Shukran sheikh mi nimeota nimevaa viatu veusi nikavua vikapotea kisha nikanunua viatu vipya na niko safari nimemaliza natakiwa kurudi nyumbani inshaallah na pia nimepata kheir huku huku😊
@MTAVASSYTv8 ай бұрын
ishara ya kubadili wenza hiyo yaani kuachana na mtu na kupata mwingine
@duniaduaratv12165 жыл бұрын
Alhamdulillaahi nimeona ndoto hii na imetokea hivyohivyo kamba imekatika basi safari ikasitishwa kazini na kweli nilikuwa napenda niende skh upo right sana Allaah akuhifadhi
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ata Mimi upande kilikatika
@رقيهالغافري-غ1ذ11 ай бұрын
Yahali Mali itapatikana kuiyokota
@fatumarajabu93323 жыл бұрын
Asalam aley kum warahmatullah wabarakatu, mm nimeota buti mbili moja chafu na nyingine Safi ni kachukua Ile buti chafu nikaisafisha vizuri na Kisha nikaiweka juani ili ikauke na huyo boss wangu yeye ni mwanajeshi
@mariammariam6424 жыл бұрын
Ma'asha Allah Allah akulipe kwa elimu yako👏👏
@MTAVASSYTv4 жыл бұрын
aamiin yaa rabbal aalamiin
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Hongera rahma
@KonzelaKisama4 ай бұрын
Izo konkoko zina maana gan sasa😢
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ni kwel nataka kusafiri
@saudakashelente73552 жыл бұрын
Shekhe mim nimeota nimetoka kwamume wangu nikaenda kwamwanaume mwingnine nilivyoambiwa anaela alafu nimwalimu nikamuacha mume wangu nikanunuliwa umoja wakati nilovyo fika kwamume sikumlenda yule bwana nikataka kuludu kwamume wangu wakati naenda yule kaka aksema kama waenda usichukue nilicho kunununua chkua viatu vyako vilivyo katika nikaenda kwamume wangu akanipokea vizuri2 lakin nilienda naviatu venye tobo alafu nimeva nguo nzuri
@tatuhassani3769 Жыл бұрын
Asalam alaikum kum mm niliota nime vaa viatu vya kutumbukiza vyeusi huwa naota mara Kwa mara jinalangu tatu hassani miaka27 pia ndoto nyengne naota sana kitanda
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Hayo ni mahusiano au kuapata neema tu ndio kinaongelewa, lakini kuwa makini sana kwenye hizi ndoto zaweza ashiria hali za migogoro na kutengana
@zaliamitudu75165 жыл бұрын
Shukran mungu akubariki
@mohamedhamza30662 жыл бұрын
Viatu vyeupe Mbona haujataja au aina maana🤷🏼♂️ vyeupe tena vipya
Asalamu alaiykum maalimu nimeota ndoto nimemuona aliye kuwa mzazi mwezangu anatembea miguu chini(peku) akiwa mchafu miguuni nini maana yake tafadhali naomba unijibu🙏
@zamudakapanjire37284 ай бұрын
Mm nimeota viatu vyangu vimepotea vote veupe baadae nikachukua vazamani nikavaa navo veupe pia sendo baadae nikavipatenaa imaana gani sheheeh
@ashurasaid50173 жыл бұрын
Shekh mimi nimeota buti yangu imedumbukizwa chooni tena moja halafu nikawa naitoa kuangalia hivi havijachafuka sana ila viliingia chooni nikavitoa nikaviweka kwenye begi
@TKd-kf6lc3 ай бұрын
Mm nimeota viatu vyeusi nimepewa na bwanangu kimoja kikaanguka kwa mto lakini nimewahi kukichukua
@elizabethndunge2043 жыл бұрын
Kiatu brown
@elizabethndunge2043 жыл бұрын
Mbona ujibu swali yangu
@hatimalnaamani8763 жыл бұрын
Mie nimeota nimepita sehemu nikakuta kuna mama yuko jikoni anasonga ugari alafu na watoto 2 wapo inje walipo niona wakamwita mama furani huyu hapa watoto walifurahi sana kuniona na wakanipa zawadi ya viatu veusi vipya ata havija valiwa
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Nimeota navaa viatu vyeusi nipo na mama tunataka kwenda kwenye sherehe nikaww navaa kiatu na nguo mpya zipo pemben na mama yupo qnanisubur twende kwenye shugul
@swalehmwalim9907 Жыл бұрын
mbona ranging nyeupe haikuzungumzwa
@africansmile1012 жыл бұрын
Ndoto yangu ni mevaa sendndoiz zimekatika azifai tena nikaziacha na kuondoka
@iqrahiqrah377 Жыл бұрын
Na ndoto ukiosha viatu vya mchumba wako
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mimi nimeota cheusi
@ndayambajefikirini72522 жыл бұрын
Assalam aleikum sheikh, nduguyangu ameota anaoneshwa kiatu cheupe na mtu aliekufa ,marehem,alimwambia kuwa hivi viatu vyangu nilikua nimeviwekesha sehem,basi nae akamjibu uwaminifu ndojambo lakheri
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mimi mkanda wa pemben ulikatika nikaufunga hivyo hivyp
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Hii inakujuza kuweka sawa hali ya mahusiano yako au biashara
@ireneelishaalphayo6748 Жыл бұрын
Niliota nimeenda kununua nyanya sokoni nikasahau viatu niliporudi nikavipata tena kurudi nikaenda kuvitoa sehemu tena nikavificha nikabaki bila viatu hii ina maana gani naomba nisaidie
@muntasirsalmin6444 Жыл бұрын
Mie nimeota nAtoka nje. Mtu anauza viatu alaf mie nikavivaa ila jamaa alitaka kunibadilishia kunipa vibovu ndo inakuwaje
@mamsmariam66703 жыл бұрын
Nimeota namnyoa nywele mama yangu mzazi maana yke nini
@RamlaKimaro-e8w Жыл бұрын
shek mm niliota umeachwa na bus yaan tulifika stand nikashuka kw ajili ya ukaguz wa passport bus likaniacha nn maana yake
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Utakosa mpango wa hela au utaharibikiwa na baadhi ya mambo
@rahmamsagati9231 Жыл бұрын
Mm. Nimeota viatu vingi vya kiume Sana Ina maana gani
@marrychelesi5742 жыл бұрын
Kwema nimeota nimeviona viatu vya mtoto vipo vingi vipo karibu na mto kuna mama akanambia kuna kichaa aliishi hapa na mtoto amehama kaviacha ina maana gani
@MTAVASSYTv2 жыл бұрын
Utapata mahusiano mapya kama haujaolewa, lakini hujulishaga hii kupata nafuu ya kimaisha pia
@marrychelesi5742 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv asante mungu akuongezee maarifa uzidi kutusaidia
@bahatiabc42912 жыл бұрын
Kiatu cha pink cha kodokodo yani cha nchaa ya juu mtu akiota anatembea nacho bila shaka ina manisha nn
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Je alivaa vyote viwili? ikiwa jibu ni ndio basi atapata pesa au mahusiano mapya
@marynyange84784 жыл бұрын
Sheikh mm nimeota nikinunua viatu pear mbili, moja yangu na nyingine ya binti yangu so vyangu vikanitoshea vizuri nilipoenda kulipa nikaviacha vyangu sababu bei ilikuwa ya juu mno nikamwambia muuzaji hii pear nyingine nitaikujia. Chaa ajabu nilipoamka mguu wangu wa kulia ulikuwa waniuma. Tafadhali sheikh naomba tafsiri ya ndoto hii
@faridahmohammagm84194 жыл бұрын
F
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mimi sendozi havijaziba
@MTAVASSYTv9 ай бұрын
hivyohivyo
@dab88593 жыл бұрын
Asalam alaykum shekhe nimeota kuna hrc ya mschna ambae yy hjaolewa nikamuota yuwaolewa kwnye iyo hrc mm nikampa machngo Cousin yngu mwengne 500 akaniambia ztfka 450 sbbu yakutoa mw m mpesa ile hrc ilifnya wakt b hrc yuwtka kutka n mm nikakmbia wkt nkmbia kwnda kumuanglia nikavaa Yeboyebo nyeusi lkua hkijakua sawa m nikaanza kukmbia naona nlivaa pnde 2 tofaut nkakmbia kw hrc nikamuona bbngu akanianglia vbya n b hrc lkua yuwataarshwa atoke kwnda kwke lkn wkt navaa viatu kulkua n wtu nnaowjua nyumba ya shangazi yngu wkniambia vaa viatu vzr mm sktka kujua nkakivta vizur nkatoka ndoto yenyewe nnaiyta mida ya swala ya asubuh mpka saa nne Asubuh w kuamkia leo jumatatu
@zanudabdallah40725 жыл бұрын
Asalam aleykum.Shekhe mm huwa naota nipo na wafanyakazi wenzangu kama sio wte basi hta wawili watatu wakati mm sipo tena hapo kazini huwa inanijia mara kwa mara kuna cku niliota mmoja wao alinipa elfu saba kwa siri nn tafsiri yake ?
@MTAVASSYTv5 жыл бұрын
Kukupa pesa ni kukupatia maneno mazuri au kukusema vizuri kwa watu na ikiwa pesa chakavu basi hiyo ni maneno mabaya au kukusema vibaya kama hautasikia basi umesengenywa .
@bbb6nnn5613 жыл бұрын
Mimi nimeota jana nnakiatu kimoja mguu mmoja nimevaa na natembea bas nikatembea mpaka nikajikuta nipo sehemu ya juuuuu kabisa chini kuna watu wananishawish shuka lkn ninge shuka ninge pata madhara lkn nikavishusha viatu tu nikashtuka
@bbb6nnn5613 жыл бұрын
Na kweli mimi nipo safarin na jiandaa kurud na hile mitaa nilikua napita na kiatu ndio anapo tokea mtarajiwa wangu
@rahmamasagati42182 жыл бұрын
Asalam alaikum mm nimeota Mara mbili siku ya Kwanza nimepewa viatu vyeusi vipya nkavaa nkaingia chooni siku ya pili nkaota nilivaa viatu viwili nkaingia chooni kimoja kikaingia ndani ya choo kimoja nkabaki nacho nn maana yake
@mwanasitiali6885 Жыл бұрын
Sheikh Mimi nimeota niko ufuo wa bahari nimeokota kiatu cha buti ndani kuna samaki na ufunguo sijaelewa hii ndoto maana inajirudia sana
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Ulichoona ni bishara ya mwanaume ambae atakupatia pesa au mafanikio kwa sehemu fulani
@mwanasitiali6885 Жыл бұрын
@@MTAVASSYTv shukran sheikh Allah akubariki
@fatmasaiderick19354 жыл бұрын
Shekh m nimeota natembea kuelekea kazin lakin ghafla kikanipita kitu kwa haraka kuelekea kwenye get la nyumba nikasema sijui nn kile lakin nilipofika nikaangalia kumbe ni viatu viwil vyakutumbukiza rangi nyeusi
@aminaibrahim9814 жыл бұрын
mm mi mwamamke nipo kwenye ndoa..nimeota nna viatu pea tatu vyote vizuri vyeye rangi zambarau light pamoja na nyeusi viatu vya kike...lakini hapo kwenye ndoto nilikua npo na mtu mwengine ambae ata simahamu nae akataka nimpe kiatu kimoja nikamwambia chukua kimoja wapo lakini si hiki...nikamonesha pea moja ambayo mm niliipenda zaidi..lakini na yy alitamai ileile niliyoipenda mie zaid..nn maana ake
@hawaadam48025 жыл бұрын
Mim leo nimeota leo viatu pea 3 vya wadogo zang nikawa nawasaidia kuvitoa uvungun nikiwaambia mbona vizur hivo?
@MTAVASSYTv5 жыл бұрын
Unakumbuka ni viatu vya rangi gani?
@vickiemerere40565 жыл бұрын
Niliona kokoko zangu zimechafuka na zimeshonwa lakn ktk uhalisia Ni vizima na viko sawa hii Ina Mana gan?
@MTAVASSYTv5 жыл бұрын
Kama mwenzako haja chepuka basi kazini kutakuwa na kizaa zaa
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mimi rangi nyeusi
@MTAVASSYTv9 ай бұрын
neema hiyo
@agesag.m24767 ай бұрын
AMEN
@judithmbuya88833 жыл бұрын
Mbona hujibu maswali za watu
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
afya kdogo sisi ni wana adam jaman tusameeyane
@EdistaSilayoАй бұрын
Mi niliota kiatu chekundu baadae nikakivua nikakiosha kuja kucheki nilikoshea nikakuta kuna sendos nyeusi na hivyo vyekundu
@fatumashaban79314 жыл бұрын
Je ukiota umepata viatu vilivyopotea
@رقيهالغافري-غ1ذ11 ай бұрын
Ukiota fenes
@MTAVASSYTv11 ай бұрын
Maashaallaah pesa au mali ya halali hiyo umeiona
@hassanabdulhussein9212 Жыл бұрын
Nimeota nipo mazingira ya msikit nafanya usafi chooni .Mwishoni nkawa natafuta viatu vyangu(sandle) nilivyovaa wakati natafuta nikagundua watu wanasali nikajiambia nijiunge kwenye ibada then kwakuwa watu ni wengi tukimaliza wakiondoka ntaviona vyangu.Hii ina maana gani?
@fatumamwaveso2472 жыл бұрын
Assalam alaykum shekh mm nmeota nmevaa viat vyakutumbukiz ila sio vyakamba vyarang ya zambarau,nkaenda nkavivua nkavaa viat vyekund vya juu juu nkasem hv vitaniumiz nkavua nachukua vyeus vyakutumbukiza Ila havin kamba nkatak kuvizaa ila sjavivaa nkawa naviangalia nkatabasam nkashtuk je maan yake nn🙏
Tunakaguliwa viatu wengine wakatolewa uchafu mimi nikakutwa msafi na nikiatu cheusi na nilikaguliwa na mwanamke nn maana shekh
@fashion_trends5064 жыл бұрын
Asalamlykum shk nmeota nmevaa viatu vyeusi ila vya wazi virefu kimoja kikaachia mkanda nikawa natembea hivo hvo kisha nikaona sehem wanauza viatu nikaenda ila wakawa wanafunga sikununua nikaendelea kutembes nikaona sehem kma wanashona viatu nikapita pale kumbe sio sikufanikiwa tena kukishona ina maana gani ndoto hiii
@aminaally47493 жыл бұрын
Mimi nimeota nimeenda kwa Mwanaume nikakuta viatu vingi
@fayyaztvtz84325 жыл бұрын
Skh nimeota mdudu ila simkumbumbuki skh hapa hata akili yangu haina Amani Skh Sharif Mtavassy wallaahi mengi uliyo wahi kunifasiria yametokea vile vile Skh Sharif Allaahu akubari Naomba nikutumie pesa Skh wangu kupitia account yoyote skh Sehemu tu ya shukrani yangu kwako al habiibi
@asialubuva24282 жыл бұрын
Aslamu alkm shekhe namba msaada wako mmi nimeota nimeweka vitu vyangu kwenye begi lakini baadae nikakutana na WAna awake wawili nikawa natoa viatu ambavyo so vyangu nikasema Sasa sintaonekana nimeiba wale wadada wakasema hapana na vilikuwa vingi kweli na siku ya nyuma pia niliota vita viko mlangoni kwangu vimepangwa kwenye girl mfano WA biashara
@MTAVASSYTv2 жыл бұрын
0656606014
@alhasannusair72253 жыл бұрын
Nilioata Niko na watoto wawili vijana walikua na viatu lkni vilikua vidogo hafiwatoshi but wakabadilishana na watoto wasichana WA mama rafiki yangu kisha huyo mama akaja kugombana na mume wangu na kumtusi Sana but mume wangu hakumjibu neno lolote,nisaidie please
@aminamsalati47703 жыл бұрын
Nimeota natafuta viatu ila but viwili
@fatmaidah97504 жыл бұрын
Assalam aliekum warahmatullah wabarakatuh. Sheikh nisadie niota mara kwa mara natolewa kafala tena mara mbili nimemuona mwajiri wangu ndio anitoa.
@Richforever664 жыл бұрын
Shekh a/alaykum naomba unisaidie tafsiri ya ndoto hii muotaji ana mke kaota amevaa viatu vinne kila mguu viatu viwili vina rangi y njano gafla kuna sehem alipofikia alivivua wakampotezea viwili akabakia na pea moja nini maana yake.."
