SABATO NI NINI? NA JE SABATO YAKO NI IPI? EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 4,144

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

Пікірлер: 109
@danielgarry538
@danielgarry538 7 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu ni kweli kabisa watu wamebagua kushika sabato. Kutoa siku nzima kwa ajali ya kumwabudu Mungu bila kuchanganya na vitu vinginevyo. Asante sana mtumishi Mungu akupatie neema na ulinzi azidi kukulinda ili uzidi kutuletea elimu ya Mungu.
@EsitaDavid2-wp1uf
@EsitaDavid2-wp1uf 7 ай бұрын
23:36walawi umewahi kusoma ,SIKU YA NANE NDO WALIKUWA NA KUSANYIKO MAKINI NA KUTOA SADAKA.
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 7 ай бұрын
Glory unto God kwa kuonana tena na kwa afueni ya mametu. Kwa kweli sabato sina, sio kwamba napenda ila mafundisho kama haya hua siyaweki pembeni, haijalishi yamechukua muda gani, lazima niyasikize. Na naamini ipo siku, I will observe and keep it holy. Mungu kwa mapenzi yako, naomba msamaha kwa kua nimesahau sabato na kutoitunza
@jamesboka-kk9rv
@jamesboka-kk9rv 7 ай бұрын
glory man of God mama yetu tunamuombea
@faridashabanifaridashabani5950
@faridashabanifaridashabani5950 7 ай бұрын
Amina Sana Baba asante kwakunifunguwa katika hili jina la Bwana libarikiwe 🙏
@CynthiaAcheza
@CynthiaAcheza 7 ай бұрын
God bless you more mutumishi,napenda nyimbo zako ziko na mafunzo ya ukweli ,nashukuru kufunza siku ya kuabudu ya kweli,ubarikiwe sana🙏
@elvzmak957
@elvzmak957 7 ай бұрын
Kumbe hujapata kabisa kmjua mungu ndio mana mambo yako sawa na mch yule wa isyese mbeya pole mhubiri Yesu bado ana neema akujilie kazi yako isje ikawaburee
@dennismwenda7626
@dennismwenda7626 7 ай бұрын
Asante mtumishi,Mungu akufanye chombo zaidi kwaajiri ya wanandamu kama mimi.
@ProtaisKatumbwe
@ProtaisKatumbwe 3 ай бұрын
Pastor ubarikiwe kwakuwa umenena kweli
@jaribuchussy4496
@jaribuchussy4496 7 ай бұрын
Namkubali sana mwinjilisti casian, lakini ktk somo la sabato amufundisha tofauti, amri inasema sabato ni ya Bwana, na sio anaamua mtu kupanga yeye mtumishi, kasome vizuri.
@jacobfrancis2393
@jacobfrancis2393 6 ай бұрын
Akasome wapi tena wakati amesoma kutoka 20.je ww unadhani mungu alisema iwe lini kupitia Musa? Km siku tuuu za juma watu ndio walizipa majina mfano. Juma na tatu(j3) ally na hamisi(alhamis)
@KulwaJanila-fh9wc
@KulwaJanila-fh9wc 7 ай бұрын
Amina mtumishi kwa kuwaelimisha watu kuwa wafuate sabato ya biblia na wala si mapokeo ya wanadamu,
@furahag3098
@furahag3098 7 ай бұрын
Asante mungu kwa ajili ya kumtumia mtumishi wako kwa ujumbe wa mungu 🙏🙏🙏🙏
@JacoboBenson-sk4dc
@JacoboBenson-sk4dc 7 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu nafurahi sana kurudi mtumishi wa mungu
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 7 ай бұрын
Amen Amen Amen Mungu Akubariki Mtumishi.
@danielmboje9209
@danielmboje9209 7 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishinwa Mungu. Tuitunze Sabato kama Biblia inavyosema.
