Sio kweli, mbona haji manara alitoka simba akaenda Yanga!
@hassanabazar9411Ай бұрын
Umeongea maneno ya mana mr ambangile
@MrTop-wj7noАй бұрын
Mkianza kupigwa mnaanza kuona ubovu wa team kabla hamjapigwa mnasifia team hapa mpaka Comoro duuh😂😂😂😂
@yussufritzy7684Ай бұрын
Ivi Kuna mwana yanga yyte alielalamika kwamba team mbovu??😅😂
@EagerKelpie-ur6fhАй бұрын
Sas wachezaji tunakula shisha tuta toboa kweli
@chichasam9032Ай бұрын
Tumewatuma baleke na chama wakaifumue Yanga😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MethodJulius-fu9hfАй бұрын
Na Mobeto😂
@matrida.lunyilija5196Ай бұрын
Ujikute wakati roho zinawauma mfyuuuuu
@cathbetsolomon3151Ай бұрын
@@matrida.lunyilija5196Asa roho inatuumaje akat watu tunafuraha matrida vipi bhnaa😂
@lucianaligambasiАй бұрын
Wadada wa simba bwana
@hawamasanje9589Ай бұрын
Kocha tunaomba huyo Azizi Ki kwa sasa apumzike aendelee huko kitambaa cheupe anaitia aibu Yanga yeye anaona sifa
@KulijeNovartАй бұрын
Washabiki nao huhama, hakuna aliyezaliwa na timu na kuwa atakufa nayo
@jimmymnuano7165Ай бұрын
Siku hizi mpira wa mguu unachezwa studio na wana habari yaani kabla mechi ya mpira hauja chezwa kuanziya pasi mpaka goli na mfungaji yote utayapata studio ujuwe hivyo ndiyo maana watu wanakuwa wavivu kwenda mpirani
@KulijeNovartАй бұрын
Wanafiki wakubwa nyinyi, mnabadirika wakati yanga wanafanya vizuri sikuona maneno haya. Hakuna timu ambayo haifungwi, CITY kafaa mechi 4, Madrid kafa Eli classical na CL, waacheni Yanga wajiongoze wenyewe! Shubamit
@JacksonNtembaАй бұрын
Wachezaj wa yangq usoni Wana kunywa kisungula
@Jerryminenewtony-fc5cpАй бұрын
Kweli ubaya umefika tulipoutuma na sasa ubwela unatuletea majibu,CHAMA akikisha wachezaji wote uwafundishe kunywa pombe na kuzurura
@ikulunimahalipatakatifu7642Ай бұрын
UPEPO UKIANZA VUMA VIBAYA , 😀😀😀😀 TULIENI SINDANO NNE ZIIINGIE 1 ya AZAM , 3 ZA UNYANYEMBE WANA WA ISIKE, KITUO KIFUATACHO NI ....
@matrida.lunyilija5196Ай бұрын
Kukukanda wewe mara ya tano mfululizo
@ikulunimahalipatakatifu7642Ай бұрын
@@matrida.lunyilija5196 sudan
@africanbeez3644Ай бұрын
@@matrida.lunyilija5196 tabora tu kakumanua manu 😂😂😂
@subiraaddo864Ай бұрын
.shukuruni kayoko aliwabeba tulikuwa tuwakande za kutosha kitimoto pori nyie@@matrida.lunyilija5196
@checkchannel3876Ай бұрын
We tulia My wa Yanga. Au umesahau?
@EdwinAdAstraАй бұрын
Unafikiri hapo mmesema? Bado sana. Bado hamjasema vizuri. Ngoja wasudani wawashike makalio kwenye CAFCL ndiyo mtatia akili. Bata nyie
@lucianaligambasiАй бұрын
We dada mmh
@Anuarmustafa4128Ай бұрын
Nimeamini kama wapenzi wa Simba wana vinasaba vya mbwa kichaa