Tatizo kuu kwa sisi mashabiki wa yanga tumekuwa watazamaji sio washangiliaji tuwapo uwanjani tujirekebishe
@dr.edmundbmgeni486Ай бұрын
Ni kweli kabisa. Yaani Yanga wanapokuwa hawafanyi vizuri mashabiki hawashangilii Kuwapa moyo wachezaji. Ni kama hatujui kuwa wachezaji wetu wanachoka sana? Lazima tubadilike. Wakati timu haifanyi vizuri ndiyo wakati sahihi kwetu kuwatia moyo wachezaji wetu.
@vincentkatabalo286Ай бұрын
Yanga tusitoke kwenye reli tusimame kwenye mstari wetu. Timu yetu ni imara kuliko ilivyokuwa kabla ya hapo. Lets be resilient and bold?
@LeylaSariaАй бұрын
Sas yanga sis tunashida gan kikubwa point3 walaaaaa tunaraha teleeeeew
@IbniAbbas-yz3ktАй бұрын
Sasa kama mna raha mbona malalamiko mengi?
@devothaignatius5256Ай бұрын
Yanga mbele kwa mbele akili kubwa kwa msemaji wetu 💚💚💚💚💚
@NelsonMatambo-m3iАй бұрын
Aly uko sahihi
@andersonshimbi1378Ай бұрын
@pinea timu imepungua kutoka ngapi hadi ngapi? Yanga Bingwa
@musamakuhana2200Ай бұрын
Daima mbele 💛💛💛💚💚💚
@ngerejaboniface2596Ай бұрын
Yanga 🔰🏆
@AlamZambiАй бұрын
❤❤❤simba hatuna makasiliko❤❤❤kila mtu angalie mechi zake❤❤simba ❤nguvu moja❤akuna❤alie❤alietumwa jumapili yakufos
@ChrisantMwairwaАй бұрын
kumbe na simba huwa mnaangalia chanel za yanga 😁😁😁
@KabeahHarunaАй бұрын
Hana jipya wew manara b
@alfoncejohn2104Ай бұрын
Waandishishi na wanahabarii wa TZ hawajajui kuhoji wapo ki mbeya mbeya TU.
@PauloAlfayo-qi1gnАй бұрын
Mbna simba wamemdhulumu dodoma jiji wakamwibia point na hawAsemi ya kwao ?
@amirlehao8945Ай бұрын
Kuna Yule ambayo waandishi wanamfata na kuna Yule mwenye anafata waandishi
@yahayabihoga1890Ай бұрын
Ila ki ukweli Hana maadili ya kuzungumza.. Ki ukweli sipendezwi na kauli zake.... Acha lugha chafu... Kumbuka kun maisha baada ya Young African acha legacy
@asmaramadhani8592Ай бұрын
Kimoja ndo imekuumaa au kwanza kabla ya yanga alikuwa aishi au umemjua leo
Hii Ligi inaenda kasi sanaa kutoka kauli mbiu NYIE HAMUOGOPI hadi Jpili ya KUFOSI?🙌
@errydeo8865Ай бұрын
So?!
@MuhinaCharse-gt7ogАй бұрын
Hizo nihamasa hamuogopi ilikua nihamasa ya siku ya mwananchii yanga niwabunifuu itakuumiza kichwa mjombaa
@lonesomekabora5547Ай бұрын
@@MuhinaCharse-gt7og Hamasa Zinaenda kinyonge sana sio kibabe how come ku- force kwa KMC?
@tizokiduko3888Ай бұрын
😂😂😂😂 na bado hii ndomaana ya ubaya ubwela... Mmeshaambiwa safari hii hamtalalamika kwa midomo tu mtalalamika kwa milango yote
@perepetuajohnАй бұрын
Wakere tena sana Ally kamwe, mbinu Yao tumeigunduaaa😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@MikidadyAbduАй бұрын
YANGA bingwa
@khadijajumanne3324Ай бұрын
Gsm kagundua kama hatokuwa nakitu kinacho ingozs pesa kilasiku huwezikuwa tajiri na atawashitua nakolo kwamba wanapigwa tu nahuo utajili wanampa wao
@ziadamuhunzi6210Ай бұрын
waendelee kuuliza siku zote goli moja goli moja sisi na yanga yetu ni mwendo wa furaha tu
@neemaisrael688Ай бұрын
YANGA HATULALAMIKI TUPO VIZURI .
@edsonhiza8519Ай бұрын
😂😂😂😅😅 MTAONGEA NA MILANGO YOTE YA FAHAMU SHUWAINIIII....😅
@AyubuIssa-np3vcАй бұрын
😂😂😂😂
@kamaratsalimsafari8838Ай бұрын
Mwaka huu ubwela umekuingia 😂Swali moja nusu saa
@noorbazaar9063Ай бұрын
UBAYA, UBWELA❤❤❤
@TariqTV-p5eАй бұрын
Akili hamna hapa
@BenedictPeter-r2dАй бұрын
Muulize kuhusu KAGOMA
@issapagali1330Ай бұрын
Vipi, kuhusu LAMECK LAWI?
@IbniAbbas-yz3ktАй бұрын
@@issapagali1330uyo lawi atacheza namba ya nan
@PembeSaleheАй бұрын
Hhhhha hhhha hhhha lawi
@barakamwacha-gl2qoАй бұрын
Kabwili hiloo naliona kwa mbaliii
@barakamwacha-gl2qoАй бұрын
Mama did mwaka huu mtapata tabu sana
@KevinPhilberthАй бұрын
Yanga bingwa
@prosperkonokono9385Ай бұрын
akili hauna. em twambie kesi ya kagoma imeishaaje
@KS-iw7qvАй бұрын
Ili kuuwa stori ni kurejesha dozi tu ileile ya 4 .... 5 ..... 6
@AminaLibisaАй бұрын
Sema Ali kamwe mrembo sanaaa 😀😀
@ckevents3593Ай бұрын
Ss sio kama panya rodi
@fadhiliomary1802Ай бұрын
Changamoto gamond kajaa kwenye mfumo wa chama, na Aziz k kashuka Sana kiwango akalipiwe ili asibweteke
@agnessgodfrey6557Ай бұрын
Kamwe kapaniki ndio ajue kua ahmed aly abapata kibarua kizito kuongea timu ambayo haina ubingwa misimu mitatu. Tuliza mchecheto kijana kaz bado mbichiiii😂😂
@ashaabdi4026Ай бұрын
kwan mshakuwa mabingwa..mbona pilipili inakuwasha..kwan msimu uliopits ilikuwaje si mlianza kwa kufunga na kubebwa bebwa lakin ubingwa mkakosa…pyeeeeeeee…Sisi ndo yanga talk of the town yaan ushindi wenu umesahaulika focus yote ipo kwa yanga….Sisindoyangawazeewakimoko💛💚🥂🥂
@ashaabdi4026Ай бұрын
kwan mshakuwa mabingwa..mbona pilipili inakuwasha..kwan msimu uliopits ilikuwaje si mlianza kwa kufunga na kubebwa bebwa lakin ubingwa mkakosa…pyeeeeeeee…Sisi ndo yanga talk of the town yaan ushindi wenu umesahaulika focus yote ipo kwa yanga….Sisindoyangawazeewakimoko💛💚🥂🥂
@MfunjoWabaBoydaysАй бұрын
YAANI KWA CC AMBAYO MUNGU AMETUPA MENCHO YA ROHO NA MWILI NILISHA JUA NN HASA KELELE ZOTE HIZI.JAMANI INTELEJENSIA YA SIMBA NI YA BUNENE MSICHEZE NAYO🎉😂
@AliveGiantАй бұрын
Unawashwa nini?
@DolofinaChizaАй бұрын
Ss hatulalamki ni hao makolo wanataka kutugimbanisha
@EmmanuelMandela-f7kАй бұрын
Mashibiki wa yanga tuache unafki yanga imeshaanza kuyumba
@Gyver8636Ай бұрын
Ahmed ally Mwenyewe alisema simba wahuni watamfanya vibaya hashimu igwe kavaa msulii😂😂 Au nyie lile hamkuliona tusi
@perepetuajohnАй бұрын
Makolooo kazi YENU kubebwaaa penati ya mchongo mliyopewa ndo mnajisfiaa Dodoma waliwatoa jashoo mpaka mkaomba poo!!😆😆😆😆😆😆😁😁😁😁😁
@bone102Ай бұрын
😂😂 ila Ile ya tripol mlisema ni penalty ila kweli matahira mpo weng utopolo mtu anahojiwa kuhusu Yanga muda wote anaiongelea simba
@linahissay9285Ай бұрын
😂😂😂
@lonesomekabora5547Ай бұрын
@@perepetuajohn Hata ya Tripol ilikua km hii na wewe ulikua wa kwanza kusema ni penalty, Malipo ni hapa hapa Bado hamjasema Utopolo mwaka huu tutegemee Malalamiko ya Ku-force kuongezeka
@yuliastaphord9339Ай бұрын
Wenda huna Akir vzr huna point ya maaan
@OmarZiad-w3qАй бұрын
Hamna msemaji Wala muandishi hapa wote wanakorogwa na nyuma mwiko
@SalvatoryMtungaАй бұрын
Hiyo kuisema club nyingine ni kawaida, mbona ahmed ally mda wote husemea vilabu vingine, ndiyo mambo ya michezo.
