Ni Mrembo, video zake zinaleta usingizi (ASMR), anapata views kibao TikTok! Fahamu anachokifanya

  Рет қаралды 1,736

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 16
@nanyangahustler4305
@nanyangahustler4305 Сағат бұрын
Wanangu siku hizi mnafeli sanaa sasa hao warembo wa nini sisi😮😮
@JosephAlakonya
@JosephAlakonya Сағат бұрын
Usisahau P Diddy ameandikisha mahali zake zote kwa mamake na kwa watoto wake kile ambacho ako nayo ni mafuta tu
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s Сағат бұрын
Nenda kafilw
@Zainab_salat
@Zainab_salat 42 минут бұрын
Acha matusi​@@Anthonyzombie-d2s
@Goshi-ov2wy
@Goshi-ov2wy Сағат бұрын
Semeni mambo ya tanzania, yako mengi, nyie hao warembo wanawasaidia nini, matatizo tanzania yako mengi sana, nyie mnadili na stalehe tu na habari za nje
@IvanBenjamin-i8g
@IvanBenjamin-i8g Сағат бұрын
Acha ushamba tengeneza zako
@MaishanaDavid-ej1ic
@MaishanaDavid-ej1ic 48 минут бұрын
Mnazingua
@emmanuelheshima4985
@emmanuelheshima4985 2 сағат бұрын
sijaelewa
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 2 сағат бұрын
😅😅😅😅😅 Twende sawa
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 59 минут бұрын
Broh Sasa unatuwekea vitugani hivi😔
@EMMANUELCHOMO
@EMMANUELCHOMO 36 минут бұрын
🚮
@DicksonKalla
@DicksonKalla Сағат бұрын
Sorry brother @Sky🙏🏾kwa makara aijakaa vizur kwa meengwa wa Chombo chako najua mtengeneza content nyingi za udaku lakini hazinaga maana sana kutokana na haina ya chombo chenu kilivyo jengwa na haminika kwa habari za Humana na zamweli na hizi udaku zimekua nyingi sna kila tv mtandao Ndio mlango wao endeleeni na mambo ya nayogusa Jamii hasa jamii iliyo wazunguka🙏🏾
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Сағат бұрын
Bwana Dickson, Kwanini tusianze na hii 'On My Father's Wing: Kitabu cha Mwanzilishi wa Precision Air, Kifo cha mkewe kilimvunja moyo vibaya' kzbin.info/www/bejne/qqHVkIGPgt1qd7s Hii ni moja ya content bora na yenye elimu ya muhimu sana lakini ndio iliyoongoza kwa kutoangaliwa zaidi wiki hii. Content kama hizi tunazo nyingi mno, na tena zimeshiba kweli kweli na zote hazipati muitikio wa maana. Kama zingekuwa zinapata reaction ya kutosha tungezifanya nyingi zaidi ya sasa. Kwahiyo, sisi tunachujua tunachokifanya. Kama upo hapa, maana yake ni kuwa umevutia nayo. Tungefurahi kuona comments zako kwenye content zetu za kujenga kama hiim pia.
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg 2 сағат бұрын
Ivi nyie wenzangu hua mnawaambia nini wanawake adi wanakubali kua wapenzi wenu 🤔
@saudamwinyipembe5749
@saudamwinyipembe5749 Сағат бұрын
Kukubaliwa na mwanamke ni baazi ya chemistry kuendana
@gracelema2374
@gracelema2374 Сағат бұрын
🚮
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 1,3 МЛН
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 38 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,8 МЛН
Loui V x Chino Kidd   Mkimuona Official Video
3:55
LOUI V
Рет қаралды 10 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 1,3 МЛН