This is Powerful Glory and Honor to Jesus MUNGU akubariki sana Kikolo kaka Ambwene wewe ni Baraka sana Kwenye ufalme Huu.
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏🙏
@stephenmakau44102 жыл бұрын
Amen and Amen mtumishi
@eddymugishomaroyi32682 жыл бұрын
MUtumishi BOAZ, nasikiaka kubarikiwa na uduma yako, Ubarikiwe kaka.
@angelamwakisulu15392 жыл бұрын
Wimbo umekuja mda muafaka kabisa tukimlilia kijana aliyechinchwa usiku wa kuamkia juma mosi mpunguti masoko, ee Mungu kayasikie maneno ya mwisho aliyosema akiwa anafanyiwa ubaya na damu yake ikalie juu ya kila aliyeshiriki kwa namna yoyote, na pia Mungu tusamehe Kama Kuna sehemu yoyote tulishuhudia haya mambo tukashangilia moyoni. Barikiwa sana kaka ambwene😭😭
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏🙏
@pastorstevenmwasilembo31352 жыл бұрын
Ni huzuni kubwa
@josephmalale76562 жыл бұрын
Umetukumbusha thamani ya mtu kaka katika hii dunia sjui niseme nini juu ya tungo zako ila ninachoamini sio wewe bali ni MUNGU anayeishi ndani yako akuinue utukufu na hata utukufu na akupe maisha marefu ili uzidi kutukumbusha makusudi ya MUNGU ndani yetu. Amen🙏🙏🙏.
@Electri-ambiАй бұрын
Hii kitu imenifanya nikafikiria sna kichwani mwangu ukibeba uhalisia wa maumivu anayoyapata anayetendewa hayo hayaelezeki .Mungu aliweka thamani ya binadamu kuwa ndio thamani Zaid kuliko zote duniani akiwa na uhai wake 😢😢😢😢😢😢 .Mungu yakumbuke maneno wanayolia wakiumia na maumivu wanayoyapata
@evamwimike73552 жыл бұрын
Huu wimbo umeniliza sana😭😭 umenifanya kukumbuka jinsi baba angu alivyo kua akipumulia mashine na tuliambiwa na madakitari hawezi kupona tena alikua akitoa machozi akitamani kuongea but hakuweza hadi kufa.eeh Mungu najua alikua anaomba Toba moyoni mwake naomba umkumbuke kwenye ufalme wako.
@komandowayesu36422 жыл бұрын
Hatari sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥. wimbo mzuri sana 🙏🙏🙏
@janetjosephat80932 жыл бұрын
Wimbo unagusa sana kaka ujumbe mzito sana,hakuna mzazi anayechagua kuzaa mwiz au jambaz bali shetani hugeuza hatma za watu, wazazi huumia sana Mungu awapiganie sana vijana shetani asiwapotoshe😭😭
@fanuelzakayo44632 жыл бұрын
Niseme Nini juu ya utukufu huu mkuu Sana Mungu alioweka hazina ndani yako Kaka ambwene mwasongwe Mungu akupe afya njema ya kiroho uzidi kukua zaid 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@eddymugishomaroyi32682 жыл бұрын
kabisa... mambo haya yaku choma watu iko kwa wingi apa kwetu rDCongo... Mungu akutane wale wana choma wengine. Shukrani kwa Mutumishi Ambwene... Mungu akuzidishiye mafunuo na maono kwajuli yakani.
@neemashirima16172 жыл бұрын
Barikiwa Kaka angu abwene mungu atujalie mioyo ya huruma sisi sote tumeumbwa na mungu Ni maajabu mungu kutuumba lakin inapotokea kisa Kama hiki tunaahitaji rehema za mungu😭😭😭 nimeguswaaa moyoni
@revsulemanigerardjonas40982 жыл бұрын
Daaaa northing to say machozi tu yanitoka my God bless you kwa nyimbo inayogusa
@happinessrichard46432 жыл бұрын
Mungu akubarik san mtumish wa Abbah , ni upendo wa ajab san kumbeba mtu na kumsogeza mbele za Mungu
@ephrahimmasiko98735 ай бұрын
"Licha ya madhaifu, bado unasisitiza Thamani ya Mtu" Barikiwa sana baba.
