MAOMBI YA KUOMBA USIKU WA MANANE | MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA | KANISA LA EFATHA

  Рет қаралды 55,142

COH global

COH global

Күн бұрын

Пікірлер: 170
@BeatriceJoely-x6e
@BeatriceJoely-x6e 4 ай бұрын
Natangaz uponyaji na ushindi kwenye maisha yangu yote na future yangu kwanzia Sasa na hata milele hakuna kushindwa mim nimebalikiwa na Yesu Kristo Alie hai kwakua mim ni wa efatha nipo sehemu salama na sahihi kwetu hakuna kushindwa🙏
@kayitarecharles6993
@kayitarecharles6993 6 ай бұрын
Natangaza ushindi kwa jina la YESU aliyekufa akafufuka i ndoa yangu imekomborewa akili yangu imekomborewa familia yangu imekomborewa mafanikio yangu wamekombolewa kwa jina la YESU 🙏
@user5-nh3gs
@user5-nh3gs 6 ай бұрын
Natangaza ushindi Kwa jna la Yesu, sitoshindwa katka jambo lolote, afya, ndoa, uchumi, kiroho nainuka na kuangazaa
@moalfa9036
@moalfa9036 6 ай бұрын
Nakataa pesa yangu si ya kulipa madeni, nimekombolewa, pesa yangu imekombolewa, watoto wangu wamekombolewa, hakuna bad luck kwa maisha yangu. Imbilisi hunipati enda kuzimu kwa jina la Yesu, Amen
@NeemaChumila
@NeemaChumila 4 ай бұрын
Natangaza uponyaji katika kila eneo la maisha yangu mimi ni mshindi nimeshida kwa jina la YESU
@elizabethproches6761
@elizabethproches6761 6 ай бұрын
Amina my Spiritual Father, natangaza Ndoa yangu, Elimu, biashara, Kaz, uzao wangu, ubadae wa wangu, ufahamu wao, Elimu yao, imekombolew na ndugu zangu kwa Damu ya Yesu.
@PhiniasMwamsha-wp6ee
@PhiniasMwamsha-wp6ee 6 ай бұрын
Muovu ushindwe KWA namna yoyote vyote vilivyo vyangu vikombolewaaaa amina ❤
@RebeccaMwenyeheri
@RebeccaMwenyeheri 2 ай бұрын
Natangaza ushindi katika Maisha yangu kwajina la Yesu.nitaanzisha biashara nahaitakufa Kwa jina la Yesu
@marywaweru6089
@marywaweru6089 Ай бұрын
@@RebeccaMwenyeheri amen amen
@elizabethproches6761
@elizabethproches6761 6 ай бұрын
Uchumi wangu utakuwa kwa ajili ya kujenga Ufalme wa Bwana na kinachoniangukia kwa ajili ya mahitaj na wale ambao Mungu amekusudia niwasaidie, pesa nitaikamat Kama sumaku haitaponyok kwangu
@devothamwakyumba7628
@devothamwakyumba7628 7 ай бұрын
Pesa yangu haitatumika kutibu magonjwa, pesa yangu ni kwaajili ya kuhubiri injili na maendeleo Pesa yangu imekombolewa,ndoa yangu imekombolewa, watoto wangu wamekombolewa
@SophiaMuheziwa
@SophiaMuheziwa 26 күн бұрын
kupitia maombi haya nimefunguliwa bmwili wangu na uzao wangu naufunika katika jina la yesu katika jina la yesu amen
@RebeccaJohn-h8c
@RebeccaJohn-h8c 12 күн бұрын
Natangaza Kaz yangu sio ya utumwa na pesa sio ya kutatua matatizo watoto wang wamekombolea Kwa damu ya yesu amen🙏🙏
