No video

Aliyemuona Rais katika ndoto Sheikh :Jafari Mtavassy mfasiri bingwa wa ndoto

  Рет қаралды 32,174

MTAVASSY TV TANZANIA

MTAVASSY TV TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 214
@JohainaHakim
@JohainaHakim 5 күн бұрын
Punguza mapozi basi dahh😊😊😊nmeota mama samia amefurahi na ametugawia mifuko Ina nyama ya kukausha na biskuti
@kiamanitv5728
@kiamanitv5728 2 жыл бұрын
Waalekum ssalaamu Wewe ni mtu mmoja hatari sana kwenye hii fani sheikh Wallahi unasema vitu vinatokea Allahu akupe baraka sana
@jumbemaalim4250
@jumbemaalim4250 Ай бұрын
Mapozi mengi tatizo
@user-xh6rw4qi4q
@user-xh6rw4qi4q 3 күн бұрын
Shee uko sawa ndio lakini kuwa serious basi upunguze majiono, nyodo na kujisikia bana shee wangu, ujue uko katika somo unatazamwa na dunia yote, watu wanahitaji kujifunza vitu kutoka kwako, kingine wewe na huo mziki hamuendani bana shee wangu, zima,
@ummusalim5088
@ummusalim5088 2 жыл бұрын
Shukraan Lkn ondoa mzikiiiii sauti mbaya
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 2 жыл бұрын
waalykum msaalam waramatulah wabarakatul.Masha Allah tabaraka Allah.karibu sana kwa kupotea.
@N_kali
@N_kali 2 ай бұрын
Unapotabiri ndoto unaweka mziki wa nini
@malkiamushy1923
@malkiamushy1923 2 жыл бұрын
Mi nimeota namemshika raisi wa nchi Mabega nikimfanyia maombi, na yy alikuwa amekaa kwenye kiti amenyosha miguu...naomba unisaidie
@BettyKaneza-sd1mj
@BettyKaneza-sd1mj 4 ай бұрын
Asante sana 🙏 mwenyezi Mungu awabariki
@salimawishenga7588
@salimawishenga7588 2 жыл бұрын
Shukran ila toa mziki
@lirastanley390
@lirastanley390 Жыл бұрын
Lazima uwepo ili maelezo yasichoshe
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 4 күн бұрын
Mimi niliota rais magufuli kanialika nyymbani kwake kwa chakula cha mchana, tumekaa tunakula pamoja tena mara mbili
@tojotv6414
@tojotv6414 2 жыл бұрын
Sheikh tengeneza sauti mzuri za video
@saraimohamed2778
@saraimohamed2778 2 жыл бұрын
Allah akuzidishie amin
@AkhiymbwanaAbdallah
@AkhiymbwanaAbdallah 10 күн бұрын
mimi nimeota nimemuona rais Pia tumeongea mengi mnoo kuhus nchi ytu then nikamuombea dua lakin tuliku tumept chomb kimoj mimi na Raisi
@honestakitomari7048
@honestakitomari7048 Күн бұрын
Kwa hayo mapozi ni ngumu kukusikiliza hadi mwisho.
