Hongera sana Godfrey. Hatua onana siku nyingi. Nakutakia mafanikio mema na Mungu akasimame na wewe kwa kila changamoto za biashara na maisha. One love from DC.
@africanmandetraveler2847 Жыл бұрын
Licha ya kukaa ugaibuni kwa mda mrefu hana mbwembwe za kuongea ung'eng'e kwa kila sentence kama hawa macelebrate wa kibongo.
@geoffreymanyara3613 Жыл бұрын
Great move right there..the world is going digital.🇰🇪
@maramara5621 Жыл бұрын
Good job SUKA and welcome to Kenya❤️🇰🇪. Diva wa abdul hajui kiswahili na anaishi bongo
@Ibra_Canaan Жыл бұрын
Hii nzuri sana
@suleimansiwa Жыл бұрын
Big up young brother! 💪
@abdalahmwinsheh587 Жыл бұрын
Suka ndio suluhisho letu.. bigup mkuu umetukwamua sana sisi tusio na magari.. sasa ipo suka ya bodaboda au bajaji ?