HUYU HAPA BABU ALIYEKATAA UZEE NA KUJA KUTAFUTA MREMBO | ATOLEWA MBAVUNI NA WATOTO WA 2000 - S05E10

  Рет қаралды 44,198

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@ambokileosward8850
@ambokileosward8850 6 күн бұрын
Hiii nchi ngumu sana😅,huyu Mzee apimwe mkojoo😅😅
@FrancisNgomaitara
@FrancisNgomaitara 29 күн бұрын
😂😂😂😂 hii stage sometimes inafanya standup comedy 😂😂
@EDSONPAUL-ov3wq
@EDSONPAUL-ov3wq 2 күн бұрын
Imekaa vizuri hii
@reginamluviji9405
@reginamluviji9405 25 күн бұрын
uyu mzee wamempa skanka au😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@magangamwidaghat4324
@magangamwidaghat4324 Ай бұрын
majabei kijana wa austaby kwa mara nyingine tenaaa ndani ya mr.right💪💪💪💪💪
@NashaHabib
@NashaHabib 12 күн бұрын
😂😂😂Mr right n babu afu mfupi sasa😂😂😂😂😂
@victorboniface78
@victorboniface78 27 күн бұрын
Mr right wa season iliyopta wanaonekana kweny tamthilia za azam .....😂😂😂 Naona now n zam ya mzee kwenda mjini
@Mwadhani-z9t
@Mwadhani-z9t 28 күн бұрын
Afanye mazoezi kwanza alafu ndoa ataipata😅😅
@shinuaog3610
@shinuaog3610 24 күн бұрын
Uyu mzee karogwann😅😅😅
@NuhuSutta-b5b
@NuhuSutta-b5b 29 күн бұрын
mmekutana kichwa chenyewekabisa😂😂
@LinahRwambali
@LinahRwambali 26 күн бұрын
Akiamama nmecheka mpaka basi, huyu kaka kibonge amejua kunchekesha.
@rosemsaki1111
@rosemsaki1111 2 күн бұрын
Wazee kama hawa WANANUKA MDOMO BALAAA!!!
@deeruta9894
@deeruta9894 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 kweli hakuna uzee 🎉🎉🎉. Double trouble mzee katafute mzee wenzio wachana na vitoto 2000 hauwezani nao.
@fatmakitundu9454
@fatmakitundu9454 7 күн бұрын
RAHA JIPE MWENYEWE
@BenezethEmily
@BenezethEmily 6 күн бұрын
Huyu ni Mr right kweli au Mr darkness 😂😂😂😊
@magangamwidaghat4324
@magangamwidaghat4324 Ай бұрын
eliza sialishapata mr.right au vp jameni💋💋
@Asiarajab-l8k
@Asiarajab-l8k 5 күн бұрын
Ndo naaz kuelew nyimbo ya roseree ya mbaba😂😂😂😂😂
@dariusshukuru8490
@dariusshukuru8490 27 күн бұрын
Noana Brot yupo verry sérieux,yani anataka vitoto kweli
@MwantumRashidi
@MwantumRashidi 28 күн бұрын
Mbona Mr right mnene mpaka Kawa wa mviringo?na akicheza kama jaba la ndoo tatuuu uwiii😂😂😂
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 2 күн бұрын
@@MwantumRashidi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MankaVodacom
@MankaVodacom 22 күн бұрын
Nimeangalia hii sababu tu nimemwona Eliza jamanii❤❤
@officialrammy6176
@officialrammy6176 Күн бұрын
NACHOMKUBALI GARA B ANA BUSARA SANa jmaa akiona Tu vitoto vinaanza maneno ya ajabu anavstop
@geturdablatch9706
@geturdablatch9706 14 күн бұрын
Hata si mzee miaka 54 bado kabisa😊
@NamiriNamiri-oz4xs
@NamiriNamiri-oz4xs 15 күн бұрын
Huyu babu muigizaji Kuna mchezo ka Akti na Amina Dada Ake dula makabila
@LisaswaiLisaswai
@LisaswaiLisaswai 5 күн бұрын
@@NamiriNamiri-oz4xs mtaa wa kazamoyo baba bonge
@abdulqadrjailan1998
@abdulqadrjailan1998 Күн бұрын
Shilingi
@ThekraJanga
@ThekraJanga 6 күн бұрын
Mambo ya afya ya akili😂😂😂
@zachariangoyo6495
@zachariangoyo6495 12 күн бұрын
😭😭😭 Dunia simama nishuke
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 11 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😊
@witneyjerry2587
@witneyjerry2587 16 күн бұрын
Shtukaa mwanangu😂nimeshtuka!😂
@khamisjuma3760
@khamisjuma3760 3 күн бұрын
Mbona husemi kama ulikuwa ukiuza chips kisonge maskani ya ccm
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 17 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu
@PacificahMose
@PacificahMose 4 күн бұрын
Huyo mzee ako na jokes sana
@WhosnerSemboko-s1b
@WhosnerSemboko-s1b 3 күн бұрын
Uyu mzee anatafuta umaaruf
@nurumwenkale7278
@nurumwenkale7278 28 күн бұрын
Si ungeolewa kma mzuri
@lavidaloca_255
@lavidaloca_255 18 күн бұрын
Mapacha wasio fanana😢
@Clex-f5s
@Clex-f5s 18 күн бұрын
Wanafanana tabia ya kutafuta watubstejini😅
@Sportskickers
@Sportskickers 29 күн бұрын
