mwaka 2015...mpaka Leo hii 2018 sasa cjajua...solution ya jambo hili nifanyaje ili niweze kuondokana na haya mateso?
@khondelugo70974 жыл бұрын
Amini mungu na uache kula na maombi mungu hatakuacha
@davidnaftali64837 жыл бұрын
Rungu la Bwana
@joshuakaijage81777 жыл бұрын
ubarikiwe sana Mch, Gwajima nani mwenye namba yake anisaidie
@miraclebullah97 жыл бұрын
Amen
@catherinemuthoni1645 жыл бұрын
Niki meridian Kenya nitapata aje? Kitabu ya maombi na kusindana
@lamadhanijumas20683 жыл бұрын
Point
@simonnyato83707 жыл бұрын
ngwajima
@salomefesto92255 жыл бұрын
Sizipendi hizo ndoto tusidie baba
@rhodakibinza57314 жыл бұрын
Rado
@aishajohn55464 жыл бұрын
Emee
@geofreyngirwa11048 жыл бұрын
@a
@judiththobias32344 жыл бұрын
,
@annienanjala85937 жыл бұрын
Asante pastor kwa mafundisho mazuri, aki Mimi niliomba nkakataa ile ndoto ya kula nyama, lakini vile nililala nikaota tena nakula,swali langu ni unaota ndio ukaamka kuomba ama .
@lilyemanuel3166 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@dicksonkabanji315 жыл бұрын
mskilkilize Mwakasege kuhs ndoto au mercy ukishtuka omba au weka utaratibu wakuomba usiku wamanane weka alarm
@rozya39534 жыл бұрын
Amen
@judiththobias32344 жыл бұрын
,
@annienanjala85937 жыл бұрын
Asante pastor kwa mafundisho mazuri, aki Mimi niliomba nkakataa ile ndoto ya kula nyama, lakini vile nililala nikaota tena nakula,swali langu ni unaota ndio ukaamka kuomba ama .
@naomiirankunda87377 жыл бұрын
Annie Nanjala ndio ukiota ivo lazima uamke ukemee katika jina la Yesu Kristo
@christinewomanoffaith54796 жыл бұрын
Ngoja nikwambie kitu,ndoto ni mlango ambao Mungu anatumia na shetani anautumia,so unaota unakula nyama jiulize haya...unaota uko na kina nani? Mnakula chakula cha aina gani? Je unakula peke yako au na hao watu ?mazingira gani,mfano makaburini,chini ya mti ? Nk.... Ss umeota unakula ukakataa,kukemea lkn ukaota tena maana yake kuna uhalali mahali adui anao,ndo maana umekemea lkn imerudia...mwenye uhalali huwezi kukemea lzm uende mbele za Mungu uombe toba kwanza kwa ajiri ya chochote kilichowababisha huo mlango ukapitisha hayo ..toba inamfanya/inampa uhalali Mungu kuingilia kati kukupigania ! Baada ya kutubu ss tumia damu ya Yesu kukataa,kuvunja,kukemea
@johnmabala69296 жыл бұрын
+christine Ibrahim Mungu akubariki umesema neno la hekima
@manjolediblo14475 жыл бұрын
Amen Amen Amen Mungu akuzidishie kutufunulia mengi nikiwemo nilikuwa zuzu