Kaka Ambwene, hauwezi kuelewa kiwango gani kupitia nyimbo zako zote Mungu amaufunza moyo wangu, nimebarikiwa, nimeinuliwa sanaaa kupitia huduma hii ya uimbaji. Hata ninatamani sanaaa kukuona uso kwa uso, ilatu ninaishi mbali (UK). Ningealika wa Tanzania wote muje kwawingi kwenye siku hiyo ili mukabarikiwe. Mungu aelndelee kukuinuwa na kukuwezesha kwenye huduma hii❤❤💕🙏🙌
@mayongelamange3385 Жыл бұрын
Hongera sana na Mungu akufanikishe katika maandalizi yote kuelekea hiyo ibada ya shukrani🖐🏾
@lameckmwamini59 Жыл бұрын
WOOOOUH Mungu akubariki Sana Mtumishi...... Kuna nyimbo nilikua nikiusikiliza na nikiupenda Sana Ila sikua nimeuelewa Ila nilikuja kuuelewa 2018 nilishangaa Sana nilimshangaa Mungu Sanaa...... Nakumbuka nikiwa mdogo mm na nduguu zanguuuu siku moja tulikaa mbezani .........🙌
@elicangota3326 Жыл бұрын
Amen amen amen binafsi nashukuru sana kwa huduma yako nashindwa kueleza mana nimakubwa mno nipatayo kupitia nyimbo zako,Mungu akubariki na ibada hiyo itafanyika kwa utukufu wa Mungu ibariki maelfu ya watu duniani.
@priscaachieng409 Жыл бұрын
Tunasonga mbele amen You really blesses me and until now you are still ablessing its from generation until generation to come very humble guy Mungu aendelee kukubariki ❤
@eliasmwasinga Жыл бұрын
Hongera sana kaka, nabarikiwa sana na nyimbo zako, Mungu aendelee kukupa uzima na afya na mafanikio
@abdulm.hassan2340 Жыл бұрын
Ambwene hajawahi niangusha tangu namjua hili litakuwa bonge moja la Huduma. Mungu akusimamie Mtumishi. Nyimbo zako zinasadifu sana maisha yetu watiwa Moyo.🙏🏽
@salomonmukungilwa3142 Жыл бұрын
Endeleya mbele tena zaidi Mutumishi wa Mungu ! Kamwe juma aijawai kuisha bila kuku sikiya kupiya nyimbo zako nzuri ambazo ni destiny ya wa kristu wa kweli. Salomon Mukungilwa toka Congo Rd
@DieudonneEtoile Жыл бұрын
Mungu ahimidiwe sana kabisa kwa neema yake. Ahimidiwe sana YESU KRISTO, awapaye watu wake vipawa namna iyi ili makusudi wajengane na kusaidiana katika safari ya imani.
@barakasamaito1955 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana kwa kazi hii njema unayoifanya.
@GodfreyKikoti-f8u Жыл бұрын
Mungu wetu Wa Mbinguni na Akutangulie na tupo nyuma yako kukupa saport naamin Tutafurahi pamoja kwa ajili ya Ibada iyooo
@theresiagideon2178 Жыл бұрын
Mungu azidi kukutunza brother Ambwene, songa mbele tunakuombea
@vanessakimaro9528 Жыл бұрын
MUNGU akubarikiii.....🙌🙌🙌🙌
@NellyMwaipungu-vr8nk Жыл бұрын
Mungu akupe kibali,, na akufanikishe
@sylvestergunze7486 Жыл бұрын
Barkiwa sana mtumishi
@hellenmwanzivi4869 Жыл бұрын
Wow! Nilikujua kupitia huu wimbo
@juliethnjau6050 Жыл бұрын
Barikiwa san
@EdinaFabiani Жыл бұрын
Samahani mtumishi,hivi yule mtu wa Mungu ulieimba nae wimbo wa unikumbuke,ungeonaje awepo ili watu wafanye chochote kwake maake kapitia mazito sana nawe nakumbuka ulipokua unahojiwa wassfi uliahidi kitu kwake.
@richarddavidmk Жыл бұрын
Nakumbuka magomeni kagera Kulikuwa na msiba. Usiku ikapigwa nyimbo (majaribu ni mtaji) nikiwa kitandani Nika stuka Nika isikilizia kwambali, ndio nyimbo ya kwanza ya kilokole kuipenda, nilipo okoka nikaitafuta kwa gugo, achatuteseke, yaani ilikaa moyoni miaka minne kabla sijaokoka ndipo Nika itafuta. Nilipo fiwa na mwangu, rafiki yangu akaja akaniomba ni mtfutie misuli ya Imani kwenye internet Kuna dada ame mtuma,nilipo download na kuisikiliza, iliniambia wewe unalalamika kufiwa na moto mmoja,huyu mama amefiwa na wote, yule mama akapiga magoti akamuabudu Mungu wawatakatifu😢 kwakweli ilinisaidia ,
@godblessndosa9500 Жыл бұрын
Amen mtumish
@KephaMwailolo Жыл бұрын
Mungu Azidi kukuinua,
@prophetmlokozi4633 Жыл бұрын
Wow.............❤❤❤❤❤❤
@ibrahimmagoti2734 Жыл бұрын
Mungu akubariki Mwalimu
@ikupachaula2609 Жыл бұрын
All the best kaka
@nkungujackson7092 Жыл бұрын
MUNGU ukweli kaka naguswa na nyimbo zako, utafanyia wapi Hiyo ibada
@MbaliNdahizaNashale-vz2pl Жыл бұрын
MUNGU akusaidiye kabisa
@dianamohamed4806 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@tarsisiamwalongo6819 Жыл бұрын
BWANA ASHUKURIWE HAKIKA,KWA HATUA HII HAKIKA NI KWA NEEMAYAKE TU. UBARIKIWE MNO MTUMISHI WA MUNGU HAKIKA NYIMBO ZAKO ZIMEPONYA NA KUFUNGUA WENGI NAAMINI NI NYIMBO MUNGU ALIACHILIA NDANI YAKO ILI ZIPONYE NS KUFUNGUA WENGI. BWANA NA,AWE NAWE KATIKA MAANDALIZI NA HATA KUFANIKISHA IBADA HII MUHIMU UBARIKIWE MNO