@PiliSelemani-yr3dr
@PiliSelemani-yr3dr 3 ай бұрын
Natangaza usindi. Pesa Yangu Ni ya maendeleo sio kutibu magonjwa. Sio ya kutibu matatizo. Eee Mungu iponye ndoa Yangu. Komboa kizazi changu ktk damu ya yesu kirsto nateketeza Kila aina ya ualibifu wa kualibu biashar Yangu ndoa kizazi changu. AMEN
@zakayomwashilindi-cf5kh
@zakayomwashilindi-cf5kh 5 ай бұрын
Mimi ni mshindi mara dufu kwa damu ya yesu pesa yangu pamoja na watoto yatima wajane na pamoja na kazi ya Mungu by zakayo mwashilindi from TDM songwe ujumbe yesu kristo ni mshindi kwetu❤❤❤❤
@agatherbaluah4862
@agatherbaluah4862 Ай бұрын
Natangaza ushindi ktk maisha yangu natangaza watoto wangu watakua vichwa, na Veronica atafaulu ktk mitihani yake, ktk jina la Yesu Kristo aliye hai, natangaza mafanikio yangu ktk viwango vya juu sana ktk jina la Yesu Kristo aliye hai, natangaza maisha marefu mimi na uzao wangu wote, ktk jina la Yesu Kristo, damu ya Yesu imetuzunguka.mimi. na Uzao wangu wote, tunaomba ulinzi wako Mungu ucku na mchana Uwe nasi daima,,🙏🙏
@jn438
@jn438 Ай бұрын
Appostle Mwingira ni Mmoja tu. To God be all the Glory
@gwamakamwasamwaba7898
@gwamakamwasamwaba7898 28 күн бұрын
I'm a conqueror in might Jesus name🔥🔥🔥🙏
@Rechojokitan
@Rechojokitan 6 ай бұрын
Amen nakataa kila vifafa na magonjwa ya kulisi kwenye familia yangu
@japharikipaya3770
@japharikipaya3770 3 ай бұрын
Natangaza ushindi Katika maisha yangu yote natangaza kwa jina la yesu
@safaelisaya2107
@safaelisaya2107 3 ай бұрын
Natagaza ushindi na kufunguliwa Kila nguvu za kichawi ndani ya familia ya Amon Isaya, pia Kila ninachokifanya kitafanikiwa kwa jina la Yesu Kristo. Hakutakuwepo na misiba wala machozi, wala kuwa masikini, amen amen amen
@innocentmwandu6877
@innocentmwandu6877 Ай бұрын
Mimi ni mshindi kati ya washindi ❤❤❤
@lovenessmwamengo7090
@lovenessmwamengo7090 Ай бұрын
Hallelujah napokea baraka nafaida zangu ktk jina la yesu wa nathareti aliye hai ❤
@DanielHope-q5w
@DanielHope-q5w 4 күн бұрын
Katika jina la Yesu ,Amen
@SophiaMuheziwa
@SophiaMuheziwa Ай бұрын
natangaza uponyaji kwa watoto wangu na familia yangu katika jina la yesu amena
@devothamwakyumba7628
@devothamwakyumba7628 7 ай бұрын
Mimi ni mshindiiiii Kwenda kushindwa kwenda kuchelewaaaa, mimi sijachelewaa
@ElizabethLaizer-h5i
@ElizabethLaizer-h5i Ай бұрын
Amen, Amen natangaza kuinuliwa, Kufanikiwa ,kubarikiwa na Bwana maana my mi ni uzao mteule
@sophiaJastin-g9f
@sophiaJastin-g9f 18 күн бұрын
Amen amen baba yet wa kiroho
@MapenziRuth-h9w
@MapenziRuth-h9w Ай бұрын
Amen Pastor .
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu Glory be to God
@FinaDaniel-i5v
@FinaDaniel-i5v 3 ай бұрын
mmi wa efatha sitaludi nyuma kiuchumi amiiinaa baba
@MiriamMlele-j8p
@MiriamMlele-j8p 3 ай бұрын
Mungu naomba neema zako baba yangu nyakati zote
@Cathy-v8s
@Cathy-v8s Ай бұрын
Natangaza ushindi kwenye maisha yangu
@upendomlaki1943
@upendomlaki1943 4 ай бұрын
Natangaza uponyaji juu yangu na kanisa la Bwana ktk maeneo yote Amina
@tamaryfesto4271
@tamaryfesto4271 2 ай бұрын
Mm sio wakushndwa mm n mshindi zaid ya washindi sina cha kupoteza🙏💪
@Zena-oq8fc
@Zena-oq8fc Ай бұрын
Natangaza ushnd kweny maisha yangu,maisha yangu yamekombolewa kila kilichochangu kikarejee mikonon mwangu
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 4 ай бұрын
Alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu sifa na utukufu simurudiye Mungu
@joycehenry3491
@joycehenry3491 20 күн бұрын
Natangaza ushindi kwa jina la Yesu
@JacklineGabrielSumbizi
@JacklineGabrielSumbizi Ай бұрын
Natanga ushindi katika maisha yangu na ya watoto wangu Catherine na David watoto wangu niwashindi watakuwa vichwa nawala si mikia wataongoza kila sehemu kwenye masomo Yao watendee Baba yangu ameen 🙏
@NyabuPeter
@NyabuPeter 2 ай бұрын
Natangaza uponyaji kwe ye maisha yangu
@aminaramadhani8005
@aminaramadhani8005 3 ай бұрын
Ameeeeennnn ndivyo itavyokuwa
@SalomeBilaly
@SalomeBilaly 19 күн бұрын
Amen baba imekua
@RachelSolomon-bq9hc
@RachelSolomon-bq9hc 6 ай бұрын
Amin,Mimi ni mshindi zaidi ya washindi
@asimeninimesia1403
@asimeninimesia1403 7 ай бұрын
I'm anointed, I'm equipped, I'm talented in Jesus Christ name, AMENI.
@SarahKulwa-p2v
@SarahKulwa-p2v Ай бұрын
Natangaza uzima ktk afya yangu na watoto wangu
@Johary-wb3vd
@Johary-wb3vd Ай бұрын
Natangaza ushindi kwamwanangu naamin atapona amina
@VeronicaMichael-m4s
@VeronicaMichael-m4s 3 ай бұрын
Natangaza uponyaji ktk maisha yangu na wanangu mm ni mshindi kwa jina la yesu
@SophiaMuheziwa
@SophiaMuheziwa Ай бұрын
natangaza ushindi katika maisha yangu amen💕💕💕🌹🌹
@lostanguvila7761
@lostanguvila7761 Ай бұрын
Natangaza uponyaji na ushindi ktk kila eneo la maisha yetu kwenye ndoa, uchumi, uhusiano wetu na MUNGU kwenye masomo kwenye kazi za mikono yetu, hatua zetu, kwenye afya zetu, kazini kwenye mashamba, mifugo
@MiriamMlele-j8p
@MiriamMlele-j8p 4 ай бұрын
Amina naomba ulizi wako bwana yesu
@marywaweru6089
@marywaweru6089 4 ай бұрын
Napokea uponyaji katika Jina LA Yesu amen
@nimbonajeanette6899
@nimbonajeanette6899 4 ай бұрын
Nimekombolewa mimi nakizazi cangu watakuwa juu watatembeya mataifa namataifa watakuwa wa levo ya juu .hakuna magonjwa hakuna ajali hakuna njaa kwa jina la Yesi Kristo Amen amen
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 4 ай бұрын
Ndio Bwana ndiyo Bwana
@NeemaNjile9
@NeemaNjile9 5 ай бұрын
Me ni mshundi Kwa Kila jambo amen nimekombolewa
@DeboraGeoffrey
@DeboraGeoffrey 5 ай бұрын
Amen ,upweke ,uhitJi ,umaskini mwisho
@JulietSalim-zu8zi
@JulietSalim-zu8zi 4 ай бұрын
Natangza ndoa yangu ifunguliwe kwa jina la yesu
@Sandraushidabebe
@Sandraushidabebe 3 ай бұрын
Natangaza uponyanji kwenye maisha yangu amennn
@HellenaMpogomi
@HellenaMpogomi 3 ай бұрын
Amina mimi nimshindi
@NeemaMeshaki-qm4ew
@NeemaMeshaki-qm4ew Ай бұрын
Katika jina la Yesu natangaza uzima katika Kila Eneo
@TeddyJames-rh6cl
@TeddyJames-rh6cl Ай бұрын
Natangaza uponyaji kwenye mwili wangu na ushindi kwenye ndoa yangu na kazini kwangu
@LydiaByabato
@LydiaByabato 7 ай бұрын
We roho wakushindwa kwenda kwenda kwenda kwajian la YESU
@mariamshabani2586
@mariamshabani2586 4 ай бұрын
Natangaza uponyaji kwenye kizazi changu na familia yangu.Mungu wa Efatha akamguse mama aliyeko kitandan muda huu
@mwanaidiabdullah3404
@mwanaidiabdullah3404 4 ай бұрын
mtaji wangu unatoka kwa mungu
@zakayomwashilindi-cf5kh
@zakayomwashilindi-cf5kh 5 ай бұрын
Mtumishi ubarikiwe kwa maombi ma
@Jovinarespicius-w7i
@Jovinarespicius-w7i Ай бұрын
Natangaza ushindi wa kumtumikia mungu
@AshuraAlly-p2h
@AshuraAlly-p2h Ай бұрын
Natangaza ushidi juu ya watot wangu
@AnnaLugala
@AnnaLugala 7 ай бұрын
Mimi sio wakushindwa mtajiwangu hautoki kwako mungu ndie mtajiwangu
@NeemaMeshaki-qm4ew
@NeemaMeshaki-qm4ew Ай бұрын
Natangaza kuinuliwa kwenye maeneo yote kwa baraka za Rohoni na zamwilini kwa jina la Yesu
@EsterJohnson-br2ir
@EsterJohnson-br2ir Ай бұрын
Amen, amen in Jesus name
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 2 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ❤❤❤❤❤
@FabiolaMkumbwa
@FabiolaMkumbwa Ай бұрын
Natanagaza uponyaj na ushindi ktk maisha yangu
@charlesmapunda5819
@charlesmapunda5819 6 ай бұрын
Ameen baba napokea. Kwadamu yayesu
@MiriamMlele-j8p
@MiriamMlele-j8p 4 ай бұрын
Damu ya yesu ikañizunguke naomba ulinzi wako usiku na mchana unitangurie amee
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 4 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ❤❤❤❤
@amosaamichael4614
@amosaamichael4614 4 ай бұрын
Nitangaza ushindi katika jina la yesu
@NeemaLuthakaaya
@NeemaLuthakaaya 4 ай бұрын
Natangaza ushindi nimebarikiwa Mimi na kizazi changu kwa jina la yesu
@JosuheSliver
@JosuheSliver 5 ай бұрын
Asante baba yangu nakunda
@amosaamichael4614
@amosaamichael4614 4 ай бұрын
Katika masomo yangu mimi ni msindi sintoshindwa kwa jina la yesu ndoa yangu imepona watt wangu wamepona mimi nimepona mimi ni mshindi ibilisi hunipati tena
@99jay660
@99jay660 5 ай бұрын
Usiwai kubali Adui aone machozi yangu Katika jina la yesu kristo
@miriamjaka2512
@miriamjaka2512 7 ай бұрын
Yeye abadilishae, amenibadilisha
@nimbonajeanette6899
@nimbonajeanette6899 4 ай бұрын
Amen amen amen amen amen 🙌🙌🙏🙏🙏
@99jay660
@99jay660 4 ай бұрын
Natangaza ushindi Kwa jina la yesu kristo
@FloraLyombe
@FloraLyombe Ай бұрын