Striker anataka kupunguza kichupa tu tu😂
@Kangodo_Once_AGAIN
@Kangodo_Once_AGAIN 28 күн бұрын
😂😂😂😂 kmmkeee Leo Imenibamba
@JosephinaMsagala-m1l
@JosephinaMsagala-m1l Ай бұрын
Yuko wap uyo Dada aliyekuwa anasema anataka wababu,ili amwite totoooo!!!! Ajipatie apo
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 26 күн бұрын
Wee jina lako wanakwita kibonge kibanda chako pale michenzani zanzibar makontenan
@MOHAMMEDABDALLAH-w4k
@MOHAMMEDABDALLAH-w4k 18 күн бұрын
Kaka mtu uyo
@JosephKayonga
@JosephKayonga 8 күн бұрын
Mzee kamahu hajieshiemu
@EmmanuelNdahya
@EmmanuelNdahya 27 күн бұрын
Obi majabei. Movie hhiiiii mpya
@lemeboyofficial
@lemeboyofficial 13 күн бұрын
Kuongea sanaaaaa
@kilogreek4050
@kilogreek4050 Ай бұрын
KAJATENA SHITUKAAAA 😱😂 MWANANGU BRAVO AKUNA KUKATA TAMAA MWAKA MPYA NA X.MAS🌲SHITUKAA MWANANGU NIMEPENDA SANA MZEE MWENZANGU🤣❤💪🙏🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@asmahassan5661
@asmahassan5661 27 күн бұрын
@@kilogreek4050 kiukwel kwamm.hapn🤣🤣🤣
@mwanashasjambia8572
@mwanashasjambia8572 Ай бұрын
Wamependezana Na elizaa Sana.
@ثامركعبي-ي1ق
@ثامركعبي-ي1ق 24 күн бұрын
😂😂😂😂😂 mumepata kiboko
@davidmniko3099
@davidmniko3099 6 күн бұрын
Mzee wa ovyo.mfukuze uyo kenge alaka
@moshijoyce-qx5rk
@moshijoyce-qx5rk Ай бұрын
Ila eliza mzuri
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 26 күн бұрын
Huyu kibongee adabu zake sizo sasa kaja kufanya nini hapo lol anataka kulelewa kumbe
@magangamwidaghat4324
@magangamwidaghat4324 Ай бұрын
shtuka mwanangu majaby oustaby majaliwa a.k.a mtoto wa oustaby
@ThekraJanga
@ThekraJanga 6 күн бұрын
Miaka 54 duuuu!!
@AngelMbaga
@AngelMbaga 29 күн бұрын
Gal B kama namiona - una utani na wasambaa wa lushoto
@sabiimohamed6560
@sabiimohamed6560 Ай бұрын
Shtuka mwanaanguu😅
@fabrianjr9163
@fabrianjr9163 28 күн бұрын
Ila penat ya kageree
@ZawadiKamilembe
@ZawadiKamilembe Ай бұрын
Huyu mzee ukimpa shoo ya maana anakufia
@HusseinMwatende-ws1nt
@HusseinMwatende-ws1nt 29 күн бұрын
Cha umalaya kuma haina kitanzi,
@JacklineWaithera-g4f
@JacklineWaithera-g4f 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@magangamwidaghat4324
@magangamwidaghat4324 Ай бұрын
eliza hauna jipya kama ndio umerudi katika podium utazeekea hapo 🪰🪰
@SaidinaSaidi-v5q
@SaidinaSaidi-v5q 15 күн бұрын
Hii ni nini
@RahulAmour-xd8lv
@RahulAmour-xd8lv 5 күн бұрын
Ibrahim Raider fanya uende na wewe
@bensonmgaya5693
@bensonmgaya5693 11 күн бұрын
Pocho 😂😂😂
@HamzaMduda
@HamzaMduda Ай бұрын
Hii ya mda mlefu
@UmyAbriya-wt4vb
@UmyAbriya-wt4vb Ай бұрын
Yule alie sema anataka bubu hataki kija leo kapata
@BellaYohana-t6o
@BellaYohana-t6o 22 күн бұрын
Jameni uyomubabu sikuna dada alisema yeye anataka wazee Sasa vp napo analuka alisema atakujatu kaja sasa
@sirksirk4821
@sirksirk4821 29 күн бұрын
Hii ni acting wanafurahisha jukwaa
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 11 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@NtambaMachunda
@NtambaMachunda Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MkobaWar
@MkobaWar 17 күн бұрын
Shetani mzee huyo naatokeeee
@magangamwidaghat4324
@magangamwidaghat4324 Ай бұрын
huyu vitu vyake kila saizi wedada acha tamaaa
@MankaVodacom
@MankaVodacom 22 күн бұрын
Kudadeki zake mwisho akisikia hana mihela anazima taa anaishia kumshushua Mr.right
@AnthonyNdaula
@AnthonyNdaula Ай бұрын
🚫 _This message was deleted_😂😂
@AffectionateLionfish-ct3sf
@AffectionateLionfish-ct3sf Ай бұрын
😊😊😊😂😂
@UmyAbriya-wt4vb
@UmyAbriya-wt4vb Ай бұрын
😂😂😂😂
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
LISSU AMVIMABIA Mbowe mbele ya BAVICHAAA
23:45
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 2,7 М.
ILA STEVE NA NDARO ONA WALICHOMFANYIA BOSS WAO
17:56
Steve Mweusi
Рет қаралды 463 М.
BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW
1:01:31
BongoStarSearch
Рет қаралды 284 М.