Mtumishi nimepojea mwongozo wako wa kusali usiku wa manane. Naomba Roho wa Mungu aniongoze kwa zoezi hili bila kuchoka. Amen
@agnessmateru62563 күн бұрын
Ee Mungu naomba uniondolee usingizi wa kiroho,nipe kukesha kwa kulisoma neno lako na kuomba usiku wa manane,Ameen
@hellennyabuti36762 ай бұрын
Amen..somo nzuri...🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nani anawatch na mimi sahii 01 : 32 from Saudia arebia
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen.
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@WinnieKasambala2 ай бұрын
Amen
@ReginaPaul-vr6it2 ай бұрын
Amen
@janetngei-f9wАй бұрын
Mimi
@masokaasukulu9 сағат бұрын
Ubariwe sana mtumishi waMungu naomba amungu aniongezehe nguvu yamaombi ili nishinde shetani akika kupitia neno ili nitapokeya taji yauzima❤❤❤❤❤❤❤️❤️
@tinahsoka47032 ай бұрын
Mungu naomba unione unipe nguvu yakusali usiku wa manane na maombi yangu yasikike katika mbingu zako naamin kila kitu kutakuwa kipya katika maisha yangu na familia yangu😢🙏🙏
@TheresiaSoka-c3hАй бұрын
Bwana yesu naomba unifanye niwe nafanya maombi ya usiku wa manane, ahsante yesu maana naamini utoniacha amina.
@maqueen-rs6inАй бұрын
Mungu naomba kibali Cha kuamka usku wa manane niweze kuongea na wew
@janenehemiah56892 ай бұрын
Ni maombi yangu Mungu azidi kukuinua maana watumishi wa aina hii ni wachache na adui anawapiga vita sana,
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen ameeen
@kainzachristine11662 ай бұрын
Amen
@daniellamamiro83882 ай бұрын
Sana dear mimi huyu pastor nikimsikiliza na apostle joushua selman nabarikiwa sana, hasa huyu afu nikifatilia mafundisho yake na nikifanya km anavyofundisha lazima nipate matokeo lakini ndiyo mwili ni dhaifu sometimes naanguka lakini huyu pastor Mungu anamtumia kwa viwango vya juu
@denisenabindu28762 ай бұрын
❤❤❤❤
@Kidsclothesforall2 ай бұрын
🎉@@daniellamamiro8388
@prisilatarimo7454Күн бұрын
Mtumishi nimempokea Bwana Yesu leo ,naomba niongozwe na Roho mtakatifu katika maombi ya kuomba ucku
@HellenDaudi-rt8ol9 күн бұрын
Ameeeeen Roho Mtakatifu nisaidie kutembea katika somo hili
@rosechebetbaraza715428 күн бұрын
Amen amen barikiwa sana MTUMISHI WA MUNGU FOR THE POWERFUL TEACHING
@FaustinaKabazi21 сағат бұрын
Amina Mungu Baba Atuwezeshe kuwa waombaji na Roho wa Bwana Atuongoze maana bila Roho wa Bwana SS hatuwezi.Ubarikiwe na Bwana Mtumishi wa Mungu.
@KARIGWAanne6 күн бұрын
Nashukuru sana kwa mafudisho haya mtumishi mungu azidi kukuinua na uwe na afya njema siku zote
@ANGELBYAMUNGUАй бұрын
Unakarama ya ualimu nimekuelewa sana ubarikiwe nimependa Mungu akuzidishie mafuta zaidi
@RehemaGadau7 күн бұрын
Mungu akuinue mtumish uendelee kutufundisha neno kwasabu tulioweng tu aomba kawaid sio kwamalifa yandan
@carolinemwugusi89452 ай бұрын
That's why uliitwa innocent Mungu akubariki sana kutenga muda wako na kutuletea somo la baraka kwetu sisi more grace mtumishi WA Mungu as you continue serving the Lord
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen ameeen. May God bless you too
@PetronillahCherobonАй бұрын
Nmekua mzembe kuomba jameni, may God restore me
@JacksonMarcel-j6p27 күн бұрын
God bless you pastor MUNGU ameongeza kitu nikibwa ndani yangu ubarikiwe
@hadijayusuph6208Ай бұрын
Haki nimepata amani ya moyo naamka usiku kusali na kweli mungu anajibu nipe nguvu zaidi mungu Wangu bado nina safari
@HappyWillson-l8qАй бұрын
Naomba Mungu atupe kibali tuweze kuzishinda nguov za giza nakushukuru san mtumixh
@FransiscaShirima-s7v2 ай бұрын
Nilikuw nikitamani sana kupata mtumish wa Mungu wa kunifundisha kuomba sasa nimekupata Mungu azidi kukupa pumzi baba
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Karibu sana sana
@JanethMsechuАй бұрын
MUNGU akubariki akuinue akupake mafuta zaidi!!!
@RoseGathenya21 сағат бұрын
Amen mungu nisaidie kuamka usiku kuomba
@puritymukami9380Ай бұрын
Yesu mwana wa mungu nisaindie kuamka usiku niombe
@SaraMartin-po2weАй бұрын
Ubarikiwe mtumishi Mungu nisaidie niweze kuamka usiku wa manane kuomba
@DanielHope-q5w27 күн бұрын
Haya ni maombi yenye nguvu sana Mungu atutie uwezo ,asanti mwalimu!!
@igillah20 сағат бұрын
Asante kwa mafunzo mtumishi wa mungu
@saranjelekela795515 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu nimejifunza sana Mungu nipe hekima ya kuomba usiku Amen🙏🏿
@VailethmremaАй бұрын
Ee Mungu nisaidie niweze kuamka usiku wa manane kwa ajilo ya maombi
@agnesmbone23120 күн бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu neno hili limeuguza moyo wangu Mungu nipee neema ya kuamka usiku na kuomba imarisha magoti yangu kwa maombi
@FennyKerubo-es9rg20 күн бұрын
Mungu hakubarika sana mchungaji kusema kweli mungu ameweka kipaji ndani yako unaubili vizuri sana mwenye anakufwatilie Kila siku kusema kweli vifungo vyote vya shetani lazima vitoke❤❤❤❤❤❤❤
@gracekasambala80729 күн бұрын
Mungu akuinue mtumishi wa Mungu Kwa Siri hii.umenianzishia maisha mapya Mungu akutunze.Amen
@RehemaPaulo-c1u2 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu hakika umenibaliki mno namuomba roho mtakatifu anipe kibali cha kuamka usiku na kuomba kwa Mungu
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@deborahfaustine1501Ай бұрын
Bwana naomba neema ya kuamka na kuomba.
@ShaletMbodze18 күн бұрын
ameeeeen mungu awe nawe
@MaximilaNeema12 күн бұрын
asente ubarikiwe sana 🙏🙏
@LezaNkadupa22 күн бұрын
Amen ubarikiwe Sana mtumishi MUNGU atusaidie kuwa na mid night prayers maana tukichoka tutapandiwa magugu na adui zetu
@TinaKilumbalumba15 күн бұрын
Nimeliya kwa neno ili jinsi Mungu wetu alivyo mkuu mwenye rehema na fadhili ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@kwadomm2Ай бұрын
Asante wacha niombe saa hii
@EstherKomba-y7mАй бұрын
Ee MUNGU naomba neema na kibari cha kuweza kuamka usiku wa manane kuomba🤲🙏
@MARIAMMKIWA-s7p2 ай бұрын
Asante sana mtumishi kwa somo hili,mungu akubariki sana.
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ubarikiwe pia kwa kusikiliza
@JulianaBernard-u5f25 күн бұрын
Mungu atusaidie tusiwe na usingizi wa kiroho,Ni kweli mtumishi wa Mungu,Yesu akuinuwe sana una kitu kikubwa ndani yako.
@ResparGirbertАй бұрын
Amen barikiwa mtumishi wa mungu nmekua na kushindwa katika maombi ya usku na Asante sana kwa mafundisho Asante bwana kwa kunena NAMI🙏🙏🙏
@catherineonyango67512 ай бұрын
Amen barikiwa mtumishi wa Mungu..am blessed i Started watching yesterday have have learned to pray at midnight..thank you may God bless you 🙏🏽 shallom
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Thanks for watching
@RahabuJengela-nx9eo2 ай бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu napokea Neema ya kuomba usiku wa manane🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@EricTibasima-i3x14 күн бұрын
Ubarikiwe mutumichi sana tena sana
@SarahNasimiyu-j6eАй бұрын
Nimebarikiwa na mafunzo yako mtumishi wa Mungu wacha Mungu hanizahidiye
@Joycemuchambala-fh1qu27 күн бұрын
Thank you so much man of God 🙏🙏 to share for us the word of mighty God Because he. Is our healer
@CelestineAdhiambo-m2oАй бұрын
Mungu atupe nguvu ya kuomba usiku wa manane
@RoseKimaro-j2qАй бұрын
Mungu akutie nguvu mtumiishi anisaidie na mimi niweze kuomba usikiu wa manane Rose kimaro Arusha
@e2012ize2 ай бұрын
Amen. Ubarikiwe sana mtumishi kwa somo hili. Ngoja nisikilize
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa kusikiliza
@Mary-z5i1s2 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu nitaanza kuomba usiku wamanane huwa niko na uvivu wakuomba usiku
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen. Mungu atakupa nguvu wala usihofu kabisa
@Nancy-wc5chАй бұрын
Thank you holy spirit 🙏 for letting me hear this....now holy spirit guide me and hold my hand...I pray 🙏 🙏
@IreneMwasambili18 күн бұрын
Amen mtumish wamungu
@MaryMkumbi23 күн бұрын
Ahsante mungu,niendelee kuamka usiku na kufanya maombi ya kweli na kupokewa usiniache mungu wangu
@florasiame101425 күн бұрын
Mtumishi nimpokea bwana yesu leo
@ShaonaJumamkebiАй бұрын
Amen amen 🙏 ubarikiwe mtumishi nenolako lime nifariji sana mungu akulide katika uduma yako amena 🎉
@kitwanajohn82372 ай бұрын
BWANA wetu YESU KRISTO azidi kukubariki mtumishi wa BWANA
@tatukesi907927 күн бұрын
Following from middle East , uv bn a blessing in each n every corner of ur teaching! Well understood n trully msgs of lifting my faith, more n more Anoiting Man of God
@OnesmoCagubeNawadimba2 ай бұрын
Ubarikiwe saana Ntumishi
@edithamakanzo6023Ай бұрын
Mungu akubariki sana, nimekuwa nikipambana Sanaa kuamka, Sasa nimepata shauri nitaamka Kwa jina la Yesu
@theewondorous2 ай бұрын
May God Bless you. I Was at my lowest , God just used you to brighten my Spirit.
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Glory to God
@JanethLameck-c6fАй бұрын
God bless you
@MercySanga-ky2wwАй бұрын
HALLELUJAH BARIKIWA MTUMISHI NIMEBARIKIWA SANA Mungu azidi kukuinua kwa soma hii wengi umewafungua
@CeciliaSiro-w3c2 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu mkuu, hilo funzo limeguza maisha yangu kabisa Amina
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@trkas259610 күн бұрын
Barikiwa sana mutumishi umenifundisha kitu
@hussenhafidh37292 ай бұрын
🙏Amen, Mtumishi ubarikiwe Katika jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai.
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ubarikiwe pia
@deboramungure39302 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu,kwa kweli nahitaji neema ya Mungu katika hili,Mungu akaachilie msaada wa neema yake niweze kuwa mwombaji mzuri wa usiku
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Mungu atakupa haja ya moyo wako katika jina la Yesu Kristo
@NatasharizikiRiziki17 күн бұрын
Amen barikiwa zaidi
@Grace-bc9hiКүн бұрын
Mungu anipe nguvu😭😭😭😭🙏
@edithalegangaАй бұрын
Amina mtumishi wa mungu nmesikiliza mafundisho yako nmebarikiwa sana🙏🏾
@JulieAmos-to5poАй бұрын
Barikiwa sana mtumishi, mimi nimezoea kuomba usiku lakini najikuta naomba kwa muda wa saa moja tu kumbe inatakiwa kwa muda mrefu
@ireneuwimana53852 ай бұрын
Hallelujah nimebarikiwa kwa somo hili. Mungu akubariki saaana ❤
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@bettycherop940511 күн бұрын
Maombi nyangu mungu azidi kulinda usiku huu
@BatuliOmari-u3bАй бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa somo,limenitia nguvu ya kusimama Tena.
@upendomwansile420713 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi,Mimi ni shahidi wa haya maombi tangu nikiwa mdogo,baba yangu ni muombaji alinifundisha,ooh Yana faida kubwa mnooo! Nimekoswa na mishale mingi kwasababu ya maombi ya usiku wa manane,na hata nichoke namna Gani ubongo unakataa lzm ntaamka niishike siku mpya,Niombe kibali KIPYA,haya maombi Yana upako wa kimbinguu
@bettymariga2 ай бұрын
Ee mungu asante kwa kuniajalia afya usinipite ee bwana unapopita kupeana neema yako usinipite bwana yesu..be blessed mtumishi wa mungu
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@CeciliaSwai-z6b2 ай бұрын
Amen mtumishi barikiwa kwa somo zuri , ila mimi nahitaji huduma ya maombi yako, kwa ajili ya mume wangu
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Amen. Tutamuombea dada Cecilia. Uwe na amani kabisa
@puritynkirote50972 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu unatusaindia sana ukweli kabisa wewe unamtumikia mungu wa aki na kweli mimi nimesaindika sana kupitia mafundi yako kuhusu neno la mungu
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Mungu akubariki pia
@KarolinaOmanАй бұрын
Asante sana mtumishi kwa semina Yako nzuri ,ninaimani sitakata tamaa kuomba usiku 🎉
@NellyKombe2 ай бұрын
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi kwakweli nimepata kitu Amen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@The__Lords333Ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, somo hili ni la kwangu
@JosephJosephmapundaАй бұрын
Thank you Jesus for your power and God bless your pastor
@Edinahnyaboke-b9o2 ай бұрын
Amen barikiwa sana mutumishi wa mungu mafundisho mazuri nimebarikiwa sana Amen 🙏
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ubarikiwe pia
@AlatupokaSangaАй бұрын
Balikiwa sana mtumishi mungu asante kwa kutufungua macho tupate kuomba usiku wa manane nashukuru sana mtumishi wa mungu
@IraneShirindoАй бұрын
Mungu nisaidie niwemuombezi adui asipate nafasi ya kupatanda maguguu nitie chemchem ya maombi rohoni mwangu amen
@Brian-Mremi2 ай бұрын
Amina mtumishi na asante sana kwa somo hili zuri
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@ZawadiJames-b8yАй бұрын
Asanteee mtumish wa munguu kw kunifunz umuhimu w maombii y usikuu
@JosphinePeter-v3uАй бұрын
Asante mtumishi wa wungu kwa ufahamu huu, mungu akuzidishie neema hiyo
@BlandinaMwenda2 ай бұрын
Ahsante sana Mtumishi kwa somo zuri limenijenga sana.
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen
@rithaedmonds3129Ай бұрын
Asante Mungu kwa ajili ya neno somo zuri mno
@hellenAndrew-t2p10 күн бұрын
Ee Mungu naomba unipe nguvu ya kuomba
@jacquenyamataroarean8785Ай бұрын
Amen,nimebarikiwa sana,mungu nipe uwezo wa kutafuka uzo wako wakati wa usiku
@jessicaonchangu10432 ай бұрын
Amen mtumishi Mungu akubariki na akuongezee maarifa zaidi
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@elizaedward1851Ай бұрын
Amina Mungu atusaidie tuweze kuomba usiku wa Manane.
@berrisodhiambo56072 ай бұрын
Amen 🙏 mtumishi wa mungu naomba unekumbuke kwa kwamaombe nilikuwa najetaede sana nikingia kwa maombeya usiku wa manane saa nimekuwa mchovu sana saa imenishenda kwamka usiku wa manane naomba unifungu.
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen. Tutakuombea
@bettycherop940511 күн бұрын
O God help my family and cover with your blood 🙏 Amen 🙏
@NancyKivindyoАй бұрын
Amen amen amen mtumishi nasikiliza injili nikiwa saudia Arabia barikiwa man of God
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen ameeen. Mungu akubariki sana.
@neemammasy4069Ай бұрын
Mtumishi naomba Yale maombi ya Rehema na Neema
@holyspiritconnectАй бұрын
+255652796450 (WhatsApp)
@Agnes-rl8coАй бұрын
Amen mtumishi wa mungu.mungu akubariki kwa kutufamisha kuomba usiku wa manane.
@SilviarNamatsi2 ай бұрын
Mtumishi pokea baraka kutoka kwa mwenyezi mungu kupitia kwa haya maombi ya ucku.mungu aendelee kukuinua.
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@linetamadimakanga94232 ай бұрын
Amen!mungu azidi kukuinua kwa Huduma na akubariki
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ubarikiwe pia
@Homeuse-c5c2 ай бұрын
Amen mi niliota nikimwambia mungu sitaki magojwa sai nikipimwa pressure Iko sawa na ilikua juu nashukru mwenyezi mungu kwa uponyaji wake azidi kunitendea makuu
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen 👏👏👏👏
@SolangePélagie2 ай бұрын
Maomba mungu niwezeshe nakugutumiya zaidi ju mafundisho Yako inanijengaka sana