Allah huwatumia manabii ili wawavuruge. Je Allah na Mungu Yehova ni mmoja?
Пікірлер: 125
@kilongoziadam3445 ай бұрын
Shalom Mwalimu Daniel. Hakika wewe ni mtu wa baraka sana. Mungu akulinde kama alivyowalinda na anavyowalinda manabii wake
@Seb_Oti5 ай бұрын
Asante Kwa jumble ndugu. Wewe ni wabaraka kwangu. Mafunzo yako ni Bora kabisa
@StephenSalum5 ай бұрын
MUNGU akubaliki mtumishi wa Mungu
@georgekimasaofficial16295 ай бұрын
Mwalimu barikiwa sana kwa hili somo zuri.
@amanisanga32515 ай бұрын
Nakupenda Mtumishi wa Mungu. Endelea kufungua macho yetu
@AnafBanda5 ай бұрын
Nakubali Sana mafundisho yako mungu akulinde
@mwawekomiuda97795 ай бұрын
Yaani hili jitu ni Ahalilunnari yaani jitu la motoni. M'mungu amewataja watu watakaoishi motoni daima ni ktk huyu moja wao. Hv wewe kweli una Akili? unaweza ukamjengea hoja M'mungu?na unamsingizia uwongo. Ww ropoka lkn marejeo ni kwake M'mungu. Wala hutuwezi ss waisilamu tumesifiwa na Mola wetu tuna Akili. Alhamdulillah. MashaAllah.
@BAYYINATDMTV5 ай бұрын
Akili ya Allah kuwafanyia maadui manabii ilo wapotoke na kusema uongo?
@georgekimasaofficial16295 ай бұрын
Mwawekomiuda unachekesha sana na mwacheni Mwalimu wetu awape darasa liwaingie pia swala la motoni nilakwenu Waislam kama hamtampokea Yesu 😂😂😂 na ushahidi mwingine huu Abu Huraira anasimulia kutoka kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.): “Pepo na Jahannam zilikuwa na mzozo, kila kimoja kikijaribu kuonyesha ule ubora wake juu ya kingine.” Basi Jahannam ikazungumza: “Mimi nimependelewa kwa kuwepo kwa wale watu wenye kiburi na nguvu ndani yangu.” Pepo ikajibu: “Mimi sijui ni kwa nini hakuna mtu isipokuwa wale dhaifu na wanyenyekevu ndio walioingizwa ndani yangu!” Hivyo Mwenyezi Mungu akaiambia Pepo: “Wewe ndiye Msamaha Wangu, na kupitia kwako ninatoa msamaha kwa yeyote kati ya waja Wangu.” Halafu Yeye akazungumza na Jahannam: “Wewe ndio ghadhabu Yangu, na kupitia kwako wewe ninamuadhibu yeyote nitakaye kumuadhibu. Kila mmoja wenu atajaa.” “Bali Jahannam haitajaa, hivyo Mwenyezi Mungu ataingiza mguu Wake ndani yake.” Kisha Jahannam itagutia: “Tosha! Inatosha!” Allah ataingiza unyayo wake jehanamu 🔥🔥🔥🔥🔥
@elmeskatto5 ай бұрын
jina la Mungu unaemwabudu wewe muislamu anaitwa nani?
@mwawekomiuda97795 ай бұрын
@@elmeskatto utalijua pale wakati matako yako yanatoa mavi na mikojo inakumwagika na wakati huo unatolewa Roho yako kinyama. Utakua kati ya dunia na Akhera. Ndio utakapolijua jina la Mungu wa waislamu anaitwa nani.
@raymrash5 ай бұрын
@@mwawekomiuda9779umeulizwa jina la Mungu wako wewe unatukana! Sasa hiyo mitusi unayotukana ndiyo jina la Mungu wako!??
@SamweliMaganigani3 ай бұрын
Asant mwalimu tunaendelea kukufuata hatua kwa hatua, Mungu akubariki saaana
@issaabdallah76605 ай бұрын
ALLAH ALLAH ALLAH ALLAH ALLAH Hakuna Mwenyezi Mungu Ila ALLAH. YEYE KWA KILA KITU NI MUWEZA
@BenjaNetanyahu5 ай бұрын
Kwahiyo! Huyo allah ni mkuu kuliko, MUNGU mwenye ENZI?
@issaabdallah76605 ай бұрын
Hakuna Mungu mwingine zaidi ya ALLAH
@BAYYINATDMTV5 ай бұрын
@@issaabdallah7660 Ndiyo sababu anatuma mashetani na majini kwa manabii kwa sababu ni Allah. Umemsikia Yehova Anachosema kuhusu namna anavyowalinda manabii?
@hashimchaoga95665 ай бұрын
@@BenjaNetanyahuGoogle uone nini maana ya Allah. Allah ni neno la kiarabu kiyahudi na hata makabila mengine lenye maana Mungu. Ni huyo huyo mmoja hakuzaa hakuzaliwa ni huyo huyo mwenye mitume 25 akiwemo Yesu na Mohammad. Google uone. Na Yehovah google uone ni Mungu wa wayahudi katika dini yao ya Judaism. Wayahudi hawautambui utatu wala Yesu na hata Yesu hakuhubiri utatu
@georgekimasaofficial16295 ай бұрын
@@issaabdallah7660allah yupi? au yule aliyekuwa akiabudiwa na makureshi pale kwenye alkaba iliyokuwa na masanamu 360 chini ya Babu yake Muhammad kabla ya Uislam? au aliye letwa badae na Muhammad ktk Uislam?
@StephenSalum5 ай бұрын
Mungu akupe Mafunuo zaidi waislam waachane ushetani wa alra Mungu wa islaelakubaliki
@hashimchaoga95665 ай бұрын
Mungu si wa Israel na si myahudi. Mungu halisi ni mmoja na ni wa wote hakuzaa hakuzaliwa. Wa Israel katika dini yao ya Judaism mungu wao wanamwita Yehovah. Na wayahudi hawaamini utatu au trinity na hawamtambui Yesu
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl5 ай бұрын
ndomana waslam wengi ukikutana nae ukimwambia abali za yesu anakuwa mkali kumbe anajini mwilini mimi siku ntawakemea ili waanguke namajini yao
@hashimchaoga95665 ай бұрын
Sikiliza mahubiri na uponyaji wa manabii wenu wa uongo waliojaa na makanisa yao na wachungaji wengi wao wanahubiri majini na mapepo na kudanganyana kuyatoa. Hiyo inaonyesha nani anaamini majini.Na hao wanaotolewa majini na mapepo si Waislam.Huko kwenu mahubiri yenu yamejaa uongo wa uponyaji mapepo majini na mashetani na wanaohudhuria na kutolewa si Waislam. Sasa nani ana majini?
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl5 ай бұрын
yesu kapewa mamlaka duniani na mbinguni yesu yupo mbinguni muamadi yupo kabulini nayeye anasubili ukumu
@hashimchaoga95665 ай бұрын
Hizo ni porojo tu Muhammad kaja kuja kueneza neno la Mungu kueneza dini ya haki na kueleza ukweli wa Yesu uliopotoshwa. Angalia mifano hii Yesu alisali sinagogi na sinagogi maana yake ni msikiti. Yesu alisali kwa kusujudu Yesu alinawa au kutawadha kabla ya kusali Yesu alitahiriwa ni mengi tu yanafanana na waislamu? Hujagundua IPI ni dini ya kweli?
@@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Hujui chochote. Biblia imeandikwa toka vitabu 66 na ya warumi vitabu 78. Msahafu wametumia Koran Injili Taurati na Zaburi. Amgalia hiyo tofauti. Msahafu ni huo huo haujaongezwa kuchakachuliwa wala kuchezewa tofauti na Biblia. Vilivyotumika kuandika msahafu vyote vimeshushwa na Mungu kupitia Malaika na mitume au manabii .tofauti na Biblia. Hizo Biblia zenyewe zinatofautiana maandiko Luna walioongeza kuja waliopunguza kuja wachakachuaji
@hashimchaoga95665 ай бұрын
@@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Msahafu umejumuisha Torati Zaburi Kur ani na Injili. Hamna Biblia. Na Biblia ina vitabu 66/hadi 78 ya Warumi ikiwemo Taurati Zaburi na Injili.
@mwinyijuma26865 ай бұрын
Kama yesu alipewa maalaka duniani mbona alisulubiwa na raia wake aliowatawala😂😂😂
@bibleknowledge-b1y2 ай бұрын
allah katika historia inahusishwa na moon god(mungu mwezi)... ukifuatilia utakuta mfano babaake huyo mtu wao anaitwa Abd-Allah angalia mwishoni inamalizika na ilojina ambalo walikuwa wazazi wake wanaabudu tangu mwanzo... Si ajabu kuona miezi kilakona zao kubwa...
@ElizabethMuia-ro9yh4 ай бұрын
Allah means miungu, si MUNGU NILIAMBIWA NA MWARABU ORIGINAL FROM SAUDA ARABIA
@zuberihamisi4605 ай бұрын
Wewe mjinga katika wajinga ,hebu tusomee maelezo ya hio aya,pia utujibu Yesu wako alipo sulubiwa Yehova wenu alikuwa wapi?
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl5 ай бұрын
mwalim waambie awo wapumbavu watumwa wakialabu mtume wao mwenye alikuwa ajui kusoma wataweza wao shetani endelea kuwakalia vichani mwao mpaka jeanam eti kuna majini mazur
@yamungummungulo6335 ай бұрын
Usiwatukane utawanyima uhuru wa kujifunza
@zuberihamisi4605 ай бұрын
Tatizo mkiitwa kwenye mdaharo munaingia mitini,hebu twambie lini upo tayari tukutane kwenye mdaharo usitake kudanganya watu
@BAYYINATDMTV5 ай бұрын
Nani katuita halafu hatujaenda?
@Austinemarko5 ай бұрын
Wacha uongo.uje useme hoja gani wewe ya msingi😂😂😂
@EustaKimoshi5 ай бұрын
Mbona Mungu aliweka uadui kati ya uzao wa nyoka na mwanamke
@BAYYINATDMTV5 ай бұрын
Nyoka ni nabii?
@yamungummungulo6335 ай бұрын
@@BAYYINATDMTVmmh ni nabii wa jamii gani?
@suleimaniddi5 ай бұрын
Wewe elimu yako finyu niliwahi kukwambiya njoo huku kwa mazinge upate elimu
@elmeskatto5 ай бұрын
jina la Mungu anaeabudiwa na waislamu anaitwa nani?
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl5 ай бұрын
Uslam ni ushetani ndomana yule jamaa wairani asoma ouran alisema mbna naona ourani zinaaya za shetani tu
Na ulivyo muoga hiyo link umeandika at ya whtsp mbona sio?
@HamzaMakobanice5 ай бұрын
Wewe mtupu kabisaa ulivyo mweus na somo lako ni leusi mjinga kabisa iv umesoma kwel
@SufianiYusuph5 ай бұрын
Huyo amesoma kuliko wewe mmekalilishwa na sulle
@HabibuUrasa5 ай бұрын
Unamtukana ALLAH ,wakati yy amekuumba ,kisha atakuua kisha atakufufua na kwake utarejea. siku ukikutana naye na huku duniani ulikuwa ukimtukana itakuwaje?
@BAYYINATDMTV5 ай бұрын
Ninakataa mimi sijaumbwa na Allah. Kqa sababu Allah naye anaapa kwa Aliyeumba mbingu na ardhi. Mimi nimeumbwa na Roho ya Mungu na Neno la Mungu (Yesu)
@HabibuUrasa5 ай бұрын
@@BAYYINATDMTV hata ukikataa ukweli unabaki palepale ALLAH ndiye muumbaji wa kila kitu. Km hajakuumba siku anachukuwa roho yako kataa usife acha kibri kwa ALLAH lazima urudi we endelea kumtukana lakini lazima akutie. Mikononi
@Austinemarko5 ай бұрын
Allah amfufue nani.