@JuliaLumande-r4p
@JuliaLumande-r4p 7 ай бұрын
🙆‍♂️🤔🙏asante mungu kwa kuturudisha katika njiiya kupitiya mtumishi yako 😢
@kennedywabomba1851
@kennedywabomba1851 7 ай бұрын
Nashukuru Mungu sana kwa kukutumia kupasa hiyo ujumbe mzito Mungu akulinde
@chelulenaomi5635
@chelulenaomi5635 7 ай бұрын
Amina, Amina, mungu amewafunulia ukweli.... Yesu anarudi
@estonmnthali3719
@estonmnthali3719 7 ай бұрын
Amen Amen powerful message
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 7 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN! Mungu wa Mbinguni apewe sifa kwa kuendelea kuonekana ni kwa ajili ya Mama. Welcome back mtumishi tunafurahia kupata ujumbe wa Bwana. Mungu alichangua taifa la Israel na kuwaagiza kwa siku hiyo ya saba itakuwa ni siku ya kupumzika kwao. Hivyo jambo hilo lilikuwa ni agizo la Mungu kwao kwa kipindi chote lakini tunapokuja katika agano jipya lililoletwa na Yesu kristo mwokozi wetu, linageuka na kuwa si la mwilini tena bali la rohoni, agizo la kufanya siku fulani takatifu kuliko nyingine linageuka na kuwa la kumwabudu Mungu katika Roho na kweli. Yohana 4:23 lakini saa inakuja, nayo sasa ipo.... Hii ikiwa na maana, haijalishi ni siku gani mtu atamwabudu Mungu, kinachojalisha ni ibada inayotoka moyoni iliyojaa matunda ya kweli ya Roho. Hicho ndicho Mungu anakitazama, iwe ni jumamosi, au jumapili, au jumatatu, haijalishi maadamu ni katika Roho na kweli, basi ibada hiyo Mungu anaikubali. Vile vile ikiwa ibada hiyo haipo katika Roho na kweli ni ibada ya juu juu tu, haina upendo, haina utakatifu, haina kumaanisha kwa Mungu, basi hata kama ni siku ya jumamosi, bado si kitu mbele za Mungu. Wagalatia 4:9-10 Basi sasa mkiisha kumjua Mungu, au zaidi kujulikana na Mungu, kwa nini kuyarejea tena mafundisho ya kwanza yaliyo manyonge, yenye upungufu, ambayo mnataka kuyatumikia tena? 10 mnashika siku, na miezi, na nyakati, na miaka. Unaona? Hatupo katika zama za kushika ,siku, miezi, na miaka mitakatifu, Mungu hazitazami hizo tena. Hivyo kama umekombolewa na Kristo, basi fahamu kuwa Kristo ndio sabato yako. Ubarikiwe sana mtumishi siku ni siku hakuna siku takatifu zaidi ya nyingine, wa jumamosi asimuhukumu wa jumapili, halikadhalika wa jumapili asimuhukumu wa jumamosi. Siku zote ni za Bwana.
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 7 ай бұрын
Uko vizuri sana Mtumishi Tunakupenda
@thomasikerra6328
@thomasikerra6328 3 ай бұрын
Mpaka hapo Paschal umepotosha.Kila mtu hana Sabato yake,Sabato ni moja tu,siku ya saba ya juma,ndiyo Mungu aliyoweka.Sema ukweli wote Paschal usiogope wanadamu.Sabato haijabadilishwa,si Bwana Yesu au Nitume waliobadilisha Sabato.
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 7 ай бұрын
Nimejifunza kitu ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana 🎉
@drmaryjohnmponda3484
@drmaryjohnmponda3484 7 ай бұрын
Iwe sana mtumishi wa Mungu
@SonethPuchu
@SonethPuchu Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 7 ай бұрын
Asante sana mutumishi God bless you🎉
@SamSuma-v5l
@SamSuma-v5l 7 ай бұрын
Mtumishi fundisho tiki sawa barikiwa sana
@nathanaellinti4584
@nathanaellinti4584 7 ай бұрын
Paschal najua unajua ukweli na umekulia katika kweli na ninajua utasema ukweli kwakuwa sikuzote umesimama katika kweli
@LydiaKabibi-to8cd
@LydiaKabibi-to8cd 7 ай бұрын
Amen amen ubarikiwe
@MpajiSolomon-lt9we
@MpajiSolomon-lt9we 7 ай бұрын
Watu wafundishe waiheshimu sabato ya mungu wasiheshim sabato yao washike sheliya ya Mungu wasishike sheliya ya wanadamu
@furahag3098
@furahag3098 7 ай бұрын
Ujumbe mzuri sana mtumishi wa mungu, mungu akubariki Amen 🙏
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 7 ай бұрын
Paschal Nimefurahia sana kukuona tena umelejea
@RAZALOCHUMA
@RAZALOCHUMA 2 ай бұрын
Sabato ni siku ya saba mtumishi ambayo ni amri ya 4 nayo ni ya wote sio kila mtu ya kwake hapana barikiwa sana
@Revelation1412.
