MISULI YA IMANI BY AMBWENE MWASONGWE (Official Music Video)

  Рет қаралды 1,250,366

Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe

5 жыл бұрын

Ambwene Mwasongwe presents the Official Music Video for "Misuli ya Imani"
Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe: • Ambwene Mwasongwe All ...
Follow Ambwene Mwasongwe
Instagram: / ambwenemwasongwe_
Subscribe to Ambwene Mwasongwe: / @ambweneobadiamwasongwe
Digital Branding & Marketing By:
Black Ozen Entertainment Limited: / blackozenentertainment...
#AmbweneMwasongwe #MisuliYaImani

Пікірлер: 569
@Christopher-xj5fz
@Christopher-xj5fz Жыл бұрын
Wanaoangalia wimbo huu kwa mwaka 2023 weka like hapa na mungu atakubarik🙏
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima Жыл бұрын
mm nilimbeba ambwene kipindi naendesha pikipiki mbeya alikuja kijiweni kwetu
@TifaaIdda-le8ou
@TifaaIdda-le8ou Жыл бұрын
Kbisaa
@deboralukawe3883
@deboralukawe3883 Жыл бұрын
nimekuja kuusikiliza baada ya mama aliyepoteza watoto wake wote wanne Kwa ajali
@sanekwilabya4453
@sanekwilabya4453 11 ай бұрын
​@@deboralukawe3883Inaumiza sana. August 2023
@HopeMmbando-wb8ci
@HopeMmbando-wb8ci 10 ай бұрын
Hii nyimbo inafunz
@aminamgimba295
@aminamgimba295 4 ай бұрын
2024 weka laik hapa
@YulithaYoram
@YulithaYoram 2 ай бұрын
Mwngne Nani anaitazam video hii may 2024 agonge like
@user-tt9bp2id5p
@user-tt9bp2id5p 2 ай бұрын
Mm apa mkinga og ina nikumbusha mbali sana may 2024
@user-ve2ym3ri3l
@user-ve2ym3ri3l 2 ай бұрын
@nancyyesse1380
@nancyyesse1380 2 ай бұрын
Nimeitazama tena leo🙌🏾
@Jassy-kx3ww
@Jassy-kx3ww 2 ай бұрын
Hii nyimbo n mpya kla siku
@ericklyatuu1098
@ericklyatuu1098 Ай бұрын
Mungu ni mwema ,
@YumnahQuity
@YumnahQuity 8 күн бұрын
Amen naummwa mkono mwaka wa 4 leo naimani ipo siku nitakuwa swa kwa uwezo wa mungu
@stewartnairo4897
@stewartnairo4897 2 ай бұрын
May 2024 anybody?
@enockjoseph1947
@enockjoseph1947 3 жыл бұрын
Nimeona msiba huko Mwanza,Mama mmoja kafiwa na watoto kumi kwenye ajali moja wakiwa wanakwenda harusini! Dah! Nilivyoona Mama yao amezimia nikajikuta naukumbuka huu wimbo!!! Dah! Kweli Mungu amefanya siri siku ya kifo ili tumuheshimu kila dakika! Eeh Mungu tujalie mwisho mwema.
@nemaafrikano9213
@nemaafrikano9213 3 жыл бұрын
daah
@benjaminalbert8358
@benjaminalbert8358 3 жыл бұрын
Ameen
@mercynnko3416
@mercynnko3416 Жыл бұрын
Mungu amtie nguvu mama huyo Mungu ni mwema siku zote
@ayasihemedi4286
@ayasihemedi4286 Жыл бұрын
Amina
@GotribeKihaka-cx8ex
@GotribeKihaka-cx8ex Жыл бұрын
Amina
@hannesasmalling7128
@hannesasmalling7128 7 ай бұрын
Sitasahau huu Wimbo uliniokoa nikiwa nataka kujiua na vidonge mwaka 2014 nilipokuwa nikiishi na mama wa kambo,niliusikiliza kabla ya kutaka kujiua nikaona mimi sina matatizo mazito kuna watu wamefikwa na mitihani zaidi yangu
@joyjilien
@joyjilien 7 ай бұрын
Tumshkuru mungu kila dakika,wapo wenye matatizo mpaka unasema Afadhali mimi 😢
@edwinpolkinabo
@edwinpolkinabo 5 ай бұрын
Uendelee kuwa na misuli ya imani
@oluocholuanda
@oluocholuanda 5 ай бұрын
Hautakufa utaishi kulitangaza utukufu Mungu.
