AMKA TUOMBE , MAOMBI YA USIKU WA MANANE

  Рет қаралды 2,001

Online Prayer Service- Mwalimu AYUBU MWAFYELA

Online Prayer Service- Mwalimu AYUBU MWAFYELA

Күн бұрын

#Karibu Subscribe comment and share
Shiriki Kwa Sadaka yako 0742523517 Ayubu Mwafyela
UREJESHO KWA KILA KILICHOPOTEA KWAKO
Yoeli 2:25 (KJV)
[25] Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.
Mwl Ayubu Mwafyela
Subscribe Channel share and comment

Пікірлер: 52
@genovevakisawike-xo2wq
@genovevakisawike-xo2wq Ай бұрын
Aminaa
@mwalimuayubuwillymwafyela5284
@mwalimuayubuwillymwafyela5284 Ай бұрын
MUNGU Awabariki Afanye Kwako sana
@Theoristerbulamu
@Theoristerbulamu Ай бұрын
Mungu naomba uniponye magonjwa nanipate kazi
@mwalimuayubuwillymwafyela5284
@mwalimuayubuwillymwafyela5284 Ай бұрын
MUNGU Awabariki Afanye Kwako sana
@ElizabethMussa-j5p
@ElizabethMussa-j5p 9 күн бұрын
Amen
@DanielGodwin-c4e
@DanielGodwin-c4e Ай бұрын
Mwakwa huu ujao uwe mwakwa wangu wakujiona Mimi hapa ninaweza ktk maisha yangu yabadilike aaamina 🙏🙏🙏🙏
@Victoriamassai-s4c
@Victoriamassai-s4c 6 күн бұрын
Mungu naomba uniponye ukomboe na familia yangu
@DicksonMasukuma
@DicksonMasukuma Ай бұрын
Niponywe presha isambaratishwe na nilipwe madai yangu yote kwa jina la yesu kristo
@catherinemyovela6819
@catherinemyovela6819 7 күн бұрын
Ee Mungu.wa mbinguni unijibu maombi yangu ya.2025
@HellenaKingu
@HellenaKingu Ай бұрын
Mungu naomba uponyaji na naomba unitoe kwenye vifungo vya madeni
@MaduhuMagembe-r9h
@MaduhuMagembe-r9h Ай бұрын
Mungu naomba mwaka 2025 ikawe siku ya kufanikiwa katika maisha yangu pia ukawe mwaka mwenye Aman na furaha kwangu
@HellenaKingu
@HellenaKingu Ай бұрын
Mungu nitengenezee njia ya kulipa madeni
@LoemaAngelo
@LoemaAngelo Ай бұрын
Mungu naomba uponyaji wa miguu yangu na mgongo naomba mafanikio kwa watoto wangu mwaka 2025 uwe mwaka wa amani upendo ushirikiano na mshikamano nawatoto wangu niondolea roho ya kukata tamaa kwangu na kwa watoto wangu
@catherinemyovela6819
@catherinemyovela6819 3 күн бұрын
Nakataa k8la maroho.yanayonirudisha nyuma kwa njia.ya ndoto kwa jina lina la Yesu
@EllaRazalo
@EllaRazalo Ай бұрын
Mungu naomba uniponye magonjwa ya mifupa iliyochakaa kwa miaka mingi sasa. Pia naomba umponye mtoto wangu shingo yake irudi kawaida.
@sakinaamundala5253
@sakinaamundala5253 Ай бұрын
Jambo mutumishi naomba mungu anipone mimi namutoto wangu
@sharleymkenya6078
@sharleymkenya6078 Ай бұрын
Inaweseka Katika jina la yesu Cristo Ameeeen
@DanielGodwin-c4e
@DanielGodwin-c4e Ай бұрын
Huo mpaka naufuta kwadamu yayesu yesu nisaidie
@AnitaCharlse
@AnitaCharlse Ай бұрын
Nimelazwa hapa hospital ya rubya naomba uponyaji in Jesus name 1:36
@DanielGodwin-c4e
@DanielGodwin-c4e Ай бұрын
Hiii nikwaajiliyetu baba
@DanielGodwin-c4e
@DanielGodwin-c4e Ай бұрын
Mtuwamngu nikweli sisi tunapitia hiyochangamoto saaana baba ubalikiwe sana kwakutuona nasisi
@DanielGodwin-c4e
@DanielGodwin-c4e Ай бұрын
Mwakwa huu ujao uwe mwakwa wakuinuliwa kwangu mngu aniondie kwenye mipika 1 kupata 2maono 3 nguvu za maombi lohomtakatifu shuka ndaniyangu nipe nguvu za kushinda majalibu kwenye maisha yangu yabadilike aaamina
@mwalimuayubuwillymwafyela5284
@mwalimuayubuwillymwafyela5284 Ай бұрын
Ameeeeeen Mungu afanye Kwako
@CarolineMasawe-xs9zy
@CarolineMasawe-xs9zy Ай бұрын
Naomba mwaka 2025 uwe mwaka wa mafanikio kqangu mwqka wq kuovateki ondoa mipaka ktk maisha yangu nipe tena nafasi bwana.
@DanielGodwin-c4e
@DanielGodwin-c4e Ай бұрын
Mngu akubaliki mimi nina teseka najini lakike linanitesa saaana baba yangu kuhani ninaomba msaada wamaombi
@DanielGodwin-c4e
@DanielGodwin-c4e Ай бұрын
Nina kupata raivu baba
@mwalimuayubuwillymwafyela5284
@mwalimuayubuwillymwafyela5284 Ай бұрын
MUNGU Awabariki Afanye Kwako sana
@sharleymkenya6078
@sharleymkenya6078 Ай бұрын
Mungu anibariki Mimi na familia yangu usiku huu wa leo katika la yesu Cristo Ameeeen.