@oman1oman179
@oman1oman179 3 ай бұрын
Shukuran❤❤❤
@aminambukuzi999
@aminambukuzi999 Жыл бұрын
Mapozi mengi sana bwana yani unaham ya kuskiliza lkin mwenzio ana maringo aaaaah, atutaki ivo bhana
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Mwaka mmoja nyuma wenzio walisema niongee taratibu ili wazingatie sasa hapa napata shaka kama ule mkasa wa punda mtoto na baba wa mtoto, sijui niongee aje kila mtu aridhike
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkorofi we
@HarounAli-rl3uc
@HarounAli-rl3uc 3 ай бұрын
Sas uo mzik unahusian na nn broo Leng tuskiliz mzik au ww
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 күн бұрын
​@@MTAVASSYTvukiota uko na msanii maarufu sana mnazungumza nini maana yake shekh
@waridi9250
@waridi9250 2 жыл бұрын
Waalkumusalumu warhamtulhi wabarktu alhamudullh shekh mim nimi ota rahisi anaumwa. Nisaidiy mana yak
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Jua litakuwa kari au baridi 🤔🤔🤔🤔 hii ndoto kimsingi inaongelea mazingira ya dunia, au kama ikiwa kama ilivyo basi haitaki tafsiri
@ibrahimetale9999
@ibrahimetale9999 11 ай бұрын
Niliota Jana Niko kiko na Biden. Insh ALLAH natarajia mema Biithni LA
@stamelistameli8461
@stamelistameli8461 8 ай бұрын
Masha allah shukulani sana
@hill-topboy7647
@hill-topboy7647 Жыл бұрын
Thanks 😏🤗
@edsonlukuba9290
@edsonlukuba9290 24 күн бұрын
Kaka mi sijaoa lakin nimeota nipo na Rais wa nchi yangu kitandani kama vile ni mke wangu lakin alikuw kapoa hajachangamka na wala sikufanya nae k2 chochote, hii ina maana gan?
@fatumamhina4622
@fatumamhina4622 2 жыл бұрын
Waaleykum salaam sheikh..samahani naomba unitafsirie hii.....Mimi nimeota namchora mmbwa ilhali mimi sijui kuchora wanyama
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Usiige tabia za watu hawa Ulinzi Urafiki wa uwongo Uadui Na tabia mbaya kifupi ni kwamba jichunguze katika tabia zako kina jambo jipya haitakikani uwe nalo hilo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 күн бұрын
​@@MTAVASSYTvkuota uko na msanii maarufu sana mnazungumza huku mmeshikana mikono mnakwenda pahala nini maana yake shekh
@suleimanmashombo7841
@suleimanmashombo7841 Жыл бұрын
Nimemuota rais mara mbili mfululizo ya kwanza naongea nae na ya pili yeye ni mchumba mpenzi wangu
@hanashhanash535
@hanashhanash535 2 жыл бұрын
Walekum salam nimefurahi sana wajibu comment hilo jambo zuri kujibu comment naomba uwe hivyo hivyo Allah barik
@user-dy2ms8de4s
@user-dy2ms8de4s 5 ай бұрын
Mapozi mengi sana
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 жыл бұрын
Hapo ndo unaumwa Leo unaturingia kumbe unamapozi shekhe.je ungekuwa na afya njema.leo umejua kutupiga mapoz
@mvanobilali8502
@mvanobilali8502 2 жыл бұрын
una jitaidi Allah akulipe ila punguza nyodo mwalim
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅 mkorofi we
@IssaSalim-kv4gr
@IssaSalim-kv4gr 4 ай бұрын
Assalam aleykum shekh mimi nliota tupo kweny mkusanyiko wa watu weng wakinamama tumekaa mimi nlikuwa nmekaa na bint yang mdogo wa miaka 3 basi rais Samia suluhu akawa amefika pale akakaa pamoja nasi ila akampenda sana mwanang had akaulza wazaz wahuyo mtt wapo wap nkasimama bc akafrah sana kuniona hii inamaansha nn
@ShelaRashid-fo2rx
@ShelaRashid-fo2rx 18 күн бұрын
Una nyodo
@mwanamkasishabani522
@mwanamkasishabani522 2 жыл бұрын
Asalamu alaykum Mimi nliota nimeona mwaume anazaa Kisha ilipomaliza kuzaa yulemtu aliekua anamzalisha akanipa mm Yule mtoto nimshika Mimi ikawa nakataa kumsHika yulemtoto naogopa mana Yule mtoto alikua kajaa damu mwili mzma dam znafanya kutiririka Basi nlivyo mshika Yule mtt alikua mzito Yan mzito ajabu mpaka nikashindwa kumbeba nikamuangusha njini hii inamaana gani Ustaadhi
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@firstlady9848
@firstlady9848 Жыл бұрын
Shukraan Sheikh
@timothysalehe402
@timothysalehe402 Жыл бұрын
Barikiwa sana kaka
@hassanabuu6
@hassanabuu6 5 ай бұрын
Sikuami kwa music 🎶 😢 shehe wa mchongo
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 ай бұрын
ha haaa haaaa sasa ukija kama hivi njoo na dalili ya kuharamisha mziki ambao hauna maudhui mabaya ambayo sharia inakinza ya uisilamu, ila ukija kama hivyo naona tu unayo shida ya kielimu, lete aya ya quran au hadithi sahihi ndio tuzungumze uharamu wa mziki kijana
@saraimohamed2778
@saraimohamed2778 2 жыл бұрын
Naona leo unafuraha shekhe
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 жыл бұрын
Alafu anaongea kwa maringo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
​@@tatuaamuuinyi9633 🤣🤣🤣🤣🤣
@aishajiji3331
@aishajiji3331 Жыл бұрын
Nilimuota raisi Mara mbili kwa sasa... all we na mwanangu..niliona nko hali ya kutafta motto amwpotea..mwishowe nkampata ako katikati ya uhuru na ruto kwa jukwaa
@aishaally8796
@aishaally8796 9 ай бұрын
Punguza vinqnda
@fatumamazul4411
@fatumamazul4411 5 ай бұрын
Nakweli vinanda vinafanya tusimsikie vizuri
@avalonking1655
@avalonking1655 Жыл бұрын
Bado hujatulia wewe mziki unautaka na kutafsiri ndoto unataka amua jambo moja alafu unajiita shehe pole baba😢😢😢
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
inaonyesha unaelimu ya kutuambia uharamu wa mziki jitahidi uchukue namba uje whatsapp useme mtazamo wako , soma dini acha ushabiki na ubabaishaji Mungu sio mpuuzi kiasi hicho halali ipo wazi na haramu ipo waz na baina yake kuna mambo yenye kutatiza, NA MIONGONI MWA WATU WAPO WENYE KUNUNUA MANANE YA KIPUUZI "ILI KUPOTE WATU KUTOKANA NA NJIA YA ALLAH" ZINGATIA HAYA MANENO
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 күн бұрын
​@@MTAVASSYTvukiota uko na msanii maarufu sana nini maana yake. Mnazungumza
@avalonking1655
@avalonking1655 Жыл бұрын
Muda wote unaumaliza kwakuelezea jambo moja iloilo
@hidayabantulaki2229
@hidayabantulaki2229 6 ай бұрын
Shehe Asalaam aleykum Mimi nimekuona raisi samia akinielekeza niwakusanye watu aongee nao kisha akawa anawapatia pesa
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 Жыл бұрын
Mazunguzo na miziki pembeni,wapi na wapi?.
@pesamashaka1479
@pesamashaka1479 7 ай бұрын
Anazingua Sana
@user-et1uv8ek1p
@user-et1uv8ek1p 5 ай бұрын
Miziki yann mpuuuzi wew
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 ай бұрын
kazana bado
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mimi sijaolewa nilimuota raisi
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 11 ай бұрын
Utapata mume inshaallaah, au mipango yako itafanikiwa maashaaallaah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 күн бұрын
​@@MTAVASSYTvukiota uko na mtu maarufu nini maana yake
@arjenarjen6718
@arjenarjen6718 2 жыл бұрын
Kutafsiri pamoja music ni sawa?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Bora wewe umeuliza, huo mziki kwanza mtu lazima ajue hukmu zake kisheria na ajue asili ya neno lenyewe kisha aujue mziki huo unaotumika hapo na hukmu zake, sasa basi jibu fupi yu ni kwamba HUO HAUFISHI MOYO.
