Ila wachambuzi wetu kama huyu wanatofauti gani na sisi ambao si wachambuzi??wanajadili vitu vidogo vidogo sana na vya kufikirika
@jozackmisanya15162 сағат бұрын
Nani huyo kichwa kinauma match ikipangwa
@giftpaulo96142 сағат бұрын
Naomba umuulize huyo jamaa kama kasomea mpira ama anaropokwa tu
@PakatJamesСағат бұрын
Yanga ya Magoli mengi? Wakati kila mwenye akili timamu anafahamu Yanga ana point zake sita 6 kwa singida black stars ni wateja bila shaka wa Yanga wale.
@pci_tanzaniaСағат бұрын
Mbona wewe una points 6 za Yanga na mpaka sasa tayari umeshampa 3 🤣
@MussaWambura-t9l57 минут бұрын
Sio singida tu ata simba alichangia point 6 Tena na magoli ya kutosha
@MussaWambura-t9l56 минут бұрын
Sio singida tu ata simba alichangia point 6 Tena na magoli ya kutosha
@salmamlokela198756 минут бұрын
Au sio mmoja wapo wewe kolo ushampa yanga point 3😅