@Revelation1412. 7 ай бұрын
JEMBE LA YESU, TARATIIBU LINAANZA KULIMA 🙏
@HellenaMky
@HellenaMky 7 ай бұрын
Barikiwa sana kaka pia mama MUNGU amponye🙏
@diana56-lorient
@diana56-lorient 7 ай бұрын
Amen Amen Amen BABA YETU ASIFIWA SANA AMEN AMEN
@susanilunda
@susanilunda 7 ай бұрын
Je sabato imewekwa na Mungu au mtu anajiwekea?
@QueenNyondo-h1m
@QueenNyondo-h1m 7 ай бұрын
GOD lS GOOD Amen kaka
@Eunice254-o7x
@Eunice254-o7x 7 ай бұрын
Mungu akupiganie kakaangu
@JonathanJohn-o4g
@JonathanJohn-o4g 7 ай бұрын
🎉kumbee Munanajuwa. Huwaga. Munanitoa ufahamu
@BartolomeuHenrique-mx1fn
@BartolomeuHenrique-mx1fn 7 ай бұрын
Sábato no kupumuzika,na ukimpata yesu unapumzika iyo ndiyo mahana ya sabato
@NaomiSabuni-d9j
@NaomiSabuni-d9j 7 ай бұрын
Jambo papa mutumishi polesana kwamangojwa ya muzazi baba apa America tuna fungwa kabisa maana uki omba kazi unasema kama hauwezi tumika siku yamungu boss nakazihaupati
@SarahKajwaula
@SarahKajwaula 6 ай бұрын
Sabato ya biblia imeandikea na mungu sehem fulan ktk daniel aliambiwa nao wataazim kubadili majiran na Sheria ukisema bnadam anaweza amua CK yeyote na kuifanya sabato huko ni uasi
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 7 ай бұрын
AMEN
@sikaioldrop7005
@sikaioldrop7005 7 ай бұрын
Mahubiri yako naikubali kabisa lkn waambie watu kuwa Juma pili Sio Sabato ya Mungu, acha kuchanya watu wengine wataanza kutunza Juma pili kama Sabato ya kweli wakati sio kweli.
@ErickiSanga-mm2ko
@ErickiSanga-mm2ko 7 ай бұрын
Amin
@MariaJuma-q2k
@MariaJuma-q2k 7 ай бұрын
Kwanza wasabato wasiku ya Saba,wamebarikiwa sana,vizazi vyao vimekaribiwa sana,wanashinda kanisani,woote wanabahasha za zaka nasadaka Hadi watoto wao wanabahasha za shukrani,hawaombewi maombi ya kufunguliwa lakini wanabarikiwa tu,hawana mapepo maana hawavai mawigi,maurombo hawana,ila Kuna kundi la mbwamwitu limeivamia hii DINI ya wasabato,wameharibu sifa za hii DINI kabisaa,, napenda makambi Yao,Hadi Raha,woote wanaenda nasadaka zao zamalimbuko nashukrani, nawapenda wasabato wale wakwanza jamani!!
@GunduaTV-et4nb
@GunduaTV-et4nb 7 ай бұрын
Mambo hugeuka ili unabii utimie, na Yesu ili awe mkweli hayo hayana budi kudhihilika katika nyakati hizi za mwisho kabisaa.
@benjamingilbert603
@benjamingilbert603 7 ай бұрын
Wewe ni muongo Yesu mwenyewe aliivunja sabato nilikuwa nakufuatilia ila Sasa nimekujua sabato ilikiwa ni kivuli Cha Kristo Yesu kivuli ni picha Sasa Yesu ameshakuja hivyo hatuifati sabato Kwa kuwa watu walikiwa hawawezi kuishika
@petermbayi5885
@petermbayi5885 7 ай бұрын
wewe Benjamin nimekuja kukukundua sana wewe uko na roho ya upingamizi.hapa mimi naona ni ukweli mtubu na mungu azidi kumtia nguvu huyu mtumishi wake
@mtumishiraymond2001
@mtumishiraymond2001 7 ай бұрын
Amina
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 7 ай бұрын
AMINAAA
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 7 ай бұрын
Mweee tunakushukuru Baba unatusaidia kutujenga
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono 7 ай бұрын
Yesu ndie BwAna wa sabato
@TANZANIATV-o8c
@TANZANIATV-o8c 7 ай бұрын
Amen
@MaryShirima-yw3kp
@MaryShirima-yw3kp 7 ай бұрын
Pasta mimi naomba kufahamu apa,,, kwani alipo kuja YESU,, mbona alisema yeye ndiye bwana wa SABATO
@KulwaJanila-fh9wc
@KulwaJanila-fh9wc 7 ай бұрын
Mary, kweli yesu alisema yeye ndie bwana wa sabato, hakusema kuwa yeye ni sabato , kwa maana hiyo basi sabato sio ya myahudi wala mchina wala mzungu bali ni ya bwana Mungu wako, na yesu kristo ndiye Mungu wetu, hivyo basi tunapaswa kuitunza sabato ya bwana wetu yesu kristo ambayo ni jumamosi yaani siku ya saba ya juma
@josephshauri3154
@josephshauri3154 7 ай бұрын
Muulize wewe umeitunza sabato gani Mathayo 5:17 Yesu anasama hakudaili atanguetoradi Bali kuitimiliza.
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 7 ай бұрын
Sabato katika Roho ni pumziko. Kupumzishwa kwa mizigo ya dhambi ndio sabato sio kule kustarehe kwa mwili.... Ukipata utulivu wa roho utakuwa na amani na furaha. Lakini mwililini hata ukapata nini na bado moyo hauna amani ni sawa na bure tu. Yesu pekee ndiye anauwezo wakukupumzisha mizigo yote uliyo beba moyoni. Lakini zaidi Yesu anajitambulisha kwamba yeye ni Bwana au muasisi au Mmiliki au ndiye aliyeiweka sabato. Hasemi Yeye ni sabato la hasha! Bali anasema yeye ni Bwana wa sabato kuonyesha umiliki au mamlaka.
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 7 ай бұрын
Yesu alijitambulisha kwamba Yeye ni Bwana au Mmiliki au Muasisi au ndiye aliyeweka sabato. Sabato katika Roho ni pumziko. Yesu anasema sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, mwanadamu ni wa thamani sana ameubwa kwa mfano wa Mungu, na ndio maana Mungu akamzawadia mwanadamu pumziko la sabato ili asifanye kazi kama mtumwa.
@MaryShirima-yw3kp
@MaryShirima-yw3kp 7 ай бұрын
​@@KulwaJanila-fh9wcbasi kaka kama ni hivo imetupasa kumwabudu BWANA na SI SIKU.
@elizabethnzula6704
@elizabethnzula6704 7 ай бұрын
Jumamosi ndio sabato siku zingine wamejitungia binadamu
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 7 ай бұрын
Sabato kiroho ni pumziko
@blandinajoseph1291
@blandinajoseph1291 7 ай бұрын
Umechelewa sana!!! Hiyo ni siku tu lkn YESU ndiye BWANA wa Sabato na anaabudiwa zaidi ya jumamosi.Hiyo ni Sabato ya AGANO la kale lkn AGANO jipya YESU ndiye BWANA wa Sabato so anaabudiwa wakati wote ambao watu mmekubaliana
@jamesmgonda
@jamesmgonda 7 ай бұрын
Hahaha...mitume waliitunza Sabato...sijui unasemaa kitu gani..matendo 17
@blandinajoseph1291
@blandinajoseph1291 7 ай бұрын
Endelea kutunza siku sisi tunatunza wokovu tunamtunza YESU KRISTO ndani yetu
@MaryShirima-yw3kp
@MaryShirima-yw3kp 7 ай бұрын
Elezea sasa baada ya YESU kuja ikawaje???
