Among the best educative gospel songs of all time. Kaka Joshua Mlelwa na kwaya nzima mlifanya kazi njema sana. Naamini wimbo huu unapaswa kupata air time kwa kupigwa vituo vingi vya radio nyakati za sasa kuzikabili changamoto tunazopitia jamii nyingi kwa sasa.
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Amen Amen 🙏
@MishoAdeMahanyu Жыл бұрын
Kaka @@joshuamlelwa kiukweli huu wimbo unanikumbusha mbali sana na hadi leo ninapokuwa safarini kwenye usafiri binafsi lazima niuweke huo wimbo. Mungu awabariki sana maana kiukweli huu wimbo ukiimbwa unaweza ukaona mbingu hii hapa...
@joshuamlelwa Жыл бұрын
@@MishoAdeMahanyu Amen Amen. Mzidi kubarikiwa.!
@cecilibachwenkizi4528 Жыл бұрын
Hii Kanda ya nyimbo hizi tulikuwa nayo nyumbani, Kila siku mama yetu alikuwa anaiweka. Ikafikia hatua nyimbo zote zikawa kichwani. 2004 hiyo nikiwa std 7.. hakika tulibarikiwa sana sana, Hadi Leo hii 2023 Nina familia yangu, mume na watoto wanne natamani nipate CD niwawekee wanangu wasikilize, wabarikiwe, wawe na hofu ya Mungu, wamjue na kumcha Mungu siku zote za maisha Yao🙏🙏 Kaka Joshua una Kibali Toka juu. Mungu azidi kukubariki sana, sauti Yako nzuri sana hata ukiimba live🙏🙏
@herielstephenmsanga2 ай бұрын
Nyimbo imebeba ujumbe mkubwa sana na itaishi milele, huu wimbo umenikumbusha enzi za utoto 2000 ulikua moja ya nyimbo pendwa za Wazazi wangu enzi hizo hadi leo umenikaa kichwani hauwezi isha mwezi sijauimba huu wimbo
@yohanamwasambungu92337 ай бұрын
Joshuwa ubarikiwe bado tunainjoi nyimbo zako hii 2024
@salomehazael8912 Жыл бұрын
Kila nikisikiliza najikuta nalia kwa aibu hii wanadamu tuliyoifanya mbele za Mungu. Lakini naamini katika rehema na fadhili za Mungu wetu. Atuhurumie kila tunapomlilia na kutubu.
@RahimaMwita2 ай бұрын
Wimbo huu una nguvu sana yamungu Ata unapousikiliza Kuna hatua fulani unachukua .
@soloartist_ivanvespalusind16092 жыл бұрын
Joshua Mlelwa, one of a very talented musician in Tanzania
@stellalauden-mb8hc Жыл бұрын
Huu wimbo uneimbwa miaka mingi iliyopita Ila haya mambo sasa yamepamba moto. Tuzidi kuusambaza,watu wausikie,Dunia ipone.. Huu wimbo una mafuta ya Roho Mtakatifu. Mungu aponye watu wake🙏
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Amen Amen
@God.sDaughter11 ай бұрын
What’s the meaning of the song?
@kelvinemanuel24162 жыл бұрын
Mziki mzuri unaishi mile🔥🔥🔥
@kilingechasimulizi2072 Жыл бұрын
Huu wimbo nilikuwa kuliko nyimbo yeyote ya dini unayoijua..2002 kipindi cha sensa, namkumbuk mke wa mjomba alikuwa na hii kanda na nilikuwa kwake.. ndiyo alinifanya nikawajua awa watu..nashukuru kuwajua
@stellalauden-mb8hc Жыл бұрын
Tutapataje kupona?🙌
@judithmkiramweni4137 Жыл бұрын
Barikiwa wimbo mzuri sana
@stivenmacha9732 Жыл бұрын
Barikiwa Sana....Joshua.
@ashaomary8038 Жыл бұрын
Wimbo unaoishi,una mafundisho sanasana mambo yaliyoimbwa humu ndio yanayofanyika sana nyakati hizi yaani hali inatisha Mungu atusaidie na atuepushe na haya..ubarikiwe sana bro Joshua na waimbaji wenzio kwa wimbo huu wenye mafundisho..
@elizabethsanga40767 ай бұрын
Ni kweli kabisa hii nyimbo imetabiri mambo yanayoendelea sasa
@innocentmagaula99232 жыл бұрын
Melody dedication very clear 🤔🙏 indeed Long live Brother
@ElifadhiliSima Жыл бұрын
Joshua Mungu akutunze kaka.. wewe ni wapekee sana
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Amen. Ubarikiwe sana.!
@danielmlwafu4380 Жыл бұрын
Ubarikiwe, Daniel toka tunduma Moravian
@tumainsolomon13572 жыл бұрын
Amen 🙌
@michaelludovicknduhiye37982 жыл бұрын
Amen
@Issa-n6h9 ай бұрын
Nikat yanyimbo adim zenye mguso sana rohoni tuomba msizipoteze bado tinazihitaji sana hasa mimi
@gospelman37202 жыл бұрын
Album nzima mlirudiaga video zake?
@faharimbilinyi59722 жыл бұрын
Yaliyotabiriwa ndo yanatimia nyakati hizi za vizazi vya nyoka.
@kadekade___cor Жыл бұрын
MUNGU atusaidie na aturehemu kwa rehema zake. Atupe mwisho mwema sisi na vizazi vyetu.Amen