Ni sahihi Kwa mke kujua changu na pia si sahihi kujua inategemeana na akili ya mwanamke ulienae
@mariamkibindo17412 ай бұрын
Kiukweli mshahara wangu wazazi wangu wanajua,na kaz yangu ya pili niona nimebarikiwa alhamdulillah niliwajulisha mshahara wangu wote walifurahi alhamdulillah ❤hainiathir ni mimi na mipango yangu
@Bbwaoy2 ай бұрын
ili iweje? Kama mshahara ni laki 3 mwambie mkeo / mzazi mshahara ni laki 2. laki 1 ibaki siri yako, tunza kwa jili yaku jikimu uzeeni. Acha laki 2 iendeshe maisha.
@AbuuRumaytha2 ай бұрын
Yan me Bora mzazi ndio ajuwe
@tumainitarimo4027Ай бұрын
Kiukweli mkewako lazima ajue misimamo yuko lakini na malengo pi
@Zuuh1072 ай бұрын
Mi wazazi mme akinificha vingi naye ategemee hatajua mengine yangu
@GemmaSalim2 ай бұрын
Big up
@yassinihassani50292 ай бұрын
frida mtu na nusu kbsa reasonable doubt from unymaaa kbsa
@pro_the_dj2 ай бұрын
mimi mama anajua lakini mpenzi ajui
@ClaudUtenga2 ай бұрын
Inabidi asijue
@suzanmeela55422 ай бұрын
Vido kaongea point na nusu 😊
@BlackKing89-l1u2 ай бұрын
ndo maana unampa mkeo kadi yenye limit..limit ikifika inajifunga
@Chautz2 ай бұрын
We mi asijue ajue ela chache zingine simtajii
@Omari32002 ай бұрын
Kaka mird ayo umepata mtu MWENYE akili anajielewa San vido vidox