Uko vizuri mchambuzi mungu ukisimamie ufike mbali kwa ndoto yako uko vizur kwa kuchambua
@PrinceMbwana-i5o14 сағат бұрын
ameni ameni ameni
@RenatusMakene-pd2dyКүн бұрын
Hakuna mchambuzi zaidi yako mbwaduke kwa sasa hapa nchini!! Endelea kutupa data zaidi na zaidi mzee wa data!! Heri ya krismas brother!!
@MbwadukeStats22 сағат бұрын
Nawe pia. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@petertimothy7882Күн бұрын
Wewe ni mchambuzi mbobezi Mbwaduke. Ubarikiwe kwa ichambuzi wa kisheria na kitaalam🙋
@ZulphaMsangi-s9gКүн бұрын
Safi sana tunashukuru kwa uchambuzi mzuri ❤❤❤🎉🎉🎉
@AnciscoKayomboКүн бұрын
Utopolo hapa hawawezi kusikiliza😂😂😂😂😂
@hafidhisaid5446Күн бұрын
😅😅😅😅
@NamtumboКүн бұрын
Wakajinyongeeee
@MwanaBaloz-ij6es16 сағат бұрын
Utajinyonga weye sie hatujazowea kubebwa
@ZuberiHuseni15 сағат бұрын
@@MwanaBaloz-ij6es Vp goli la mkono😂
@herimornchriston608314 сағат бұрын
@@MwanaBaloz-ij6es ndio kabisa sindio mmefunga Gori la mkono , hapo hujabebwa??😀😀
@johnjoseph9596Күн бұрын
Umeelezea vizuri kaka, sema changamoto ya uhasimu wa simba na yanga ndo tatizo. Kuna watu hawawezi kuelewa
@SalminiMussa-q3xКүн бұрын
Anae sema mbwaduke hayupo sahihi chambua mpira ww
@DanielYustoКүн бұрын
Uchambuzi mahiri, ahsante sana kaka Ramadhan mwaduke. 🎉
@abdulrahmankafuku3449Күн бұрын
😂😂 Vyura wameongea sana waelimishe brother
@joanitamligo6321Күн бұрын
Mashabiki wengi hawajui mpira wa ni kukosoa kila kitu
@rogoyassin513 сағат бұрын
🤣
@ElikanaKimayi7 сағат бұрын
Umetisha sana 🎉🎉🎉 mzee wa data
@TriciaSamboКүн бұрын
❤❤❤❤❤❤hakuna mchambuzi niliewahi kumfaham kabla na nikamwelewa uchambuzi wake kama wewe mungu akupe maisha marefu
@MbwadukeStats22 сағат бұрын
Aamyin! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@AllyMwinyi-rx8gr13 сағат бұрын
Allah akuhifadhi akuweke na akukinge na husda
@MwitaPetro-e9zКүн бұрын
@brother nakukubal sana
@rashidmaulid7312Күн бұрын
Hii ni sawa na goli la kwanza simba vs platinum.Ali kamwe alikuwa mtangazaji anajua zaidi.Alikuwa ni yuleyule shomar kapombe
@januarysungura8119Күн бұрын
Kipindi hicho alikuwa ana akili baadae kauza utu na akili zake
@ChaudaDinnahКүн бұрын
@@januarysungura8119Kabisa😂😂
@manfreddafrosa2994Күн бұрын
wew kweli unakumbukumbu safiiiii
@DanielChaulaКүн бұрын
❤❤❤😂
@JumaNyumba-m7y22 сағат бұрын
Yes baada ya said ndemla kupokonya mpira kwa walinzi wa platinum
