Aliyopitia TSUTOMU YAMAGUCHI: Ni Miujiza, alinusurika na MABOMU ya NYUKLIA ya NAGASAKI na HIROSHIMA

  Рет қаралды 10,994

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 72
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Күн бұрын
Aliyeuwa watu Japan kwa nyuklia , Libya , Afghanistan, vietnam ndo mtetezi wa haki za binadamu😢😢😢
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 22 сағат бұрын
@@AliNassor-qt6fm Sikujua kuwa Libya, Vietnam na Afghanistan pia waliuawa kwa nuclear.
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 22 сағат бұрын
​@@rumdeesonsoa1811 umeishia darasa la ngapi wewe?
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 22 сағат бұрын
@@mpjozzegalvanize4926 La 20 je ww umeishia la ngp?
@mundhirothman9842
@mundhirothman9842 16 сағат бұрын
Hahaha hatari
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 12 сағат бұрын
@@mpjozzegalvanize4926 La 20 je ww umeishia la ngp?
@lucymtui8680
@lucymtui8680 21 сағат бұрын
Ni Mungu tu
@StevenPeter-ov7pj
@StevenPeter-ov7pj Күн бұрын
Sns❤
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 19 сағат бұрын
Subhanallah 🎉
@steveanthon5523
@steveanthon5523 Күн бұрын
Nawaza ingekuwaje ikiwa Marekani pekee ndiye angekuwa mmiliki wa mabomu ya nyuklia duniani? hakika dunia ingekuwa mateka, Marekani ina ubabe mwingi wa kuonea nchi ambazo hazijiwezi, Hongera Urusi, China na Korea kaskazini kwakutengeneza hayo mabomu ya nyuklia ili angalau kuwe na usawa duniani.
@nugwiziwe7577
@nugwiziwe7577 Күн бұрын
Kiukweli walitamani iweivyo lakini ndo basi tena
@hirsirashid3741
@hirsirashid3741 Күн бұрын
vipi mzee bring more stories asate
@SimbaHaji-jm7md
@SimbaHaji-jm7md Күн бұрын
Makafiri kabisa
@andrewmallya1704
@andrewmallya1704 Күн бұрын
Wakwanza..naomben like😊
@luckg12_tz_10
@luckg12_tz_10 20 сағат бұрын
Huyu Mungu siyo kipofu siku moja malekani nao wataonja hiki kiama
@IceCube-o6s
@IceCube-o6s Күн бұрын
Tuletee historia ya Soviet Union mpka kuanguka kwake please 🥺🥺🤲🤲
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km Күн бұрын
Hata mimi natamani sana kujua
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 19 сағат бұрын
Google
@ImanTv-c4h
@ImanTv-c4h Күн бұрын
USA hii dhambi itwatafuna t mpk mwisho WA dunia 😢😢
@tp-kh8hl
@tp-kh8hl 22 сағат бұрын
Inawatafuma kivp na kila siku ndo ssi tunawaomba misaada!..na wao wanaishi maisha bora kuliko ssi na umri mrefu zaidi yetu😅
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 Күн бұрын
Wale wanaofikiri urusi ni inch ya mzaa endeleeni kushabikia ujinga inch zamagaribi zenyewe zikiongozwa na marekani zikiskia urusi anaongea kuusu nuclear bomb maana zinafaamu urusi ana tsar ambayo mojatu ni mara 1k kuzidi ile ya iroshima&nagasaki na hakuna inch nyingine inamikili bomb aina ya tsar ni urusi pekee. Sasa msiombe mashoga wakoloni wajichanganye kwa urusi na Ndio itakuwa mwisho wao
@raydanfrenk
@raydanfrenk Күн бұрын
Ww ni pimb Akijichanganya wanazilipua zikiwa kwake au unajitoa ofaamu
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 Күн бұрын
@@raydanfrenk wewe ni kiongozi wa pimbi ulimwenguni
@raydanfrenk
@raydanfrenk Күн бұрын
​@@thelonewolf4429 njoo nikupaka mafuta 😂😂😂
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 Күн бұрын
@@raydanfrenk Paka babako shoga uchwara, You seem you were born accidentally
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky Күн бұрын
​@@raydanfrenkvikianza wala Rusia hata umia ana eneo kubwa sana hao wengi ndoo watajuta..
@asyajey3479
@asyajey3479 Күн бұрын
Aisee Marekani ni magaidi sana
@swalehaltooq5233
@swalehaltooq5233 Күн бұрын
Wewe umepatia kabisa
@lucymtui8680
@lucymtui8680 21 сағат бұрын
Wajue Mungu ni mkubwa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Күн бұрын
✌️👊👍.
