Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akujalie umri mrefu wa afya amin
@KautharyMwinyi4 ай бұрын
Mwanamke alieachwa baada ya kujifungua eda yake inakuwaje
@jimjam-xg7rv4 ай бұрын
Maa Shaa ALLAH 💚
@AdamHajj-zm6cp4 ай бұрын
Masha allah tabaraka llah
@abdulkhalfan85864 ай бұрын
MASHAALLAH
@mohammadabdallahmzee38254 ай бұрын
assalaam alaykum sayyidiy. kuna taarifa kupatwa kwa jua tar 8.4.2024 unawanasih nin waislam Pia tupate faida je jua au mwezi likipatwa hupatwa ulimweng mzima au baadh ya sehem na km ni baadh je sehem ambayo haikupatwa mwei au jua nao wafanye sunna ya kusuf au khusuf km kufuata mwezi wa kimataifa?
@muzafarsharif94654 ай бұрын
sheikh hawajui vibatali hao😂😂😂
@muzafarsharif94654 ай бұрын
sheikh hawajui vibatali hao😂😂
@zeynaaly19484 ай бұрын
Sheikh izudin Alwy mm swali langu nauliza hivi je naweza kufunga sunna ya sita nikimaliza nikafunga swaumu ya Ramadhan ilionipita kwa dharura ya kisheria
@abujamalaalghammawiy74704 ай бұрын
Naam unaweza
@zeynaaly19484 ай бұрын
Ahsant kwa kunijuza ila kuna baadhi husema huwez kufunga sunna ya sita mpaka ukamilishe funga ya ramadhan ambazo umepata dharura
@abujamalaalghammawiy74704 ай бұрын
@@zeynaaly1948 Naam hao wanakosea, maana siku sita ni siku chache tu na ambazo zipo ndani ya mwezi wa Shawaal peke yake. Lakini kulipa funga ya Ramadhani unaweza kulipa muda wowote hadi ramadhani nyingine ije.