Barikiwa sanaa Mtumishi nabarikiwa sanaa na nyimbo zako 🙏🙏
@geoffreysimbeye4238 Жыл бұрын
We give all the glory to God for this wonderful gift of our generation
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Amen Amen Amen... HALLELUJAH...!!
@tompatel8499 ай бұрын
ameen
@siriyamungumbabaye2257 Жыл бұрын
Amen Amen Amen haswaaaa Yesu amefanya!
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Amen Amen
@selinawangio8568 Жыл бұрын
Wow powerful song be blessed bro
@kifanyaliwengi2281 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi nimeanza kukufuatilia since 2000 mpaka leo uko vile vile..mungu mkubwa
@joshuamlelwa Жыл бұрын
HALELUYA...!! Jina la BWANA libarikiwe milele...!!
@kujifunzaguitar8798 Жыл бұрын
Nilipoona neno Ametenda, nilifikira itakuwa inazungumzia vitu kama nyumba magari, kazi nk. Kumbe ni Mambo makubwa ya Kinabii. Ni kazi njema sana ya kumuinua Yesu. Ubarikiwe
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Amen Amen Amen. Ubarikiwe zaidi..!
@simas.a1003 Жыл бұрын
Da, Asante kwa ladha hii yaa reggae. Unaweza sana anko Joshua. Injili ya Mungu iko ndani mwako nasi twapokea.
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Uzidi kubarikiwa...!
@Jayvanillah Жыл бұрын
dunia nzima joshua ni mmoja,bro naheshim sana uwezo wako...🙏
@joshuamlelwa Жыл бұрын
HALLELUJAH..! Uzidi kubarikiwa...!
@chipayenimwale7526 Жыл бұрын
Great song brother Joshua! I don’t understand the language but the song really uplifts my spirit of worship.