@mundhirothman9842
@mundhirothman9842 16 сағат бұрын
Hilo bomu la urusi lipigwe marekani bora waonje uchungu
@peresmagasi5330
@peresmagasi5330 Күн бұрын
Na bado kuna watu wanaamini usa ni nchi inayotetea amani dah😢
@raydanfrenk
@raydanfrenk Күн бұрын
Ndio ww usipo amini acha
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in Күн бұрын
Akina Lisu
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Күн бұрын
Ni nchi ipi sasa inayotetea amani?
@omondiowino7875
@omondiowino7875 Күн бұрын
ungejua jinsi wakati huo Japan ilivyokuwa ikiwanyanyasa akina china na Korea...hhah! wakati mwengine jaribu kuchunguza ni kwanini Marekani ilifanya hivyo na ni marangapi Japan walionywa ila wakajiona wao ndo kusema
@peresmagasi5330
@peresmagasi5330 Күн бұрын
@@omondiowino7875 kwani marekani wao ni Nan kwenye hii dunia?wao wanasababisha migogoro mingapi kwa mlengo wa kuuza silaha,kuteteza tawala zinazopingana na matakwa yao kusababisha migogoro nchi na nchi,kuchonganisha tawala za nchi nyingine na raia wake kufanya mission za mauwaji kwa kusingizia magaidi kushirikiana na Israel kuuwa raia huko gaza kufanya mission za mauwaji kwa raia Syria,libya afghastan,Iraq wao mbna hawawi mfano wa amani zaidi kuleta migogoro kama iyo....mbna hawafuata wanachosema jumuia ya umoja wa mataifa coz wao ndo wanaamua kila kitu
@GodfreyRichard-v4f
@GodfreyRichard-v4f Күн бұрын
Kwekweli hayo mabomu hayafai kabisaaa nihatariii
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd Күн бұрын
Alafu Japan na Marekani ni freinds this is nosense freindship between these 2 people
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Күн бұрын
Marekani itakuwa waliuwa watu wenye misimamo Mikali wakawabakisha wanyonge ndio maana walio baki waliduwaa vbya mno ,lonely, ukilema, namadhaifu mengi sana 😴😴
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky Күн бұрын
Walipiga miji ya majasiri hao waliobaki ndoo hichi kizazi cha machawa..
@anny19988
@anny19988 Күн бұрын
Japan ni koloni la US kama ilivyo Korea Kusini na EU
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Күн бұрын
@@anny19988 sasa mbona ile vita iliyo kuwa inapiganwa kwenye kanda ya korea nzima marekani ilikuwa ikipigwa sana na Japan mpka wakaamuwa watumie siraha yao ya mwisho ambayo ndo nucrle
@anny19988
@anny19988 Күн бұрын
​@@AFRICA_D669Baada ya hayo mabomu Japan waliamua kusurrender kwa Marekani. Wakaruhusu Marekani ajenge kambi za jeshi kwenye ardhi yao. Ukishakuwa na kambi ya jeshi ya Marekani kwenye nchi yako wewe ni koloni la Marekani. Pia Marekani alijenga kambi za jeshi nchini Korea Kusini , Ujerumani na EU ili kuzuia kuenea kwa sera ya Ujamaa ya Urusi. Marekani anataka kuwa mbabe wa dunia na alikuwa tayari kufanya chochote ili kuzuia kuenea kwa sera ya Ujamaa ya Urusi. Mfano mwingine, Marekani waliufadhili utawala wa Makaburu wa Afrika Kusini maana Nelson Mandela alikuwa rafiki wa Urusi. Pia Marekani ilishiriki kumuua Patrice Lumumba aliyekuwa anapendelea sera za Ujamaa. Marekani pia walipigana vita ya Vietnam ili kuzuia sera za Ujamaa za Urusi kusambaa sehemu nyingine za Asia.
@chrispincelestin6446
@chrispincelestin6446 Күн бұрын
Kipindi icho ndo Japan ilikuwa nawapa taabu china na korea
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 20 сағат бұрын
Irepuliwe tu iyo dunia juu uyo neatnhyahu ataki kuskia zpigwe tu kwani vp
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Күн бұрын
Nauza Urenium iliyorutubishwa kwa kilo
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Күн бұрын
😂dah
@Dreamtech.24
@Dreamtech.24 Күн бұрын
SNS TV 😓🤲
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z Күн бұрын
Weee hehemaskin
@huseinomary808
@huseinomary808 8 сағат бұрын
Ila Japan n wajinga yn tungekua wabongo tusngepatana nae abadan
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 7 сағат бұрын
Akiyako mdogo kama chembe ya haradani
Mossad's Deadliest Mission: The Hunt for al-Wazir | Real Crime
48:45
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 964 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 27 МЛН
Why does the US spend so much on its military?
28:24
Johnny Harris
Рет қаралды 1,5 МЛН
Top U.S. & World Headlines - October 11, 2024
11:14
Democracy Now!
Рет қаралды 120 М.
This Bass Solo Left Me SPEECHLESS
8:02
CharlesBerthoud
Рет қаралды 100 М.
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 964 М.