@mwalimuayubuwillymwafyela5284
@mwalimuayubuwillymwafyela5284 Ай бұрын
MUNGU Awabariki Afanye Kwako sana
@LoemaAngelo
@LoemaAngelo Ай бұрын
Mungu mfungue mwanangu Florian aweze kuvuka mwaka kwa ushindi mkubwa kwenda 2025
@ChristinaJoseph-p6b
@ChristinaJoseph-p6b Ай бұрын
Mungu naomba 7nijulishe k7omba na unipe uzima kwanz a nikujue pia nijue kuomba
@mwalimuayubuwillymwafyela5284
@mwalimuayubuwillymwafyela5284 Ай бұрын
MUNGU Awabariki Afanye Kwako sana
@DanielGodwin-c4e
@DanielGodwin-c4e Ай бұрын
Nakataaa. Kushindwa kwajina la yesuuu
@mwalimuayubuwillymwafyela5284
@mwalimuayubuwillymwafyela5284 Ай бұрын
MUNGU Akubariki Afanye Kwako sana
@aurelianmwingira6203
@aurelianmwingira6203 3 ай бұрын
Mungu natamani kwa ukuu wako usaidie mwanangu akuachana na ulevi na usinzi na umpe neema ya kutamani kukaa uweponi mwako
@mwalimuayubuwillymwafyela5284
@mwalimuayubuwillymwafyela5284 2 ай бұрын
Ameeen Haleluya Haleluya
@JanethWilliam-k6b
@JanethWilliam-k6b 14 күн бұрын
Nifunguliwe vifungo vyote pia mume wangu arudi nyumbani
@Theoristerbulamu
@Theoristerbulamu Ай бұрын
Ni mimi baba,magonjwa mateso kufungwa uchumi
@ElkaSimwanza
@ElkaSimwanza Ай бұрын
2024 imetosha, NATAKA TAKASIKA 2025
@RehemaMyinga-w9y
@RehemaMyinga-w9y 6 ай бұрын
Mungu akamfungue mwanangu Edison
@mwalimuayubuwillymwafyela5284
@mwalimuayubuwillymwafyela5284 2 ай бұрын
Ameen Ameen
@pendongosso489
@pendongosso489 2 ай бұрын
Naomba biashara isimame na huduma yangu minute jju
@mwalimuayubuwillymwafyela5284
@mwalimuayubuwillymwafyela5284 2 ай бұрын
Ameeen Haleluya
@DanielGodwin-c4e
@DanielGodwin-c4e Ай бұрын
Ninaomba kuinuliwa
@GraceKapange-v8g
@GraceKapange-v8g 7 күн бұрын
MUNGU NAOMBA unijalie kumaliza nyumba YANGU kupauwa na nilipe madeni nanilipwe ninao wadai
@BarakaSewando-v3y
@BarakaSewando-v3y Ай бұрын
Mimi ndoa yangu miaka miwili sasa inasumbua pia nakosa nguvu ya kuomba
@DanielGodwin-c4e
@DanielGodwin-c4e Ай бұрын
Eeemngu nisaidie uniondolee roho yakujiona siwezi
@erickmsimbe5424
@erickmsimbe5424 Ай бұрын
Mtumishi shetani ameniwekea mipaka nisitembee na roho ya hofu
@genovevakisawike-xo2wq
@genovevakisawike-xo2wq Ай бұрын
Kwa maombi haya ninapona kuanzia sasa
@ElizabethMussa-j5p
@ElizabethMussa-j5p 9 күн бұрын
Amen
@HellenaKingu
@HellenaKingu Ай бұрын
Mungu nitengenezee njia ya kulipa madeni
@sakinaamundala5253
@sakinaamundala5253 Ай бұрын
Jambo mutumishi naomba mungu anipone mimi namutoto wangu
SIRI YA MAOMBI YA USIKU WA MANANE - Innocent Morris
1:06:15
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 99 М.
TAMKO LA 16-20 KARIBU KATIKA MATAMKO 70 YA KUVUNJA NIRA Na  Mwl AYUBU MWAFYELA DODOMA OPS RADIO& TV
1:15:22
Online Prayer Service- Mwalimu AYUBU MWAFYELA
Рет қаралды 42
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
MAOMBI YA USIKU WA MANANE,  UREJESHO
8:28
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 2,1 М.
MAOMBI 12 KATIKA LANGO LA 12 AMKA TUOMBE MSIMU WA 10 MAWASILIANO YETU 0742523517
1:19:46
Online Prayer Service- Mwalimu AYUBU MWAFYELA
Рет қаралды 191
SAA YA KUSHINDANA (VURUGA MAPATANO YAO)
1:00:19
JOCHRIM TV “APOSTLE JOSHUA CHRIS”
Рет қаралды 364
MAOMBI YA UREJESHO WA KILA KILICHOIBIWA NA ADUI -   Pastor Myamba
28:05
Pastor Myamba
Рет қаралды 136 М.
TAMKO LA 5-10 KARIBU KATIKA MATAMKO 70 YA KUVUNJA NIRA Na  Mwl AYUBU MWAFYELA DODOMA OPS RADIO& TV
1:08:07
Online Prayer Service- Mwalimu AYUBU MWAFYELA
Рет қаралды 56
AMKA TUOMBE
1:03:15
Online Prayer Service- Mwalimu AYUBU MWAFYELA
Рет қаралды 63
LIVE: JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA VITA NYAKATI ZA USIKU
43:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 67 М.
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 268 М.
AMKA TUOMBE USIKU WA MANANE Mwl AYUBU MWAFYELA DODOMA OPS RADIO& TV
56:43
Online Prayer Service- Mwalimu AYUBU MWAFYELA
Рет қаралды 82
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.