Mbona Dube ulimsema na hukujali kuhuc kumpa Muda 😮 unazingua sanah we jamaa
@RashidiMwiga2 күн бұрын
Dube ni mwenyeji kwenye ligi yetu yupo miaka mingi that's why alikuwa anasemwa vibaya tofauti na mpanzu ndio kwanza ana mechi 4 alafu mpanzu amekaa nje ya uwanja muda mrefu.
@ChingaPambakalii2 күн бұрын
Kweli kabisa
@christinawarioba8226Күн бұрын
Ambokile mpila unajua
@swedywamba5535Күн бұрын
Me ni yanga ila sio poa kumsema vibaya mpanzu apewe muda kwanza
@CharlesNdaki-mb5kt2 күн бұрын
😂😂😂😂😂 mwamba kabisa Sama wewe jamaa ninoma eti kunamilembe pale 😂😂😂😂😂😂
@jumamakame39782 күн бұрын
Wachambuzi ndio wanoua wachezaji viwango kwa kuwasema vibaya wanawatia hofu
@DastaniKasanda-q7k2 күн бұрын
Ambo wewe ni mwamba sana. Unastahili kua mwalim wa hizi mburula zinazo chambua upuuzi mtupu.