Ambwene mwasongwe wewe ni zawadi ya Tanzania kwakweli huna nyimbo za mipasho zote zinanisogeza kwa MUNGU nililia sana niliposikia huu wimbo nikitafakari ukuu wa MUNGU metutoa mbali
@emmanuelnkombe72283 жыл бұрын
Baba, Umefanana na Mwalimu Mwakasege kwa kulinda ethics za Huduma,Ambwene MUNGU anakupenda,hukuifuata dunia wala kubadili radha ya injili,hakika ukisimama dunia haiwezi kukubadili,umeitiisha dunia,Tawala kwa Huduma yako,na hatakuepo kama Ambwene Tanzania.
@ushindipeter84643 жыл бұрын
Mungu wa ibada 👏👏👏👏 ULIKUWEKO KABLA YA MWANZO 💪🙏 Kaka wewe umeitwa, ujajiita kwenye uduma. NENO 👏👏👏
@USHINDIJOSHUA.3 жыл бұрын
Amen
@danielmwainyekule17923 жыл бұрын
Barikiwaa Sana mwana wa Mungu aliye hai.hakika nyimbo zako ziko na upako mkuu, zinanifundisha kila wakati nakila nyakati zote. Ulindwe na kutunzwaa na Mungu wewe na familia yako na uzao wako,vyote unavyovimiriki 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@justindaniel24243 жыл бұрын
Ambwene,wewe Ni ndugu yangu katika Imani ya yesu Kristo....nakwambia hakika Nina shauku ya kukuona Niko dar es salaam uimbaji wako unanitia nguvu niwapo mdhaifu.mimi Ni muimbaji mdogo.na Kama unaona maoni haya,Basi naomba unijibu
@godfreymakoi98492 жыл бұрын
Hongera sana mtu wa Mungu Ambwene kazi yako ni njema sana, nakukubali sana mara nyingi nyimbo zako huwa zinanifikirisha na kunitoa mahali fulan
@barakaprotas20173 жыл бұрын
Kila ninapo sikiliza nyimbo Kuna kitu najifunza na ninazidi kupata ufahamu zaidi asante kaka mungu akubariki sana
@beatricemunisi37482 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka yangu huu wimbo moyo wa ibada umejaa utukufu mkuu nimeurudia times Mungu akutunze kaka yangu
@doreenmartin31053 жыл бұрын
Mungu Mkuu uliye juu ya yote Wewe ni wa ajabu Sana. Your Excellent GOD, exceptional GOD! The master of the Creation Nakuabudu,! Ubarikiwe Ambwene
@eliamamilo89743 жыл бұрын
Wimbo huu na ufike katika kiti cha enzi cha baba wa milele, Mungu wa Isaka, Ibrahim na Yakobo,
@denismwalukunga86863 жыл бұрын
Hakika ni mungu aliyekujua kabla ya misingi ya dunia kuumbwa hakika mungu anakutumia kwa viwango vya juu wengi naamini wamebarikiwa na wimbo huu mzuri Kama mim barikiwa kaka@ambwenemwamlenga🙏🙏🙏
@shadrackmwendapole-jo3bk Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki sanaaa.
@petermashosho19373 жыл бұрын
Mungu akuinue zaidi TRUE WORSHIP SICHOKI KUABUDU KATIKA ROHO NA KWELI
@juliusmsote14423 жыл бұрын
Daah, katika mzigo huu wa magumu sasa naona nuru kupitia uimbaji huu!, natabasamu katikati ya majonzi hakika umenibariki sana.
@mwl.timothysangayoni21373 жыл бұрын
BARIKIWA SANAA MTUMISHI WA BWANA HAKIKA UNAFANYA MAANDALIZI YENYE NGUVU ZA KIROHO BIGUP SERVANT OF GOD
@sifaelkikoti31413 жыл бұрын
Wawooohooo dahaaa nyimbo zako huwa najikuta nalia tu nikisikiliza zinanisaidia kunipeleka mahali pa uwepo wa Mungu
@fatnasaid43013 жыл бұрын
Nahisi kupasuka moyo gafla utakafari juu wa mungu umekuwa deep sana hakika ubarikiwe saana maan naamini wew ni kwa ajili ya mungu kuziponya nafsi nyingi kwa njia ya uiimbaji wako
@miriamkittah53583 жыл бұрын
Amen Amen Amen Bwana Tubariki Utulinde Sote Utupe Roho wako Atukuzwe kwa Yesu Amen Amen Amen Moravian Moravian Super Proud of hearing this part Umenibariki haya ni Maombi tosha
@menovicmushy10323 жыл бұрын
Hongera mtumishi umeamua kubakia ROHONI badala ya kuangalia fedha,watu wa mwilini hawawezi kuzipokea nyimbo za aina hii,usitarajie kupigiwa makofi na wengi
@valeriachipeta7743 жыл бұрын
Kwa coment ambazo watu huandika kwenye nyimbo zako ni ishara kubwa kwamba ww ni mbarikiwa na hujui tu vile unabadilisha na kuwapa nguvu watu wangap. Tunamuona Mungu kupitia ww na tunaona upendo na uaminifu wa Mungu kupitia ww.
@pendosimon26493 жыл бұрын
Kwel kabisa
@jescamungure96103 жыл бұрын
Hakika yye ni Mungu wa Ibada....Anastshiliiii 🙌🏽 Kifungu cha ikiwa Atalala kmenipa kumtakar Mungu kwa upana zaidiii 🙌🏽..Utukufu kwa Bwana, Nimebarikiwe sana!!
@adeccenter91932 жыл бұрын
wewe kama mimi
@ephraemtegamaisho16333 жыл бұрын
naimarika kiiman kupitia nyimbo hii thanks mtumishi
@catherinemzurikwao32653 жыл бұрын
Patakatifu pa patakatifu! Ambwene this is next level brother! Endelea kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu. Mungu akutunze ufike mbali
@dainesstungaraza63093 жыл бұрын
Wimbo mzuri, Mungu adumu kukutumia kwa utukufu wake. Ubarikiwe sanaa.
@vickymgeni47773 жыл бұрын
Amina Amina Amina Amina,, ubarikiwe,, wimbo unanipeleka kwenye utulivu wa nafsi hakika ni MUNGU WA IBADA
@bakaridunguli39233 жыл бұрын
Kaka obadia 😭😭wee kaka weweee Mungu akusaidie sana bro daah yaan nabubujikwa na machozi kaka mkubwa Ambwene Obadia nakupenda sana kaka angu
@shamterehani21613 жыл бұрын
Hakika Umeitwa na MUNGU katika huduma hii, wimbo huu una nguvu za kiroho, unapousikiliza katika utulivu! lazima ujikute katika hali ya kumuabudu MUNGU, ubarikiwe sanaa mtumishi.
@gideonsamson20133 жыл бұрын
Ambene MUNGU akuinue katika uimbaji,ukaimbe nyimbo nyingi nzuri zaidi ya huu.
@swahiliandculture65992 жыл бұрын
Huu wimbo una upako wa viwango vya juu.. umenifanya nione ukuu wa Mungu kwa jicho jingine ... I LOVE YOU LORD.
@naamanswila27703 жыл бұрын
Mwenzenu naskiliza nataman muda usiende nibakie hapa hapa kwenye huu uwepo
@solomonsam27403 жыл бұрын
Yan ambwene yan dah!! Mi nakosa cha kusema; ila MUNGU akupe siku nyingi sana ili uwahudumie mpaka watoto waliokatika viuno vyetu maana ww ni ibada ktk huduma.
@ednamwakalundwa78953 жыл бұрын
Uwiiiio🙌🙌🙌🙌 you are blessing brother 🙏🙏🙏May God protect you against bad issues
@danielnathan27243 жыл бұрын
Mungu anakutumia vyema sana Mtumishi,ubarikiwe katika kila ufanyalo kwa Neno lake🙏🏿
@reginasawe33563 жыл бұрын
Namuomba Mungu akulinde mno...nikisikiliza nyimbo zako namkumbuka mno mpendwa wangu alitangulia mbele za haki alipenda mno nyimbo zako...Mungu akupe miaka mingi uzidi kumtumikia...
@annastephen19693 жыл бұрын
Wimbo mzur sana ,ndio maana shetan ana wivu,,,keep going man of God
@bakaridunguli39233 жыл бұрын
Kaka Obadia Daudi Yale mawe matano alitumia kwa Jina la Bwana ooooh haleluyah kaka mkubwa nabubujikwa na 😭😭😭nakupenda sana brother Ambwene Obadia Nakubariki kwa Jina lake Yesu KRISTO endelea mbele kaka wew ndio mkombozi wa moyo wangu kwa kibali ulichopewa nakupenda kaka I feel anointing
@vimalmwaifunga14573 жыл бұрын
Ambwene Unaandika nyimbo za Faraja zenye kutia moyo...Mungu akutunze kwa Ajili ya Taifa hili 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@pieresantos88053 жыл бұрын
Ubarikiwe Ambwene Asante kwa nyimbo zilizojaa uwepo wa MUNGU
@goodluckleonard15813 жыл бұрын
Mtumishi nyimbo zako ni sifa, ibada na injili...
@monicamollel2623 жыл бұрын
This is powerful prayer for me🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 brother abwene your tremendously blessed
@avitjosepht4983 жыл бұрын
Ukuu wa huyu Mungu wetu, hakika upendo wake unatimilika kwa sadaka ya mwanaye wa pekee katika kuokoa kilichopotea. Ubarikiwe sana mtu wa Mungu kwa huu utenzi wa sifa
@gospotv3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu, Wimbo mzuri hakika.
@leahmakingi90943 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zako ,zinanifariji sana ninapopitia katika magumu.Mungu akuinue viwango vya juu zaidi.
@praiseandworship62933 жыл бұрын
Whoever reading this, Mungu ni Mungu wa ibada, halali wala asizii na ashindwi na chochote, He knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen
@atupeledanphord80983 жыл бұрын
Powerful song be blessed wewe Ni mungu wa vyote, nimebarikiwa Amen
@rosemziray56443 жыл бұрын
Feel being close more to My God than Ever🙏🦅
@janemsamati67003 жыл бұрын
Amen, Mungu wewe usinzii, asante kwa maana haulali, wewe ni injini
@amosemmanuel99473 жыл бұрын
We ni Mungu wewe ni Mungu wa ibada
@g.gwemela51593 жыл бұрын
RESTORATION IN ME!! MUNGU ANAISHI.
@wannaproducts3 жыл бұрын
Haleluyaaaa Another Master piece is here!! Mungu anao watu hakika, Ambwene wa Mungu mwenyewe yaani special order made for God himself to all us!!!
@josephkilamsa17253 жыл бұрын
Hallelujah
@pintymelodytz9133 жыл бұрын
Dah huu wimbo n power full
@williammbuli45832 жыл бұрын
Ameni mtumishi wa MUNGU. Asantee sana kwa ufunuo huu MKUBWA MUNGU azidi kukulinda na kukuinuwa Mafuta ya ROHO MTAKATIFU yasipungue kwako na malango ya uzao wako. Nimeelewa kile MUNGU ANASEMA TUMWAMINI.
@patrickndubashe623 жыл бұрын
Hongera sana kaka kazi nzuri sana yan nabarikiwa sana
@jonathanasaph3 жыл бұрын
Akubarikiye na Abarikiweee..Binafsi unanibariki mnoo YESU aendelee kukutumia zaid uwe baraka kwa weng zaid ya hapo
@jacklinebett7688 Жыл бұрын
Ambwene pours his heart out to God in his music and when it comes out it exalts God you start listening and you get into the worship and there you just want to stay in the presence of God.God be exalted always and may He take His rightful position in our hearts and in this world because He is God
@nicksonsiao20223 жыл бұрын
Your style is Unique and Awesome!!Glory be to God
@obedynasary3316 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu rafiki yangu mpendwa wangu❤❤❤❤❤❤nyimbo zako zimejaa nguvu
@josephjosephat4653 жыл бұрын
Yan ningekuwa kanisan i.e Ibadan wimbo hu ukawekwa ningejikuta nahamka mwenyewe kutoa Sadaka kwa kujitambua
@gilbartchiundo3 ай бұрын
Huu wimbo una nibarki sana MUNGU akuongezee baraka zake zaidi
@nellychitera90653 жыл бұрын
Haleluyaaa haleluyaaa 🙏 Mungu wa ibada. Haleluyaaa haleluyaaa. Acha nikusifu maishani mwangu
@frankmsigala19643 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana,ewe mwenyezi mungu tukumbushe kutumika kwa njia iliosahihi kama mtumishi wako ambwene amini.
@fanuelzakayo44633 жыл бұрын
Niliungoja kwa hamu Sana huu wimbo umekua Ni advantage ya kukaa karibu na Mungu hakika wewe Mungu Ni Mungu wa ibada 🙏🙏🙏🙏
@sadockkabuko87353 жыл бұрын
Hakika Mungu wa ibada. Asante Sana mtumishi wa Mungu hakika uzidi kutumika na Mungu nyimbo zako zinaishi daima
@miriamuelimboto53603 жыл бұрын
Hakika wewe ni Mungu chanzo cha vyote Be blessed my brother Huduma yako ni njema
@kimlolakimlolanelly63303 жыл бұрын
CONGRATULATIONS NYINGI KWAKO MTUMISHI WA MUNGU NAOMBA NISEME HONGERA SANA wimbo mzuri sanaaaaaa
@jacklinekayombo4682 жыл бұрын
Ambwene mwasongwe unaufariji moyo wangu Mungu akupe kibali cha kututoa sehemu moja kwenda sehemu fulan kwa utukufu wa Mungu
@kasabalalaissa9123 жыл бұрын
🙏🙏🙏 Anointed One @Moyo Wa Ibada
@happinesskalinga27863 жыл бұрын
Kasabalala
@kasabalalaissa9123 жыл бұрын
@@happinesskalinga2786 naam
@emanuelmhagama413 жыл бұрын
Amina mtumishi ubarikiweee Ambwene... Wimbo wenyewee ni Ibada tosha kabisaa🙏
@edwardpeter85693 жыл бұрын
Nice tone, nice lyrics nice sound everything is nice God bless you mtumishi
@dorothluvanga22223 жыл бұрын
Hakika is a nice song.
@mwanaishanyemba42533 жыл бұрын
Nyimbo zako huwa zinatia nguvu pale ninapokata tamaa mungua akuinue zaidia mtumishi
@ashimaganze97452 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu aliye haï 🔥Mungu wa mbinguni azidi kuku funuliya tenzi nzuri milele Tu est un adorateur que Dieu te bénisse
@freedomone82233 жыл бұрын
Aksante Yesu! Kwa wimbo wengi nguvu, umenikumbusha Ukuu wa Baba. ♥ UBARIKIWE MTUMISHI.
@ellichrissjohn53043 жыл бұрын
Siku zote kwangu mimi huduma yako huwa si nyimbo tu bali kwangu huwa ni MAOMBI TOSHA yanayoniinua tena. Yesu kristo akubariki kwa utumishi huu mwema.
@upendomateru57013 жыл бұрын
Amina mtumishi nyimbo zako Zina upako
@upendomateru57013 жыл бұрын
Barikiwe sana
@georgejoshua35243 жыл бұрын
Mungu akaumba Makerubi wamsifu yeye, hakika Mungu ni mkuu sana. This song is so powerful,
@happyiskaka Жыл бұрын
HAKIKA MUNGU ameweka Utulivu mkubwa MNO ndani YAKO. Hekima hizi ndizo zinatoka NDANİ Yako hakika wengi tunajivunia hekima hizi. Barikiwa mno
@kachilar3 жыл бұрын
🙏 MUNGU wangu ni wa ibada.
@priscasmith65493 жыл бұрын
hongera mtumishi nyimbo zako zina jumbe...zinafundisha, zinafariji
@johnstonjtenkule71513 жыл бұрын
Hiki kizazi kina kiu na watu kama wewe jitulize hivo hivo katika bubujiko la Maombi ili Mungu azidi kumimina nyimbo za mbinguni kwako Kaka
@leahmakingi90943 жыл бұрын
Mtu wa rohoni neno la Mungu limejaa ndani yako ndo maana nyimbo zako zina uwepo wa Mungu.
@blessingmwakalindile5853 жыл бұрын
Wimbo mzuri,wa ibada 🙏
@wilfredshoghosho00173 жыл бұрын
Powerful song congratulations bro Ambwene my God bless you and give you great great revelations to minister to his people
@erickmwani10853 жыл бұрын
Amen balikiwe kwa Kazi nzuri.
@dinamalicegs56753 жыл бұрын
No tired to listen the song. You are blessed man of God. God bless you Ambwene
@jeannettekeza64343 жыл бұрын
Ambwene nyimbo zako nazielewaga wakati nikiwa na njaa! Hii moja sijui kama nitaweza kuikariri kama njinsi nilivyo zoweya zingine 😀😀 mungu akubariki kaka yetu
@lucybasil81753 жыл бұрын
😭😭 ooh hallelujah ey
@mkramazani27592 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana with this song it has rich one month bado I’m still in love with this song ubarikiwe Mtumishi.😮💨🙏
@musamoris82563 жыл бұрын
Brother Mungu alubariki sana ngoja niandike kama mtoto jinsi ninavyofurahiaga utumishi wako katika uimbaji wako mimbo shako najua Mungu mukubwa ila huwa shinafanya nizidi kumuona Mukubwa alivyo nauwezo dahaa ukweli nyimbo zikibabe unaandika naamini Hata Mungu ajisikiaga Raha vile unavyomwimbiaga
@lulubetwel125 Жыл бұрын
Barikiwa Sana Ambwene Mimi simu yangu imejaa nyimbo zako
@gynae84073 жыл бұрын
Unajuaga kumtukuza Mungu hakika. Anaitwa Mungu anaependa sifa na kutukuzwa. Naamini Mungu akikutazama anamuona Ayubu na anajisifu kwa shetani
@rajabujuwalako79863 жыл бұрын
Nikiwa Kenya nafurahiya sana wimbo munguakuzidishiye
@irenechogoofficial59013 жыл бұрын
Powerful song mtumishi
@yourgirlbernadeta29333 жыл бұрын
Yes
@eliasvitalis49333 жыл бұрын
Katka Dunia hi Kaka ambwene mko wachache wanaojua kuimba nyimbo Za sifa Nakuombea Sana kaka
@innocenciabinamungu85763 жыл бұрын
Huhitaji jeshi kushinda Vita huhitaji vingi kulisha watu 😭😭😭🙏🏼🙏🏼 UNAJITOSHELEZA
@venancelindo33223 жыл бұрын
Ubarikiwe na mungu kwa kazi njema ya injili hakika tunajengwa na huduma yako!
@AsheriEliab-vr9wj Жыл бұрын
MUNGU wa ibada... Ninani anayestahili kuabudiwa???? MUNGU uuuuuuu!!! MUNGU akubariki Ambwene
@kabonakabona81213 жыл бұрын
Nabarikiwa Sanaa na nyimbo zako 🙏
@shimwelagodbless55613 жыл бұрын
Daah 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@victoriambise190 Жыл бұрын
Mungu wewe ni Kila kitu...uliweka Sheria juu ya Bahar n vitu vyote..huitaji vingi Kufanya makubwa...chupa mdogo ya mafuta ilijaza mapipa mafuta..jiwe moja dogo mkonon mwa Daudi lilimuua Goliath..Malaika mmoja alitosha kuua wazaliwa wa kwanza wote kule Misri isipokuwa wa Wana wa Israel..Bwana utukufu ni wako
@hapinessobeth41313 жыл бұрын
Hakika Mungu yupo huu wimbo umenifikirisha saaana Leo ubarikiwe saaana kaka Ambwene
@g.gwemela51592 жыл бұрын
Time after time, NAREJEA KUSIKILIZA HUU WIMBO . MUNGU AZIDI KUKUPA MANENO YA KUTUHUBIRIA KWA NJIA YA UIMBAJI .
@isabellamponela47753 жыл бұрын
Jamani,mbona nimetoa machozi kiasi hiki, Mungu akutunze kakayangu, mwee!
@kibonaamenye68783 жыл бұрын
kama Mungu alivyo weka kusudi lake kwa mwanadam ndivyo tutakavyo ishi. Barikiwa mtumishi wa Mungu n
@jeremiesinamenye6142 жыл бұрын
Hongera brother..keep it up.from Drcongo congratulations. Unagusa mioyo ya wengi kupitia wimbo zako..moyo wa ibada ni fire.
@givenjrmadalaka60443 жыл бұрын
Mungu Ni wa ajabu Mungu wa Ibada hatoacha Kutuhudumia Watoto wake....