Mbona yupo na anaimba kama kawaida sema taarabu za siku hizi hazina mvuto zipo kama bongo fleva hata ukienda kwenye masherehe zinaźopigwa ni taarabh za zaman
@HappyTarantula-es7wz3 күн бұрын
Ukute tunao koment wengine komenti zao zipo ila wao marehemu 2024
@NeemaSamueli4 ай бұрын
Nice Wimbo mzuri
@omarykiyumbo35028 күн бұрын
🔥🔥Amigo
@nasraabdala-yo7uz7 ай бұрын
Napenda sana nyimbo zako mpk naww mwenyewe uko pc
@mwanahalimamwachili96793 жыл бұрын
Wimbo Mtamu Mpaka Basi, Rudi Amigo Utupe Mautamu.
@rahimaaaaa56822 жыл бұрын
Umeona eeh
@mokayaken2497 Жыл бұрын
Wimbo tamu kama ninino
@zubedamrutu3156 Жыл бұрын
Jamani huu wimbo mm nakupenda nataka niusikize hata Sina bado niganyaje
@ramadhanmohamed12902 жыл бұрын
amigo ni nooma""""taarabu Kali sana inanikumbusha mbali saaana
@nuruali78592 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana wakuburudisha nafsi imuende mchumba wangu kipnzy aliyeko majuu nkupndra sana hubby kaka uko vzry mola akuzidishie