@aishamwerevu3427
@aishamwerevu3427 3 жыл бұрын
Japo mi nimuislam lakini mmh hii nyimbo huwa naipenda sana sana🙏
@ziadaambanjaula8900
@ziadaambanjaula8900 Жыл бұрын
Me mwenyewe muislam naipenda saana
@tavernticksafari1188
@tavernticksafari1188 Жыл бұрын
Haijalishi Mwenyezi Mungu/allah/ Jehovah hana Dini. Tumumaini yeye tu. Dini ni njia za kumjua Yeye aliye Mkuu .
@martinmligo302
@martinmligo302 Жыл бұрын
Karibu kwa YESU KRISTO.
@jackobmwanamonga8260
@jackobmwanamonga8260 Жыл бұрын
Wimbo wa taifa
@user-uf6oe3qi6v
@user-uf6oe3qi6v 3 ай бұрын
Hata mmm
@josemitimingi8048
@josemitimingi8048 Жыл бұрын
Nimerudi tena hapa 3/02/2023 ajali iliyoua watu 14 family Moja hapo Tanga. Mungu ni mwema amina
@TwendeTvTanzania
@TwendeTvTanzania Жыл бұрын
Jamani naomba tukiwa katika kipindi iki kigumu Cha msiba wa kutokana na Ndege basi weka wimbo huu utapata faraja jamani na kama unasikiliza basi weka Like kwenye comment hii🤝
@fadhilimbilinyi274
@fadhilimbilinyi274 Жыл бұрын
Sasa huu wimbo umempata mwingine wa uhakika 2023, 02 August Mungu ampe faraja ya kweli huyu mama
@bahatimdetelenyembe6930
@bahatimdetelenyembe6930 Жыл бұрын
Nipo hapa August 7,2023...Mungu awape nguvu na faraja familia ya MSUYA
@blasidafussy1364
@blasidafussy1364 11 ай бұрын
Huu wimbo nimeukumbuka kwa ajili ya huyu mama ambaye wanawe wanne wamekufa kwa ajali yaan imeniuma mno huu wimbo una funzo ndan yke Mungu yupo wapendwa😭😭
@user-qx9ts7od3z
@user-qx9ts7od3z 11 ай бұрын
Wimbo huu hakika una namna ambayo ukiusikiliza unaleta faraja na funzo. Kamwe unaesikiliza huu wimbo usije mwacha MUNGU kwenye dunia hii iliyosonga mambo mengi ya Shetani.
@neemaneema9969
@neemaneema9969 11 ай бұрын
Kabisaaa 😢😢😢😢
@rosemaina8524
@rosemaina8524 10 ай бұрын
Hakuna litakalo tutenganisha na upendo wa Mungu. Ndiye mfariji wetu
@lenathawamala1780
@lenathawamala1780 3 жыл бұрын
Hata nikipatwa na jaribu kiasi gani sitafikiria kumuacha mungu🙏
@rosemwazighe4340
@rosemwazighe4340 3 ай бұрын
2024 and I'm here
@user-ox3ix5uh1g
@user-ox3ix5uh1g Ай бұрын
Huu wimbo umenibariki sana 2024
@user-kr1yo4eq3j
@user-kr1yo4eq3j Жыл бұрын
Me ni muislam ila hii nyimbo inanigusa sanaa💔
@bundallachaba3120
@bundallachaba3120 Жыл бұрын
Till 2023 still it's blessing
@jeremiesinamenye614
@jeremiesinamenye614 2 жыл бұрын
Huu wimbo umenifariji baada ya kumpoteza mtoto wangu 8 years old..but God still been God.
@enjobw5682
@enjobw5682 Жыл бұрын
Pole sana 😪😪😪
@raphaeldamian4178
@raphaeldamian4178 Жыл бұрын
Huu wimbo nimekuja kuuusikikiza Leo baadae ya kuona Ile familia ya Mzee msuya iliyopoteza watoto wanne ,mungu awape uvumilivu na hao ndo watu mungu huwatumia kumsimangia shetan
@printcity7004
@printcity7004 11 ай бұрын
NA WEWE NDO MIMI HAPA h.. hivyo hivyo
@roseasimwe827
@roseasimwe827 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu kupitia huu wimbo wape faraja familia ya Msuya bwana wape amani ya moyo wape watu wazuri wa kuwatunza wazazi na watoto bwana
@angelmbwilo9608
@angelmbwilo9608 4 ай бұрын
Huu wimbo huwa unanibariki Sana hasa pale ninapo kuwa kwenye magumu MUNGU atutie nguvu peke yetu hatuwezi
@ChristinaPetro-ot1gs
@ChristinaPetro-ot1gs Ай бұрын
Yan we acha tu😢
@Deedlr4767
@Deedlr4767 3 жыл бұрын
Nani anaskiliz 2021 kwenye ichi kipind kigumu watanzania😭cha msiba
@peterissa7992
@peterissa7992 3 жыл бұрын
Npo hapa 2021 Ameen
@josephchiluka9357
@josephchiluka9357 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏❤
@hadijamlokakuzenza2146
@hadijamlokakuzenza2146 2 жыл бұрын
Nasikiliza 2022 nafarijiwa sana
@modestajamada3496
@modestajamada3496 Жыл бұрын
2022
@dennismsokwa6961
@dennismsokwa6961 Жыл бұрын
@@peterissa7992 pppp
@elisaprosper6095
@elisaprosper6095 10 күн бұрын
Nakumbuka 2014 nilipata changamoto ya Kodi Mungu akaniinulia msaada mkubwa. Nilikuwa nasikiliza sana nyimbo za mtumishi katika kujenga Imani yangu. Siku ya mwisho wa Kodi yangu Bwana akaniinulia msaada masaa machche kabla ya deadline.
@user-mx5ug4jz1o
@user-mx5ug4jz1o Жыл бұрын
Mungu awafanyie wepesi katika magumu mnayopitia 🙏
@banzamukalay5396
@banzamukalay5396 Жыл бұрын
Nitaitizama mara na mara hata mpaka 2025.
@MbukeChangu
@MbukeChangu Күн бұрын
Nimewakumbuka wazazi wangu na bib zangu wote Leo nipo mwenyewe tu Dunian kana kwamba sikuzaliwa Sina wakumwambia shida zangu Leo mme wangu nimeanza nae kutafuta tulipo yafikia mafanikio akanifukiza na kunisimanga ntaenda wapi Sina kwetu lakin namtukuza mungu Leo kwa wimbo huu maana kanipa mtiani huu kwa sababu anajua nauweza Amina mungu wangu
@user-vb5bw4qq8p
@user-vb5bw4qq8p 22 сағат бұрын
Pole sana
@Saiditofikisaidiramadhan-mk2xi
@Saiditofikisaidiramadhan-mk2xi 2 ай бұрын
Me ni mwislam lakini huu mwimbo unafunzo kubwa sana tumkumbukeni mungu kila sekunde jamani
@shedrackjohnmkami4736
@shedrackjohnmkami4736 Жыл бұрын
Kama una bwana ndani yak naukaskiliza wimbo huu nilazima utasisimuka kutoka moyoni.