Litukuzwe JINA LA YESU linaloweza kuokoka na kuponya MUNGU akusimamishe na kukupa hatua nyingine kipitia wewe watu wamjue MUNGU wa kweli
@EvaBonny
@EvaBonny 7 ай бұрын
Njiungsmanishs baba yangu Josephat Mwingira kumfuza
@amosaamichael4614
@amosaamichael4614 5 ай бұрын
Natangaza uponyaji kwenye ndoa yangu, Mimi ni mshindi watt wangu ni washindi Mume wangu ni mshindi
@sophiaJastin-g9f
@sophiaJastin-g9f 18 күн бұрын
natangaza ushindi kwenye ndoa yangu
@amosaamichael4614
@amosaamichael4614 4 ай бұрын
Mimi ni mshindi katikati ya washindi
@mwasikaflora1374
@mwasikaflora1374 21 күн бұрын
Natangaza ushindi juu ya ndoa yangu
@mwanaidiabdullah3404
@mwanaidiabdullah3404 4 ай бұрын
ibilisi unipati tena umechelewa natangaza kmbolewa kwa uchumi wangu watoto wangu nakuponda ibilisi
@AshuraAlly-p2h
@AshuraAlly-p2h Ай бұрын
Natangaza ushindi juu ya biashara yangu
@REGINAJulius-s9w
@REGINAJulius-s9w Ай бұрын
Ameeen 🙌
@amosaamichael4614
@amosaamichael4614 4 ай бұрын
Kwenda roho ya kushindwa toka ndani yngu
@wisebe8941
@wisebe8941 7 ай бұрын
Amina
@dr.phormenykishaija6508
@dr.phormenykishaija6508 6 ай бұрын
Amen dady
@ImeldaSunday-o5p
@ImeldaSunday-o5p 4 ай бұрын
Natangaza uponyaji kiafya kiakili , mm ni mshindi
@mwanaidiabdullah3404
@mwanaidiabdullah3404 4 ай бұрын
natakaza kurudishiwa pesa zangu zote kwa jina l yesu makata kudhurumiwa natangaza kurudishiwa pesa zangu zote natangaza kumbolewa ki uchumi watoto wangu wamekombolewa nitatmbea
@wandekidando1343
@wandekidando1343 7 ай бұрын
Amina baba
@maqueen-rs6in
@maqueen-rs6in Ай бұрын
Natangaza ushindi kwenye mwili wangu
@HellenaMpogomi
@HellenaMpogomi 3 ай бұрын
Mimi nimushindi
@NyabuPeter
@NyabuPeter 2 ай бұрын
Natangaza uponyaji kwenye kazini kwangu au kwenye biashara yangu
@kushipappa7277
@kushipappa7277 4 сағат бұрын
Natangaza uponyaji
@ElenaMabuku
@ElenaMabuku 4 ай бұрын
Natàngaza uponyaji katika kila jambo langu akika nifanikiwe zaidi katika jambo langu mimi mshindi zaidi ya ushindi
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
MAOMBI YA KUVUNJA VIFUNGO by Innocent Morris
29:18
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 124 М.
Apostle & Prophet Josephat E. Mwingira | ZIJUE NJIA 21 ZA KUSHINDA SILAHA ZA GIZA - Sehemu ya I
40:48
Apostle & Prophet Josephat E. Mwingira
Рет қаралды 32 М.
THE POWER OF WORDS | EPISODE 2 | APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT MWINGIRA
15:53
Apostle & Prophet Josephat Mwingira
Рет қаралды 653
MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris
16:52
Ibada live
Рет қаралды 27 М.
Efatha Mass choir - NIMEMUONA MWANAUME
14:27
EFATHA CHURCH
Рет қаралды 199 М.
Ee Mungu Nijalie Haja Ya Moyo Wangu -Apostle Nick Shaboka  -   [ Audio Message ]
45:21
MWILI WAKO UKITOA ISHARA HIZI 5 NI MUNGU ANAONGEA NAWE.  By Pastor Mbasha.
15:23
NABII WA NDOTO ( Dream Prophet).
Рет қаралды 94 М.
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН