ALLY KAMWE: KWA UCHUNGU AFUNGUKA BAADA YA YANGA KUTOLEWA CAF | AKUBALI YAISHE | "SIO BAHATI YETU".

  Рет қаралды 23,214

Ayoma Media

Ayoma Media

Күн бұрын

Пікірлер: 70
@leejems142
@leejems142 20 сағат бұрын
Uliongea robo final itaend team 1 t na ni kwel manen yak Lakin jifunz kuongea kwa Ahmed Ally awe role model wak 😂😂😂
@absm8084
@absm8084 18 сағат бұрын
Alijittabiria😂😂😂😂😂😂
@joashandhoga4019
@joashandhoga4019 16 сағат бұрын
Sasa nyie mko kwenye Kombe la walioshindwaaa
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 15 сағат бұрын
​@joashandhoga4019ukishashindwa mduku unashenyeta😂
@chikualiy8705
@chikualiy8705 16 сағат бұрын
Gusa achiya twende kwa GSM 😂😂😂😂
@mwamvuamagongo8163
@mwamvuamagongo8163 17 сағат бұрын
MDOMO UMEMPONZA KICHWA 😂😂😂
@laurentmyeule859
@laurentmyeule859 20 сағат бұрын
Pole sana ..tatizo kamdomo
@JazamAhamad-d2f
@JazamAhamad-d2f 15 сағат бұрын
Toa sauti leo mbn mnyonge kamdomo chote kile😅😅😅😅😅😅😅
@absm8084
@absm8084 18 сағат бұрын
Gusa achia twende kwao😅😅😅😅😅😅😅😅 ninafurahi huyu mpuuzi akiwa akiwa anaumia😅😅😅😅
@AirinSumeno
@AirinSumeno 20 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 umependeza na ss tunapenda hii sura
@BenedictoTebo
@BenedictoTebo 19 сағат бұрын
Nakumbuka ulishasema inaenda timu moja na ulikuwa unajua timu ilishaenda so mlikuwa mnakamilisha ratiba tu,sema kamdomooo!
@RamadhanAme-v8j
@RamadhanAme-v8j 16 сағат бұрын
Kacheze na watoto wenzio maana wewe bado mtoto sana Ali
@mwakanyekenyiki9241
@mwakanyekenyiki9241 2 сағат бұрын
KUMBE MZAMINI WA LEGUE NI CRDB, Du nilikuwa SIJUI
@evampomele6779
@evampomele6779 3 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kumbe na huyu ni mpole
@STIVINNTAGOMEGWA
@STIVINNTAGOMEGWA 15 сағат бұрын
Kamdomo, kama wameshindwa waachie timu wengine, mwaka kesho shirikisho, hakuna jipya.
@davidwatson6821
@davidwatson6821 20 сағат бұрын
Sura kama kibwengo
@ROSEJORAM
@ROSEJORAM Сағат бұрын
😂😂😂
@SaidiOmari-g3f
@SaidiOmari-g3f 17 сағат бұрын
shoga tu uyo
@BikoraSaidy-vt4zb
@BikoraSaidy-vt4zb 19 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Leo ndio unajua maana y riziki 😂😂😂😂😂😂
@SayayiMhoja
@SayayiMhoja 17 сағат бұрын
Utopolo hoyeeeeeeeeee!
@AdamHaji-t5q
@AdamHaji-t5q 4 сағат бұрын
Kamdomo pumbavu zake😅😅😅😅
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 20 сағат бұрын
Umetoka kutusema kuhusu mashabiki maneno mengi sanaaa leo mpole sana
@NapeDkilia
@NapeDkilia 16 сағат бұрын
Shida kubwa. Timu imeingia kambini jana. Walivyo rudi manyimbn.. hers hii timu itamparia. Kama anaogopa gharama hotelini aseme..
@sakaraboy8951
@sakaraboy8951 15 сағат бұрын
Mnasubili wakati hijao wa kwenda kula Supu. 😂😅😅😅😅... Wakati wenzenu wanasajil wachezaj Nyinyi Mnagombania supu.... Pumbavu zenuuuu 😅
@Sahlomon-jp4jr
@Sahlomon-jp4jr 7 сағат бұрын
Kuna watu wengine mnafirwa ee? Wachezaji gani mliosajili wanaoisumbua Yanga?!!!! Mbona mnakandwa nayo tu Kila siku?!!!
@MawazoDaniely
@MawazoDaniely 17 сағат бұрын
Huyu dogo bola ajiuzuru2 cjui comment anaziona Bugati tunakutaka ss huyu wamutafutie kazi nyingine
@monicachacha455
@monicachacha455 19 сағат бұрын
ukome😂😂😂
@GodfreyKarino
@GodfreyKarino 20 сағат бұрын
Nyumbani tuna shindwa kupata point 3 jamanii yanga tujitathimini vizuri duuuh
@mussakilo4916
@mussakilo4916 18 сағат бұрын
Timu iko vizuri sana ni bahat mbaya yanga timu kubwa sana turudi kwenye ligi hasira kwa kolo na kale katabora yani watajuta
@Bilifilmz
@Bilifilmz 17 сағат бұрын
Una msahau azam kazi unayo
@ShebbyCrevar
@ShebbyCrevar 19 сағат бұрын
Mbona amekua mpole sana leo
@abdiharuna2818
@abdiharuna2818 18 сағат бұрын
Simna kikosi kipana kwa nn mnamlazimisha pacome acheze