@yakobokuzenza6837Ай бұрын
Uwe na uhakika na unachoongea.Tumia kichwa kuwaza badala ya makalio
@directormwangukuАй бұрын
Yanga tulieni nyie sio wa kulalamika kiasi hiki
@monicalucas3738Ай бұрын
Wambie Kamwe
@SharifaUlutiАй бұрын
Inawezekana ulisha wahi chomwa sindano ya kutibu gono,mbona unapitiliza katika kuongea?
@salvatoryoscar823Ай бұрын
Hauna swaga
@kolosii4351Ай бұрын
Yanga bado bingwa. Maneno yanatoka wapi ndani ya mechi 3 tu??
@WestonMbuba-ff4jkАй бұрын
Sindano hiyo inaitwa cristapen. Ukipigwa unakaa kwanza kama dkk 15 hv unaisikiliziq
@salvatoryoscar823Ай бұрын
Kamwe kashaingiwa na mchecheto wa vibe la wapinzani wake na bado ataendelea kuweweseka
@andersonshimbi1378Ай бұрын
Yanga akili kubwa sana, anayepingana na wewe Ali Kamwe huyo ni taahira kabisa
@SalumNyumbaАй бұрын
Msemaj wa yanga hana la kusema,..sasa anatukana
@juliuskayombo7611Ай бұрын
Ally kamwe unahangaika sana.safari hii yamewakuta ubaya ubwela.Hapo unaongea bila mpangilio.
@MakuoeJafaryАй бұрын
Mkuu wachezaji tunae wengi wacheze sio kila siku awoawo wanachoka
@MchungajiNzelaniАй бұрын
Ndo uiseme azam siyo uungwana
@Gyver8636Ай бұрын
Nilicho gundua SIMBA Ndo mnamakasiriko kila comment mnamshambulia Kamwe😂
@EmmanuelMandela-f7kАй бұрын
Halini akili semaji lenu Kilasiku anasema simba
@AnthonyDcosta-f3qАй бұрын
Sijaelewa anamaanisha nini?
@AnordJoseph-e2eАй бұрын
Mwenyewe sijaelewa
@AhmedSaid-mk7qsАй бұрын
Hichi kitoto sijui lakini naona huyu mwarabu yupo nae
@princesaha3262Ай бұрын
Mwageni pesa ndyo mushinde hizo kama za msimu uliopita lkn msimu huu ubaya ubwela
@mosesmkoma6882Ай бұрын
Kumbe mwaka Jana makolo ,kmc,jkt,bolozdad ,walipewa ela😂😂
@josephlorri431Ай бұрын
Azam na Kolo nao waliopokea pesa last Season.. kolo wanabeba makopo kwa shingo zao.
@LeylaSariaАй бұрын
Kumbe 😂😂😂😂Ila yanga tuna Raha kumbe na kolo mlikula hela zetu😂😂😂😂 na mwaka huu tutawap fala kwel w😂
Wajinga nyie hamkubali kushindwa mnasingizia mengine
@godsonmnguruta1998Ай бұрын
ila aucho akajitafute tena mazoezini amuachie andambwile aonyeshe kipaji
@HoloLuchomaАй бұрын
Hakuna msemaji hapo mwaka huu ni ubaya ubwela
@LucasDeus-l8mАй бұрын
Nin maana ya hiki kitu??
@JonathanMgaiwaАй бұрын
Na bado mtasema zaidi. Rudieni michezo yenu ya bahasha mpira halisi umewashinda
@ErickJeremiah-ww3ezАй бұрын
Nyie nje ndani tuliwapa kiasi gani tajiri na mmeifanyia nn 😂😂
@kolosii4351Ай бұрын
Haya simba inajidai nini, wakati point 3 za juzi walipewa. Ndio kwanza ligi imeamza. Ally ongea hiyo ni kazi yako!!🎉🎉🎉🎉
@godfreywilly639Ай бұрын
Mkwara wa kesi ya KAGOMA unaendeleaje? 😄😄😄😄
@MajaliwaJsalumuАй бұрын
Una hoja hata kidogo
@SalumNyumbaАй бұрын
😢😢😢😢😢😢
@elkanangosha9588Ай бұрын
Hapa hamna akili yeyote,
@revocatusmalimi4525Ай бұрын
Wewe msemaji jifunze matumizi sahihi ya maneno.Tumia maneno yanayoendana na hadhi ya ubinadamu.Maneno ksma Panyaroad yanadhalilisha na kutweza utu.
@asmaramadhani8592Ай бұрын
Na bado mtaumia sana panyaroad
@its-vanceАй бұрын
Camera man tuliza hiyo camera basii🤦🏽♂️
@AminaLibisaАй бұрын
Aisifiae imemnyea kashachomwa uyooooo
@RamadhanKhamis-t1tАй бұрын
Ally Kamwe saiv kakaa Kam ndiz mbich ikimenyw lazim iparwe ND iliwe ni pumba tupu anazo ongea
@bensonchota3461Ай бұрын
Kwa kipi alicho nacho huyo msemaji wenu 😂😂😂mtu huna ubingwa misimu mitatu Kama kuongea ni ubingwa basi achukue yeye msemaji mnae mtetea Kama watoto wakambo
@edgarmbegu1974Ай бұрын
Bingwa bado kenge wewe. Ligi ndo imechezwa mechi 5/6
@Stellastella-yi5vuАй бұрын
Mnaongea nin hapa ? Nikajua mpira kumbe Wana mambo yao.
@mudylipawaga5362Ай бұрын
Makolo mnawashwa nn😂😂😂😂😂😂
@AirinSumenoАй бұрын
Ubaya ubwela
@wizzy200Ай бұрын
Ila alikamwe mbona.mada wote anapngeleaa.simba.ahmed ally.mda wotee anaongeleaa simbaa acha matatizo watu wanaulizaa maswali wale ni wandishiii 😂 ilaa yanga bhana simba alipokuaa anajitafuta mlikua hamuongeiii ila kufungaa goli.moja mojaa hizo ndioo mnaanza kulalamikaa
@EmanuelFredy-x8pАй бұрын
We hujielewi fuatilia interview za huyo msemaji wenu
@DoreenTesha-kk2kwАй бұрын
Loading.............😂
@salahaljahury2907Ай бұрын
Mipasho fc
@edsonhiza8519Ай бұрын
UBAYAA UBWELAAAAA 😂😂😂😂 KUBABAKEEEEEEE😂😂😂
@rashidnzundaАй бұрын
Mbona hata upande wa pili wanaongea dawa yenu walishaijua SASA itakuaje..
@rajabrwambow9660Ай бұрын
Inaitwa panaduuu hiyo semaji
@ZiadaZuberАй бұрын
ww huwez usemaji ww
@neemamwasomola8663Ай бұрын
Hatuna magoli ya penat za mchongo
@jumanneenos2481Ай бұрын
Gamond siyo kocha mzuri tutaelewana tu
@sarahamisi7126Ай бұрын
Yaani Simba izo kileke zenu ligi bado mbichi kabisa
@ahmedimakopeАй бұрын
Kwamba huyo mwana habari kalipwa kuitangaza Gsm au ndio kimagumashi
@musamagulu2023Ай бұрын
Kamuulize
@saidbakari7998Ай бұрын
Had unaanza kuongea pumba utakubal tu ally kamwe😅 unapanic
@robertemmanuel2354Ай бұрын
HAMNA SEMAJI HAPA! 😂
@HusseniMkopiАй бұрын
Kamoja hakachoshi hahahaha!!!
@yuliastaphord9339Ай бұрын
Huna hoja huko mfyuuuuu mbn Simba unaiongerea san
@juliuskayombo7611Ай бұрын
Siyo mtaalamu kashaugua ugonjwa huo huyooooo
@PauloAlfayo-qi1gnАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉d,y,african bg tm
@JeniferNgataАй бұрын
Watu qanaona Mitandaoni acha u wege
@ErickJeremiah-ww3ezАй бұрын
Ufalme wenu umeishaaa kudadeeq 😂😂😂
@Gyver8636Ай бұрын
Kuna watu mnawaingilia Ahmed ally na ALLY kamwe Wenzenu 😂 wako kazini Wakikutana uko wanagonga glass nyie mnahangaika
Ally kamwe ndio maana hutaki kufunga ndoa maana unavyoongea na miko na vidole namashaka sana na njongoo lako maana huna mke huna mtoto vidole juu ukionge
@JeremiaMathias-im8rpАй бұрын
P didy huyo au unataka akuoe mkuu
@saltechnologiesco.ltd.2377Ай бұрын
Inaonekana una kauzoefu bwashee!! 😂😂😂
@jicholatatu9432Ай бұрын
Unaji tekenya wewe mwenyewe unacheka wewe mwenyewe mwaka huu ubaya ubwela
@econmirajifacts5411Ай бұрын
Ubaya ubwela ubaya ubwege. timu kila cku inasajili.
@econmirajifacts5411Ай бұрын
Usifikirie tff wameipeleka mbali mechi ya makolo na yanga wanajuwa kuna wengine wanataka wapate muunganiko ili wakutane na yanga tff ya simba ina akili mlikuwa hamjui ilo.
@RoseMwangoyeАй бұрын
Kwa swala la usemaji manara bd tumamuhitaji sn dogo kapooza