@saidsalim4524
@saidsalim4524 Жыл бұрын
Shekh nimeona nimekutana na raisi nikamuomba atujengee mskiti
@SofiaUmande-ss1zj
@SofiaUmande-ss1zj 4 ай бұрын
Nimeota nimemuona mama samia rais wa nchi anatembea alizin kwenye mimea mizuli na kuna mtoto wa kike wa shule ana muimbia nyimbo za kumsfu akampa kisi cha shlng 60 kuna miatano za kalatasi elfu moj na elf 2 yule mtoto akaja niliko mm alikuwa anataka hela ya pamoja nikapaneee
@jamilashaban3901
@jamilashaban3901 2 жыл бұрын
A.aleikum....mm nmeota nmemuona rahisi wa kenya .tulikua n marafiki zangu ila kaniita jina kanisalimia...maana yke n nn
@raheemdag6905
@raheemdag6905 Жыл бұрын
Mimi ni mcongomani niliota niko na moto wa rais wetu
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Baada ya muda mambo yako utayapata yametulia inshallaah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 күн бұрын
​@@MTAVASSYTvukiota uko na mtu maarufu mnatembea mnazungumza nini maana yake
@jolieingabire1992
@jolieingabire1992 2 жыл бұрын
Nimemuota mke wa raisi afu nikamuona amenenepa sanaa
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 8 ай бұрын
Kama upo kwenyee mausiano maana yakee upo karibu kuolewa na kama upo kwenyee ndoa maana yake utapata mtoto hivi karibuni na atakua mkubwaa WA mwili
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 8 ай бұрын
NDOTO hio hawezi kukutafsiria huyu shehee vitabuni wao ni vilivyo andikwa tuu vya kaleee Sasa kuna doto Za kisasa
@HajiMasmenti
@HajiMasmenti 4 ай бұрын
Shekh wangu ss tunaokuskiliza.ni watu wenye akili timamu embu acha makuz kwanza.toa izo kelele shekh wangu plz.
@pilimlenge1289
@pilimlenge1289 Жыл бұрын
Asalam alayk mie nimeota nmeenda haja ya nyama mithili ya ng'ombe ina maana gani naomba unifafanulie
@tamarimahega7384
@tamarimahega7384 2 жыл бұрын
Nilshawai kuota nimeiba begi lenye sarafu za zaman nyiiing mnooo, nikawa nakimbia kila mtu akawananitafuta walichukue
@maryammarjan4015
@maryammarjan4015 2 жыл бұрын
shukran
@samirisadiki67
@samirisadiki67 2 жыл бұрын
She mi naotaga Niko mshauli wa lais
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Mambo yako yatakuwa kwa uhakika inshaallah
@hamishatibu1007
@hamishatibu1007 Жыл бұрын
Punguza mashauzi yaan kua gentle man alafu toa huo mziki walau weka qaswiida kwa mbaaaliii
@HadinanKimimbi
@HadinanKimimbi 2 ай бұрын
Unaongea Vizuri sana Lakini Uzo biti za Mziki Nauongeaji Wa kukata kata Sio mzuri Pia samani badilisha Mipangilio yako weka mizuri watoto vitu vinajigonga gonga Unaondoa Umakini Wa wanaokutazama Na hata soko lako litakuwa Halikuwi
@joanithaedsoni6987
@joanithaedsoni6987 2 жыл бұрын
Mim nimemuota rais Samia akiwa kweny kundi la watu wengi ila nimepenyeza katikat ya watu nimeenda nikakumbatiana nae Kwa furaha kubwa sana tukacheka than tukaanza kuzunguka kweny majumba ya watu wengne ndoto yngu imeishia apo tafathar nisaidie
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
hapo inshaallaah mambo yako yatatimia inshaallaah
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Nilimuota mama samia
@vickywingstone3551
@vickywingstone3551 7 ай бұрын
Me pia my dia nimemuota mama Samia akiwa amekuja kwenye sherehe amekaa
@troubleabhat2190
@troubleabhat2190 Жыл бұрын
Samahani lakni
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Pole sana kama imekukwaza lakini huo mziki duniani una elimu ya kujua haramu au laa kama yupo sheikh asema ni haramu kwa hali yoyote huyo anashida ya ufahamu ila mziki kuna unaofisha moyo na unaohuisha moyo, so itakufaa ujue kwanza kuhusu mziki kisha ndio tuujadili kasome Luqman Allah asema na katika watu kuna wanunua maneno ya upuuzi (ili) kupoteza watu kwenye njia ya Allah. Sasa kama hiyo ili ikiwa ni kinyume chake je???? Na hakuna aya ingine utaletewa kuja kuuzungumzia ila hiyo na ile isemayo "wanasikiliza maneno na kufuta mazuri yake" lakini hadeeth sahihi ya kuharamisha ala za mziki hakuna kabisa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 күн бұрын
​@@MTAVASSYTvukiona uko na mtu maarufu sana mnazungumza nini maana yake shekh
@susanenterpreneur
@susanenterpreneur Жыл бұрын
Salam aleykum warahmatullah warakatu sheikh aki mimi niliota nikizungumza na wasichana wa Rais
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
mambo yako mbioni kukamilika inshaallaah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 күн бұрын
​@@MTAVASSYTvukiota uko na mtu maarufu mnazungumza nini maana yake
@merryagustino3508
@merryagustino3508 8 ай бұрын
Mimi nimeota nimejifungua mtoto wa kiume pia nimunene sana ira sijajisikia maumivu yoyote wati mtoto ni munene sana pia nimeonana nalaisi kwenye fulaha sana pia kanipa ukipaubele sana inamaana gani ?
@rambostalon2888
@rambostalon2888 2 ай бұрын
Punguza mapozi ww mtoto wa kiume
@aminamukantabana8241
@aminamukantabana8241 2 жыл бұрын
Aslaam alaikum w w Shekh ni me ota nguo zangu zimeja maji?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Wewe unapenda kujitenga na wengine katika kipindi hiki ulichoona hii ndoto na kuhitaji kuwa peka
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
😅nashukur nikiwai kumuota mama samia mara mbili mara mwisho nilimuota kanipa mkono msafar umepita ukaja kwangu akanipa mkono
@user-kq6un6hi7r
@user-kq6un6hi7r 2 жыл бұрын
Shekh mim nimemuota rais ambaye amefariki alikuja kwenye shule yake kisha akasema wajitokeze ambao hawakwenda shule mimi nikajitokea akaniongelesha kwann sijaenda shule kisha akachukua fimbo na kunichapa kidogo tu nini maana yake shukran.
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Ndoto inakutaka uzinduke, ungekuwa mwamke basi ningekwambia acha uzinifu kabisa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 күн бұрын
​@@MTAVASSYTvkuota uko na msanii maarufu saana mnazungumza nini maana yake shekh
@user-px7ef5oc2x
@user-px7ef5oc2x 5 ай бұрын
Punguza mbwembwe tusubscribe
@anithamallya1104
@anithamallya1104 Жыл бұрын
Waooo
@user-wc3jz4uq6d
@user-wc3jz4uq6d 5 ай бұрын
Maelezo mazuri lakini mbona unajivuta navkujinyongowa sana
@tamarimahega7384
@tamarimahega7384 2 жыл бұрын
Na nilimuotaga magu akiwa kanisan na kulikua na wanakway weng
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Mambo yako yatanyooka baada ya muda au utafanikiwa mpango wako
@KwakakomboDzillambe
@KwakakomboDzillambe 4 ай бұрын
Nenda direct usijivute
@sambokadigi8427
@sambokadigi8427 2 жыл бұрын
Mbona maneno mengi mno na yakurudia rudia du mb zetu zinaliwa
@lirastanley390
@lirastanley390 Жыл бұрын
Habari, nimetafuta hii sbb siku ya jana juma pil asubuhi nimeota naongea na rais kwa simu na ghafla tukaonana ana kwa ana kisha akawa anaongea maneno siyakumbuki vzur mwisho tukacheka sana na kuagana kwa vicheko ila asubuhi ya leo juma3 kwenye mida ya saa kumi alfajir nmota nimeona nyuka mkubwa sana wa rang nyeus kwa mbal na amejaa tang ya kahawia ananitaza sana bila kunidhuru halafu akanipita na kuondoka zake na hata nlvyotaka kumpiga hakuonyesha ishara ya kuniuma,,namaliza koment na off data naenda mishe
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 жыл бұрын
Shekhe Mimi nimeota nipo na Rais Samia suluhu Hassan tupo tunatembea tukiwa wawili tu na pia tukaenda sehemu Moja kukagua. Pia nilimuota hayati JPM kabla hajafa nae nilimuota tukiwa pamoja na nikawa namjibu maswali then akaniomba niende ikulu. Ivo hizi ni ndoto kwangu zinazojirudiarudia Sasa sifahamu maana yake ni Nini?au inahashiria Nini?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
mipango yako itahakikika inshaallaah yaani utapata mafanikio jitahidi usikate tamaa katika majambo yako so unahusudiwa lakini hautofeli
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 жыл бұрын
Amina, Inshallah m/mungu azidi kuniwekea wepesi na kutimiza ndoto zangu katika maisha yangu.
@zulfamnanga123
@zulfamnanga123 Жыл бұрын
Mm naota Niko na watu maarufu na hii ndoto inajiridia sana
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ina maana nzur na wee utafanikiwa kwa kiwango Cha watu hawao maarufu uliowaona
@gharibasalim2511
@gharibasalim2511 11 ай бұрын
Assalam alaykum vipi hali baba yangu alinihadithia kaota kamuona mtoto halafu kageuka mauwa
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 7 ай бұрын
ni ishara njema kwa muisilamu kwani itajulisha neema ama kwa mkristu atazika mwana wake
@jafaribashiri791
@jafaribashiri791 2 жыл бұрын
Waleykm Salam shehe mim nimemuota mama Samia anatugawia pesa mm na rafik zangu je? Hii ndoto inamaana gan
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Mambo yako yatatimia jitahidi kutaka msaada kwa marafiki na watu wa karibu yako ili mambo yako yafanikishiwe
@jafaribashiri791
@jafaribashiri791 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
​​@@MTAVASSYTv nimeota queen Elizabeth kanipa pesa mimi na baba yangu maana yake nini
@AishahMuigu
@AishahMuigu 2 жыл бұрын
Hizi kama ni tafsiri za kiislamu mbona utie music kwenye background?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
😅😅
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Kwani huo unafisha moyo au unahuisha moyo au ndio haupo kote ili tutafute hukmu yake ?
@kuthumhamdan1043
@kuthumhamdan1043 2 жыл бұрын
Asalamu Alaykum shekhe mm nimeota nimekaa na raisi tunaongea kwa kunong'ona namuuliza kuhusu kazi kisha akanipa namba zake za sm nisaidie shekhe maana yake
@salummzee9739
@salummzee9739 Жыл бұрын
Njaaa hio ina kunyomelea uta fukarika mpk kuomba, muombe Allah akuepushe fitina hio
@danielkariuki1911
@danielkariuki1911 Жыл бұрын
Umekua nikiota atii our president has called me and requesting me to bring my family to him and introduce to his family
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Maashaallaah unajuzwa kwamba mambo yako yatapanhilika inshallaah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 күн бұрын
​@@MTAVASSYTvukiota uko na msanii maarufu sana mnazungumza nini maana yake shekh
@estergordian-vv9jx
@estergordian-vv9jx 4 ай бұрын
Unakera mziki jaman mpaka kuelewa ngum
@nasramdachi2972
@nasramdachi2972 3 ай бұрын
Siku nyingine usituwekee limziki lako
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 ай бұрын
itategemea hali ya siku hiyo huu mziki huwa unaficha kelele au miziki ya watu isiingie youtube yetu au kusikika kwenye channel yetu kwasababau youtube hufunga chanel zinazoiba haki za wengine na kuzitumia kamali yao hivyo tutaweka kukiwa na ulazima na kwaajili ya kuficha vitu tusivyo vihitaji, samahani sana kwa hilo mutavumilia ndugu
@aishaseif1693
@aishaseif1693 Жыл бұрын
Asalam aleykum shehe mm nimeota nimepanda gari ya mama samia yeye ndio anae endesha mm nipo pemben yake tumeenda kufika mbele tukashuka akaacha gari tukaanza tembea kwa miguu tumetembea akafika kwake akaingia na mm nikaanza kuendelea na safari je,maana yake ni nini?