@patricktegea1430
@patricktegea1430 10 ай бұрын
Mie huu wimbo sitokuja kuuchoka💐💐💐💐💐💐💐❤️❤️❤️❤️
@pendoraphael5596
@pendoraphael5596 4 жыл бұрын
Twende sawa 2020 nahuu ugonjwa wa Corona mungu wetu aturehemu
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 4 жыл бұрын
Pendo Raphael Amen Mungu yupo hakika
@nazaelimathayo1628
@nazaelimathayo1628 4 жыл бұрын
Amen
@janethanderson1587
@janethanderson1587 4 жыл бұрын
Kabsa
@10xtradingkenya49
@10xtradingkenya49 4 жыл бұрын
Dadangu alikua na corona...amepona sasa. Baba yangu aligongwa na anachuma mguuni na mkononi..mungu nani Kama wewe sasa hivi anatembea.❤❤😢😭😭Mungu mkuu... Shukrani zangu zifike kkkt kariako. Dar es salaam. Na pia Kwa Mchungaji Mshihiri (Mongo LA Ndege) Nipo Kenya nitarudi... Jina Langu Herman ,Miaka 20! Nimeokoka nampenda Yesu!
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 4 жыл бұрын
@@10xtradingkenya49 ooh wow Mungu ni yote tena mzuri sana kwa wale wamtumainio
@aidadismas
@aidadismas Жыл бұрын
Watching in 2023
@mlekwamlula4387
@mlekwamlula4387 Жыл бұрын
Mungu ndo anaejua maumivu niliyopitia ya kuondokewa na dada angu kipenzi ester mungu akupe pumziko la milele huko uliko mdogo wako nakumbuka sana
@mkilimamoses2311
@mkilimamoses2311 Жыл бұрын
Hata iweje wimbo huu hautapoteza nguvu hata siku moja.Wimbo una nguvu ya ajabu kwelikweli.Mungu akubariki kwa maono yako yakutunga huu wimbo Ambwene🙏🏻
@yazis2586
@yazis2586 9 ай бұрын
Wangapi wakisiliza wimbo huu hupata picha ya kile kinachoimbwa kwa fikra tu? Mtumishi umefanya kitu kikubwa kwa wimbo huu,ubarikiwe sana.
@scholasticabitala5794
@scholasticabitala5794 Жыл бұрын
Baada ya Ile ajali nimekuja kusikiliza huu wimbo
@MerYEdga
@MerYEdga 11 ай бұрын
Nifalaja kubwa sana ninapo sikia huu wimbo
@kitumainikubatu3182
@kitumainikubatu3182 3 ай бұрын
Nyimbo Kama hizi zinasisimua maisha ya kiroho.
@belegeselestin9319
@belegeselestin9319 2 ай бұрын
June 2024 hakika Mungu mwema
@OliviaMushi-uh3mv
@OliviaMushi-uh3mv 8 ай бұрын
Wangap wamekuja hapa baada ya majanga yaliyotokea katesh manyara
@laurentgregory2074
@laurentgregory2074 3 жыл бұрын
Wakati unauelezea huu wimbo leo TBC nikabaki najiuliza maswali na kupata jibu kwamba Mungu anaruhusu jaribu ambalo mtu analiweza.
@aminamunda1499
@aminamunda1499 Жыл бұрын
Kabisa
@SyliviaKutaga-pm9rr
@SyliviaKutaga-pm9rr Жыл бұрын
Yaani huu wimbo nimeusikiliza nikajikuta natokwa machozi nikawakumbuka wazazi wangu waliofariki kwa kupishana mwezi mmoja kwakweli nilipata wakati mgumu sana
@rachel-mwashikuhenga342
@rachel-mwashikuhenga342 Жыл бұрын
Pole sana , Bwana Yesu akupe faraja ya kudumu mpendwa.
@stellakasimba9375
@stellakasimba9375 Жыл бұрын
Pole sana Mungu akupe nguvu
@user-su1im3ms2y
@user-su1im3ms2y Жыл бұрын
Pole saana mi dia Mungu aendelee kukuyatamia🙏
@THOMASNYAGIROTV
@THOMASNYAGIROTV Жыл бұрын
Mungu ana sababu njema mbona kawachukua.....ata Enoch na Elijah hawakuishi miaka mingi
@GiftMissian
@GiftMissian 3 ай бұрын
Leo nimelia sana baada ya kusikia huu wimbo nimekumbuka mengi sn😢
@asumptakapinga3880
@asumptakapinga3880 3 ай бұрын
Pole❤
@EmmyMshana
@EmmyMshana Жыл бұрын
6/8/2023 Ajali ya Chalinze rah 😢😢😢😢😢😢😢
@mercynnko3416
@mercynnko3416 Жыл бұрын
Mashujaa wa imani siku zote hurudisha utukufu kwa Mungu
@Emiliana97
@Emiliana97 Жыл бұрын
I’m watching this today I’m heartbroken 💔 Nimefikiria Hata kufa but this song changed my whole mindset Najua nitavuka tuu katika hili Thank you Lord 🙏
@tinaachauitwemungunabaliki2344
@tinaachauitwemungunabaliki2344 Жыл бұрын
Sorry Mungu ni mwaminifu
@ceciliahnyaboke271
@ceciliahnyaboke271 Жыл бұрын
Have Faith In The Lord. He is Faithful.
@glorymboya1601
@glorymboya1601 8 ай бұрын
God Loves You... He will never Leave you nor forsake You🫶
@Dia544
@Dia544 Ай бұрын
2024❤
@GladnessSangana-kg8uz
@GladnessSangana-kg8uz 26 күн бұрын
❤❤
@joycechuma2292
@joycechuma2292 Жыл бұрын
Ambwene Mimi nilipita kwenye kipindi kigumu sana nashukuru sana nyimbo zako zote zimenibariki sana
@esterpaschal6080
@esterpaschal6080 Ай бұрын
Huu wimbo nmeukumbuka leo familia imeungua ndan baba na watt3 wamefalik amebak mama na mtt1, mungu amtie nguvu mama aliebak
@GladnessSangana-kg8uz
@GladnessSangana-kg8uz 26 күн бұрын
Polen Sana Majiran Mungu Awatie Nguvu Mama na Mtoto
@SashaRamadhani-uu1wv
@SashaRamadhani-uu1wv 8 ай бұрын
Asante sana kaka ambwene napitia kipindi kigumu cha kumsindikiza nimpendae nina imani na ili litapita
@deodatusmtitu3573
@deodatusmtitu3573 5 ай бұрын
Pole sana Mungu awe mfariji wako
@KibibiMtuhi-xg8ju
@KibibiMtuhi-xg8ju 10 ай бұрын
2023 October ,Yesu ni mwema wimbo unaendelea kunifunza .
@rahmahamis4493
@rahmahamis4493 Жыл бұрын
forever song 2023
@vickalexander4944
@vickalexander4944 4 жыл бұрын
Nyimbo hii huwa inanifaliji sana ubalikiwe sana ambwene
@magrethmtuya7336
@magrethmtuya7336 4 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako barikiwa
@rachelroosevelt5407
@rachelroosevelt5407 Жыл бұрын
Leo tarehe 11/10/2022 ndo nime elewa huu wimbo nime poteza ndugu zangu watano kwa ajali ya gari
@emmanuelsamwel741
@emmanuelsamwel741 Жыл бұрын
Pole sana 😔😔😔Mungu akutie Nguvu
@rachelroosevelt5407
@rachelroosevelt5407 Жыл бұрын
@@emmanuelsamwel741 Asante sana
@leahkaneza1731
@leahkaneza1731 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@user-ut3wy7ks4i
@user-ut3wy7ks4i 5 ай бұрын
Kaka Ambwene Mungu akubariki sana, nimefiwa sana, lkn richa ya kufiwa nikipita kwenye magum nakumbuka huu wimbo naanza kuusikiliza unanitia Moyo sana, na kujua Mungu anakusudi NAMI tunaweza pitia magum lkn kumbe Mungu anajivunia sisi na tupitapo kwenye jaribu Mungu anatupa jaribu akiju tunaweza
@dashingstv8177
@dashingstv8177 Жыл бұрын
Nakumbuka kipind nimefilisika😢😢😢😢😢
@sizyamigila7385
@sizyamigila7385 Жыл бұрын
Huu wimbo umekuwa faraja yangu niliposhiriki ibada ya mazishi ya familia ya msuya majeneza yamepangana hapo wazazi wako hapo nimelia sana sana.Lakini nikakumbuka mtetezi wetu yu hai.Katika kupita kwenye magumu wazazi waone mkono wa neema.