@HabibuUrasa5 ай бұрын
ALLAH atakufufua ww km ww kidume siku ya kufufuliwa kataa usifufuke
@elmeskatto5 ай бұрын
@@HabibuUrasa jina la Mungu(allah) anaeabudiwa na waislamu ni nani?
@nassoroyahaya8215 ай бұрын
Naiomba hiyo Link...
@BAYYINATDMTV5 ай бұрын
Nasoro unaitaka link leo wakati unnaona somo lilikuwa jana? Kama unataka sema uko tayari jioni ya leo ili tukutumie link halafu uingie tukusikie. Uko tayari? Kama uko tayari tutumie namba yako ya simu yenye whatsapp
@raymrash5 ай бұрын
😂😂😂😂
@bausifarouk17985 ай бұрын
Huyu mzee bado kuslimu mpaka sasa.
@BAYYINATDMTV5 ай бұрын
Haujajibu yale maswali yangu 101 ili nisilimu. Je uko tayari nikuulize ili utoe majawabu (siyo majibu) ili nisilimu?
@bausifarouk17985 ай бұрын
Uliza tu nitakujibu
@HabibuUrasa5 ай бұрын
yaani ww. 00000 Tatizo lingine Mungu kawanyima ufahamu mbona huyo jehova kamtumia yesu shetani ili amjaribu yesu akapapna na shetani mpaka akamshinda. Hilo andiko hamlioni
@mussamohammedy80145 ай бұрын
Je kwa elimu yako huyo yesu unataka kusema kwamba hakujua kama petro ni adui je hakujua kama ni mtihani kutoka kwa mungu wake? Yaan wewe elimu yako ni ndogo sana maneno yote yanafungamana na qur an njoo darasani tukufundishe innalilah wainnah ilahii rajiuna wewe ndo miongoni mwa wenye chapa usoni mwako
@BAYYINATDMTV5 ай бұрын
Kwa hiyo shetani alitumwa na Allah kwa Petro?
@mussamohammedy80145 ай бұрын
Inamaa kwa upeo wako mungu haziiui kazi za shetani pindi atendapo au shetani kaumbwa na nan? Basi mungu anayajua yaonekanayo na yalio fichikana kwahiyo angependa kumuepusha na shetani angemuepusha hiyo ndio maana ya ile aya
@hashimchaoga95665 ай бұрын
A google tu aone yote hayo yameelezewa vizuri sana. Allah maana yake na Yehovah ni nani kwa kilugha gani
@hashimchaoga95665 ай бұрын
@@BAYYINATDMTV We we unatuaibisha acha kuropoka kama hukuelimika na kuelewa hebu google uone maana ya neno Allah na neno Yehovah
@hashimchaoga95665 ай бұрын
@@BAYYINATDMTV Kwa kua hujui maana ya Allah ( hebu google) ndio sababu unauliza swali kama hilo.Allah ni God kwa kiarabu hata kiyahudi na makabila mengineyo. Na Yehovah INA uhusiano na Judaism ya Wayahudi ambapo ni Mungu hata wayahudi hawaamini Trinity ona sasa na Yesu alitumwa kuja kuwakomboa wana wa Israel (kataa hilo) Were unshangaza na unaaibisha kwa hiyo elimu yako
@SaleheKijazy5 ай бұрын
Daniel una jificha ndani una ongea mwenyew ww toka uongee na Wana damu wenzio
@saidgumbo25295 ай бұрын
Huyo yehova kaumbwa na nani mbona nyinyi wakrsto hamjielewi
@yamungummungulo6335 ай бұрын
Yehova hajaumbwa ndie yule mwanz na mwisho alikuepo kabl ya wakat ndio maan Mungu sio kit yan hapatikan kwa muda,nafas wal sehemu
@OmariShuli5 ай бұрын
Daneli. hata lugha ya kielimu huijui. unajua maana ya kutuma? na unajua maana ya kufanya? Allah anasema "tumewafanyia" sio tumewatuma. hayo maneno nitofauti kabisa lkn tatizo lako hujui lugha ya kiswahili. alafu hao maadui si kwamba wamewapambia manabii wala waliwafundisha, bali hao mashetani wao kwa wao ndio wanaambiana hayo maneno ya uongao. Daniel unaufahamu finyu kwa daraja ya china. hujakuwa na sifa ya kuhubiri. Labda nikuulize. Unasemaje kuhusu mayahudi kuwauwa manabii?hawakuwa maadui?Yehova alikuwa wapi? Mayahudi hawakumpinga yesu na wewe wawatetea wazidi kuwaimbea Mungu ili wazidishe uovu, walipomsulubu Yesu Yehova alikuwa wapi? je si uadui huo? Walipomchinja Yohana, si uadui huo? Yehova alikua hajazaliwa?mbona hakumlinda? Unachozungumza hakimo Dunia hii.
@nassoroyahaya8215 ай бұрын
YEHOVA ALIMTUMA PEPO KWA AHABU KWENDA KUWA PEPO WA UONGO ... SOMA 2 MAMBO YA NYAKATI 18:18-19
@elmeskatto5 ай бұрын
jina la Mungu(allah) anaeabudiwa na waislamu ni lipi?Yehova ni jina la Mungu anaeabudiwa na wakristo.
@Austinemarko5 ай бұрын
Alla he have a physical body😂😂
@mutabazihassan62915 ай бұрын
Izo njaa zitawapeleka pabaya mwende mkalime vyazi muache kuwadanganya watu na maneno ya kijinga
@ibrahimnkurunziza81984 ай бұрын
Kasome bado awujailimika
@hashimchaoga95665 ай бұрын
Hebu google uone maana ya Allah kwani ukweli unatuaibisha. Na Google uone Yehovah ni nani na maana yake
@elmeskatto5 ай бұрын
jina la Mungu wa waislamu anaitwa nani?ukisema jina lake ni allah basi kuna vingi hujui
@hashimchaoga95665 ай бұрын
@@elmeskatto Google uone maana ya Allah. Allah ni neno LA kiarabu lenye maana ya Mungu wa wote wa dini zote ambae ni mmoja tu hakuzaa hakuzaliwa hakuna mfano wake na si kiumbe hadi kua Myahudi. Wewe ndio hujui mengi tu. Na Jehovah ni Mungu wa Wayahudi katika dini yao ya Judaism. Yesu alitumwa Israel kuja kuwakomboa lakini wayahudi hawamkubali wala kumtambua
@elmeskatto5 ай бұрын
@@hashimchaoga9566 jina la Mungu wako allah unazunguka kulitaja,inawezekana hulijui,embu nikuulize,kwa imani yako unaamini allah hakuzaa kwa sababu hana mwanamke?kulingana na quran 72:3,kama allah ili awe na mwana anapaswa kuwa na mke,je tofauti kati yake na seleman ni ipi?maana seleman anahitaji mke ili awe na mwana.
@nassoroyahaya8215 ай бұрын
Wewe huwezi kuifundisha Quran kama tu Biblia huiji...kiswahili hukujui
@issaabdallah76605 ай бұрын
Wakristo acheni kujidanganya Yesu sio Mungu na wala hakufa kwa ajili ya dhambi za mtu hivi nyie hamjifikirii yaani Mungu amtoe mwanae afe kwa ajili ya dhambi tena dhambi zilizo sababishwa na shetani halafu mwanae Mungu afe shetani abaki anakula shisha tu na kuruka majoka kitambaa cheupe??? Aaaaah jiangalieni nyie
@BAYYINATDMTV5 ай бұрын
Yesu siyo Mungu ndiyo umejibu hoja ya Allah kuwatuma mashetani kwa manabii? (Quran 6:112)
@mussamohammedy80145 ай бұрын
Labda nikuulize swali hapo hapo ktk zaburi 105 uisomayo Yohana hakuwa nabii kwani Huyo yehova umsemae wewe Aache mtume afe kifo cha kuchinjwa hiyo ndo Maana ya Qur an 6:112 kila kitu mungu anafundisha jambo lakini ww ni vigumu kujua na una wakati mgumu sana ndugu ktk adamu
@hashimchaoga95665 ай бұрын
@@BAYYINATDMTV Hebu google uone maana ya neno au jina Allah
@@elmeskatto si ushasema Mungu ndio Allah. Hilo neno LA kiarabu lisikuchanganye. Mungu no huyo huyo mmoja sisi tunaamini ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa hana mfanowe. Ukigoogle Jehovah ni Mungu wa. Wayahudi katika dini yao ya Judaism na si wakristo Dini ya wakristo wala kwenye biblia haikutajwa hata neno kanisa Hanna Yesu alisali jumamosi katika sinagogi ambao ni msikiti . Wala Yesu hakuhubiri utatu
@issaabdallah76605 ай бұрын
Acha kuwa unapotosha watu Mungu ni Mmoja tu Yehovah nine la kiebrania lenye maana Mwenyezi Mungu Allah Ni neno la Kiarabu lenye maana mwenyezi Mungu Mmoja umekaa unadanganya watu eti Allah ni adui wa manabii hivi kama yesu alijua anakuja dunian kufa kwa ajili ya dhambi zenu kule bustanini alienda kuomba kikombd kisimuepuke cha nini wakati alikuwa ajua kuwa katolewa kafara???
@BAYYINATDMTV5 ай бұрын
Hapa ndiyo umejibu ni kwa nini anawatuma mashetani kwa manabii? (Quran 6:112)
@eliashimwela58545 ай бұрын
😅😅😮
@hashimchaoga95665 ай бұрын
@@BAYYINATDMTV Unasoma bila kuelewa. Manabii au mitume walikua 25 . wa 24 Yesu wa 25 na wa mwisho Muhammad hao wote walikuja kueneza neno LA Mungu kupitia Malaika. Yesu alitumwa kuja kuwaokoa wana wa Israel
@hashimchaoga95665 ай бұрын
@@BAYYINATDMTV nini maana ya Allah na Nani Yehovah google utaelezwa vizuri sana
@hashimchaoga95665 ай бұрын
@@BAYYINATDMTV nini maana ya Allah na Nani Yehovah google utaelezwa vizuri sana
@abdihuka21645 ай бұрын
mbona unauliza swali ya kijinga jinga ukijitetea na quran...kwani si ni mungu amemuumba sheitani na sheitani ni adui ya binadamu.. na hao nabii wa mungu wote ni binadamu tu..ama sheitani sio adui ya wakristo? na ni mungu amemuumba
@mussamohammedy80145 ай бұрын
Hahahaha mfano wa hao maadui ni kama wewe na wewe ni shetani katika watu mfano wa wewe Petro juu ya yesu na wewe ndo una maneno ya kupamba pamba kwa wakristo wenzako
@andrewmhagama98165 ай бұрын
Toa andiko ili ujibiwe maana kusoma unaweza soma lakini usielewe kilicho andikwa
@BenjaNetanyahu5 ай бұрын
@@andrewmhagama9816hao jamaa ni wabishi sana, maana walisha logwa kitambo kama nabii wao muhamadi alivokufa kwa kifo cha kulogwa.
@mussamohammedy80145 ай бұрын
Ok je nawe ni mfuata upepo? Habari za petro soma luka 22:54-60
@BAYYINATDMTV5 ай бұрын
Kwa hiyo una maanisha mimi nimetumwa na Allah? Kwa hiyo mimi kumbe ni Mtume wa Waislamu?
@mussamohammedy80145 ай бұрын
Bila shaka unataka kumjua Allah wako wa kweli kabisa na ndio Allah wa walimwingu wote bila shaka anapatikana katika kitabu cha nabii Muhammad (S.A.W) chenye muongozo kwa walimwengo wote mtume wa mwisho Soma ktk Qur an tukufu (112:1-4) pia ktk taurat ya Nabii Mussa 18:17-18