@ThefinalwarningTv
@ThefinalwarningTv 7 ай бұрын
“Na katika hili twajua ya kuwa tumemjua yeye, ikiwa tunashika amri zake. Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli haimo ndani yake.” 1 Yohana 2:3,4. “Yeye aliye na amri zangu, na kuzishika, yeye ndiye anipendaye; naye anipendaye atapendwa na Baba yangu; nami nitampenda na kujidhihirisha kwake.” Yohana 14:21 “Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie.” Mathayo 5:17,18
@jacksonsemit7154
@jacksonsemit7154 7 ай бұрын
MATHAYO 5::17,18
@MpajiSolomon-lt9we
@MpajiSolomon-lt9we 7 ай бұрын
Kiukweli pascal siku zote unawaelewesha watu kwa mafunzo mbalimbali lakini kwa hili la Sabato naona kama hujaelewa sawasawa siku ya Sabato.sabato huwezi kujipangia we binafsi eti utajipangiya mwenyewe siku yoyote.je kama unajuwa kuwa kuhesabu siku inaanza jumapili siku ya saba unaelewa kuwa ni ijumamosi na unajuwa kabisa kama ndiyo siku ya sabato ,je utaanza je uibadilisha sabato iliyo yakweli nakuanza sabato yako kwa siku nyingine?
@Patricksivaindiazi
@Patricksivaindiazi 7 ай бұрын
Karibu mtumishi tumekosa msg zako za ukweli endelea na Neno
@SaidiJuma-j3z
@SaidiJuma-j3z 7 ай бұрын
Nimekubari unasoma bibiria mngu akurinde
@blandinajoseph1291
@blandinajoseph1291 7 ай бұрын
Huo ufahamu wa kutumia madawa ya miti shamba umeutoa wapi??? Ni ufunuo wa ROHO MTAKATIFU au ni ufunuo wa pepo la utambuzi??kama ulisikia kutoka kwa watu walikwambia hiyo ni dawa wao waliambiwa na nani??
@IskariMasawa
@IskariMasawa 7 ай бұрын
Kwa zahospitali unakunywa unamfahamu aliyegundua make hata mboga majani ni dawa kama unabisha kula ugali Kwa nyanya kama hutalazwa
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 7 ай бұрын
Tumekukubali
@susanilunda
@susanilunda 7 ай бұрын
Nyakati zile milàngo ya kuingilia mji wa Yerusalem ilifungwa jioni ya ijumaa nakufunguliwa jumamosi jioni baada ya sabato kuisha Hazikuruhusiwa biashara kuingia na kufanyika humo
@MaryShirima-yw3kp
@MaryShirima-yw3kp 7 ай бұрын
Sasa mbona YESU alihubiri na kuponya sabato???,,,luka 14;5??
@HellenaMky
@HellenaMky 7 ай бұрын
Siku ya sabato tenda mema. Tembelea wagonjws. Wafungwa. Hyo pia niibada. Takatifu.
@DININIKRISTO
@DININIKRISTO 7 ай бұрын
Kwani kunakatazo hilo katika biblia?
@abelmbata37
@abelmbata37 7 ай бұрын
Sabato yangu ni Yesu
@DININIKRISTO
@DININIKRISTO 7 ай бұрын
Kwa andiko gani au ni kwaajili zako mjoli?
@abelmbata37
@abelmbata37 7 ай бұрын
@@DININIKRISTO "mimi ndimi bwana wa sabato" alisema Yesu hivyo ukiwa na Yesu yeye anakupa pumziko. Lakini pia Paulo aliteambia tusishike siku wala nyakati bali tumshike Kristo. Amina
@DININIKRISTO
@DININIKRISTO 7 ай бұрын
@@abelmbata37 Yesu sio.sabato bali Yesu ndiyo. Mwenye sabato ..Kama unapenda lazima uwe na hiyo sabato... Palo.anapo.sema.hayo.Sikukuu.miandamo.ya.miez vinywaji.na.sabato....hiyo.sabato.hapo sio ya Amri kumi.Katika.maandiko.ya.agano.la.kale Sikukuu nyingi ziliitwa sabato kila mwaka wa saba uliitwa sabato ..hivyo ndiyo viligongomelewa msalabani Lakini amri kumi.Ziko.palepale.ndiposa katika amri ya 4.inakutaka.usifanye kazi zako.siku hiyo ... Halafu shida yenu unaopingaga Sabato ..huwaga mnapinga amri ya hiyo tuu.. Kama amri.ziliishia msalabani je ni halali.kuzini? Kuiba? Nk...ikiwa kuzini ni vibaya na ni makosa vipi kuhusu amri ya 4...tafakari ndugu...