@MawazoDaniely
@MawazoDaniely 17 сағат бұрын
Hayo ni mawazo ya failure huwez anza kuwaza ligi nahuku mupinzani wako anasumbua sasahivi
@NestoryCharles-b1d
@NestoryCharles-b1d 16 сағат бұрын
Kamudomo ndo shida
@JoshuaMachanja-m5e
@JoshuaMachanja-m5e 20 сағат бұрын
gusa achia twende kwao 😂
@farzanakhani2043
@farzanakhani2043 17 сағат бұрын
Huyu sio msemaji huyu ni kidomo domo.
@shivoly8098
@shivoly8098 18 сағат бұрын
Mnamtegemea mgonjwa, kwani max yukwapi
@YahayaBakari-e5y
@YahayaBakari-e5y 16 сағат бұрын
Pacome anaumwa mimba ya sindano
@IsaacJonas-wg7wv
@IsaacJonas-wg7wv 18 сағат бұрын
Katoto mdomo ndio unakuponza
@Allyhadiya
@Allyhadiya 20 сағат бұрын
Acheni matusi jamani huu nimchezo tu
@sameerabdulrazak
@sameerabdulrazak 19 сағат бұрын
Leo kawa mdogo kama kindonge kamdomo kimponza
@andrewkogelo
@andrewkogelo 17 сағат бұрын
ubaya ubwela😅
@SeleMbega-y4s
@SeleMbega-y4s 20 сағат бұрын
Ongea ww mbaunajigata gataaaa saiv wakat mwazo yalikutokaaaaaa
@davidwatson6821
@davidwatson6821 20 сағат бұрын
Kumbuka maneno yako kuwa nyiye ndiyo mtakaobaki kwenye mashindano, kiko wapi?
@prosperprosper8568
@prosperprosper8568 17 сағат бұрын
wapi miwani!
@samwelmfinanga4337
@samwelmfinanga4337 20 сағат бұрын
Kamdomo kamemponza kenge huyuu😅
@Dully_star
@Dully_star 19 сағат бұрын
GUSA ACHIA Baki TANZANIA 😂😂😂
@KhadijaYahya-f6b
@KhadijaYahya-f6b 18 сағат бұрын
Nyooo kamenywea hako hadi uruma mdomo umekuponza nyau ww
@IreenJimmy-v3f
@IreenJimmy-v3f 16 сағат бұрын
Kamdomo 😂😂😂
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 15 сағат бұрын
kamdomo😂😂
@mwajabuamiri508
@mwajabuamiri508 18 сағат бұрын
Kwan mchezaji n pacome tu
@LawrentMenrad
@LawrentMenrad 19 сағат бұрын
Alaa kumbe ulijitabilia ndio ukome kamdomomdomo
@kabwangaselemani5228
@kabwangaselemani5228 20 сағат бұрын
Maneno yake yamesadiki Hali halisi alitabiri kuwa robo fainali itaingia timu moja tu
@prosperprosper8568
@prosperprosper8568 17 сағат бұрын
kiboko yako semaji la Tabora
@andrewkogelo
@andrewkogelo 17 сағат бұрын
ubaya ubwela
@DICKSONYOHANA-dq6vj
@DICKSONYOHANA-dq6vj 19 сағат бұрын
Gusa achia mwisho tuishie makundi vyura haooooo......😂😂😂🐸🐸🐸🐸
@JumbeRichard
@JumbeRichard 19 сағат бұрын
Leo mudomo yako imepita wapi poleni watani
@MarckyCholla
@MarckyCholla 20 сағат бұрын
Timu inamtegemea mchezaji mmoja pumbavu zenu
@AbduliMwesa
@AbduliMwesa 15 сағат бұрын
Kamdomo
@issadul-d5v
@issadul-d5v 19 сағат бұрын
Mnajipanga msimu ujao wakati msimu ukifika machukua makapi ya Simba watu wa hivyo Sana nyie, Hivi uongozi wenu unaisha lini muondoke?
@GraceanaMbonde
@GraceanaMbonde 20 сағат бұрын
Punguza mdomo ally kamwe wewe
@Jayhpb
@Jayhpb 19 сағат бұрын
Tatizo ni kamdomo
@MassaiIsaacs
@MassaiIsaacs 20 сағат бұрын
Huyu ndiyo shida ya yanga kamdomo mwaambieni punguza bila kupunguza kamdomo yake washabiki mtalia sana na mtahuzunika
@Abdulkarimmaulidihilonga-fi7hq
@Abdulkarimmaulidihilonga-fi7hq 20 сағат бұрын
Sasa we ulitaka asiongee acha ukinga
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 19 сағат бұрын
Mzee wa fizi , akishinda fizi hilo ka nnn
@NaftaliChitema
@NaftaliChitema 19 сағат бұрын
Dogoapunguze.dharau
@NandaMazengo
@NandaMazengo 18 сағат бұрын
Sio rizki wachezaji wamejitaid tujipange msimu ujao
@DICKSONYOHANA-dq6vj
@DICKSONYOHANA-dq6vj 19 сағат бұрын
Gusa achia tuishie makundi
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 16 сағат бұрын
Hilo halikuhusu tuishie makundi tuishie wapi haikuhusuuuu!!! Kuna mwenye mdomo kama hilo kolo kujisifia tu mmepata vibonde kelele nyiiiiingi😂😂
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН