Hio yakutokufugwa milango na kutokubamiza milango mmenikumbusha mbali mh kwenye hii Dunia kunamakubwa sana🙌🙌🙌
@ramadhanirashidi4175 Жыл бұрын
Makatobe unakuja juu sana mungu aku seidia
@innomchaga Жыл бұрын
Mwakatobe ni mwamba kabisa 😂🔥🔥🔥
@tomafrank1161 Жыл бұрын
Hii mwaka ni ya mwakatobe 😂😂😂mwoto kubwa 🔥🔥
@mahamudhassan2498 Жыл бұрын
Mwakatobe keep it up
@rachodo Жыл бұрын
Kama nakuona mganga wa taifa❤❤
@karimunjaulesahihi145911 ай бұрын
😂😂😂😂😂dah aisee huyu mwakatobe namkubar anajuwa
@AziwaMjelejele Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mwakatobe nakubali sana kazi yako
@TroyDML-ci2vh Жыл бұрын
Mwakatobe Fireee
@simonfrancisjr6591 Жыл бұрын
Mzee wa hovyo + mwakatobe kivumbii leo😂😂😂😂
@phinarbotea-gy2fu Жыл бұрын
Mwakatobeee ww n🔥🔥🔥
@phinarbotea-gy2fu Жыл бұрын
Kwiiiiio kumba korokocho🔥🔥🔥
@latifahwakesho5561 Жыл бұрын
Keep it up good job ❤❤❤
@ashrafhashim2116 Жыл бұрын
Tafadhalini sana Chezeeni vyote ila msichezee Uislaam Acheni Istihzaai katika Qur an😢
@OmarIbrahim-e7d Жыл бұрын
Good
@KaizaMsigala-kj4un Жыл бұрын
Mwakatobe mganga amekuwa maaruf u kuliko alikiba😅😅😅
@mimahcommedian7207 Жыл бұрын
Nakukubal sana mwanangu sana🔥🔥🔥🔥umefanya kitu kikubwa saaaa
@M-MEDIATANZANIA255 Жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️
@Stephonline02 Жыл бұрын
Naihofia hali ya koo la mwakatobe
@dastopadady2402 Жыл бұрын
Mwakatobe meakalela bana uuui🎉
@IssaNiyonkuru-ec2wj Жыл бұрын
Mwaka uyu mwakatobe ataongoze yani iko Fresh nakazi yak ni mependa san bituko Blake👍😂🙌😀
@RuqEnjal Жыл бұрын
Jini james delicious😂😂😂😂
@IreneMwenda-nl2hu Жыл бұрын
Now nakukubali sana mwakatobe
@mohammedkidody5618 Жыл бұрын
😂😂😂😂yn mwakatobe mwaka wako huu et ushawahi kupigwa jini james belicious😂😂😂
@young26ix32 Жыл бұрын
Mwakatobe nomaaa utapigwa jini James delicious neng'eneka
@KaizaMsigala-kj4un Жыл бұрын
Nilivomuona mwakatobe tu nikajua hii lazima niiangalie itakuwa nzuri
@SamiallahuHashim Жыл бұрын
Yupo vizuri
@GasperMwaisa-rb1lf Жыл бұрын
Mwakatobe oyeeeeee we bigi unajua
@A-z.film-africa Жыл бұрын
Kazi nzuri sana, Karibuni A-Z Production tushirikiane.
@sadunabdallah7303 Жыл бұрын
Katobee mwambaaa❤❤❤
@SalmaRajab-w9s Жыл бұрын
Wangapi tumemfata mwakatobe huku
@skeyboy2 Жыл бұрын
Mwakatobe wewe🎉🎉🎉 chukuwa❤🎉🎉
@Richbrown-xh4rb Жыл бұрын
Mzeee wa hovyo na mwakatobe😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 mbavu zinavunjika hukuuuuuu
@allyabed2163 Жыл бұрын
😂😂😂😂 mwakatobe is the best witchdoctor
@dastopadady2402 Жыл бұрын
Shepu kama moja1 haahaaa mwakatobe🎉
@simonhaule8976 Жыл бұрын
Mwakatobe wewe ni mwamba Kwa nyakati hzi maokoto halaliyko pashatoboka 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣💪💪♥️🔥🔥🔥🔥🔥
@RuqEnjal Жыл бұрын
Yan naiangalia kila cku 😂😂😂 et we matango plpl hoho nyanya
@GraceMadondola Жыл бұрын
Jamani mwakatobeeee
@AleiHadji-js3ed Жыл бұрын
Huwezi Mlaaani Mtu Hali Ya Kua wewe hujatumia nguvu ya kumbadilisha kumuelimisha
@bestmoment-tv4il Жыл бұрын
😂😂😂😂 yule ajazaliwa amijambwa😂😂😂respect
@Eddy_De_Change Жыл бұрын
Jini James delisious 😂
@habibalukinga1575 Жыл бұрын
😂😂😂hatari sana
@atukuzweluhanga740111 ай бұрын
ukipigwa hilo jini sasa
@Nasranasra-ce1qb Жыл бұрын
Jaman namupenda sana mwakatobe 😂😂😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@msurimtenukila6745 Жыл бұрын
Mwakatobe Hahaha 😂😂😂😂
@DENGAMONTERO Жыл бұрын
mwakatobe one love
@Harima865 Жыл бұрын
Ila mwakatobe khaaa 🙌 nakukubali mzeee 😅😅😅😅😅😅😅😅
@Ismaelabubakar001 Жыл бұрын
Mwakatobe ndo mchawii moto 😂
@NizigiyimanaEmmanuel-c7f Жыл бұрын
Mganga mwakatobe ngombe wamayayi😂😂😂
@MwanaidiRulimbiye-uf1mr Жыл бұрын
Mwakatobe toka lini ukajua cha kigoma hahahhaha
@IreneMwenda-nl2hu Жыл бұрын
Kazi nzur mno
@ZabroniMahobe-w3o Жыл бұрын
Kweli nimwamba
@AllyChiamba-e9m Жыл бұрын
mwakatobe yupo safisana
@DevotaJohn-id1td Жыл бұрын
Nomaaa mwakatobe
@husnaabdullah3009 Жыл бұрын
Mwakatobe JMn 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@eliuthamangula1791 Жыл бұрын
Mzee wa hovyo "afu we mganga mwakatobe "😂😂😂😂😂
@Oscarowen-tf1bx Жыл бұрын
🤣🤣🤣kwiooo kumbaaa kolokochooo😂😂😂
@mkasihamad7225 Жыл бұрын
😂😂😂ila mwakatobe jamani😂unafurahisha😂❤
@boneshaissa5138 Жыл бұрын
Mwakatobe unatufanya muda wote tufulahii
@mariamcrispo8296 Жыл бұрын
Kwiya kumbango kolokocho.Mganga huyu mmmh milango haifungwi tena
@SadioKim Жыл бұрын
Kenya tumeikubali
@BhokeWarioba Жыл бұрын
Mwakatobe chuma cha reli
@akhilyruge Жыл бұрын
Lini sehemu ya pili jamani😂😂😂😂😂😂
@Thenoiseboy045 Жыл бұрын
Nikiona tu Mwakatobe najua hapo Kuna utamu🎉🎉
@jastinedaudi-qi9vr Жыл бұрын
Mwkatobe motoooo
@izzahboe1442 Жыл бұрын
Toeni mwendelezo mbn mnakawia sana sasa ni bora muwe mnaandaa kazi yote kwanza kisha mnaanza post moja moja kila siku sio kama ivi mnatuacha njia panda mashabiki
@AllyFaki-eg4qn7 ай бұрын
Sitak kusikia kwiyo,kumbaa kolokocho😃😃😄😄😄
@fatumaselanyika825 Жыл бұрын
Nina misukule vipande vya baba nika kuitia vikupelekeee moto 🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😅
@kasimumughuna201 Жыл бұрын
Mwakatobe shenzi sana wewe😂😂😂
@elishapeter2720 Жыл бұрын
Siangaliagi izi mover lakini nikiona picha ya mwakatobe lazima nifungue namkubali kisenge
@costantinemwabamba3051 Жыл бұрын
MWAKATOBE WANYUMBAN UPO JUU
@barakaelias6172 Жыл бұрын
Kajambwa😂😂😂
@asmaseif2022 Жыл бұрын
Nzuri Sana hongera
@SunezaDiciman9 ай бұрын
Amdala amejambwa ajazaliwa 😂😂😂
@BenedikitoJohn-ox8dt Жыл бұрын
Mwakatobe amesha jipata
@zainabmussa-jz2ys Жыл бұрын
😂😂😂🙌 hapo kwenye majina alooo😅
@yeyaboy8045 Жыл бұрын
shepu kama moja
@Cde_zubeir Жыл бұрын
Mwakatobe ni msengee sanaaa ety sitaki kusikia kwioo kumbaaa korokochoo😂😂😂..
@jumaabdallah4732 Жыл бұрын
Wameyatimba😂😂😂😂
@ambakisyekayuni9161 Жыл бұрын
😂😂😂😂 jini jemes drishas 😅😅😅😅😅😅😅
@bakarimakame4694 Жыл бұрын
Mwakatobe .mchaw
@mhohomudzo5412 Жыл бұрын
Kajambwa😂😂😂😂
@mohamnaya3988 Жыл бұрын
Mwakatobe na kua mganga wieeh 😅😂😂😂
@JansanMokiwa-hr6hl Жыл бұрын
Tambi za jiko mwakatobe🤣🤣🤣
@EmanuelRiano-d9t Жыл бұрын
Good 😢😢
@saumodzumbo9671 Жыл бұрын
Daaaah 😂😂😂😂
@ArafaAmirAmir-ci7ld Жыл бұрын
😂😂😂 Mwakatobe konyooo
@KaizaMsigala-kj4un Жыл бұрын
Heeeee ayaaaaa😅😅😅😅😅😅
@jacklinegodifrey8607 Жыл бұрын
😂😂😂😂 Jini James delicious🤣🤣🤣🤣
@habilbinmwaju-kd4nm Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@ChauquenelsonNelson-vp3lt Жыл бұрын
Sawa😂😂😂😂😂
@mfalmenajjash2128 Жыл бұрын
Jini muasho unawashwa na matako 😂😂😂😂
@rutudaniel8314 Жыл бұрын
😅😅 james delicious 😅😅😂
@DinosaurTz Жыл бұрын
😂😂😂😂 umeua sanaaa micoh 🙌🏾
@M-MEDIATANZANIA255 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@TALLUBOY Жыл бұрын
Nakushauri fungua account yako Ya KZbin na siyo unakaa Na kuwakuzia watu tu! Account Zao mzee fumbuka macho jina lako Kubwa wakat uh ukichelewa ndiyo basi tena mzee fanya ivyo
@Joyce-qf5px Жыл бұрын
❤❤❤
@Emmymajula5838 Жыл бұрын
Kwio kumbakolokocho😂😂😂😂
@atukuzweluhanga740111 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@RaphaelMgaya-ni3gq Жыл бұрын
mwakatobe atakuja kuwa mchawi
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
Nyie mbona sanaa yenu inakejeli dini . HAKUNA MZAHA KATIKA QURAN. HIZO SURA ANAZOZISEMA HUYO ZIKO WAPI? NIBORA MKAFANYA YENU SIO UTANI KATIKA DINI.TUTAWASHTAKI
@internetmarketing2785 Жыл бұрын
Umshtak nan ww mbona dini za wengne mnachezeaga au ndio mkuki kwa nguruwe???
@NurdinMiraj-e3o Жыл бұрын
amesikia
@RkplatnumzRkplatnumz Жыл бұрын
Kafie mbele uko kibaraka wa watu weupe naona dini mmezifanya kua ndo mungu wakat mungu ni mungu na din ni din acheni ujinga bhn
@MahadMenze-kf3kv Жыл бұрын
Ni ngumu Sana kuheshimu maneno ya Allah sababu hata mitume ilifanyiwa hivyo ila siku moja tu kila mtu atalipwa waache wachezee dini ya mungu
@RecandreJohn Жыл бұрын
Jin James delicious
@batashqiraa993611 ай бұрын
😂😂😁😁😁 duh mwakatobe kiboko eti amdala hajazaliwa ila kajambwa duh 😂😂😂😂 yaani nimecheka mpaka machozi yametoka dah huyu jamaa acha kabisa