Wakaka wamaokuja kwenye hiki kipindi wanasahau .....first impression ndo kila kitu. Sasa mtu unataka mwanamke wa maisha na unavaa kihuni....who wants that😎😎
@kibouttv7148 Жыл бұрын
Jamani age ya huyo mkaka badoo alivyovaa ni sawa kabisa ni kijana bado sana na yeye kutaka mwanamke wa maisha kuna kosa gani hapo? Mwanaume wa kuanza nae hivi sasa ndo mzuri mbabadilishana huko mbele mnakua wote acheni judgment zisizo za msingi
@ellymwampashe8927 Жыл бұрын
@@kibouttv7148 kuna watu wa umri wake wanajua jinsi ya kuvaa kulingana na maeneo na lengo. Ndo point yangu. Unapotaka kumvutia binti ambaye anatazamia ndoa na si michezo kuna namna unatakiwa uvae hata kama unaigiza.
@ellymwampashe8927 Жыл бұрын
@@faithfaith-zr6gz ishu hapa si kumbadilisha. Pointi yangu ni kuwa unapoingia kwenye kinyang'angiro ujitahidi kuvaa kwa namna ambayo unaweza onesha lengo lako hata kwa mavazi. Uvae kama muhuni wa kawaida halafu useme unataka mke? Hapo ni kama unaenda kwenye interview, unatakiwa mwonekano ukubebe hata kabla hujazungumza
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
Niambie ni mdada gani hapo amevaa nguo ya heshima!!!? Nachoona hapo nguo za kuonyesha maumbile yao ndio zimetawala, kwahiyo na wao wanapata wanaume kufanana nao mavazi,, Yaani uvae nguo ya kuendea twangapepeta au beach alf unatafuta mwanaume mwenye muonekano wa suti!? haipo haitakuwepo.
@kibouttv7148 Жыл бұрын
@@faithfaith-zr6gz 🤣😂🤣🤣🤣 ndo hapo sasa nawashangaa
@sathysohal20759 ай бұрын
GaraB saluteeee.... 🙌🙌 Ila unajua nini nakupenda sana yani
@mgenisimba5902 Жыл бұрын
Lulu na Aaliyah mavazi apana jmni 🙌🙌
@TitusOgega-jb9wu10 ай бұрын
Jamaa yuko sawa like zangu zije
@Daudisongela Жыл бұрын
Nimeamini mwonekano hutengeneza uwezekano❤
@Moussabyamungu9 ай бұрын
Aliah nakupenda sana kwakweli.
@josephbonday851011 ай бұрын
Mwanamke anaenda kwa kazi moja tu sister....😂😂😂😂,zingine mbwembwe
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
Yaaani flora ungejijua ulivyo mbayaaa, na domo lako kama tundu la choo cha mnadani,, Kwanza umekomaa kama mti wabegu za muhoga.. Jitathimini alf ndio uwakosoe wanaume,Jiulize kwann mpk leo ujapata mwenza.
@dhahabukalama2635 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂nicheke mie
@Oman-z7j Жыл бұрын
Wanajishauwa sana mtasaga lumba mpka mkome
@luganoesomu53019 ай бұрын
hakuna mwanamke wa kumpenda mtu anae vaa hivo
@professorimmah11 ай бұрын
Lulu ukivaa hiz nguo unapendez Masha allah
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
Aliya na lulu diva nguo gani hizo za kuvaa jamani
@ahmaduun6523 Жыл бұрын
mwisho wa siku watakuja wakiwa wamevaa sidiria na chupi.
@kakoxspgnewton Жыл бұрын
Mnisuppoti 🇰🇪🇰🇪
@ZailhatTarimo Жыл бұрын
Mbona wasomi hatuwaoni😂
@abdultandala6576 Жыл бұрын
Mtu akizima taa muwe munamuuliza mwisho mwa kipindi maana waga wanaharibu sana kwa wale amabao bado wamewasha taa
@kizaziogtv3486 Жыл бұрын
Kumbe😂😂
@Phedester11 ай бұрын
Kumbee 😂😂 10:55 10:55
@saidasaid5855 Жыл бұрын
Mh jaman mzalikiko huuu jaman wanawake😂😂😂😂
@HASSANTL-m7c Жыл бұрын
Mmmmmh Amax ludi kwenu kalale😢
@fredrickkaweu8 ай бұрын
Dini ndotatizo ilo nikweli lakini tabiya mavazi ni kukere ishana Kama binadamu ukumbusho
@christaoman8890 Жыл бұрын
Lulu diva hebu jiheshimu bs vaa nguo za heshima unatembea uchi sasa looh
@muhammadmuhammad5043 Жыл бұрын
Dayana Sijaskia Kunajina Dayana Jina Lakislam..??
@vicentmandevu Жыл бұрын
Mna patika wap natamani nami niwe nakuja kutazama
@Salesh18 Жыл бұрын
Kumbe
@nuratirama Жыл бұрын
Kwamaana hiyo wengine wanaangalia kazi na kipato chake ndio amkubali mtu jamani hayo siyo mapenzi
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Kwann amekuja na vest tuanzie hapo🤔
@Felix-ld7mt Жыл бұрын
Hello
@mwajohari4385 Жыл бұрын
Aliya, Lulu diva, please plees mavazi mbona mbaka uchi,nini maana ya uchi?mbona Huyo mwenzenu mwnaume mbona havai boxa,,amuoni aibu,jamani,,tusiige tamaduni za wenzetu
@dhahabukalama2635 Жыл бұрын
Akivaa ndefu utaona tattoo kweli,? Wanawake sisi wee mungu atusaidie
@ChremeMzava Жыл бұрын
Acheni umbea jamani lulu anapendeza na mavazi yake
@Elidasamue Жыл бұрын
Jaman I naomba kuuliza kwaiyo kama mtu Hana kazi uwezi kupata demi apo
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
Haya masichana majinga kazi ya mtu ya nini wewe jali mapenzi ya kweli pesa zinatafutwa
@abedysteven4930 Жыл бұрын
Una akili ag
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
@@abedysteven4930 yananikera ndugu
@leylaabuu7025 Жыл бұрын
Msichana mvivu hupenda vya rahisi anataka pesa tu hawaangalii mambo mengine
@goldfaith7288 Жыл бұрын
Yani wanyakyusa mnasifa sana..Yani sishaur mtu
@Sidrasidra636 Жыл бұрын
Dayana safi sana nime kupenda bure
@hassanndauka9685 Жыл бұрын
Uyo mchezeaji tu
@estermwakafwila989010 ай бұрын
Flora kuwa mtulivu ktk kuongea
@mercyme-hc6hw Жыл бұрын
😂😂😂
@fatumakilimba7611 ай бұрын
Wenywe wako uchii
@DoloselaFelix9 ай бұрын
Lulu hapana unavaa uchi
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Hamax unaonekana hujuwi unataka nini
@zeinabuAchiengOkara Жыл бұрын
😅😅😅😅
@SumaAbduly11 ай бұрын
Hivi Kila kabila matatizo kabila Gani liko sahh
@anethmshahara8519 Жыл бұрын
Dayana Muslim!!!? How!?
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Wengime wazaz wao walikuwa din tofaut kwahiyo akachagua upande mmoja