@REVOCATUSLAURIANКүн бұрын
❤❤❤❤nic broo
@NganziDuwaКүн бұрын
Ndomana nakukubaliii sana
@malimajtz817912 сағат бұрын
❤❤❤❤ unajua kaka
@anithawidambe754322 сағат бұрын
Mbwaduke upo sahihi sana
@ZiadaZuberКүн бұрын
Nakukubali sana
@TomasiklistophaMwinukaКүн бұрын
Hongera kwakutufafanulia hii penart manake kunawatu niwabishi sana Mbwiduke nmeelewa sana ndomana napenda sana kukufatiria sana ili nchukue kidogo madiniyako
@RishDonn-g9uКүн бұрын
Mbona unajuwa Sana ndugu
@RishDonn-g9u23 сағат бұрын
Endelea kuupa tiba mpila wetu ili tujuwe na tuache kupiga kelele
@BigZhumbe22 сағат бұрын
Unafki ni Nini? Ni kukubali goli la Mkono na kukataa goli la wazi la penati 😂
@BeatriceMsophe-k3m15 сағат бұрын
Shida yao simba isipate alama hawaaminj kama simba inayojitafuta ndo iko kileleniiiiii hahahhaa
@BigZhumbe14 сағат бұрын
@BeatriceMsophe-k3m Watateseka sana msimu huu
@IssaKaminyoge23 сағат бұрын
Waao Simba natafuta namba ya kapombe ni mupe kuku
@ManfaceFildoline-d9xКүн бұрын
Next ❤❤❤
@ShelyboyshelyShelyboyКүн бұрын
Kazi nzuri kaka mkubwa
@seifsefunga3228Күн бұрын
Mchambuzi no 1 tanzania
@AthumanMagariКүн бұрын
💯👍💯💯💯💯 umetishaa mchambuz bora
@JoyceStevenMabula12 сағат бұрын
Saaaanaaaaaaa❤❤❤
@OthmanMohamed-t9mКүн бұрын
Mchambuzi wangu bora
@salummaalim171023 сағат бұрын
Aise!! Simba inawatesa wapinzani hasa yanga mana mara nyingi huwa wanafunga hesabu ila hesabu Yao inahariniwa dakika sijioooon yn simba ttz sio kushnda ttz ni kushinda wakt wapinzani washafunga hesabu kua ameshapoteza yn Simba inakeraaaaa😅
@danmanga4342Күн бұрын
Waambie mbute fc
@FrankEnockmabundu22 сағат бұрын
Hahaha mbute FC ndonini et😂😂 sukuma turibe😂😂😂😂
@JoyceStevenMabula12 сағат бұрын
Haahaaa mbuteee umenikumbusha kwa Bibi enzi hizoo
@PeterMuhina10 сағат бұрын
Utopolo pateni data apoo😅😅😅😂😂😂😂😂
@GabrielMwaipopo-i5iКүн бұрын
wambie watoto maana awaujui mpira et tumebebwa wanajua mpira kwel wabongo pole yetu
@AdamNdaki-n6q22 сағат бұрын
Umeelezea vizr sana
@STELLAMARCELY10 сағат бұрын
Hongera sana mchambuzi wetu....umefafanua vzr sana. Point 3 kwa SIMBA zilikua za halali kabisa. Heri ya ckukuu ya Christmas. MUNGU akulinde
Shukran Mkuu. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@dicksonchavallah12269 сағат бұрын
Nakuamini sana kwenye uchambuzi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@NyakoroZabron-t8p10 сағат бұрын
Upo vizuri kaka !!