@shaabanbindawood6538
@shaabanbindawood6538 3 ай бұрын
Hhhhhhh😂😂😂😂😂
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Zulfa ndoto ya kuota hivyo ni nzur sana ata mimi naotaga watu maarufu au rais
@hussnahussen8073
@hussnahussen8073 2 жыл бұрын
Shekhe mim nimeota nimembeba Raisi samaia alikuwa mjamzito nikampeleka kwa mwalimu wangu wa chuoni KUJIFUNGUA io inamaanisha nini sheikh wangu please.
@JumaZahoro2000
@JumaZahoro2000 2 жыл бұрын
😂
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@answarmusaanswarmusa5797
@answarmusaanswarmusa5797 2 жыл бұрын
Shekh Salam alekum nimeota maiti ameshakufa Kisha ni kamuota ame fariki tena a naenda kuzikwa Kisha mimi pale pale nikawa nimenda haja kubwa pale pale nikawa naliangalia lile shimo la Choo lime jaa kukawa na Wana wake wingi nini maana yake
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Wa,salaamu warahmatullaah Mtolee sadaka huyu marehemu
@MarthaSaimon-vw6ej
@MarthaSaimon-vw6ej 10 ай бұрын
@@MTAVASSYTv mm nimeota rais amekuja kijj flan mm na mwenzangu tukapewa nafas ya kumtembeza maeneo flan baada ya muda kidogo wananchi wakaja kutaka kueleza shida zao 2 walipat fursa ya kuelez shida zao lakin mama samia alilia san mm nilikuwa kam bdgard wakat huo wa kumfarj pia nilipat fursa ya mm kueleza shida yng ilikuwa ni kuomba pesa ya kuongeza mtaji nn tafsir yake
@benardwankoka3447
@benardwankoka3447 2 жыл бұрын
Nenda kwenye point
@immaculatejohn9906
@immaculatejohn9906 2 жыл бұрын
Hahaha
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 2 жыл бұрын
Nimeota nipo shule mara darasani akaingia raisi wa nchi yng nnayoishi sasa akaniuliza mbn ww huandiki lkn kwa hali ya upole na mimi nikamjibu kwmb naumwa akananambia pole na kuhurumia jee ina maana gn?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Kama hautopitia haki ngumu basi Wallahi ni faraja katika maisha yajayo matatizo yako yatapata suluhu na maisha yatakaa gyema huzuni zote utasahauu inshaaallaaa
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 2 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv Allah ajaalie kheri
@zubeirkhamiskhamisabdallah6351
@zubeirkhamiskhamisabdallah6351 2 жыл бұрын
Sheikh mie nimo kwenye ndoa nilimuota raisi ni mgonjwa nikaenda kwake nikamlilia na kumuombea dua baada ya muda aliamka kutoka kitandani na kunipa pesa nakunjambia panda boda boda urudi nyumbani ...alinipa kama elfu moja hivi ....hii inamaana gani
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@johnbaluku6149
@johnbaluku6149 2 жыл бұрын
Volume
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 2 жыл бұрын
Nimeotajana nikonarais samia tumetokaharusini tukiwanagari tukashuka tukaingia kwanyumba akaniekeachai lkn akaniambia imepoa kidogokisha akaingiakwangu kuniuliza Leo kunavipindi ganickwa tvnijenione nn maanayake
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 9 ай бұрын
Nyodo nyingi mzunguko mkubwa hio ndo shida ya elimu ya kitabuni na si ya ukuhani uzuri wa tfsir za ndoto umpate mtu mwenye kipaji na sio msoma yaliokuisha andikwa
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 8 ай бұрын
ukipata niambie, ukipata elimu utajua kwanini wasomi na walio na vipaji hupenda kuweka tafweedh kwenye tafsiri
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 8 ай бұрын
Mm mwenyewe najuaaa kutafsiri NDOTO kWa ulichokuota na sio kWa kuangaliaa tafsiri kwenyee vitabuuu ...nipe nikutafsiriee
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 8 ай бұрын
Nakuoa changamoto moja tu na ukifauru hiyo basi ninazawadi yako ndugu "nini maana ya kumuona popo anakula na paka mweusi?"
