Mwalimu ndacha nakupongeze sana Jehovah akupe nguvu ln Jesus Christ Name
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon8 ай бұрын
Jamaa anamwangalia sana ndacha kwa asila
@datiuspeter13664 жыл бұрын
Ndacha ww unakipawa chaaje dah Ndacha mwenyezi mungu akubaliki
@rafaelbern26303 жыл бұрын
FRANCIS NDACHA . ubarikiwe sanaaaa haujawahi kutuangusha
@milikaekal86232 жыл бұрын
Amen mtumishi ndacha nimebarikiwa
@fredrickkabiru7714 Жыл бұрын
Mwalimu Ndacha, hoiyee. May Jehovah uphold you. you are indeed our East African Christian Prince (CP)
@gastokonzo97984 жыл бұрын
Mungu wa waislamu ni kiumbe cha JEHOVA
@shifaazawadi44384 жыл бұрын
Wewe wacha kukufuru Mungu kamuumba hoyo jehova pamoja na we we hivi na akiliyako yote kbl ya huyo jehova kuzaliwa hii dunia nani alikua akiiendesha Kama siubwege huu ulionao yehova hawezi kuwa Mungu hata nusu sekunde jaribu kusoma bibilia kiumakini ujue utofauti wa Mungu na jehova wacha kusomewa na kutafsiriwa ndivyo sivyo
@floraflora5717 Жыл бұрын
Mimi nawaonea uruma mkuje kwa Yesu kursto aliye ahi kwenda kumuinamia mtu alikufa zamani akusaidie
@paulpeekey49723 жыл бұрын
1:23:05 allah alikuwa mgonjwa macho malaika wakamtembelea.
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣wapi Allah alikuwa mgonjwa wa macho
@paulpeekey49722 жыл бұрын
@@mwanashagladys4581 sikiza hio story hapo
@milikaekal86232 жыл бұрын
Waisilamu wakubali yesu
@casaica29934 жыл бұрын
Waislamu hamna hoja kamwe...
@danielernest85884 жыл бұрын
Waislam wamefundishwa na wakafundishika ila wanaona aibu tu lakini uweli wameujua,UBARIKIWE PASTA FRANCIS NDACHA
@Kambabazesamuelmuthusi4 жыл бұрын
Jamani waislam hamna hoja! Mwalimu ndacha mungu akuzidishie hekima ya kujadili.
@oscartatrino17144 жыл бұрын
Jamani ndg zangu wakenya mimi ni mtanzania mkristo huwa namfuatilia sana pastor Ndacha pls naomba namba yako pastor Ndacha ninahaja sana na wewe iwe kwa whatsup fb hata istagram tafadhali ila waislamu hawana hoja hao milele.
@zainabrashid3853 жыл бұрын
Subhannallah Hawa makafiti wamemyimwa akili jamani hivi mmekuwa majuha Hadi hamjielewi kabisa ni hasara kubwa
@charlesjoseph20924 жыл бұрын
Kumbe waislam Hawasomi vitabu vyao Jamaa Huyo aliyekaa karibu na ndacha Kastuka Kusikia majina ya muhamadi Kufanana na Allah,
@dennismwenje70414 жыл бұрын
Hatari sana allah
@janenjenga56394 жыл бұрын
Noma sana
@dasilvajr96473 ай бұрын
Mungu akubariki sana mwalimu ndacha kwa kueleza ukweli watu waokolewe.
@mchopaluka43192 жыл бұрын
Bwana Yesu ni njia kweli na uzima
@mjombawallace49663 ай бұрын
🤝🤝🤝🤝 thanks
@nelsonsalumuclovis7534 жыл бұрын
Yesu ni bwana
@maimunafzaka8803 жыл бұрын
Bwanake nani na hajaoa
@joelmwirigi17413 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa,asanteni sana walimu kwa elimu.🙏🙏🙏
@joshuajames91374 жыл бұрын
Amina ndacha Mungu atumie
@rubbenndege43794 жыл бұрын
Allah hajaumba hata panya
@monicabh16683 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
@naheelamohamed99703 жыл бұрын
Ndio maana wakirsto hawana dini
@monicabh16683 жыл бұрын
@fatima Waislamu mko na bidii na dini kweli 🤣🤣🤣tokeni gizani hebu,sisi walokole wacha tuzidi kuutafuta uzima wa milele
@athumanzahir83162 жыл бұрын
Hata nzi
@milikaekal86232 жыл бұрын
😂🤣😂🤣😂
@King_Of_Everything4 ай бұрын
Chapa kazi mtumishi.🇹🇿✌
@omaratik27784 жыл бұрын
Bibilia inatwambia kizazi cha yesu ni mwana wa daudi na ibrahimu Mathayo 1:1 [1] Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu . Sasa hapa chini tunashangaa yesu asema kabla ya ebraham kuweko yeye alikuweko Yohana 8:58 [58]Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
@ushahidifilms20114 жыл бұрын
Soma Yohana sura ya kwanza. Yesu alizaliwa kimwili baada ya Ibrahim lakini haimaanishi kwamba hakuwepo. Yohana anatueleza kwamba alifanyika mwili na akakaa kwetu lakini alikuwepo kwa Mungu na akawa Mungu tangu mwanzo.
@omaratik27784 жыл бұрын
Waebrania 6:13 [13]Kwa maana Mungu, alipompa Ibrahimu ahadi, kwa sababu alikuwa hana mkubwa kuliko yeye mwenyewe wa kumwapa, aliapa kwa nafsi yake,
@omaratik27784 жыл бұрын
@@ushahidifilms2011 Kwa muujibu wa maandiko yesu hakuwepo ni mngu peke yake Waebrania 6:13 [13]Kwa maana Mungu, alipompa Ibrahimu ahadi, kwa sababu alikuwa hana mkubwa kuliko yeye mwenyewe wa kumwapa, aliapa kwa nafsi yake,
@rosemawia42394 жыл бұрын
Ndacha mnachekesha ati Allah wa kibharu,😂😂😂 ukristo kweli ni jia ya uzima, waabie kabiza wajue ukweli, hao waislaamu, Mimi uku Saudia niliwazoea, bure kabiza
@ushahidifilms20114 жыл бұрын
@@omaratik2778 Hapa inasema kwamba Yesu hakuwepo? Au inasema tu kwamba hapakuwa na mkubwa kuliko Mungu?
@charlesmakuri7924 жыл бұрын
Ant Christi namuona ndani ya uislam ndacha umeongea ukweli
@mjombawallace49663 ай бұрын
Kabisa Hawa ni comedians tu
@peninahkariuki11362 жыл бұрын
Ati aliruka fence.Ata mwenyekiti amekubali. 😂😂Hawajui vitabu zao. Hongera Dasha ❤
@janenjenga56394 жыл бұрын
Ndacha elimisha mandugu na madada zetu waliopoteya njia
@timotheojumal8944 жыл бұрын
Pastor Ndacha amepeleka hao jamaa mpaka wanamwangalia kwa uoga sidhan kama siku ingine atawah mwita
@navokisembo3 жыл бұрын
Duh waislamu wamepigwa na chuma kizito saana hapa!
@martinmsacky20692 жыл бұрын
NDACHA MUNGU AKUBARIKI KAZI NZURI
@danielernest85884 жыл бұрын
ALLAH NI SHETANI
@janenjenga56394 жыл бұрын
Hii ni kali
@petromachanga294 жыл бұрын
Kwer
@Cynthiaachieng2934 жыл бұрын
Pastor Ndacha umajaliwa hekima iliyotoka juu kwa Baba!
@sulehassanshall61404 жыл бұрын
Ndata ni mapepo wanamsumbua haelewi Kit.moyo wake umejaa maovu nachuki nahasad nyingi kuuchukia uislam .kwakua ndio dini yahaki.kama kweli ndacha ziko dini nyingi za kikafiri kama za kina baniani nenda ukaseme nao hizo dini zenu ni za uongo. .lkn hzo hmuzisemi kwakuwa nidini zakishetan kama ukirsto ndio hamuna vita nazo..uislam tu ndio inaeasumbua mashetan wakubwa ninyi.ndio bblia ikasema kiti cha enzi chashetan kimewekwa kanisani. .ndacha mungu wenu si yesu mungu wenu nishetan mumemuacha kanisani Ameeka makao yake.nawatto wake.Tumewajua wakirsto wanaabudu shetan kanisani .nabii yesu Hakuenda kanisani...kwann ninyi munaviherehere zamakanisa kama cishetan kumfuata...wakirsto mungu wao nishetan nimejua kwa huyu ndacha mapepo sayote hoja zake mpka Amtaje shetan..ndacha unalaani ww shetan Amekufikisha pabaya ww umeshanunua viza yajahnnam.kwahzo kufru nyingi...
@Cynthiaachieng2934 жыл бұрын
@@sulehassanshall6140 ebu nijibu mtume wenu Mohammed alioa Aisha akiwa na miaka ngapi?miaka ya Mohammed na Aisha.....Tena uislamu unakuwaje dini ya haki ilhali Babu kamnajisi mtoto wa miaka9???🤦🤦🤦ati ni Bibi yake!Hata shetani na mabaya yake yote haezi oa mtoto wa miaka6!!!🤭🤭🤭
@mjombawallace49663 ай бұрын
He is a brave man 🤝🤝🤝 ata vitabu hama just p8 but he is hotter than fire 🔥🔥🔥🔥
@MosesMwiti-q2r4 ай бұрын
Huyu mwislamu anakufuru sana...Mungu amsamehe
@shaddycollins97604 жыл бұрын
Pastor ndacha fanya kazi ya mungu, wacha mungu akubariki,
@edenedna89344 жыл бұрын
Amen mungu akulinde.. wamekunjwa USO juu ya ukweli mungu wa wakristo ni mungu muumba
@kamanjamwenjerwa70323 жыл бұрын
SHETANI AMEWAFUNGA MUISILAMU MACHO.
@patrickmuchina80634 жыл бұрын
Ndacha umejaliwa hekima njopo la waisilamu wasomi hawakuwezi hoja zao nidhaifu mno.
@davidsolomon52403 жыл бұрын
Allah ni lile jiwe jeusi la Maka(Al Kaaba) wanalolibusu,na Malaika zake ni majini!!Takbir!
@danielernest85884 жыл бұрын
WAISLAM WAMEPAGAWA HATARI HAWAJITAMBUI
@EmmanuelKariuki-dr9cbАй бұрын
ndacha the great, pray for this man
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
Anwar penda usipende allah sio mungu wa kweli ,ni nilile jiwe jeusi lililoko ndani ya kaaba.
@khalfanifarsy82164 жыл бұрын
Bibilia Mwafrica uk 2216) Soma
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
@@khalfanifarsy8216 so kuna dini ya kiafrika?
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
@@khalfanifarsy8216 waafrika hawajawahi andika bibilia ni watu tu wasio mpenda yesu wanaandika kisha ju yake wanaandika eti afrikan bible
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
@@khalfanifarsy8216 basi niambie panasemaje ?
@khalfanifarsy82164 жыл бұрын
@@omarmukhutar6847 Bibilia ya Mwafrica uk 2216) Tazama A.L.L.H ni jina la Mwenyezi-Mungu. Naomba uniambie hizo spering zilivyokaa zina ashiria nn? Yahwe, Y.H.W) Yehova) Y.H.V)
@danielernest85884 жыл бұрын
HAPA NIMEAMINI WAISLAM NI MAKAFIRI KABISA,WAISLAM WAMEVURUGWA NA KUGALAGAZWA KABISA MPAKA WAMEPANIKI NA WAMEKASIRIKA SASA WANALETA MIPASHO
@simbengalesijaona18442 жыл бұрын
Eeh mipasho ndio kazi yao kubwa ambayo huifanya kwa ajili ya kulinda Uongo wao, kujitetea dini yao ya Giza
@profs.a54124 жыл бұрын
Yan Mungu alianza kwa kuumba kalamu? ...........🤠🤠🤠. Asanteni sana
@samuelmoses92434 жыл бұрын
Wamepotea waislamu karamu ndo aliumba hawezi allah kutuumba wanadamu sababu ni jini.
@rosemawia42394 жыл бұрын
Wow, iyo Manda ilikua poa sana, 😂😂😂😂mlinichekesha, ata awajui mke wa Ibrahim anaita nan, iyo ni🔥🔥🔥🔥🔥
@petromachanga294 жыл бұрын
Tunashangaa
@abcdg19954 жыл бұрын
God bless you beyond repair SIR Ndasha for sensing this and May every soul here be blessed beyond human understanding by this Episode
@margaretmargaret57442 жыл бұрын
Why do Muslims ☪️faith and other man made faith do talking 👄to 😈Demons spiritism?
Kweli wakristo mna akili za kushikiwa. Ivi huoni ndacha anawapoteza
@ريمالصحبي4 жыл бұрын
@@nassorsharifu9837 acha nikupashe mwenzangu,niko ngome kuu ya uislamu macca,yanayoendelea huku ni uovu na ubatili mtupu☹😖,sanduku jeusi ndo lazungukwa mara saba kisha busu,,saitan,how can you bow and worship a dead thing and hakuna siku litafufuka🙄🤷♀️,nonsense,ebu fungukeni macho na muokoke na mtangaze is injili ya kweli,Arabs wenye mnakufia ni roho ngumu na wauwaji,majini kwao lazima,ebu muache kua watumwa kwa dini msilolijua😳
@nassorsharifu98374 жыл бұрын
@@ريمالصحبي endelea kuamini unachoamini acha nami niamini ninachoamini. Ni nani alikuambia kuwa waislamu wanategemea kuwa kuna siku hilo unaloliita sanduku jeusi litafufuka. Kwao hiyo ni alama tu ya dini wala hulazimishwi wewe kuwa muislamu wala wewe si wa mwanzo kupinga, kama watu walipigana ili kuuzima wakashindwa utaweza wewe kwa maneno? Allah ndie mjuzi zaidi anasema " Hakika waliokufuru ni sawa tu ukiwaonya ama usiwaonye wao hawataamini" Al Quran 2:6
@ريمالصحبي4 жыл бұрын
@@nassorsharifu9837 good,acha mi na wakristo wenzangu tuendelee kumwabudu mungu aliye hai ambapo katika yeye kuna uzima wa milele🙏,ibaada za marehemu Muhammad zishindwe katika Jina la Yesu kristo
@monicabh16683 жыл бұрын
Zishindwe na zilegee katika jina la yesu
@shaffiedavis72742 жыл бұрын
Nyie mwatuchanganya kweli
@danielernest85884 жыл бұрын
Na Enjoy sana from Tanzania,Uislam ni dini ya Kichawi
@omaebarongo18923 жыл бұрын
Mashehe wamefundishwa kweli hadi Mwalimu akitoa hoja wanashtuka ni kama wako kwa ndoto wa nashangaa ni kama hawasomi hadithi vizuri au vipi
@manyamamazula67734 жыл бұрын
Aisee
@grdcgv7ufdwdfghh6333 жыл бұрын
Mungu awasamehe waslamu kwa kumfukuru Mungu kwa kutumia maandiko vipaya niulize mbona kwenu mmesema kuwa kusema kukula nyama c nyama za watu ni kusengenya alafu umesoma hapo isaya 54 eti ni Mungu tasa😭😭😭 hapo mbona ukutumia mfano nikumanisha duniani hatuna watu hawazai ambao utengwa na jamii juu ya kutozaa eti zaburi 91:4 eti Mungu ana manyoya Mungu awasamehe kwakutoelewa maandiko
@sarahmichael75384 жыл бұрын
Sauti ktk video hii iko chini sana
@abdihazizmohammed72782 жыл бұрын
ما شاءالله تبارك الله شيخ انور
@monicabh16683 жыл бұрын
Eti MUNGU wa bibilia sio wa kweli 😢😢😢😢😢🙆🙆🙆 chunga kauli yako Anwar wewe uko gizani,Sio rahisi kuelewa bibilia bila Roho mtakatifu hauwezi elewa chochote. Mungu wa Quran sio wa kweli ni jiwe jeusi.
@jeilanyilyas63214 жыл бұрын
Allah ndio Mwenyezi Mungu wetu sote binadamu na Muhammad ndiye mtume wetu sisi wote
@hellennalafe80674 жыл бұрын
No allah ni jini wako pekee yako don't say eti ni mungu wa wote hata sio mungu in the first place and muhamad that confused element is the false prophet of all ona jinsi alivyo waacha kama mumechanganyikiwa
@monicabh16683 жыл бұрын
Allah sio Mungu
@lupaprince12293 жыл бұрын
Waislamu wamefundishwa kumtetea mungu wao kwa upanga hata kwa uongo, hapo naona huyo shehe anajitahidi kutafuta namna ya kutetea dini ya uislamu na mungu wao, huku ameshindwa kujibu hoja za ndacha.
@thobymsule60459 ай бұрын
Jibuni hoja za Ndacha siko porojo
@kimanimuikamba47144 жыл бұрын
nampenda sana anwar but hapa yuko kwa kona ..vichaka zote za kujificha zimeteketezwa na ndacha
@japhetndoro6533 Жыл бұрын
Ndacha nikiboko cha waisilamu kweli
@عليحمد-ح8ث4ح4 жыл бұрын
Mashaa ullah mashekh wetu Allah akuzidishieni inshaallah.hawa wakristo hawana Elim ya dini wala hawajui Lugha ya dini zaidi wanatizama masilaha tu wala msiwaachie na Allah awafedheheshe inshaallah.
@marcbanyankirubusa1354 жыл бұрын
Elim ya waislamu ni elim ya majini ya kumpinga Yesu kristo ndiomana wakisoma biblia wali soma nusu nusu ili wapoteze watu wasiosoma biblia ama wafunuliwe sili ya Yesu kwa maana Yesu ni sili ya mungu, ndomaana kwasababu Yesu alikuwa sili ya mungu ndiosababu waislam hawamujui kwasababu banaongozwa n'a majini lusifa mukuu wa majini.
@mwoso4 жыл бұрын
waislamu wanashida na Imani yao. wasiwe na aibu kuenda kwa ukristo kwani walimwegu wamefunguka macho.
@hamisimwagarashi95012 жыл бұрын
Ambaye haamini ALLAH ni Mungu lakini akiambiwa YEHOVA ni Mungu ndio anaamini mtu huyo aende some LUGHA maana atakua anauchache wa elimu ya vitabu vya mungu. TAURATI. 6:4- ZABURI.83:18. INJIL.MARKO 12:28- QURAN.112:1-
@elizabethsidi55742 жыл бұрын
Allah aliumba kalamu wash hii ni kali
@josephkiswili19554 жыл бұрын
Anwari na shehe wake wamepata dose mpya leo kilicho ni shangaza ni kwamba Quran inangongana yenyewe hadithi wamekata ,anwari amesima jina Allah niya mungu mwenyezi haliitwi mwingine:amepewa adiko Allah ameitwa mungu mwingine waislamu hamna mungu
@simbengalesijaona18442 жыл бұрын
Ww mwongoza Mada sijakupenda. Hujui kusimamia Mada, sababu unapendelea upande wako tu.
@lupaprince12293 жыл бұрын
Huyo wa pili kuchangia alipewa mda mwingi, mda wake uliisha mapema na akapewa muda wa ziada, lakini Francis Ndacha alizuiliwa kuendelea, this was not fair, the time keeper hakuwa mwaminifu.
Hata mimi nmeshangaa kabisaa hee injili ilikuwa moto🙌
@milikaekal86232 жыл бұрын
Waaa walipoteya
@mjombawallace49663 ай бұрын
Long ago Waislamu walipotea ndio Hio anasema ata vibaya aya za biblia chack his last words in Isaiah 57:3 and see it yourself
@salehabdulaziz92182 жыл бұрын
Bibilia sio ya wakristo...bibilia ni ya waislamuu..
@beatricelyimo8307 Жыл бұрын
biblia na uislam kipi kilitangulia, uislam umeanzishwa tayari biblia imeshaandikwa kitambo ndo maan quran imeandikwa kupinginga biblia na pia qurani inatambua biblia na dini ya ukristu na wayaudi lakini uwezi kukuta uislamu au quruan ndan ya biblia maana hizo zilikuja mbele ya biblia soma maandiko ndugu yangu kuwa muelewa usiwe mshabiki bila kuelewa
@salehabdulaziz9218 Жыл бұрын
@@beatricelyimo8307 sikulaumu.ww ni mtu ambae hujui uislamu ni nini,pili hujui vitabu vya mungu.Bibilia ni kitabu cha kuandikwa na kilikua kitabu cha wana waisrael si ww paka..unaonekana hata bibilia yako hujuii.bibilia ni corrupted book.ww nende ukasome vizuri ujue uislamu ulianza tangu adam ile quran haikuleta uislamu bali ulianzwa na nabii adam kumwabudu munguu pekee sio bwana wa mungu na sio yesu
@profs.a54124 жыл бұрын
🤠🤠🤠 ..........Biblia inamaneno magum saana ambayo kwa kweli watu wasio kuwa na elimu ya roho hawatakuja kukielewa milele. Yani ni vituko tu ........ Yani anatumia biblia kusema Mungu wa biblia sio Mungu, afu anatumia anatumia biblia hiyo hiyo kumtetea Mungu wa Quran 🤠
@johnnyamache29432 жыл бұрын
Huyo jamaa anaumwa kweli kweli, ukweli unauma
@jamilshisia59294 жыл бұрын
Hakika nasikia raha wahadhiri wetu wa kisilamu wanajituma kweli yani sisi waisilamu tumepewa neema ya kila kitu na ndio maana dini yetu inakuwa kwa kasi mno yani tunasilimisha makafiri kwa kuwapea hoja silizo wazi,
@mwabwagizojaytummumwabwagi71824 жыл бұрын
JAmila shisia that's true my
@janenjenga56394 жыл бұрын
Mkienda jehanam
@monicabh16683 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌hapo kwa motooo jikoni waislamu muokoke
@rehemaabinelynyagawa28782 жыл бұрын
@@janenjenga5639 wamekuwa wengi ili wakaungue vzr😂😂😂
@litumwale31794 жыл бұрын
Congratulations Mwalimu Ndacha.Wape elimu....Lakini kumbuka jina la muumba ni Yahweh sio Jehova/Yehova.Aidha jina la mwana sio Yesu bali Yahshua...Fanya utafiti utajua ukweli
@godisgreat18454 жыл бұрын
NDACHA Hana elimu ya dini wala kumjua Allah labda kuchekesha watu
@gladysrael33964 жыл бұрын
Hiyo ni ukweli Allah si MUNGU
@FrankHaji3 ай бұрын
Dakika zimekwisha Muna lazimisha nyinyi amumuwez ndacha kifaaa
@georgeandati10312 жыл бұрын
comedians
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
True niko Bahrain nasikiliza niukweli apa penye nafanya kazi kuna msichana anaitwa Allah😂😂
@marcbanyankirubusa1354 жыл бұрын
Mungu wawa islam ni ibilisi ,kwanza huu mungu anasema ataumba mtu kwa udongo mukavu , kitabu iki kirianza kuandikwa mwaka 610 nyuma yakupaa mbinguni kwa Yesu. Apo ndo kipoandikwa sasa maneno hao kama uo alah ataumba mtu kwa udongo mukavu wakati gani? kipindi hico mtu yiko hai aliumbwa ntangu zaamaani na mungu wa biblia , sasa huu mtu alieumbwa na alah yiko wapi ? Wakati huu mungu alisema ivo wakati vyote biliishaumbwa. waislamu munatetea uongo maneno munaosema haatambuliki, waislamu nikupoteza watu tu,.
@@khalfanifarsy8216 Siku ya mwisho haitakusadia kitu ile Siku mtu ikisha potea basi , Siku hio ni malipo tu, hamna kitu kingine. ivi sasa habali njema ya ufalme inahubiliwa mwenye anataka kuokoka aokoke, ukikataa kuokoka sasa ivi basi hamna wakati wakuokoka kwa Siku ya kiama, kwa sababu tunaokoka kwa ajili ya damu ya Yesu ,île Siku Yesu alikuwa alisha toka kwenye kiti ca neema ,atakaa kwa kiti ca hukumu , waislamu mutahukumiwa kwenda jehnamu kwa sababu muli mukataa mwenye anapana uzima wa milele, amini damu ya Yesu uokoke utapata uzima wa milele uacane naao wa anwali wapinga kristo utaangamia Hao masheik hawatakusulu utaulizwa yakwako kama unamuamini Yesu ama anamkataa ,nayesu ana taja Hao mwenye anamkataa duniani nae Yesu atamkataa mbele ya baba n'a malaika zak, apo ni ile Siku yakiama unaoingoja , unangoja kuangamia kama ukingali kwa dini inao mukataa Yesu. Yesu ukubaliki.
@khalfanifarsy82164 жыл бұрын
Qur,an inatukumbusha yaliyokuwa kabla yake kwenye Taurati, Injili, Zaburi, Na Manabii. Qur,an 3=3. Qur,an ni ukumbusho wa vitabu vya kale. Hayo yote tunakumbushwa, siyo mwanzo yalianzia kwenye Qur,an hapa. Adamu alishaumbwa. Hata Taurati ilikuwepo badala ya Adamu, je hapo inakuwaje.
@khalfanifarsy82164 жыл бұрын
We unasema Allah ni shetani, embu niambie Adamu aliteremkia bara gani, na nchi hiyo iliitwaje, na akatumia jina gani la Mungu wa kweli.
@shepherd1x843 ай бұрын
Allah si Mungu..hata wa uongo hicho ni kiumbe cha ujinini..Shetani mwenyewe..ndio maana hataki watu wawe na uhuru wa kufanya uchaguzi kuhusu ibada ..yeye ni mkatili tu!Pepo mbaya mno.
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon8 ай бұрын
Tatu bila ya waisilim😂😂e😂
@idrissatuppa39974 жыл бұрын
Mungu wa ndacha kazaliwa kwenye zizi LA ng'ombe.