@alexyohana47082 жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU. MUNGU akuweke sana nyimbo zako Zina story nzuri sana na za kusisimua pia Zina ujumbe mzuri
@jemimajohnce93492 жыл бұрын
Hakika uwimbo unamgusa
@brand_studious2 жыл бұрын
Kuna namna ROHO wa Mungu anasema nasi kupitia jumbe za nyimbo zako,UBARIKIWE sana mtumishi.....hakika Mungu atusamehe Sana 😭
@apostle672 жыл бұрын
Umenikumbusha zamani sana nilikuwa mwizi sasa ni pastor nina maelezo ya kutosha sana kuhusu how nilianza wizi na uovu
@ambweneobadiamwasongwe2 жыл бұрын
Natamani sana kupata ushuhuda wako Pastor
@demasmadalajoseph8512 жыл бұрын
Mpe ushuduhuda wako pastor
@apostle672 жыл бұрын
@@demasmadalajoseph851 Kibali cha BWANA YESU NGOJA TUSUBIRI
@GodfreyMulenga-zh7fn4 ай бұрын
May God bless
@kitasyadaniel84042 жыл бұрын
Nakupenda zaidi wewe hata kuliko nyimbo zako ,,maana naamini kitu kisafi hakitoki mahali pachafu umetunza sana kiwango chako Cha imani na maombi pia umetunza sana utaua na haujawahi kujisifu kwa ajili ya kazi zako mungu akutie nguvu
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@danieofen40862 жыл бұрын
Nakubali kaka angu
@sharinikikula46162 жыл бұрын
Barikiwa saana mtumishi wa mungu nyimbo zako zimenitoa sehem moja kwenda sehem nyingine
@emmanuelkiiza79452 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa kibali Cha kuishi, maisha marefu mm na familia yangu tuzidi pata ucharge wa kimungu ndani yetu kupitia ww🙏
@fredmafuru75042 жыл бұрын
Ambwene, Ambwene, Ambwene nakuita mara tatu uitikapo Mungu akukumbuke wakati wa uhitaji wako. Umenifikirisha mbali sana bro
@komandowayesu36422 жыл бұрын
🥲🥲🥲🥲🥲🥲 sijui uliwaza nini kuandika huu wimbo. Unatia uzuni na unabariki sana 😭😭😭
@willyke72542 жыл бұрын
Kwa kweli wimbo huu umenigusa moyoni nimemkumbuka kakangu aliuwawa nwaka jana na mabondia wakampora pikipiki kwa kweli ilikua uchungu kumkuta kakangu amelazwa kwa shamba la miwa 😭😭😭😭
@josephnjuguna86622 жыл бұрын
UChungu sana kweli
@wallesdavidprimarymasinga33822 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana ubarikiwe kwa kazi nzuri, Video take ipo tayari au bado kidogo
@danielpaulbwagegeganguye86412 жыл бұрын
The song made me crying!!,tumbo la mama liliumaje kuletewa taarifa za maiti ya mwanae😭😭,Mungu nae aliumiajee,nikamchukia shetani kwa kuwaangamiza watu😭😭
@zillikihoko23892 жыл бұрын
Mungu atupiganie, kama ambavyo hatukufanya lolote ili tuzaliwe- hatuna la kufanya kupata wokovu- ni Yesu pekee wa kutuhurumia, Yesu pekee! Ubarikiwe !!
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@oredimrajabu2 жыл бұрын
BARAKA tele kwako Ambwene.. haya maneno ni mazito sanaaa.
@plasinapius54212 жыл бұрын
Ambwene umenitoa machoz sana leo B blesd kwa wmbo🙏🙏🙏
@safinieligoodluck22702 жыл бұрын
Ameeen Mungu akuinue viwango vya juu mtumishi wa Mungu.. Wimbo mzuri Barikiwa mtumishi.
@graceizengo58942 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 Eeeeeh Mungu tusaidie,Asante Ambwene kupaza sauti majority hawawazi upande wa pili unavyokuwaga😭🙏
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@usatoenglandvegas40462 жыл бұрын
Abwene mwasonge kaka yangu waga unanibariki sana Mtumishi wa Mungu
@cosfix87182 жыл бұрын
Each of your songs has a great message to reflect on the presence of God in Us. God Bless you so much Brother
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏
@lovenessmushi55132 жыл бұрын
Nayakumbuka mengi kupitia ujumbe huu, Mungu akubariki zaidi mtumishi 😭😭😭😭🙏🙏🙏
@jeanclaudeniyiragira54662 жыл бұрын
Amen Amen Mungu azidi kukongoza kakaangu wimbo mzuli ujumbe mzuli
@mrmhenipm2 жыл бұрын
Aisee barikiwa sana kwa wimbo huu !
@haikabosco90492 жыл бұрын
uzidi kuinuliwa kwa viwango vingine, Mtumishi wa Mungu nyimbo zako zimekuwa baraka Sana kwangu🙏🙏
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@tumainkaduma60572 жыл бұрын
Unanyimbo za hisia Kali sana na ujumbe mzito Mungu akubaliki
@erastoeberhard83002 жыл бұрын
#ambwene# # mwasongwe# Unapendwa sana na Mungu tunza zaid ulichopewa kwa faida ya wengi. Mungu akutunze na kukuongeza kwa utukufu wake.
@sophiajonas34592 жыл бұрын
Ambwene kk unaniliza mwenzio.Huwa nadhindwa kustahimili hayo matukio.Nakumbuka nilivyokua msingi niliona watu wanapigana mwingine ametapakaa damu ile taswira ilinitesa sana.
@nafewamakiya40022 жыл бұрын
Mchungaji namshukuru mungu kwa ajili yako kwa sababu nilipenda nyimbo za injili kuputia nyimbo zako, nnazipenda sana na nnakupenda sana wewe
@simonmashauri2012 жыл бұрын
Wewe ni chombo cha Mungu! Ni wachache wanaoweza kuguswa kwa dhati na misiba, shida na matatizo ya wengine! Bwana akupeleke viwango vya juu zaidi mtu wa Mungu 🙏
@goodluckleonard15812 жыл бұрын
Ulitukumbusha thamani ya mtu katika wimbo wa Yatima, umefanya Tena hivi Leo ama kwa hakika thamani ya mtu ni kubwa sana
@jimmyrobson80142 жыл бұрын
Hakika Mungu kuna watu anawatumia kufundisha,kuonya na kuwa kumbusha watu wake #ambwenemwasongwe Mungu akubaliki sana kaka
@anganilekalinga95742 жыл бұрын
AMEN AMEN BWANA UKAWAKUMBUKE KWA WEMA WA WAKO MWENYEWE EWE MUNGU WA WOKOVU WETU BWANA WA HURUMA NA NEEMA TELE
@barakashayo91692 жыл бұрын
Mungu akubaliki mtumishi
@ndeshukurwakaaya43852 жыл бұрын
Mungu tupe neema ya kujua dhamani ya mtu. Dhamani ya mtu ndiyo mungu mwenyewe ndani ya mwanadamu. Dhamani ya kudhamini utu ulio jengwa ndani ya mtu hupata kibali na nguvu katika KUWAZA, KUNENA NA KUTENDA. Mungu tujalie NEEMA hiyo bila utu mwema hatuwezi kudhamini UTU. 🙏
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@martinnsuhuje78212 жыл бұрын
Ujumbe unagusa sana. Hongera sanaa MUNGU aendelee kukupa maono zaidi
@elvisjay86962 жыл бұрын
Deep messages like always 😍....For the glory of our Lord
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏🙏
@mbonihankuyeelie323 Жыл бұрын
Mi ni murundi ambweni mung akuongoz San natamani nije nikafuate nyayo zako mkubwa wetu nyimb Zak zanijaza San natamani kuongea na wee ijapokua unaumaalufu
@shedrackmasolo65752 жыл бұрын
Wewe ni Baraka sana Brother, wonderful song
@rebeccachanya27332 жыл бұрын
Mfumo huu wa uelewa na mawazo unaweza toka tu kwa Mtu anaye tembea na Mungu Kando na hofu yake kuwa ndani yake.May God bless your ministry more Mtumishi.🙏
@nurulumwesa61832 жыл бұрын
uuh wimbo sijausikiriza mpaka mwisho lakini nabarikiwa sanaa barikiwa sana kaka ambwene🙌🙏
@thestandards67612 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu, nimekuwa nikibarikiwa na kujifunza kutoka katika kile unachokifanya. Umebarikiwa mtumishi
@givenmsule68912 жыл бұрын
Sawa baba nakupenda sana 🔥🔥💕💕💕💕💕
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@luhekelondelwa97142 жыл бұрын
Amin wimbo mzur barikiwa sana
@sophiajonas34592 жыл бұрын
Mwimbaji wa kwanza mnyenyekevu Tz.
@florahkimbage95712 жыл бұрын
Kaka Ambwene umeniliza😢😢Nimewakumbuka watu wangu Baba yangu alivyokuwa anahangaikia pumzi yake ya mwisho pale kitandani mpaka akakata roho hatukuwa na msaada hata madaktari walikuambia tutoke tu hakuna namna😭😭 Na mdogo wangu nae siku anapoteza maisha yake sijui aliongea nini Cha mwisho😢 tulifukuzwa hosp eti alale pekeyake matokeo yake asubuhi tukaenda tunakuta kitanda kitupu,, sijui alihangaikaje!! 😭😭😭😭😢😢😢😢😢
@edamtenga16432 жыл бұрын
pole
@florahkimbage95712 жыл бұрын
@@edamtenga1643 Asante ndugu
@lizyozil7432 жыл бұрын
Pole sana😭
@foibeshemayabibuka97692 жыл бұрын
Ambwene, you are so blessed and talented. Thank you for such touching song , Mungu aendelee kukutumia
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏🙏
@mathayomkumbuchile15692 жыл бұрын
I am trying to think and think about Ambwene Mwasongwe I remain speechless. Thanks God for your son keep him glorifying you until you come
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@mwanalau24572 жыл бұрын
Ubarikiwe sana ambwene nimekuwa ni muhumin miubwa sana wa nyimbo zako
@clausthomas30282 жыл бұрын
Very touching song, Mungu awaone wanaonewa na shetani
@Jiwakilishe20232 жыл бұрын
Mungu tusaidie tuwe na moyo wa rehema. Mungu akubariki ndugu Mwasongwe
@adorateurpaulbukuru68642 жыл бұрын
Amen...am so blessed my Brother in Christ AMBWENE MWASONGWE🖊️. u always blessings in Building the Body of Christ 🤶✊✌️
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏🙏
@daudimhoha8942 жыл бұрын
Ubarikiwe.sana.kwawimbo.huu.kazi.nzuri
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@dollerbrown65912 жыл бұрын
Nimejisikia kulia Sana huu wimbo ni uhalisia wa Jambo tulilopitia katika familia yetu lakini katika yote Mungu mwema 😭🙏
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@amenaameeena33172 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi ujawai kukosea wimbo mzuri sana
@officialsethmwaigomole.11552 жыл бұрын
Barikiwa kaka
@saighilunyangusi49862 жыл бұрын
Amina tunabarikiwa sana kaka.
@highzacknnko96852 жыл бұрын
"Tarehe 30-11-2021 nilikamatwa nikapelekwa central arusha baadae nikapelekwa central Dodoma kuna watu walikuwa wanapiga simu kabisa utadhani wema kumbe walikuwa wanataka kujua kwamba kesi itanishinda kabisa,namshuku Mungu nilitoka na aliniinulia watu
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@josephsadock19112 жыл бұрын
Hongera Mtumishi kwa huduma nzuri.
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@mwlhalimoja.ekingunza18192 жыл бұрын
Bwana akubariki bro and servant of our Living God. Aitunze karama yako inatufaa sana
@gabrielnyange19512 жыл бұрын
Na mungu akubariki Sana kaka Ambwene burikiwa ndugu
@aspiredtoinspire38192 жыл бұрын
tuned in from gulf
@victorialyimomakani27192 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi🙏🏽 Very touching song....
@josephmutungamusau1412 жыл бұрын
Wimbo mzuri kaka,mungu akubariki sana kwa hii huduma,you are just a blessing to many,lots of love from kenya
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏
@shukurumsemwa59922 жыл бұрын
Mungu ainue huduma yako juu zaidi Mtumishi wa Mungu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻
@ebenedwin23372 жыл бұрын
Man of God, you got very strong and sweet messages always. Be blessed abundantly brethren
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏
@imanis49922 жыл бұрын
A turning point song... Ahsante kwa kuitika wito wa huduma hii kaka
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏🙏
@gadnersolomon29712 жыл бұрын
Wimbo umenibariki, unatufundisha kusamehe na kutambua thamani ya uumbaji wa Mungu
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@yohanawillberforce6412 жыл бұрын
Amina mtumishi hakika Bwana apewe sifa wimbo mzuri
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@barakawilliam60342 жыл бұрын
Ujumbe mzito sana thanks
@kapuulyamusomba52232 жыл бұрын
Sifa na Zivume kwa Bwana
@kapuulyamusomba52232 жыл бұрын
Mungu tupe kujali ili ku husika kufikia kwa upendo ya Bwana naliyetufia calvary kwa damu ya thamani
@kelvinsimkoko80702 жыл бұрын
Nimesikiliza wimbo huu, Kwa hakika Mungu amekujalia kipaji, maono ya Nini uimbe, ustadi wa tungo zako na stlye ya kipekee ya nyimbo zako. Wimbo huu unagusa maisha yetu yakila siku.
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏
@mariahwayesu73122 жыл бұрын
OOOH YESU, WHAT A MASSAGE BABA🙌🙌🙌🙌
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@sekelasiwezpekeyanguyesumw79742 жыл бұрын
Wimbo umeniliza huu dunia imeisha watu kuuana ovyo Kama wao ni wema Sana lkn Mungu aturehemu tu maana tu wakosa akumbuke hata machache mazuri asituzile kabisa maana tumemkasirisha,
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@olivamtuya5052 жыл бұрын
Hyu baba anaimba vitu ambavyo vipo kweli..vitu halisi. Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@maris68762 жыл бұрын
Hongera sana kaka Abwene so emotional 😪
@rodagolden92022 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali sana nilipompoteza mwanangu kwa ajali
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@elicanageorge13192 жыл бұрын
MUNGU AZIDI KUKUTUNZA MNO AKUBARIKI SANA
@danielmwakasendile34832 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka angu
@danieljaphet94422 жыл бұрын
Ambwene kaka blessings
@rchrismbarikiwa2 жыл бұрын
So touching be blessed
@birhanenwafuraha35772 жыл бұрын
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you🙏🙏🙏🙏🙏
@annakinyami29982 жыл бұрын
Kiukwel ambwene umeniliza sana huu wimbo nimeusikiliza nikiwa kitandani nimelala nimemkumbuka tukio la vijana kule kwetu walichomwa Moto kwa wizi nilifurahi nakisema wamekoma kumbe sikuwa sawa nimemuomba mungu anisamehe sitafurahia hata siku moja uovu wa mtu
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@medardjn49862 жыл бұрын
Hata mdhambi anathamani Kwa ndugu zake ,Mungu hafurahishwi na kifu Cha muovu Bali ataka akaifikirie toba
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@josephnjuguna86622 жыл бұрын
Wimbo wa huzuni kweli nimekumbuka mbali sana 😢😭😭 Mungu atupe nguvu
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@atwendilengumbi5382 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Kaka Ambwene kwa ujumbe huu mzito👏👏
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@aspiredtoinspire38192 жыл бұрын
Kumbuka watu wako Bwana😭😭😭wanapolia
@evarseth58472 жыл бұрын
Powerful song, ubarikiwe kaka Ambwene Mwasongwe
@Lusekelo982 жыл бұрын
Amen mwana wa MUNGU
@erastoeberhard83002 жыл бұрын
mwimbo unamaumivu sana katika moyo Mungu atupe nguvu ya kumpenda Mungu
@magrethmalele81622 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@danieljs42852 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu ambwene Bwana akubariki sana kwa kazi nzuri
@barakamwangisi11722 жыл бұрын
Ubarikiwe sana wimbo uko vizur
@ndigwakodavid98422 жыл бұрын
Ujumbe wa uhamsho wa waombaji .Mungu aendelee kukupa nguvu na maarifa ktk huduma yako na Yeye akatukuzwe
@mparanyibagalwa73762 жыл бұрын
Amina na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻kzbin.info/www/bejne/b6atinSqfaqLiJo God bless you 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