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 8 ай бұрын
Kwa vilee ushaweka ushindani hata nikujibu sahihi utasema hapanaaa alimradiii ujilinde na peji Yako so tufanye sijui lakn punguzeni nyodo mkitafsirii mm na mkubali mnajimu kurthuma anaenda kwenyee madaa na huoni kuwaponda wenziwe kua hawajui lakn WW na shekhe damba mnaona watu wote hawana elimu ilaa nyieeetuu
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 8 ай бұрын
@@MTAVASSYTv ni uwadui WA watu wako WA karibu ndugu wasioo kupendelea mema nawe ni mwema sana kwao ....hivyo unapoona hivyo ni onyoo kuaaa kuaaa nao mbali au kua msiri zaidii kimafanikio Yako kwao ...tfsir nyenginee ni mtu KUCHUKULIA mke au mume na mtu wake WA karibu ....shkrn sema sivyo ili uonekane boraaa
@adidjamusabwasoni6694
@adidjamusabwasoni6694 11 ай бұрын
P
@khadijaabdallah3074
@khadijaabdallah3074 Жыл бұрын
Asalam Aleykum warahmatullah wabarakatuh.shekhe Mimi nimemuona Rais kaja nyumbani tukala nae matunda nini maana yake nisaidie shekhe
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Wa,salaamu warahmatullahi wabarakatuh, pesa hiyo au maisha yatakaa sawa kidogo
@khadijaabdallah3074
@khadijaabdallah3074 Жыл бұрын
Shukran Sana shekhe Allah akulipe kila lenye kheri In shaa Allah
@khadijaabdallah3074
@khadijaabdallah3074 Жыл бұрын
Shukran Sana shekhe Allah akulipe kila lenye kheri In shaa Allah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
​@@MTAVASSYTv mie nimeota queen Elizabeth kanipa pesa
@oman1oman179
@oman1oman179 3 ай бұрын
Mimi nimemuota raisi wainchi yangu huko burundi lakini sina kazi nina myezi misita na tafuta kazi sipati
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 ай бұрын
kuna mambo yatakuendea vyema ikiwa ulisalimiana nae au kugusana naye
@awadhbasheikh6385
@awadhbasheikh6385 2 жыл бұрын
MIMI NIMEOTA RAISI AMEFARIKI JEE YAMAANISHA NINI
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Rais nani sasa ndugu yangu wa nchi gani ?
@Angel-do2lb
@Angel-do2lb 10 ай бұрын
Tunatumia bando jarib kufupisha mambo jmn
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 8 ай бұрын
ili uelewe? au nifasiri uliloona wewe tu ndugu?
@kuruthumcharles626
@kuruthumcharles626 Жыл бұрын
Nimemuota raisi anautubia nilikuwa namsikiliza kwa makini, alikuw anatubia kuelezea kitu..lakini nimeshitu kusingizini huyo raisi mbona alishakufa
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Mipango itakuja sawa inshaallaah, au kuna mpango utakata
@khadijajuma7873
@khadijajuma7873 Жыл бұрын
Mziki wa nn jamani. Dah
@gharibasalim2511
@gharibasalim2511 11 ай бұрын
Mie siku ya Alhamis nimemuota rahis nyerere
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
KUOTA VIONGOZI WA NCHI NA WAFALME.
9:09
OPTIMIST: Maalim Abalhasan
Рет қаралды 28 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 17 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 168 МЛН
DNC Primer  | Bloomberg Surveillance | August 19, 2024
2:55:35
Bloomberg Podcasts
Рет қаралды 3,3 М.
Ndoto ya pete iliyokatika na maana zake sheikh Jafar mtavasi
10:02
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 164
UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA
13:07
Mponda Media
Рет қаралды 8 М.
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 30 М.
ഇതോ AMMA ! ​ഗം | #Gum #NishanthMavilaVeetil | 23 August 2024
20:48
Kuokota pesa kwenye ndoto je utazipata kweli ?
33:10
NNC TV- new nuru cinema
Рет қаралды 54 М.