@shifaazawadi44384 жыл бұрын
🤣🤣🤣 tena akapashwa tohahara
@nassorsharifu98374 жыл бұрын
Halafu akalala usingizi, akahisi njaa, akatundikwa msalabani bila ya kupenda .....
@kenya-id9gt3 жыл бұрын
Yesu alishinda mauti lakini mohammad alikufa akazikwa na akakuliwa na mchwa naye allah ndie atakua wa mwisho kueka unyayo wake katika Jehanamu .....waislaam fikirieni sana kabla ya kufuata watu ambao wamekufa
@simbengalesijaona18442 жыл бұрын
Pia ww Anwari acha kashfa "Eti Ndacha anaongea kama kameza sidi' hata hivyo hiyo ni dhahiri kwmb ulishazidiwa tangu hapo awali. Na hayo majina 99 ya Allah wenu Mungu awafungue sana macho maana ni jambo LA hatari sana kujua
@frankikangaa741210 ай бұрын
Hawajibu HOJA, wanazunguka tu
@zainabrashid3853 жыл бұрын
Hivi nyie wakrr
@jamilshisia59294 жыл бұрын
MashaAllah ustadhi anwari nakupongeza sana hoja za ndacha umevunja zote tena kwa maandiko hakika Qur'an ni kitabu kisicho kuwa na shaka yan majibu yote imetoka kwa Qur'an bila kutumia vitabu vya pembeni TAKBIR!!
@jamilshisia59294 жыл бұрын
@Dj lazz 254 mi bro nimekita mizizi kwenye Elimu so huwezi nidanganya kimaandiko
@kimanimuikamba47144 жыл бұрын
takbir inakuaga ya wanawake kulingana na quran
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
@@jamilshisia5929🤣🤣🤣🤣🤣 unadai una elimu na bado unasema takbir wakati takbir niya wanawake ,sasa elimu gani uko nayo??
@janenjenga56394 жыл бұрын
@@omarmukhutar6847 🤣😂🤣😂🤣✊
@gastokonzo97984 жыл бұрын
MUNGU NI MMOJA TU NAYE NI JEHOVA
@shifaazawadi44384 жыл бұрын
Naakili zako zote basi jehova ni Mungu Kama jehova ni Mungu hao waliokuwako kbla kuzaliwa yehova waliumbwa na nani tatizo shele rudi shule
@davidmorthon72684 жыл бұрын
Shifaa Zawadi nani alikwambia Yehova alizaliwa? embu toa andiko moja.
@manyamamazula67734 жыл бұрын
sasa mwenyekiti mbona uchafu tu
@obedkalinga97044 жыл бұрын
Hivi kwanini waislamu wanapenda kufuatia sii kuanza ktk maada nyingi za mijadala, mfn hapa ni Allah si mungu ilitakiwa wao ndio watueleze who is Allah
@abbyadams86914 жыл бұрын
Hawa jamaa hata uwafundishe mwaka mzima kitu hicho hicho hawawezi kuelewa kwa sababu wameamua kutoelewa. Ndio maana hata majini ni waumini wenzao.
@mchopaluka43192 жыл бұрын
Aibu imewashika waislamu wameshindwa kusilimu kwa sababu ya viapo na vitisho vyao
@angboyangboy6324 жыл бұрын
Wakristo hakirii
@deathrow80044 жыл бұрын
Ni KWELI ALLAH SIO MUNGU MAANA KTK TAFSIRI YA KIARABU HAKUNA MAANA YA ALLAH AKAWA MUNGU #ALLAH ATABAKI ALLAH SUBHANA .. #NA MUNGU ATABAKI KUWA MZUNGU..HATA LIYESU LA KWENYE MOVIE LINAONEKANA NI LIZUNGU.. ILA IYSA BIN MARIAM(yesu) hakuwa mzungu
@moshantoj4 жыл бұрын
Huyu mwenyekiti simpendi. Anakaa mtu wa fujo
@edenedna89344 жыл бұрын
Ukweli ni uchungu sana anaskia kulambisha Kofi ndacha😂
@deathrow80044 жыл бұрын
#MWAMBIENI NDACHAA UFAHAM WA HADIYTH HATOPATA TAZKIYYA WA WEREDI SAHIHI #NAAM ABAKI NA VIJITABU VYAKE.VYA UCHOCHORONI ALIKOVIAZIMA MWISHO VIMEMZIMAA. #ALLAH AMUONGOZE PENGINE LINAWEZA KUSILIM
@goodlucklendey2384 жыл бұрын
Mmmh waisilam kwakuongea wapo vzr ila yesu nijbu na ndo njia ya kufika kwa mungu ubakiwe mchungaj na mbalkiwe mashee tumejifuza nazani maostazi wa mekuelewa
@salimmotila38874 жыл бұрын
Yesu sio mungu na wala hana sifa za kuitwa mungu biblia, Yohana 20;17, ukisoma katika Yohana 14:28, Yohana 8;40, matendo 7;54,
@obedkalinga97044 жыл бұрын
Shida ya waislamu hawamalizi topic ya Allah si mungu wanahamia yesu si mungu
@gideonlangat50354 жыл бұрын
Allah si mungu wa kweli, Ni baali , waislamu mushinde kuimba "Allah ni mungu" musituampie anataka nini kwetu Mungu wakorani akwampii utoke Kwa dhambi , Fanya mingi maovu, Allah,ata kukliza.
@salehesengiyanka53974 жыл бұрын
Shee mweleweshe ndacha aache kuomba sanamu
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
Salehe,#waislamu ndo wanaabudu jiwe jeusi ndani ya kaaba nivile hawajui
@salehesengiyanka53974 жыл бұрын
@@omarmukhutar6847 usabato ulitokana na kanisa la roma baada ya dhuruma kutokea kanisan, na sio usabato tu hata madini mengine yote dunian ya kikristo, sasa kweli hamuoni aibu kushinda mnabeba hilo gogo la msalaba wa yesu kwanza linawachosha bure na kila ulipo unalo shingoni. Afu mwanzilishi mwenyew wa aliyejiengua na kujenga usabato alikuwa mwanauke, na mpaka sasa ndo mnaabudu
@salehesengiyanka53974 жыл бұрын
@@omarmukhutar6847 sifa ya mungu haonekan kwa macho lakini nashangaa gogo la msalaba unashinda umelibeba eti n yesu kuwen na haya ata kipofu haon lakini akilishika tu hawezi kusema n mungu kwasababu anashika gogo lililochongwa, ko atasema hili n gogo ukimuuliza
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
@@salehesengiyanka5397 Bible iko na amri za Mungu kumi na kuna inayosema "usijitengenezee sanamu la kuchonga" ukiona mtu hatiimizi hizo amri huyo sio mkristo na ni wa motoni,pili soma yohana 1:1-14 utaelewa kwanini wakristo wanmsifu Yesu,pia ni siri ya Mungu,roho wa Mungu( ruhullah) ,na ni neno la Mungu (kalimatillah) vile muhamad alijua,
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
@@salehesengiyanka5397 toa andiko usabato umetokana na Roman Catholic pia ntakutolea andiko kwamba uislamu umetokana na Roman Catholic,pia msalaba wa Yesu sio mti vile unafikiri kimaandiko ni injeel ya Yesu.
@EmmanuelKariuki-dr9cbАй бұрын
anwali amesema ni ukweli allah kanusuliwa
@yusuphbhoke36274 жыл бұрын
Biblia imeshinda
@haiyaayusef85532 жыл бұрын
Kweri setani simchache...kageuza mengi nakuonekana kaa ukweri lkni neno lamungu hatawahi ishinda kamwe namuishowe atatiwa motoni nauwezo na nguvu zake bwana mungu
@charlesmakuri7924 жыл бұрын
At aliluka geti Yani laha sana
@josephkiswili19554 жыл бұрын
Anwari ameoba wapi MUNGU WA BIBLIA NI MWENYE HAKI,,mimi nampa azakuhesabu:SOMA TORATI 32:4 EZRA:9:15 ZABURI:116:5 ISAYA:45:21: someni waislamu :anwari anawapoteza jia
@salehesengiyanka53974 жыл бұрын
NDACHA INATAKIWA UELEWE KWAMBA YESU SIO MUNGU ILA NI MTUME WA MUNGU
@truth77964 жыл бұрын
Mwana wa Mungu wa kipeee ndio maana ana tabia kaa ya Mungu babake
@elizabethsidi55742 жыл бұрын
Acha kumshusha grade yesu yesu sio mtume kama Muhammad wenu yesu ni mungu Kisha ni mwana wa mungu angekua mtume angekufa na hangefufuka kama Muhammad lakin alifufuka na atarudi kuhukumu watu wote ulimwenguni
@odagodan43393 жыл бұрын
Hahahaha, one of my favorite videos ever posted by BND, hahaha allah created a pen?!! Hahahah