@AgnessMloka
@AgnessMloka 7 ай бұрын
​@@abelmbata37 nahitaji kulifuatulia Hilo andiko la paulo
@AgnessMloka
@AgnessMloka 7 ай бұрын
Nataka kusoma Hilo andiko la paulo,. Naomba nitajie
@kassiannyamba805
@kassiannyamba805 7 ай бұрын
Sawa kabisa wadau, muhimu sana atuelezee baada ya kuja Kristo. Naona anakomaa na mstari wake wa agano la kale😅😅
@ibrahimshabani5918
@ibrahimshabani5918 7 ай бұрын
Kwa hiyo haturuhusiwi hata kupika?
@SonethPuchu
@SonethPuchu Ай бұрын
Mimi naabudu juma mosi
@josephshauri3154
@josephshauri3154 7 ай бұрын
Sabato ni siku gani Kati ya jumanisi na jumapili
@jacksonsemit7154
@jacksonsemit7154 7 ай бұрын
J mosi
@josephshauri3154
@josephshauri3154 7 ай бұрын
@@jacksonsemit7154 Pastor anasema anatunza amri ya nne ya sabato na ameenda sande kwaandiko gani.Niasome Danieli 7:25 unabii ulitimia mwaka wa321 Kontastino alipoitangaza jumapili kuwa ni siku ya Ibada.Marko 7:7 Hadi Tisa wameiacha amri na kushika mapokeo ya wanadamu .Wakatholiki wanakiri kwamba walibadilisha amri ukisoma katekisimu yao ukurasa wa 133_134.
@raphaelchaila
@raphaelchaila 7 ай бұрын
Soma maandiko mtumishi acha kuongea maneno yako ....maandiko hayasemi ivyo kulingana na Biblia .....kaka tafadhar jenga hoja kwa mujibu wa maandiko sio kwa hekima yako mwenyewe
@ZakayoYohana
@ZakayoYohana 7 ай бұрын
Sio bwaa umpe siku yakuabudu ila yeye ndiye alie kupa
@geofreyjoel
@geofreyjoel 7 ай бұрын
Kwa utulivu mkubwa nendeni mkasome vizuri waraka wa Paulo kwa Wagalatia,mtaelewa ujumbe kuhusu sheria!! Msifocus kweny sheria moja tu ya sabato na kuziacha zingine 630!! Yakikushinda kabisa itabidi umwamini Yesu ili uhesabiwe haki BURE, haki ambayo haitokani na matendo ya sheria.
@DININIKRISTO
@DININIKRISTO 7 ай бұрын
Usichanganye Amri kumi na Sheria za hukumu ya amri Halafu ukiwa na Yesu kwani utaendelea kuzini ama utaacha kama hutaendelea vipi kuhusu amri ya 4?
USFANYE AINA HII YA MAOMBI NI YA KISHEATANI EV PASCHAL CASSISN
58:57
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 4,4 М.
CASSIAN RASIMI ATANGAZA KUVUTIWA NA DINI YA KISILAM EV PASCHAL CASSIAN
16:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 221
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,5 МЛН
КОГДА К БАТЕ ПРИШЕЛ ДРУГ😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 8 МЛН
HUU NDIO UCHAWI WA MWAMPOSA ANAO TUMIA KUVUTA WATU EV PASCHAL CASSIAN
1:00:59
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 686
CASSIAN AMKEMEA MATHA NAKAJALA KUWA KUWA UCHI EV PASCHAL CASSIAN
1:03:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 17 М.
VITA KALI CASSIAN NA PASTA TONI  IMERUDIA UPYA  EV PASCHAL CASSIAN
1:06:01
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 4,9 М.
CASSIAN NA MBARIKIWA WAMUWEKA KATI MWAMPOSA  KWA UTAPERI WAMIJIZA EV PASCHAL
39:10
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 2,3 М.
CASSIAN AWAPA ONYO WACHUNGAJI HAWA WAKIKE ROS SHABOKA NA NATASHA EV PASCHAL CASSIAN
1:00:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 4,7 М.
CASSIAN AMUONYA JOELI RWAGA MZIKI WASHETANI EV PASCHAL CASSIAN
47:10
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 18 М.
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 83 М.
PASCHAL AMLILIA MWESHIMWA RAISI AMESHIMDWA KUVUMILIA MOYO UNAUMA
25:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 50 М.