@stellamrema5303
@stellamrema5303 11 ай бұрын
😢😢😢isee Mungu utabaki kuwa Mungu
@allyomary2271
@allyomary2271 Жыл бұрын
Mzee msuya na familia yake utazani ambwene mwasongwe aliwaimbia wao hii nyimbo inaumiza sana kupoteza watoto wote Kwa wakati mmoja 😂
@rehemadaudi9387
@rehemadaudi9387 Жыл бұрын
Pole mama musuya
@elinahongoli7243
@elinahongoli7243 Жыл бұрын
Inaumiza mno
@elizabethgilbert8208
@elizabethgilbert8208 9 ай бұрын
We unajua matumiz ya emoj kweli
@user-jm4kd3qw2o
@user-jm4kd3qw2o 2 ай бұрын
Duniani tunapita
@Ryn872
@Ryn872 8 ай бұрын
Kwakweli ambwene you are a gift to the body of Christ. 1st Dec 2023 still here. Mungu akuinue juu na juu na ibada yako ya miaka 20 ikawe ya mafanikio katika jina la Yesu
@Delvick-rh7gv
@Delvick-rh7gv 2 ай бұрын
2024 nipo apa
@subirandimbwa2201
@subirandimbwa2201 3 жыл бұрын
Twende pamoja 2021
@mkizamedson802
@mkizamedson802 3 жыл бұрын
Hai
@eliumbanambowe722
@eliumbanambowe722 Жыл бұрын
2023 mshukuru Mungu kwan yeye atabaki kuwa Mungu
@upendoamani8164
@upendoamani8164 4 жыл бұрын
Huu wimbo umekuwa faraja yangu mchana na usiku.
@georginaopati9587
@georginaopati9587 Жыл бұрын
Wimbo wenye mafunzo makubwa kwangu asante Mungu kwa hali yangu
@PeterMabalwe-bf6zh
@PeterMabalwe-bf6zh 11 ай бұрын
Ambwene nyimbo zako nimezikubali huwa unanigusa sana ubarikiwe sana
@wannaproducts
@wannaproducts Жыл бұрын
2023 still 🔥
@lelomellowtz
@lelomellowtz 8 ай бұрын
November,2023. Mungu bado ni mwema sana.🙏🏽❤️
@leaherasto929
@leaherasto929 8 ай бұрын
Sana Kila wakati Mungu nimwema
@joybituro4042
@joybituro4042 4 жыл бұрын
Mungu anasababu ya kukupa jaribu
@sofiaarianaayeba491
@sofiaarianaayeba491 4 жыл бұрын
MUNGU pekeyake ndiye atakaye kufariji
@joybituro4042
@joybituro4042 4 жыл бұрын
@@sofiaarianaayeba491 kweli hakuna mwanadam atoaye faraja ya kweli zaidi ya Mungu
@user-ev4fj9jr1i
@user-ev4fj9jr1i Жыл бұрын
Mungu awasaide kwenye magumu awabarik ❤ 2023
@FlorenceDDR
@FlorenceDDR 4 жыл бұрын
Wimbo umenibariki katika ya the storm l am going through, thank you Lord for intervening 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾💌🙏🏾🙏🏾
@rosewakio2184
@rosewakio2184 2 жыл бұрын
Powerful Song, this song deserves a 100 million views, wakristo muko wapi jamani mubarikiwe na huu wimbo
@neemakayala4604
@neemakayala4604 11 ай бұрын
2023❤❤❤
@user-tr5ny8kn2v
@user-tr5ny8kn2v 9 ай бұрын
Nikoapa wimbo Umekaa kiloho kabisa❤
@irakozeshakiru1131
@irakozeshakiru1131 10 ай бұрын