@MTAVASSYTv4 жыл бұрын
Atatiwa hasara au anamchepuko anakaribia kuachana nao
wewe kuna moja ya mambo haya (1) kuna jambo unadhania tofauti na lilivyo (2)unafanya zinaa (M/Mungu akuepushe na hill) unampango wa kudate na mtu.(muogope Mung u)(3)kuna jambo lenye ikhtilafu linkutatiza
@judithjeffry63914 жыл бұрын
Nilimuota marehemu baba yangu ananiomba kiatu abadilishe viatu hivyo vilikua pembeni ya kitanda vilikua laba nyekundu Nini mahana yake
@habibabishar19054 жыл бұрын
Assalamu Aleykum sheikh Mimi ni msichana ambaye hajaoleka bado nimeota nampanguzia viatu mwanaume ambaye simwelewi lakini nampa hivo kwa furaha huku tunaongea nikimwambia aondoke aende asichelewe huko anakoenda ambaye sijui ni i kazini au wapi .Na viatu hivo ni vyeusi na ni salha sio buti .Tafadhali nitafsirie
@MTAVASSYTv4 жыл бұрын
Utapata bahati au pesa
@habibabishar19054 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv Jazak Allah kheir Mola wangu akulinde biidni Allah
@nzeyimanaanassi35854 жыл бұрын
Kuna wakati naota natak kuvaa nakosa nguo peny nimeiweka
@chabalalachabalala91503 жыл бұрын
Nimeota mpenzi wangu tunapendana ameniletea viatu vyake eti tuvitengeneze eti vina muuma eti tuvitengeneze fundi akavitengeneza vikamuenea Mana yake nini
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
anahitaji umvumilie kipindi hiki kigumu
@robinajohanssen6975 жыл бұрын
Mbona hujaniambia maana ya ndoto yangu ya kuwa Msikitini na viatu vyangu kuibiwa? Please
@MTAVASSYTv5 жыл бұрын
Upo kwenye ndoa au kwenye mahusiano?
@robinajohanssen6975 жыл бұрын
Nipo kwenye mahusiano natarajia ndoa
@edinajairo5624 жыл бұрын
nimeota nimeokota viatu vya MTT mdogo na saa
@MTAVASSYTv4 жыл бұрын
Pesa hiyo
@johainachari83745 жыл бұрын
MI WA naota marakwa Mara na nunu nguo mpya
@MTAVASSYTv5 жыл бұрын
Na je mara kwa mara huwa mahusiano yako yanavunjika na huwa unaanzisha mengine ? Kazi huwa inakuwa hivyo ?
@najma32684 жыл бұрын
Assallam aleykum. Shekhe, mdogo wangu kaota ndoto , anafanya mapenzi Na msanii mkubwa juz kati Na leo kaota tena kafanya mapenzi Na msanii mwingine mkubwa inamaanisha nn shekhe
@MTAVASSYTv4 жыл бұрын
sawa sio njema sana kumuota msanii ila anaweza kupata hela kwa njia ya adaa au kwa njia mbaya au kutoka kwaa mtu sio mzuri kama haitajulisha kudanganywa kutapeliwa au kupata karaha tu kimaisha mwanasiasa na msanii haifai kuona ndoton
@najma32684 жыл бұрын
MTAVASSY TV TANZANIA shukrani sana shekhe
@nasratwaha16325 жыл бұрын
Assalam aleykum sheikh mm nimeota nakusanya viatu yangu vingi tuu zaaina tofauti lakin akukuwa na zile kokoko vya juu na pia nakusanya na nguo nzifunga kwenye kangaa moja nn maana yake
@aminakeaaminakea92972 жыл бұрын
Aslm wqs,
@MTAVASSYTv2 жыл бұрын
wa,salaamu warahmatulaahi wabarakatuh
@miirajmohamed63523 жыл бұрын
Mbona unasema kana kwamba unajifunza alaf elezea tu watu tuelewe acha mlolongo mrefu mara usome kiarabu unatopoteza
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
Kunyamaza ni bora katika yaliyo bora,
@fatumashaban79314 жыл бұрын
je ukiota umepletewa viatu vilivyopotea ina maana gani?
@MTAVASSYTv4 жыл бұрын
Hiyo rizki maashaa Allaaah
@fatumashaban79314 жыл бұрын
MTAVASSY TV TANZANIA ahsante kwa majibu sheh Allah akutilie wepes ktk mkazi zako
@fatumashaban79314 жыл бұрын
MTAVASSY TV TANZANIA Rizki ipi hiyo sheh
@jssytayali51883 жыл бұрын
Kuwota mwanamke yuko wuci Inamana gani tena mimi Nibiti
@jabirinyoni91615 жыл бұрын
Sheikh nimeota naongea na Malkia wa mchwa na huyo malkia wa mchwa akanichukua na kunipeleka sehemu yenye jengo nzuri na yenye kuvutia iliyokua na walinzi wa kibinadamu..... Nini maana ya ndoto hii?? Nimeota saa 9 usiku..
@MTAVASSYTv5 жыл бұрын
ok nataka kujua huwa unafanya ibada kikamilifu au mara mojamoja ?
@jabirinyoni91615 жыл бұрын
Nafanya kwa ukamilifu na ibada ni sehemu ya maisha yangu siwezi kuacha kwa namna yoyote ilee..