@NicksonMathayo12 сағат бұрын
Waeleze kaka wajue utopolooo ndo wanaongea sana kuliko walio fungwa naipenda simba❤❤
@johnelisha386723 сағат бұрын
Upo sahihi
@JanuaryMgangaКүн бұрын
Nakukubal sana mbwaduke stata hakika ujawai kupelea kwenye uchambuz wako kaka
@DaniKisitu23 сағат бұрын
mbona sion koment za yanga
@joachimngereja7608Күн бұрын
Kati ya Simba vs Platinum ilikuwa penalty au sio penalty? mahaba ya wana utopolo yatawasumbua
@allymwashambwa5920Күн бұрын
lecturer wetu anajua boli kinoma
@mikidadiayubu478216 сағат бұрын
Tutor at his best 🔥🤝
@JustinMkumbwa14 сағат бұрын
Duh safi sana mtaalam wauchambuz wa Sheria lakin utopolo walivyo na vichwa vigum sijui wamekuelewa !!😂😂😂
@HassanMkwenda15 сағат бұрын
Nakukubali bro, unaufahamu mpira. Wape habari hao
@KasimuKiduba10 сағат бұрын
Nakuelewa sanaa yani unajua kuchambua hadi basi tunakupenda sanaa
@RaphaelSimba-o7rКүн бұрын
Mwaduke ww unafaa kuwa kocha
@gulamomar639423 сағат бұрын
Hongera sana 🙏
@augustshirima972623 сағат бұрын
Simon nimelielewa kuna kitu kwako umetuzidi sana
@Frank255-e5gКүн бұрын
Usinge waelewesha hao sisi tunataka wawe wanaumia tu acha waseme tumebebwa
@salymgaimale235Күн бұрын
sikilizeni sheria ninyi utopolo,bao la juzi la mkono halikusemwa leo imewauma
@SaraMbuya-hr2njКүн бұрын
😂😂😂😂mchome yuko wapiii😂😂😂😂
@melissa_garden23 сағат бұрын
😅😅😅
@YusufuJila23 сағат бұрын
Kk mbwaduke waeleweshe vizuri hao wasiojitambua
@elineemamndeme563422 сағат бұрын
Safi sana bro bonge la uchambuz
@mathiaszakaria705213 сағат бұрын
Uko vizuri san kk
@user-dm1ru1nt1m22 сағат бұрын
Mbwaduke wewe ni mchambuzi Bora, fantastic
@AshrafuHashimuКүн бұрын
kaka wa ball huna baya🎉
@rogoyassin513 сағат бұрын
Huyu refa Yuko sawa 🙏
@wiliyfundplus2065Күн бұрын
Uko vizur
@RaphaelStembela15 сағат бұрын
Ingekuwa upande wa simba hakika isingeamuliwa iwe pernet hilo ndio tatizo ndugu mbwanduke
@RazoLigungah-u9f12 сағат бұрын
Aya utopolo mumesikia acheni kunyenyeleka watot kazen mukae juu nasiyo kusubir sisi tudondoke 😂😂😂😂 na hapo bado
@JeniAlex-e4v9 сағат бұрын
🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇🦇
@JAMESALPHONCE-b8pКүн бұрын
Ni penart
@jascinthakameleki10423 сағат бұрын
Upo sahihi Baba! Keep going Simba. Kama wanaona rahisi nawao wabebwe. Lkn Raha ya kubebwa NI kubebeka. Sisis wale point tatu. Acheni maneno
@Mabrukinambingu3 сағат бұрын
Ongeara sana mchambuz ubalikiwe
@chijaboniface69211 сағат бұрын
Nakukubali Ramadhani. Nakukumbuka tangu tukiwa Mazengo complex White House (Ujamaa) ukiandika makala na vibonzo kwenye gazeti nadhani ilikuwa Nipashe.
@MbwadukeStats11 сағат бұрын
Ahaaaa. Kaka Mkubwa Bony...Mzee wa Data amefurahi sana kupata comment yako na anakutakia Krismasi Njema wewe na familia yako. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@HajiMarcus22 сағат бұрын
Mchambuzi uko vizuri sana
@harunamshahara1837Күн бұрын
tunashukuru kwa darasa bro...ww unajua
@tunumwakingwe678120 сағат бұрын
Nakwelewa sana mkuu wangu nex rebo
@MahaSaeed-hf3gsКүн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@evancemringo667514 сағат бұрын
Uko vzr sana
@PatrickKiondo-t9oКүн бұрын
Kiongozi upon vizuri
@Steve_tz13 сағат бұрын
Baba umesomea eti ???? Uko vizurii snaa
@bahatimshali2731Күн бұрын
Kuna timu malengo yao ni droo. Kipa alikuwa anapoteza sana muda.