Le23_3_2018 💔💔😭😭😭 Mume wangu alifaliki wimbo unanitia nguvu Mungu niMungu tuu
@evajovialemma5633
@evajovialemma5633 7 ай бұрын
Mungu ni mkuu kweli kweli jinalake litukuzwe maana matendo yake ni makuu na hatuachi kabisa
@otavinamsigala7004
@otavinamsigala7004 4 жыл бұрын
Misuli ya imani in ujumbe mzito Sana ambao wakati wote nikipita kwenye jaribu lolote huwa naona hili linanikusha kuamini
@lucyokoth8743
@lucyokoth8743 4 жыл бұрын
Huu wimbo unaniinua sana wakati huu mgumu katika maisha yangu,mtumishi Ambwene Mungu akubariki sana
@mariumjeremiah1247
@mariumjeremiah1247 2 жыл бұрын
Nafarijiwa na wimbo huu wakati ninapohisi mateso ambwene MUNGU akubariki
@user-zs4mo4ts1h
@user-zs4mo4ts1h 5 ай бұрын
tumuombe mungu sana atusaidie katika haya maisha inauma sana iyo tupendane tukiwa hai nawapenda wote wamama wote duniani ilove you mom❤🥀
@assahmwansasu6108
@assahmwansasu6108 Жыл бұрын
Amina wimbo huu unaleta faraja kubwa sana
@daudimbonea2572
@daudimbonea2572 4 жыл бұрын
Usije kufikiri kumuacha Mungu🙏🙏. Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vingine mtu wa Mungu
@Positive_thinkingarea
@Positive_thinkingarea Жыл бұрын
Wimbo wenye mafunzo
@Joylinemakeup
@Joylinemakeup 6 ай бұрын
Eeeh mungu wangu nirehemu mm na familia yangu , tuwe na mwisho mwema,,
@MarcelaMwegama-qr2fg
@MarcelaMwegama-qr2fg 19 күн бұрын
😭😭Mungu baba wapokee watawa mapadre wetu
@user-xx6tn9zi8x
@user-xx6tn9zi8x 9 ай бұрын
Namkubar sana faza ambwene mungu akujalie ufanya Kazi zako mungu akulinde
@getrudasalende8873
@getrudasalende8873 Ай бұрын
Wimbo mzuri san
@annyminja8353
@annyminja8353 2 жыл бұрын
2022 Nazidi kujengwa na hii nyimbo ,Uzao wangu hii nyimbo ikawe ya baraka kwao pia ikawe fimbo ya kumchapia shetani🙏🙏
@gorgonusshayo920
@gorgonusshayo920 4 жыл бұрын
Najkutaga nalia na ndev zangu napousikiliza . 1 love ambwene . umeimba kwa uhalisia wa maisha yetu
@rehemasila1937
@rehemasila1937 3 жыл бұрын
Nice
@peterissa7992
@peterissa7992 3 жыл бұрын
Ameen
@babrightonmusoma1812
@babrightonmusoma1812 2 жыл бұрын
Ameen
@changombesdayouthchoirtabata
@changombesdayouthchoirtabata Жыл бұрын
2023 still message ile ile
@user-vs8mf5mo6p
@user-vs8mf5mo6p 5 ай бұрын
Aksanti ndungu wa tanzania zaidi sana pasta ambwene kututuliza na huu nyimbo ya misuli ya imani huko Congo ya mashariki tunapo vamiwa na magaidi wa kinyarwanda na M23 kuuwa kaka na baba zetu huku ruchuru,beni goma masisi na pengine masharikini.
@rashmamangi8320
@rashmamangi8320 3 ай бұрын
Poleni sana hili linauzunisha san
@AgnessShirima-nb2hr
@AgnessShirima-nb2hr 2 ай бұрын
Pole Kaka jmn😢Mungu anaona yote
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 5 ай бұрын
Mungu utusaidie 🙏2024
@user-qj1hc6cs6l
@user-qj1hc6cs6l 10 ай бұрын
Wimbo huu nimzuri sana unafariji na kuwa tia nguvu walio kosa tumaini gonga like kama na ww ni mmoja wapo
@sanekwilabya4453
@sanekwilabya4453 Жыл бұрын
2023 hii
@lightnessgamasa6039
@lightnessgamasa6039 7 ай бұрын
Ameimba kutoka Rohoni lazima watu waguse , maana mtu warohoni haimbi biashara Yuko kazini mtumishi wamungu Abarikiwe Sana Kwa hii Ibada njema kabisa 🙏🙌🙌
@zoejustin9306
@zoejustin9306 Жыл бұрын
Mungu akaisimamie familia zetu naza Mrema Rombo
@mandelasakara-no3bw
@mandelasakara-no3bw Жыл бұрын
Mimbo huu nifaraja kwangu niusikiapo TU,Mungu tukumbuke nasisi 🙏
@aika3024
@aika3024 2 жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki sana🤍
@alexdereva4007
@alexdereva4007 4 жыл бұрын
Huu wimbo huwa unanigusa sana❤
@leahogutu9818
@leahogutu9818 Ай бұрын
Wimbo huu unanifariji sn Barikiwa mtumishi Ambwene
@salhatunimande720
@salhatunimande720 3 жыл бұрын
Who is here 2021🙏🏻💙 Glory to GOD..
@JescaPaulo
@JescaPaulo 10 ай бұрын
Wimb huu unanikumbusha mbal mung akutie nguvu
@fridahmiruka2562
@fridahmiruka2562 3 жыл бұрын
💞💞siwezi acha kudance na kulia juu ya huu wimbo kaka huu wimbo unanitia moyo sana😥😥
UPENDO WA KWELI BY AMBWENE MWASONGWE
8:26
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 238 М.
Bahati Bukuku - Picha ya Mama (Official Music Video)
8:21
Bahati Bukuku
Рет қаралды 1,7 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 86 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 23 МЛН
MAJARIBU NI MTAJI BY AMBWENE MWASONGWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
8:14
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 921 М.
Mathias Walichupa - Ni Wewe (feat. Godfrey Steven) [Official Music Video]
4:29
Mathias Walichupa
Рет қаралды 4,5 МЛН
Nikurejeshee
12:42
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 230 М.
Christopher Mwahangila  - MUNGU NI MUNGU TU (New Music Video)
8:40
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 1,2 МЛН
BEST OF FANUEL SEDEKIA WORSHIP SONGS VOL 2
1:00:43
DJ DR ELVIS, THE MELODIC MEDIC
Рет қаралды 380 М.
TULIKOTOKA NI MBALI BY AMBWENE MWASONGWE
7:54
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 177 М.
Niseme Nini (Baba Ninakushukuru) LYRICS - Dr. Ipyana
15:42
Dj Marita
Рет қаралды 2,1 МЛН
Kenjebek Nurdolday & Baller - sokpe#сокпе#сөкпе
3:10
Kenjebek Nurdolday
Рет қаралды 145 М.
Duman - мен болмасам кім? (Mood Video)
2:35
Duman Marat
Рет қаралды 167 М.
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
HYBE LABELS
Рет қаралды 28 МЛН
Jaloliddin Ahmadaliyev - Erta indin (Official Music Video)
4:32
NevoMusic
Рет қаралды 1,9 МЛН
BYTANAT - ҚЫЗҒАЛДАҒЫМ
2:24
BYTANAT
Рет қаралды 158 М.
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 1,1 МЛН