Ambwene Obadia Mwasongwe, nimekuita majina yako yote matatu - Mungu akubariki sana kwa kutubariki na tungo zinazotusogeza Karibu na naye kiasi hiki. Stay blessed 🙏🏽
@mariaregnald28233 жыл бұрын
Yale nisiyoweza kuseme adhani nisiseme gizani. Mungu akubariki kaka abwene
@rehematukai60842 жыл бұрын
Kila nikisikiliza natamani kuliaaaa 😭😭😭😭😭😭 ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@joycellah3 жыл бұрын
Huu sio wimbo ni maombi kamili. I think kwa muda haya yatakua maombi yangu! Yanajitosheleza kabisa!! There’s a work I long for God to do in me
@zawadierasto58263 жыл бұрын
Hakika
@jonasijunga15683 жыл бұрын
Dah! Huu wimbo umenigusa sana aise, MUNGU azidi kukuongoza mtumishi Ambwene 🙏
@marykyusa82123 жыл бұрын
Kule nskoweza kwenda mchana nizuie nisiende usku🙏🙏.Mungu akulinde bro nmekuelewa.
@labanimwanuke23103 жыл бұрын
Mtumish wa Mungu nakuheshimu sana, hakika umesimama Kwenye kusud ambalo Mungu amekuitia. Dah am learning a lot from you. Utukufu Kwa Mungu aliyekuamin akakuchagua. Nakuombea utukufu wa mwisho uwe mkuu kuliko wa Kwanza. Na hatima yako ikawe njema na ya baraka Kwa Mungu na Kwa wanadamu.
@marthadaudi89312 жыл бұрын
Barikiwaaaaa sanaaaa Kaka ambwene
@jordanjulius78562 жыл бұрын
amina mtumishi
@amohmark973 жыл бұрын
Mwimbaji usiyefuata mitindo ya dunia, hakika Mungu yuko naa wewe katika huduma yako
@yustinalegembo9012 жыл бұрын
Ahsante kwa ujumbe mzuri mno, Nifundishe Imani ya matendo Yesu
@linakillianm80643 жыл бұрын
Unifundishe kuomba, nifundishe kupenda, nifundishe kiasi! Imani ya matendo na moyo wa toba ❤ huu mwimbo ni Ibada. Mbarikiwe sana Jack Walter na mume wako mpendwa, Bwana azidi kuwatumia. Amina.
@theresiamaila94003 жыл бұрын
Be bessed man of God,namshukuru Mungu kwa ajili yako.toka albamu ya kwanza hadi sasa kila nyimbo unayotoa inanikuta kwenye mapito na kupitia nyimbo hiyo navuka jaribu salama.aisee maneno yangu hayatoshi ila Mungu anajua kwa nini kakupa karama ya kuganga myoyo ya watu kupitia nyimbo zako.utukufu hata utukufu.amina.
@micahnathaniel69423 жыл бұрын
Hatimaye 3 years of waiting is over .... A blessed one
@praiseandworship62933 жыл бұрын
Whoever reading this, God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen
@pendonnko32173 жыл бұрын
Amen
@rehemakilibwa7143 жыл бұрын
Amen
@agathathomas28613 жыл бұрын
Amen
@bahatiaamani93203 жыл бұрын
Amen 🙏
@fridatony56103 жыл бұрын
Ameen
@priscajonas19783 жыл бұрын
Nimebarikiwa mno na huu mungu hili ombi langu nigundishe kuomba nipe moyo watoba
@rachelmaula68713 жыл бұрын
Ambwene ukiimbaa namuona mungu uyuu apaa unaimbaji wa tofauti sana nyimbo zakoo nila pekee sana
@rebecasamwel61853 жыл бұрын
Kakaetu wa hekima.be blessed nisaidie nisiende kule nisikoweza kwenda mchana nisiende usiku neno lako linikataze...amen amen Mungu wetu akutunze
@hellenrichard1873 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka Mungu nifundishe kuomba pia nifundishe kunena nifundishe kiasi nifundishe imani zaidi Mungu nipe moyo wa toba siku zote maishani mwangu
@eclivechizoza18863 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu nyimbo yako inagusa sana moyo wangu nimehangaika kwa mda mwingi hata jamii kuna kipindi nilihisi inanicheka namshuku mungu alinipa moyo wa ujasiri na kushinda walionidharau leo hii wanaheshimu heshima na utukufu kwako mungu😭😭😭😭😭🙏ni neema sikustahili kabisa
@kisayobeatrice20163 жыл бұрын
Huu wimbo ni maombi, Huu wimbo ni unyenyekevu mbele za MUNGU, huu wimbo ni ibada kamili 🥺💖 ...... nisaidie kula chakula nje ya njaa yangu, nisaidie nisiseme gizani yale ambayo nimeshindwa kusema hadharani ❤️❤️❤️❤️😭😭
@jacksonsilvery59633 жыл бұрын
uzuri wa kuimba ukiwa mtu wa neno..msomsji
@hellenmattaba99613 жыл бұрын
Sijwahi acha kusikiliza nyimbo zako zinanibariki sana mungu akutunze sana ambwene wetu
@davidkisalimwala94583 жыл бұрын
Ambwene Nyimbo zako zimekuwa za baraka sana kwangu yaani my main playlist ni nyimbo zako. 1. Majaribu 2. Upendo wa Kweli 3. Ombi langu and Now 4. Nifundishe Kuomba ~ i have been listening to this those song i cant just get enough of it , umenibariki sana my brother. God bless you brother.
@joshuajoshua76513 жыл бұрын
Kaka unajua kabisa tunazielewa kazi zako! Ubarikiwe sana. Like zetu za kutosha kwa Ambwene pls
@shimwelagodbless55613 жыл бұрын
Sijui ni namna gani unaandika nyimbo zako, ila yote katika yote Mungu apewe sifa sana kwaajili yako! Mungu akubariki sana sana sana!
@winifridakibona59363 жыл бұрын
Bwana Yesu azidi kukupaka mafuta mabichi brother. You are blessed. Tulipaswa kuja Mara kwa Mara kuuchungulia huu wimbo Kama upo. Finally here we are. 🙏🙏🙏🙏
@ayramyy3 жыл бұрын
kaka nilikungoja muda mrefu mpaka nikachoka.mungu akubariki nimepona tena.mimea bila maji inakauka kaka.mungu akubariki mnoo.
@vytahchummie49093 жыл бұрын
This song is a blessing....ni maombi yetu wengi sana tunataman Roho wa Mungu atufundishe mengi sanaa ..... ubarikiwe sana kwa kuimba our prayer points...Mungu aendelee kukutumia na kukupeleka viwango vya juu zaidi
@navongelysrlynsozsye84943 жыл бұрын
Endelea kupita kwangu ee Bwana sistahili#nistahilishe Bwana Yesu. #nifundishe Imani na matendo #nipe moyo wa toba.
@atuwmasumo71933 жыл бұрын
Wimbo huu umenipandisha kiwango cha lmani, barikiwa sn brother ww ni fundi ,
@asteriarngweshemi37833 жыл бұрын
Mungu akubariki mpenzdwa ktk Kazi ya Bwana hii utendayo🙏🙏
@MMUNGAHOSEA3 жыл бұрын
Aise Tusipo sema Mbinguni tutaulizwa tu. Mtumishi Abwene Mungu Wa Mbingu na Inchi hakubaliki sna Maana Na Jiisi Kubalikiwa Kupitia Wimbo Huu
@tusamoses31543 жыл бұрын
Be blessed my brother.🙏....Nazitaka nguvu ulizonazo wewe Yesu. Ninataka kushinda.💪 Uwezaye kunituliza wakati wa huzuni, neno lako linisaidie niweze kubagua chakula cha kuupa moyo wangu. Nisaidie pale nisipoweza kwenda mchana, nisiende pia usiku. Nikanyage pale waoga hawawezi. Nioneshe jeuri kwa shetani. Ninataka kushinda.
@Bukelebengelela3 жыл бұрын
Hili ni Ombi jema lililoletwa kwa njia ya wimbo. Ubarikiwe ambwene
@GoFaMEDIA3 жыл бұрын
To anyone reading this, May the Lord be your solid rock. May He be your refreshing fountain. May the Lord be with you always. May you rise and shine in Jesus Mighty Name. Amen.
@levinaanatory9073 жыл бұрын
Ameeen
@agathathomas28613 жыл бұрын
Amen
@emmanuelsylvester47012 жыл бұрын
Amen I receive 🙏
@Pendezabylydia Жыл бұрын
Amen 🙏
@vickymahanga77343 жыл бұрын
barikiwa Sana nyimbo hii imegusa maisha yngu ujumbe mzur
@g.gwemela51593 жыл бұрын
WIMBO HUU UNAPUMZI YA MUNGU WA MBINGU NA NCHI BE BLESSED BROTHER!
@roseasimwe8273 жыл бұрын
Hongera sana kwakutoa wimbo mzuri
@sososool91772 жыл бұрын
Sichoki kuskiliza unanibariki san
@mpalleymwaipola98993 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa macho ya Rohini mwaisa.nimesikiliza zaidi mara mia najikuta machozi yanatoka.Mungu anipe moyo wa maombi
@nuruphilemon23103 жыл бұрын
Uwezae kunituliza wakati wa shida na matatizo 😭I'm blessed Kaka Ambwene Mungu akubariki sana. Sipati maneno mazur ya kuahkur Ila huduma yako Mungu aizidishe Mara elfu kupitia huduma yako Imani yangu inakua kila siku. Ubarikiwe mtumishi
@epiphaniaanselim26253 жыл бұрын
Amen Amen... Nifundishe kuomba, nifundishe kunena, nifundishe kiasi, nifundishe imani ya matendo, nipe moyo wa toba🙏🙏. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu...
@aidaheliezer42162 жыл бұрын
I've been listening to this song all day long on, repeat...umekuwa ombi langu .Ubarikiwe Mtumishu🙏🙌
@edinaatuganile42872 жыл бұрын
Ppl😅
@gynae84073 жыл бұрын
Hii nyimbo nimeirudia Mara 7 haishi uhondo uuwiii!!! Yesu ni mzuri haki
@dainesstungaraza6309 Жыл бұрын
Sana tuu
@mamatriplej13503 жыл бұрын
Kaka Ambwene mi nasema Asante....Mungu umtumikiaye azidi kukupandisha kutoka utukufu Hadi utukufu. Mashairi ya wimbo huu yanatupa tafakari ya pekee...Mungu akubariki Kaka.
@ireneassey7533 жыл бұрын
Ambwene my father nyimbo zako zinanibark san mungu akupe hitaj la moyo wako Amen
@deborahgrabriel59533 жыл бұрын
Mungu naomba unipe moyo wa toba.Mimi si mkamilifu baba.Muda wote natamani moyo wangu uimbe wimbo huu.Mungu akubariki na kwa viwango vya juu zaidi akuinue mpakwa mafuta wa Bwana kaka Abwene.
@neemaandrew65933 жыл бұрын
Wimbo huu umefanyika baraka kwangu aisee,sichoki kusikilizaa,,,nami nakusaluti,nakuimbia wimbooooo ewe Yesu,jina lako Mesaya,,,barikiwa kaka Ambwene
@luciakimambo70853 жыл бұрын
Wimbo una ujumbe mzuri sana sijawahi kuona ninakuombea kwa Mungu wa mbinguni azidi kukutumia wewe pamoja na familia yako kwa viwango vya juu zaidi ili sisi sote tumfahamu Mungu zaidi. Mungu wa mbinguni akubariki wewe pamoja na uzao wako wote.
@carenmsafiri84982 жыл бұрын
Mungu nifundushe kuomba mungu nifundishe kunena🙏🏻🙏🏻
@carenmsafiri8498 Жыл бұрын
NIPE MOYO WA TOBA 🙏🏻🙏🏻
@gracekundo6023 жыл бұрын
Imani isioyumba ,imani iliokweli ,imani itendayo makuu hakika Kupitia uimbaji huu tunapata nguvu ya kusimama na kristo 🙏barikiwa mtumishi
@malaikam25623 жыл бұрын
Wimbo huu daaa nakuta nalia nyimbo zako huwa ninanigusa sana🙌😭
@marthakagembe84283 жыл бұрын
Maneno yangu matendo yangu tabia yangu zifanane na hisia zako...nifundishe kuomba nifundishe kunena nifundishe imani ya matendo..nipe moyo wa tobaa..👏👏kaka Abwene Yesu akutunze sana Ubarikiwe na kuinuliwa zaid
@irismaa34833 жыл бұрын
This is my prayer Lord! Nifundishe kuomba siku zote.
@emilianaemanuel60603 жыл бұрын
This song is so powerful.....huu wimbo ni maombi kamili mbele za Mungu muumba wa mbingu na nchi.....nifundishe kuomba Yesu nitembee kwa Imani siku zangu zote hapa Duniani.Amen
@eliabusimon6253 жыл бұрын
Moyo wa Toba ....Mungu akubariki Sana brother
@annearon10793 жыл бұрын
Huu wimbo nilikua nausubiri jamani nikiusikia kwenye harus ya abwene kwa kias kidogo hatimaye leo huu apa Glory to God.🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@pendosaniely98783 жыл бұрын
Asante Ambwene kwa wimbo wa baraka. Mungu akuinue, akupe haja ya moyo wako kwa mapenzi yake.
@tumpekadaga60133 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka ,wimbo mzuri Sana'a saana.,nilikuaga na utafuta mwee kumbe ulikuaga bado, sasa nimefurahiiii. Barikiwa mno na kuzidi.
@thecklamveyange51593 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi, umeubariki moto wangu, maneno ya huu wimbo ni mazito sana. Hakuna siku unapokosea kwenye utungaji. Barikiwa.
@barakaprotas20173 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zako kaka mungu akubariki kwa mahubiri haya mazuri kupitia nyimbo big up brother
@onesmosaulo88133 жыл бұрын
Brother Mungu Akubariki sana wimbo unamguso wa ajabu sana very poweful
@felicianamhema94113 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu. nyimbo zako zinanibariki sana. uendelee kutumika kwaajili ya Kazi ya Mungu.
@tinahabel60923 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU na azidi kukubaliki . Wimbo mzuri sana👏👏👏
@linahjailos3583 жыл бұрын
Mungu akubariki sanaa mtumishi wa Mungu.....nikiimba nyimbo zako naona uwepo wa Mungu hakikaa.....
@nidamwinyi51003 жыл бұрын
Hili ni ombi langu nifundishe kuomba nifundishe kunena nifundishe kiasi nifundishe imani ya matendo nipe moyo wa toba. Barikiwa sana mtumishi
@masembomusicforbeginners3 жыл бұрын
Wimbo wenye sifa nyingi za Mungu. Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu Sana kaka.
@luismalole3 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia brother Ambwene
@sleepydj.3 жыл бұрын
You're songs always heal my broken soul . Mungu aendelee kubariki na kukupa nguvu kwenye huduma yako. Be blessed 🙂
@dainesstungaraza6309 Жыл бұрын
Amen
@patrickwilondja7593 жыл бұрын
Kweli Mungu akuzidishie mara dufu mtumishi kwa uduma nzuri
@agneshiza20513 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi,wimbo huu unaponya mioyo ya watu wengi.Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu sana na akutunze daima.
@nuruanafisoo42203 жыл бұрын
Nahisi nguv za Mungu kwa kiwango cha juu ubarikiwe kaka
@gynae84073 жыл бұрын
Dah! Hili song lime simama sana back up wametisha sana
@boydlyandokela57623 жыл бұрын
Sisi huku Lusaka,zambia🇿🇲 we are saying may the God who started the good work in you, push you through till the end!,You are such a blessing to us and to this generation Mr Ambwene...#AsanteUbarikiwe🙌🙌😍❤
@stephaniaamiry82943 жыл бұрын
Nimebarikiwa nyimbo nzuri
@marthadaudi89312 жыл бұрын
Mungu akuinue utukufu Hadi utukufu uuuuuuuuuuuuuu barikiwaaaaa
@japhari21173 жыл бұрын
3 years huuu wimbo Tuanusubili Ubarikiwe sana Kaka wa Taifa
@queenelizabeth50623 жыл бұрын
Nimelia machozi ya furaha as i sing this beautiful song..may Almighty God protect you sir..
👏👏👏🙏 Wimbo mzuri umenibariki sana Mtumishi, Mungu azidi kuiinua huduma yako kwa viwango vya juu na akuongezee maarifa ya kimbingu.
@monicastephen87963 жыл бұрын
Listening from Ethiopia. You sang my prayer points. Be blessed man of God.
@abiyamashaka57163 жыл бұрын
honest from my heart you are annointed brother AMBWENE
@lucianahaule94953 жыл бұрын
Ur blessed alot brother, ashukuriwe Mungu kwa kukuumba kwa ajili yetu hakika nafsi nying zinaongoka kwa kupitia nyimbo zako🙏🙏🙏🙏
@estherulikaye20313 жыл бұрын
Ujumbe mzur San, ubarikiwe kwa huduma njema
@gideonleonceelias54233 жыл бұрын
Kaka ambwene, Mungu azidi kukutumia. Ume baki mmoja kati ya wachache sana kama wewe usije ukatoka kwenye hao wachache. Mi binafsi naifurahia sana kazi yako, na nabarikiwa sana kupiti kazi Mungu aliyo weka ndani yako. Fanya kazi kaka ujira upo unatusubiri, simama na Bwana mpaka mwisho kama ulivyo weza kulishinda wimbi la umaarufu endelea kushinda kaka. Nakupenda.
@DerickNdonge3 жыл бұрын
Ohhhh🙌🙌🙌🙌🙌Barikiwe sana shujaaa nimebarikiwa mno huuuuuu🙆🙆🙆
@christiankusaga39233 жыл бұрын
Haujawah kukosea kwenye utunzi, Mungu aendelee kukutumiaa mtumishi wa Mungu... barikiwa sana
@highnessshao54133 жыл бұрын
I cant get enough of this song..its humbly composed and potrays deepest heart desires of a growing Christian..it is itself a pure truest prayer, a living meditation,it also helps us in evaluating our ways of living and helps us to realize where do we need more of God's grace,,Glory Glory Glory to the Almighty God
@doricengavatula33613 жыл бұрын
Amen
@marthayaledi4442 жыл бұрын
Fact 100/"
@edwinjohn18523 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kaka nyimbo zako zina nguvu tele ya Mungu🙏🙏
@festomsagamasi41283 жыл бұрын
Hujawahi kosea kaka be blessed
@lucysilasjames4683 жыл бұрын
Nabarikiwa mno na nyimbo zako .....
@renatuskamala30483 жыл бұрын
Nifundishe kuombaa🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥 miaka 13 ya Moto wa UAMSHO
@festasamuel61103 жыл бұрын
🙏🏽🙏🏽 NIFUNDISHE KUOMBA BABA🙏🏽🔥 BLESSED VOICE THAT HEALS THE BROCKEN SOULS🔥🔥🔥 MUNGU AIBALIKI KAZI YAKO NA KUKUTIA NGUVU...
@gladymolel21533 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka,Wimbo Mzuri sana,yaani nyimbo zako zote ni ibada ,Mungu awatunze ufike mbali zaidi
@noellak82673 жыл бұрын
Yeah wimbi mzuri wa ibada but bet no... Umeimbwa vizuri but ngoma Siyo kabisa afadhali ngoma ya wimbo ili ni Ombi langu
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Keshafka
@harriethbarnabas47673 жыл бұрын
3good years of waiting is finally over God bless you man of God 🙌🏻🙏🏻
@nancysimon10583 жыл бұрын
Kazi nzuri Kaka Ambwene... you never disappoint....Mungu akubariki sana
@elikammedia2423 жыл бұрын
🙏🙏 Mungu nifundishe kuomba, be blessed brother Ambwene
@elishaanyosisye40783 жыл бұрын
Mafuta ya Roho Mtakatifu yanatirirka ndani yangu kwa viwango haleluya.
@benjaminigobeko80723 жыл бұрын
Hongera mtu wa MUNGU kazi ya kulitangaza NENO inasonga Barikiwa Ssna
@moneycomes42073 жыл бұрын
Hizi ni prayer points zangu kabisaa. Asante sana Kaka Ambwene, Mungu akubariki.
@justinenjeje88473 жыл бұрын
Best of the best ...stay blessed huduma izidi kukua
@wilfredshoghosho00173 жыл бұрын
Bro may God bless you so much. Nyimbo zako hunibariki, hunifunza hunielimisha wacha karama Yako izidi kuwa kubwa zaidi
@christinezayumba69933 жыл бұрын
Amen kubwaa
@patriciagodfrey86913 жыл бұрын
Be blessed brother🙌
@neemanicolekavira14623 жыл бұрын
Très super vrmt cette chanson. Mungu aku ongezeye mengi. Nime barikiwa
@asnathkiunga94613 жыл бұрын
Haya ndio maombi yangu oooh Lord
@kisetukumbuael18393 жыл бұрын
Asante,, nakuhitaji Mungu unifundishe Asante kwa mtumishi wake alikaa kwa mapenzi yako ukamfunulia hili na mimi nikafahamu yanipasayo kuomba
@davidkisalimwala94583 жыл бұрын
MUNGU WANGU MANENO MAZITO..................................................................... NENO LAKO LIKANIZUIA KUFANYA , NEEMA YAKO IKANIFANYA KUPAKUA CHAKULA TOFAUTI NA NJAA YANGU, KULE NISIKOWEZA KWENDA MCHANA NISAIDIE NISIENDE USIKU. YALE NISIYOWEZA SEMA HADHARANI, NISISEME GIZINI. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 PLEASE GOD HAVE MERCY ON ME. BWANA NAOMBA NIFUNDISHE.