@VicentNyangira21 сағат бұрын
Nilichogundua simba ni timu kubwa sana
@erickkalunga-v7zКүн бұрын
Mnyama bingwa
@salumkarume272810 сағат бұрын
Mzee wa data utafika mbali sana
@JohnMzuge23 сағат бұрын
Watalala Mika Sanaa ss tunasonga mbele mbele yaoo
@igigigigivig9112Күн бұрын
Mchambuzi wanqu pendwa🙌
@LucasMwanamli14 сағат бұрын
TANGU LEO mimi nimekupa jina jina la VIR unaujua mpira brother
@hassanlikwenangu8471Күн бұрын
😢hivi pale kosa ni kuizuia SGR au kushika Mpira?😊
@hassanlikwenangu847123 сағат бұрын
Ahsante nashukuru,binafsi nitaendelea kumuheshimu Mzazi wako wa kike (Mama) hata kama simfahamu.
@Lulaboytz16 сағат бұрын
Mzee wadada ahuna mpinzani baba yangu
@EdwinAdAstraКүн бұрын
Mbute fc masikio wameweka pamba. Wanasema Mnyama kabebwa
@bahatimshali2731Күн бұрын
Wanajua ukweli, shida ni kwamba wanatamani Simba adondoshe. Walikuwa wamejiandaa kushabikia droo. 😂
@EmanuelPaulo-gn8qfКүн бұрын
Mbona siwaoni 🐸🐸🐸🐸 wakicomment mana mnatokwa na povu 😅😅😅😅
@IbrahimAmos-r2y15 сағат бұрын
Hapo mm sisapoti juu ya hyo penati hapo umetafsili Sheria ni sawa lakini shomarii hakuwa kwenye hatali yoyote kupelekea muamuzi kutoa penati
@MbwadukeStats14 сағат бұрын
Sawa Bro. Ila ukipata nafasi kapitie vizuri sheria namba 12 kuhusu fouls and misconduct. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@BekaTitle-m4w23 сағат бұрын
Muamuzi wa Leo alikuwa sahihi Moja Kwa Moja ule ni mkwaju wa penati
@RamaKd-s8wКүн бұрын
Wachawe unyama mwingi🎉🎉
@yugemasanza1008Күн бұрын
Shukurani mchambuzi mahiri "the lecture"
@Chidboy01423 сағат бұрын
Anajua sana huyu mwamba
@EliapaMichael23 сағат бұрын
Nakukubali cnaa mchambuzi msema kweli
@JafariLiyawile23 сағат бұрын
Uko vizur saana
@tumaionlinetv893415 сағат бұрын
Huyu ndio mchambuzi ila sio wale wengine
@DandasiKundiКүн бұрын
Watu wengi hawajui Sheria wengi ndio oyaa oyaa asante mchambuzi
@frankalkadokizale253613 сағат бұрын
Mwaduke una sanamu lako!
@SamriJamaly12 сағат бұрын
Simba nguvu moja
@ph.mahmoudjrsperrachee692214 сағат бұрын
Mchambuzi bora wa muda wote
@MohamadKhalid-k3r13 сағат бұрын
Mbona Simba ndio timu inayoongoza kuptiwa penelti tangu ianze ligi ni Simba tu bodi ya ligi VP apo
@FidelisMathewmageleКүн бұрын
Huyo ndiyo mnyama ubwela
@OfficialjustjOfficialjustjКүн бұрын
Simba ya ubaya ubwela utake usitake lazima ufungwe Hadi marefali ni familia ya ubaya ubwela nyuma mwiko mtaisoma namba
@salummaulid486011 сағат бұрын
Binafsi nasema ni penati Kwa Sababu ukiangalia beki alichofanya ilikua ni makusudi kabisa